If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
1 | 1 |
MAPISHI
|
Kusikiliza na Kuzungumza:
"Matamshi Bora: Silabi na Vitanzandimi
-Sauti f/v, s/z, l/r/ na th/dh
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno kueleza maana ya silabi Kuchangamkia kukariri vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi yake." |
"Mwanafunzi:
Atambue silabi za sauti" "lengwa kutokana na maneno kwenye vitabu, ubaoni au kwa" "kutumia vifaa vya kiteknolojia asikilize silabi zasauti f/v, s/z," "l/r/ na th/dh zikitamkwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au kutoka kwa vifaa vya kiteknolojia (k.v. kinasasauti) lengwa akiwa peke yake, wawiliwawili au katika vikundi" |
"Je, unajua vitanza ndimi?
Unaweza kutmaka vitanzandimi gani?"
|
"Chati
Michoro na picha Mgeni mwalikwa Vifaa vya kidijitali (k.v KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 1-3 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 1-3" |
Kumakinikia jinsi mwanafunzi
"anavyotumia lugha katika mawasiliano
Kujibu maswali
Maigizo
Kutambua
k.m. kwenye orodha"
|
|
1 | 2 |
MAPISHI
|
Kusikiliza na
Kuzungumza:
Matamshi
Bora: Silabi na
Vitanzandimi
-Sauti f/v, s/z,
l/r/ na
th/dh
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya silabi kutamka silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi Kuchangamkia kukariri vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi" ili kuimarisha matamshi yake. |
"asikilize vitanza ndimi
vinavyoundwa kutokana na maneno yenye sauti lengwa vikikaririwa (k.m.shirika la reli la Rwanda larejelea shughuli zake rasmi n.k.) vinavyotokana na sauti husika akiwa peke yake, wawiliwawili na katika vikundi" " vifaa vya kidijitali na kushirikiana na wenzake mitamboni kuvirekebisha kupata vitanzandimi zaidi vyenye sauti lengwa" |
"Je, unajua vitanza ndimi?
Unaweza kutmaka vitanzandimi gani?"
|
"Chati
Michoro na picha Mgeni mwalikwa Vifaa vya kidijitali (k.v KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha" "mwanfunzi Uk. 1-3 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 1-3" |
Kumakinikia
jinsi mwanafunzi
anavyotumia
lugha katika
mawasiliano
Kujibu
maswali
Maigizo
Kutambua
k.m. kwenye
orodha
|
|
1 | 3 |
MAPISHI
|
Kusikiliza na
"Kuzungumza:
Matamshi"
"Bora: Silabi na Vitanzandimi
-Sauti f/v, s/z, l/r/ na
th/dh
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha mawasiliano keueleza maana ya vitanza ndimi Kuchangamkia kukariri vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi yake. |
asikilize vitanzandimi
"vinavyoundwa kutokana na maneno yenye sauti lengwa" "vikikaririwa (k.m.shirika la reli la Rwanda larejelea shughuli zake rasmi n.k.) vinavyotokana na sauti husika akiwa peke yake, wawiliwawili na katika vikundi vifaa vya kidijitali na kushirikiana na wenzake mitamboni kuvirekebisha" "kupata vitanzandimi zaidi vyenye sauti lengwa" |
Je, unajua vitanza ndimi?
Unaweza kutmaka vitanzandimi gani?
|
Chati
Michoro na picha Mgeni mwalikwa Vifaa vya kidijitali (k.v KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 1-3 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 1-3 |
Kumakinikia
"jinsi mwanafunzi
anavyotumia"
"lugha katika mawasiliano
Kujibu maswali
Maigizo
Kutambua
k.m. kwenye orodha"
|
|
1 | 4 |
MAPISHI
|
Kusikiliza na
"Kuzungumza:
Matamshi Bora: Silabi na"
"Vitanzandimi
-Sauti f/v, s/z, l/r/ na
th/dh
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha mawasiliano kuunda vitanzandimi vyenye maana kutokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi Kuchangamkia kukariri vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi" "ili kuimarisha matamshi yake." |
asikilize vitanzandimi
"vinavyoundwa kutokana na maneno yenye sauti lengwa vikikaririwa (k.m.shirika la reli" "la Rwanda larejelea shughuli zake rasmi n.k.) vitanzandimi vinavyotokana na sauti husika akiwa peke yake, wawiliwawili na katika vikundi vifaa vya kidijitali na" kushirikiana na wenzake mitamboni kuvirekebisha kupata vitanzandimi zaidi vyenye sauti lengwa |
Je, unajua vitanza
ndimi?
Unaweza kutmaka vitanzandimi gani?
|
"Chati
Michoro na picha Mgeni mwalikwa Vifaa vya kidijitali (k.v KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 1-3 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa" Mwalimu Uk. 1-3 |
Kumakinikia
"jinsi mwanafunzi anavyotumia
lugha katika"
"mawasiliano
Kujibu maswali
Maigizo
Kutambua
k.m. kwenye orodha"
|
|
2 | 1 |
MAPISHI
|
Kusoma: Kusoma
kwa
ufahamu:
Kifungu cha
Hadithi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua msamiati wa suala lengwa uliotumika katika kifungu ili kuimarisha ufahamu kusoma kifungu cha hadithi kwa kuzingatia ujumbe, matukio na wahusika Kujenga mazoea ya usomaji bora katika maisha ya kila siku. |
"Mwanafunzi:atambue msamiati wa suala
lengwa (k.v. vyakula, viungo vya kupikia, njia za kupika na vifaa vya kupikia) kwa kutumia kadi za maneno, chati, mti maneno au kifaa cha kidijitali" "ashiriki katika vikundi kujadili na kutumia msamiati wa suala" lengwa katika sentensi |
Kusoma kuhusu
mapishi kuna umuhimu gani?
Ni hadithi gani umewahi kuisoma kuhusu mapishi?
|
Picha vifaa halisi
Tarakilishi KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 3-5 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 5-6 |
Kutunga
sentensi k.m. kwa
kutumia
msamiati lengwa
Kujibu
maswali k.m.
katika ufahamu
Kutoa
muhtasari wa
ufahamu au
matini
yaliyosomwa
|
|
2 | 2 |
MAPISHI
|
Kusoma: Kusoma
"kwa ufahamu: Kifungu cha Hadithi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kusoma kifungu cha hadithi kwa kuzingatia ujumbe, matukio na wahusika kuonyesha uelewa wa kifungu kwa kutoa muhtasari na kujibu maswali kujenga mazoea ya usomaji bora katika maisha ya kila siku. |
Mwanafunzi:
Asome vifungu kuhusu suala "lengwa kwenye kitabu au kwenye tarakilishi akiwa peke yake, wawiliwawili au katika vikundi " kifungu alichosoma kifungu alichosoma. "kuhusu suala lengwa na kujadiliana na wenzake" kuhusu ujumbe ulioyomo |
Kusoma kuhusu
mapishi kuna umuhimu gani?
Ni hadithi gani umewahi kuisoma kuhusu mapishi?
|
Picha vifaa
halisi Tarakilishi KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 3-5 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 5-6 |
Kutunga
sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa
Kujibu maswali k.m. katika ufahamu
Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwa
|
|
2 | 3 |
MAPISHI
|
Kuandika:
"Kuandika Insha ya wasifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
" ndogo, kutambua insha ya wasifu kwa kuzingatia mtindo na muundo wake kuandika insha yawasifu kwa ubunifu ili kujenga maelezo yenye kutoa picha dhahiri" c. kufurahia kutunga insha bora ili kuimarisha mazoea ya kuandika kutambua insha ya wasifu kwa kuzingatia mtindo na muundo wake kuandika insha yawasifu kwa ubunifu ili kujenga maelezo yenye kutoa picha dhahiri kufurahia kutunga insha bora ili kuimarisha mazoea ya kuandika" |
Mwanafunzi:atabue insha ya wasifu
kwa kurejelea vielelezo vya insha zilizoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi ya wasifu vilivyoandikwa katika matini mbalimbali au tarakilishi ashirikiane na wenzake kujadili mada na muundo wa insha ya wasifu na wenzake katika vikundi ili kubainisha na kujadili vidokezo vifaavyo vya mada lengwa. |
. Insha ya wasifu ni
"gani?
. Unazingatia nini unapoandika insha ya wasifu?"
|
"Kielelezo cha
insha ya wasifu KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 6-7 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa" Mwalimu Uk. 7-9 |
Kuandika
"tungo mbalimbali
Wanafunzi kufanyiana tathmini
Potfolio
Shajara
Mijadala kuhusu vidokezo"
vya
insha
|
|
2 | 4 |
MAPISHI
|
"Kuandika:
Kuandika"
Insha ya wasifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua insha ya wasifu kwa kuzingatia mtindo na muundo wake kuandika insha yawasifu kwa ubunifu ili kujenga maelezo yenye kutoa picha dhahiri kufurahia kutunga insha bora ili kuimarisha mazoea ya kuandika |
"aandike insha ya wasifu
isiyopungua maneno 150" "inayohusu mada lengwa (k.v. Mpishi nimpendaye) kwa kuzingatia, anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, kanuni za kisarufi (k.v uakifishaji mwafaka na tahajia) na kwa lugha ya kiubunifu inayojumuisha methali, tashbihi na nahau alizojifunza awali." mtandaoni na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili kuisoma na kuitathmini aliyoandika ili kumpa motisha kuandika zaidi |
"Insha ya wasifu ni
gani?"
Unazingatia nini unapoandika insha ya wasifu?
|
Kielelezo cha insha ya wasifu
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 6-7 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 7-9 |
Kuandika tungo mbalimbali
"Wanafunzi kufanyiana tathmini
Potfolio
Shajara
Mijadala kuhusu vidokezo vya
insha"
|
|
3 | 1 |
MAPISHI
|
Sarufi: Aina za Nomino:
Kutambua Nomino za Pekee
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua nomino za pekee kwenye sentensi au vifungu vya maneno Kueleza maana ya nomino Kuchangamkia kutumia nomino za pekee katika utungaji wa sentensi na kujaza mapengo kwenye vifungu. |
"Mwanafunzi:
"atambue nomino za pekee "(k.v. Kisumu, Mei, Rabuka, Alhamisi na Yohana) kwenye tarakilishi, kapu maneno, mti maneno, kadi maneno au" chati nomino za pekee kama vile za majina ya mji, majina ya mito, majina ya watu na majina ya miezi |
"Nomino za pekee
zinahusu nini?"
. Ni nomino zipi za pekee unazozijua?
|
"Chati
Michoro na picha Vifaa vya kidijitali (k.v Kadi za nomino KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 8-9 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa" Mwalimu Uk. 10-11 |
Kutambua
k.m. kwenye orodha
Kuambatanisha maneno lengwa
Kujaza mapengo
Kujaza fumbo maneno
Kazi mradi
|
|
3 | 2 |
MAPISHI
|
Sarufi: Aina za
"Nomino:
Kutunga sentensi"
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua nomino za pekee kwenye sentensi au vifungu vya maneno kutunga sentensi kwa kutumia nomino za pekee ili kukuza matumizi ya lugha sahihi Kuchangamkia kutumia nomino za pekee katika utungaji wa sentensi na kujaza mapengo kwenye vifungu. |
atambue nomino za pekee
katika sentensi kwenye vitabu, tarakilishi, chati kwa kuzipigia mstari au kukolezea rangi nomino za pekee nomino za pekee akiwa peke yake, wawiliwawili au vikundi |
Nomino za pekee
"zinahusu nini?
Ni nomino zipi za pekee unazozijua?"
|
Chati
Michoro na picha Vifaa vya kidijitali (k.v Kadi za nomino KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 8-9 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 10-11 |
Kutambua
k.m. kwenye orodha
Kuambatanisha maneno lengwa
Kujaza mapengo
Kujaza fumbo maneno
Kazi mradi
|
|
3 | 3 |
MAPISHI
|
Aina za
Nomino:
Kutambua Nomino za kawaida
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua nomino za kawaida kwenye sentensi au vifungu vya maneno kueleza maana ya nomino za kawaida kufurahia kutumia nomino za kawaida katika utungaji wa sentensi na kujaza mapengo kwenye vifungu. |
Mwanafunzi:amtabue nomino za kawaida
"kwenye kadi au kapu la maneno (k.v.mtu, mtoto, darasa, ukuta, mwalimu, meza na kiti)" nomino za kawaida katika sentensi kwa kuzipigia mistari au kuzikolezea rangi kwenye tarakilishi |
Je, ni vitu gani vipatikanavyo katika mazingira yako?
Ni vitu gani vinavyotumiwa katika mapishi mbalimbali?
|
Chati
Michoro na picha Vifaa vya kidijitali (k.v Kadi za nomino KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 10-11 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 12-14 |
Kutambua
k.m. kwenye orodha
Kuambatanisha maneno lengwa
Kujaza mapengo
Kujaza fumbo maneno
Kazi mradi
|
|
3 | 4 |
MAPISHI
|
Aina za
Nomino:
Kutambua Nomino za kawaida
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua nomino za kawaida kwenye sentensi au vifungu vya maneno kueleza maana ya nomino za kawaida kufurahia kutumia nomino za kawaida katika utungaji wa sentensi na kujaza mapengo kwenye vifungu. |
Mwanafunzi:amtabue nomino za kawaida
"kwenye kadi au kapu la maneno (k.v.mtu, mtoto, darasa, ukuta, mwalimu, meza na kiti)" nomino za kawaida katika sentensi kwa kuzipigia mistari au kuzikolezea rangi kwenye tarakilishi |
Je, ni vitu gani vipatikanavyo katika mazingira yako?
Ni vitu gani vinavyotumiwa katika mapishi mbalimbali?
|
Chati
Michoro na picha Vifaa vya kidijitali (k.v Kadi za nomino KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 10-11 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 12-14 |
Kutambua
k.m. kwenye orodha
Kuambatanisha maneno lengwa
Kujaza mapengo
Kujaza fumbo maneno
Kazi mradi
|
|
4 | 1 |
HUDUMA YA
KWANZA
|
Kusikiliza na
kuzungumza:
Maamkuzi na Maagano- kutambua maamkuzi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua aina mbalimbali za maamkuzi na maagano katika mawasiliano kuelza njia wanazotumia kuagana Kuchangamkia maamkuzi na maagano katika mahusiano. |
Mwanafunzi:
shikamoo, Habari za utokako? Habari za adhuhuri? Habari za jioni?)kutoka kwenye chati, ubao au vifaa vya kidijitali, michoro na picha mwenzake au katika vikundi maamkuzi yanayolengwa na matumizi yake |
Je, watu husalimiana vipi katika jamii?
Je, watu huagana vipi katika jamii?
|
Video
Picha KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 13-18 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 15-18 |
Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano
Kujibu maswali
Maigizo
Kutambua
k.m. kwenye orodha
|
|
4 | 2 |
HUDUMA YA
KWANZA
|
Kusikiliza na
"kuzungumza:
Maamkuzi na Maagano
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kueleza maamkuzi na maagano yanayotumika katika miktadha mbalimbali kutumia aina mbalimbali za maamkuzi na maagano katika mawasiliano Kuchangamkia maamkuzi na maagano katika mahusiano. |
atambue maagano(k.v
"salama, safari njema, alamsiki) kutoka kwenye chati, ubao au vifaa vya kidijitali," "michoro na picha kuigiza maamkuzi na maagano lengwa na kuagana katika vifaa vya kidijitali e maamkuzi na" maagano na majibu sahihi |
Je, watu husalimiana vipi katika jamii?
Je, watu huagana vipi katika jamii?
|
Video
Picha KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 13-18 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 15-18 |
Kumakinikia
"jinsi mwanafunzi anavyotumia
lugha katika"
"mawasiliano
Kujibu maswali
Maigizo
Kutambua
k.m. kwenye orodha"
|
|
4 | 3 |
HUDUMA YA
KWANZA
|
Kusoma:
"Kusoma kwa Kina: Matumizi ya
Kamusi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
a. kutambua mpangilio wa maneno katika kamusi ili kupata maneno lengwa kwa urahisi" "kueleza sababu za kutumia kamusi Kuchangamkia kutumia kamusi katika kukuza msamiati wake." |
Mwanafunzi:
Apange maneno aliyopewa "kwenye chati, kapu maneno au mti maneno kialfabeti" Achague neno kutoka kapu "maneno au mti maneno ili kulitafuta kwenye kamusi" Atumie amusi kutafuta maana za maneno mbalimbali akiwa "peke yake, wawiliwawiliau katika vikundi maana za maneno" |
Unatafutaje maana
"ya maneno kwenye kamusi?
Kwa nini tunatumia"
"kamusi?
3. Je, ni habari zipi"
tunaweza kupata katika kamusi?
|
"Kamusi ya maeno
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 18-20" KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 19-20 |
Kutunga
sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa
"Kujibu maswali k.m. katika ufahamu
Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwa"
|
|
4 | 4 |
HUDUMA YA
KWANZA
|
"Kusoma:
Kusoma kwa Kina:"
Matumizi ya Kamusi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua mpangilio wa maneno katika kamusi ili kupata maneno lengwa kwa urahisi kutumia kamusi ipasavyo kutafuta maana za maneno asiyoyajua yaliyo katika matini teule ili kukuza msamiati wake Kuchangamkia kutumia kamusi katika kukuza msamiati wake. |
"Mwanafunzi:
Apange maneno aliyopewa kwenye chati, kapu maneno au" "mti maneno kialfabeti neno kutoka kapu maneno au mti maneno ili kulitafuta kwenye kamusi" amusi kutafuta maana za maneno mbalimbali akiwa peke yake, wawiliwawili au katika vikundi maana za maneno |
"Unatafutaje maana ya maneno kwenye
kamusi?"
"Kwa nini
tunatumia kamusi?
Je, ni habari zipi"
tunaweza kupata katika kamusi?
|
Kamusi ya maeno
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 18-20 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 19-20 |
Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa
Kujibu maswali k.m. katika ufahamu
Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwa
|
|
5 | 1 |
HUDUMA YA
KWANZA
|
Kuandika: Kutambua Insha za masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua insha ya masimulizi kwa kuzingatia ujumbe, mtindo na muundo kuandika insha ya masimulizi kwa kufuata kanuni zifaazo kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya masimulizi ili kukuza ubunifu wake |
Mwanafunzi:
Atambue insha ya masimulizi "kwa kurejelea vielelezo vya insha zilizoandikwa kwenye" matini mbalimbali au tarakilishi ashiriki na wenzake kujadili "mada ya insha na muundo wa insha ya masimulizi maneno 150 inayosimulia kisa cha tukio linalohusiana na huduma ya kwanza kwa" "kuzingatia anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka na kwa" lugha ya kiubunifu. |
Je, unazingatia nini ili kuandika
insha nzuri ya masimulizi?
|
Kielelezo cha insha ya masimulizi
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 20-23 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 21-23 |
"Kuandika tungo mbalimbali
Wanafunzi
kufanyiana"
"tathmini
Potfolio
Shajara
Mijadala kuhusu vidokezo vya
insha"
|
|
5 | 2 |
HUDUMA YA
KWANZA
|
Kuandika: Kuandika Insha za masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua insha ya masimulizi kwa kuzingatia ujumbe, mtindo na muundo kuandika insha ya masimulizi kwa kufuata kanuni zifaazo kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya masimulizi ili kukuza ubunifu wake |
insha ya masimulizi mtandaoni na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili kuisoma na kuitathmini
wenzake insha aliyoandika ili kuitathmini |
Je, unazingatia nini ili kuandika insha nzuri ya masimulizi?
|
Kielelezo cha insha ya masimulizi
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 20-23 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 21-23 |
"Kuandika tungo mbalimbali
Wanafunzi
kufanyiana"
tathmini
c) Potfolio
d) Shajara
e) Mijadala
kuhusu vidokezo
vya
insha
|
|
5 | 3 |
Sarufi
|
Aina za Nomino: Kutambua Nomino za wingi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua nomino za wingi katika matini mbalimbali kueleza maana ya nomino za wingi kufurahia kutumia nomino za wingi katika mawasiliano |
Mwanafunzi
"Atambue nomino za wingi (k.m chumvi, sukari, maji, uji," mafuta na manukato) kutoka "kwenye kapu la maneno, chati, vitabu na vifaa vya kidijitali akiwa peke yake, wawiliwawili au katika" kikundi "katika sentensi kwa kufanya mazoezi daftarini" |
"Unajua majina gani ambayo
yanayohusu vitu Vinavyopatikana"
katika wingi tu?
|
Vifaa halisi
Picha KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 23-25 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 24-26 |
Kutambua
k.m. kwenye orodha
Kuambatanisha maneno lengwa
Kujaza mapengo
Kujaza fumbo maneno
Kazi mradi
|
|
5 | 4 |
Sarufi
|
"Aina za Nomino:
Kutumia Nomino"
za wingi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua nomino za wingi katika matini mbalimbali kutumia nomino za wingi katika sentensi kufurahia kutumia nomino za wingi katika mawasiliano |
"Mwanafunzi atambue nomino za wingi
"kwa kuzipigia mistari au kuzikolezea rangi kwenye matini" "kujaza mapengo kwenye sentensi omino za wingi katika sentensi kwa" kufanya mazoezi daftarini |
"Unajua majina
gani ambayo"
yanayohusu vitu Vinavyopatikana katika wingi tu?
|
Vifaa halisi
Picha KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 23-25 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 24-26 |
Kutambua
k.m. kwenye orodha
Kuambatanisha maneno lengwa
Kujaza mapengo
Kujaza fumbo maneno
Kazi mradi
|
|
6 | 1 |
Sarufi
|
Aina za Nomino: Kutambua Nomino za vitenzi-jina
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
" a. kutambua nomino za vitenzi- jina kwenye" "kifungu cha maneno au kwenye sentensi kueleza maana ya nomino za vitenzi-jina Kufurahia umuhimu wa nomino za vitenzi-jina" |
"Mwanafunzi:
Atambue vitenzi-jina kutoka kwenye kapu la maneno," vyombo vya kijiditali (k.v. kusoma, kucheka, kula, kulia, "kuandika and kadhalika.) Atambue vitenzi-jina akiwa" "na wenzake kwa kuvipigia mistari au kuzikolezea rangi kwenye matini n.k. Atumie nomino za vitenzijina kwa kujaza mapengo kwenye sentensi" Atunge sentensi au vifungu "vya maneno kwa kutumia nomino za vitenzi-jina akiwa peke yake, wawiliwawili au katika vikudi." |
Ni mambo gani wewe hufanya ukiwa nyumbani?
Unapenda kufanyamambo gani darasani?
|
"Vifaa halisi
Picha KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha" "mwanfunzi Uk. 26-27 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 26-29" |
"Kutambua
k.m. kwenye orodha"
"Kuambatanisha maneno lengwa
Kujaza mapengo
Kujaza fumbo maneno
Kazi mradi"
|
|
6 | 2 |
Sarufi
|
Aina za Nomino: Kutumia Nomino za vitenzi-jina
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua nomino za vitenzi- jina kwenye kifungu cha maneno au kwenye sentensi kutunga sentensi au vifungu vya maneno akitumia nomino za vitenzijina ili kukuza matumizi bora ya lugha Kufurahia kutumia nomino za vitenzijina katika utungaji wa sentensi na kujaza mapengo. |
Mwanafunzi:
vitenzi-jina kutoka kwenye kapu la maneno, vyombo vya kijiditali (k.v. kusoma, kucheka, kula, kulia, kuandika and kadhalika.) Atambue vitenzi-jina akiwa na wenzake kwa kuvipigia mistari au kuzikolezea rangi kwenye matini n.k. umie nomino za vitenzijina kwa kujaza mapengo kwenye sentensi sentensi au vifungu vya maneno kwa kutumia nomino za vitenzi-jina akiwa peke yake, wawiliwawili au katika vikudi. |
Ni mambo gani
wewe hufanya ukiwa nyumbani?
Unapenda kufanyamambo gani darasani?
|
Vifaa halisi
Picha KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 26-27 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 26-29 |
Kutambua
k.m. kwenye orodha
Kuambatanisha maneno lengwa
Kujaza mapengo
Kujaza fumbo maneno
Kazi mradi
|
|
6 | 3 |
MAPAM BO
|
Kusikiliza na Kuzungumza: Matamshi Bora: Kutambua Vitendawili vyenye sauti zinazokaribiana
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua vitendawili vya suala lengwa vyenye sauti zinazokaribiana kwenye orodha kutamka maneno yenye sauti zinazokaribiana katika vitendawili lengwa" "kifungu cha maneno au kwenye sentensi kueleza maana ya nomino za vitenzi-jina Kufurahia umuhimu wa nomino za vitenzi-jina" |
Mwanafunzi:
atambue vitendawili vya "mapambo vyenye maneno ya sauti f/v, s/z, l/r, th/dh katika chati, ubao au vifaa vya kidijitali (k.m Wafaa lakini wavaliwa bila matumizi maalum (Mtandio)," kusoma, kucheka, kula, kulia, "kuandika and kadhalika.) Atambue vitenzi-jina akiwa" "na wenzake kwa kuvipigia mistari au kuzikolezea rangi kwenye matini n.k. Atumie nomino za vitenzijina kwa kujaza mapengo kwenye sentensi" Atunge sentensi au vifungu "vya maneno kwa kutumia nomino za vitenzi-jina akiwa peke yake, wawiliwawili au katika vikudi." |
"Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze:
kutambua vitendawili vya suala lengwa vyenye sauti zinazokaribiana kwenye orodha
kutamka maneno yenye
sauti zinazokaribiana katika vitendawili lengwa"
"kifungu cha maneno au kwenye sentensi
kueleza maana ya nomino za vitenzi-jina
Kufurahia umuhimu wa nomino za vitenzi-jina"
|
Tapurekoda
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 29-31 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa |
Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano
Kujibu maswali
Maigizo
|
|
6 | 4 |
MAPAM BO
|
Aina za Nomino: Kutumia Nomino za vitenzi-jina
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua nomino za vitenzi- jina kwenye kifungu cha maneno au kwenye sentensi kutunga sentensi au vifungu vya maneno akitumia nomino za vitenzijina ili kukuza matumizi bora ya lugha Kufurahia kutumia nomino za vitenzijina katika utungaji wa sentensi na kujaza mapengo. |
Mwanafunzi:atambue
vitenzi-jina kutoka kwenye kapu la maneno, vyombo vya kijiditali (k.v. kusoma, kucheka, kula, kulia, kuandika and kadhalika.) Atambue vitenzi-jina akiwa na wenzake kwa kuvipigia mistari au kuzikolezea rangi kwenye matini n.k. umie nomino za vitenzijina kwa kujaza mapengo kwenye sentensi sentensi au vifungu vya maneno kwa kutumia nomino za vitenzi-jina akiwa peke yake, wawiliwawili au katika vikudi. |
Ni mambo gani
wewe hufanya ukiwa nyumbani?
Unapenda kufanyamambo gani darasani?
|
Vifaa halisi
Picha KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 26-27 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 26-29 |
Kutambua
k.m. kwenye orodha
Kuambatanisha maneno lengwa
Kujaza mapengo
Kujaza fumbo maneno
Kazi mradi
|
|
7 | 1 |
MAPAM BO
|
Kusikiliza na Kuzungumza: Matamshi Bora: Kutambua Vitendawili vyenye sauti zinazokaribiana
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua vitendawili vya suala lengwa vyenye sauti zinazokaribiana kwenye orodha kutamka maneno yenye sauti zinazokaribiana katika vitendawili lengwa" "c. kuchangamkia matumizi ya vitendawili vyenye sauti zinazokaribiana kama njia ya kujenga utamkaji bora wa maneno" |
Mwanafunzi:
atambue vitendawili vya "mapambo vyenye maneno ya sauti f/v, s/z, l/r, th/dh katika chati, ubao au vifaa vya kidijitali (k.m Wafaa lakini wavaliwa bila matumizi maalum (Mtandio)," Ananitazama, hasemi hasikii (Picha), Lapendeza rangi lakini halikai (Ua). Dhahabu yangu ya thamani haisimami (Mkufu.) |
Je, ni vitendawili gani unavyovijua?
|
"Tapurekoda
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 29-31 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa" Mwalimu Uk. 31-33 |
"Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano
Kujibu maswali
Maigizo"
"d) Kutambua
k.m. kwenye orodha
Mijadala
Mazungumzo"
|
|
7 | 2 |
MAPAM BO
|
Kusikiliza na Kuzungumza: Matamshi Bora: Kutega na kutegua vitendawili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutamka maneno yenye sauti zinazokaribiana katika vitendawili lengwa kutega na kutegua vitendawili vyenye sauti zinazokaribiana ili kujenga matamshi bora kuchangamkia matumizi ya vitendawili vyenye sauti zinazokaribiana kama njia ya kujenga utamkaji bora wa maneno |
ashiriki katika kutega na
kutegua vitendawili vyenye sauti zinazokaribiana wakiwa wawiliwawili au katika vikundi ilize vitendawili vikitegwa na kuteguliwa kupitia vyombo vya kidijitali. |
Je, ni vitendawili gani unavyovijua?
|
Tapurekoda
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 29-31 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 31-33 |
Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano
Kujibu maswali
Maigizo
Kutambua
k.m. kwenye orodha
Mijadala
Mazungumzo
|
|
7 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa ufahamu: Kifungu cha
hadithi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua msamiati wa mapambo uliotumiwa katika kifungu kuelezea maana za msamiati mbalimbali wa mapambo Kuonea fahari kusoma hadithi kuhusu mapambo na kujibu maswali. |
Mwanafunzi:atambue msamiati wa
mapambo (k.v vipuli, pete, bangili na ushanga) kwa kutazama picha na vifaa halisi. msamiati wa mapambo na maana yake mtandaoni yanapovaliwa. |
Kwa nini ni muhimu kusoma kuhusu mapambo?
|
Vifaa halisi
Picha KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 32-35 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 34-35 |
Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa
Kujibu maswali k.m. katika ufahamu
Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini
yaliyosomwa
|
|
7 | 4 |
Kusoma
|
Kusoma kwa ufahamu: Kifungu cha
hadithi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kusoma kifungu cha hadithi ili kupata ujumbe kuonyesha uelewa wa hadithi kwa kutoa muhtasari na kujibu maswali Kuonea fahari kusoma hadithi kuhusu mapambo na kujibu maswali. |
"kutumia msamiati husika, akiwa peke yake kisha kwenye wawiliwawili au kikundi.
na wenzake kwa zamu ili kuelewa ujumbe kwa zamu aliyoisoma" " hadithi." |
Kwa nini ni muhimu kusoma kuhusu mapambo?
|
"Vifaa halisi
Picha KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 32-35 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa" Mwalimu Uk. 34-35 |
"Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa
Kujibu maswali k.m. katika ufahamu
Kutoa muhtasari wa"
"ufahamu au
matini yaliyosomwa"
|
|
8 |
Midterm Break |
||||||||
9 | 1 |
Kuandi ka
|
Kuandika kwa Tarakilishi: Uchapaji
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua sehemu mbalimbali za tarakilishi zinazotumika kupigia chapa kueleza maana ya tarakilishi Kujenga mazoea ya kutumia tarakilishi kuandika na kuhifadhi maandishi. |
Mwanafunzi :
"Atambue sehemu mbalimbaliza tarakilishi za kupigia chapa." "(k.v. bodidota, kipanya, kiwambo/mulishi n.k.)" Atumie tarakilishi kuandika "maneno au sentensi zinazolenga msamiati wa mapambo k.v. herini, vipuli, pete, kipini, bangili, shanga, chapuo, taji, kugesi na hina atumie tarakilishi kuandika kifungu kinahusisha mapambo mbalimbali" |
Je, ni sehemu zipi za tarakilishi unazozijua?
Tarakilishi hutuwezesha kufanya kazi gani?
Ni hatua gani zinazohusika tunapotumia tarakilishi
|
Kielelezo cha insha
Tarakilishi Mchoro KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 35-38 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 36-38 |
Kuandika tungo mbalimbali
Wanafunzi kufanyiana tathmini
Potfolio
Shajara
Mijadala kuhusu vidokezo vya
insha
|
|
9 | 2 |
Kuandi ka
|
Kuandika kwa Tarakilishi: Uchapaji
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua sehemu mbalimbali za tarakilishi zinazotumika kupigia chapa kutumia tarakilishi ili kujenga maarifa ya kidijitali Kujenga mazoea ya kutumia tarakilishi kuandika na kuhifadhi maandishi. |
kwenye faili ya tarakilishi mara kwa mara
e tarakilishi akishirikiana na wenzake katika kikundi mwalimu ili kuitathmini ufanya mazoezi ya kuandika kwa kutumia tarakilishi akisaidiwa na mzazi/mlezi wake |
Je, ni sehemu zipi za tarakilishi unazozijua?
Tarakilishi hutuwezesha kufanya kazi gani?
Ni hatua gani zinazohusika tunapotumia tarakilishi
|
Kielelezo cha insha
Tarakilishi Mchoro KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 35-38 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 36-38 |
Kuandika tungo mbalimbali
Wanafunzi kufanyiana tathmini
Potfolio
Shajara
Mijadala kuhusu vidokezo vya
insha
|
|
9 | 3 |
Sarufi
|
Aina za Nomino: Nomino za Makundi- kutambua nomino za makundi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua nomino za makundi katika sentensi ili kuzibainisha kuelezea nomino za makundi kwa kutoa mifano mwafaka kutumia nomino za makundi kwa usahihi katika sentensi" c. kueleza umuhimu wa nomino za makundi |
Mwanafunzi:
"Atambue nomino za makundi (k. v mlolongo wa magari, tita" "la kuni, mkungu wa ndizi, safu ya siafu, korija la maua, bunda la noti) katika chati, kadi maneno, ubao, vifaa vya kidijitalin.k" Ajadili katika kikundi au wawiliwawili maana ya nomino za makundi huko akitoa mifano. "Atumie nomino za makundi katika sentensi na kuziandika" daftarini mwake. Atumie nomino za makundi "kutunga sentensi mtandaoni akiwa na wenzake." |
Je, unajua maneno gani yanayotaja makundi ya watu na vitu?
Je, nomino za makundi hutumiwa vipi?
|
"Kadi za maneno za makundi
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 38-40 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa" Mwalimu Uk. 39-40 |
"Kutambua
k.m. kwenye orodha
Kuambatanisha maneno lengwa
Kujaza mapengo"
"Kujaza fumbo maneno
Kazi mradi"
|
|
9 | 4 |
Sarufi
|
Aina za Nomino: Nomino za Makundi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Keueleza maana ya nomino za makundi kuelezea nomino za makundi kwa kutoa mifano mwafaka kutumia nomino za makundi kwa usahihi katika sentensi Kuonea fahari matumizi ya nomino za makundi katika miktadha mbalimbali. |
Mwanafunzi:
mino za makundi (k. v mlolongo wa magari, tita la kuni, mkungu wa ndizi, safu ya siafu, korija la maua, bunda la noti) katika chati, kadi maneno, ubao, vifaa vya kidijitalin.k kikundi au wawiliwawili maana ya nomino za makundi huko akitoa mifano. za makundi katika sentensi na kuziandika daftarini mwake. no za makundi kutunga sentensi mtandaoni akiwa na wenzake. |
Je, unajua maneno gani yanayotaja makundi ya watu na vitu?
Je, nomino za makundi hutumiwa vipi?
|
Kadi za maneno za makundi
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 38-40 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 39-40 |
Kutambua
k.m. kwenye orodha
Kuambatanisha maneno lengwa
Kujaza mapengo
Kujaza fumbo maneno
Kazi mradi
|
|
10 | 1 |
Sarufi
|
Aina za Nomino: Nomino Ambata
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua nomino ambata katika matini ili kuzitofautisha na aina nyingine za nomino kutumia nomino ambata kwa usahihi katika sentensi ili kuimarisha mawasiliano kuonea fahari matumizi ya nomino ambata katika mawasiliano |
Mwanafunzi:
"Atambue nomino ambata (k.v askarikanzu, mbwamwitu," "mwanasiasa na mwananchi) kwa kutumia kadi maneno, kapu maneno, chati au vifaa vya kidijitali akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi ajadili katika kikundi au wawiliwawili maana ya nomino ambata huko akitoa mifano." |
Je, unajua maneno yapi yanayounganishwa kuunda neno moja?
|
Kadi za maneno za makundi
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 41-43 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 41-42 |
Kutambua
k.m. kwenye orodha
Kuambatanisha maneno lengwa
Kujaza mapengo
e) Kazi mradi
|
|
10 | 2 |
Sarufi
|
Aina za Nomino: Nomino Ambata
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua nomino ambata katika matini ili kuzitofautisha na aina nyingine za nomino kutumia nomino ambata kwa usahihi katika sentensi ili kuimarisha mawasiliano kuonea fahari matumizi ya nomino ambata katika mawasiliano |
Mwanafunzi:
"Atambue nomino ambata (k.v askarikanzu, mbwamwitu," "mwanasiasa na mwananchi) kwa kutumia kadi maneno, kapu maneno, chati au vifaa vya kidijitali akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi ajadili katika kikundi au wawiliwawili maana ya nomino ambata huko akitoa mifano." |
Je, unajua maneno yapi yanayounganishwa kuunda neno moja?
|
Kadi za maneno za makundi
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 41-43 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 41-42 |
Kutambua
k.m. kwenye orodha
Kuambatanisha maneno lengwa
Kujaza mapengo
e) Kazi mradi
|
|
10 | 3 |
Sarufi
|
"Aina za Nomino:
Nomino Ambata
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua nomino ambata katika matini ili kuzitofautisha na aina nyingine za nomino kutumia nomino ambata kwa usahihi katika sentensi ili kuimarisha mawasiliano kuonea fahari matumizi ya nomino ambata katika mawasiliano. |
"atumie nomino ambata
katika sentensi na kuziandika katika daftari lake." "nomino ambata kutunga sentensi mtandaoni akishirikiana na wenzake. kupata mifano zaidi ya nomino ambata na kuziandika katika daftari lake" |
. Je, unajua maneno
yapi yanayounganishwa kuunda neno moja?
|
Kadi za maneno za makundi
"KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 41-43 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 41-42" |
"Kutambua
k.m. kwenye orodha"
Kuambatanisha maneno lengwa
Kujaza mapengo
Kazi mradi"
|
|
10 | 4 |
Sarufi
|
Aina za Nomino: Nomino za dhahania
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua nomino za dhahania katika matini mbalimbali kuelezea nomino za dhahania kwa kutoa mifano mwafaka Kuonea fahari matumizi ya nomino za dhahania katika mawasiliano. |
Mwanafunzi: "Atamue nomino za dhahania (k.v upendo, uhodari,ukweli)" "kwa kutumia kadi maneno, mti maneno, chati au vifaa vya kidijitali" Ajadili katika kikundi au "wawiliwawili maana ya nomino za dhahania huko akitoa mifano. katika sentensi na kuziandika sentensi hizo daftarini mwake" atumie nomino za dhahania "kutunga sentensi mtandaoni akishirikiana na wenzake." |
Je, unajua maneno yapi yanayotaja vitu ambavyo
haviwezi kushikwa au kuonekana kwa macho?
|
Kadi za maneno za makundi
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 43-44 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 43-44 |
Kutambua
k.m. kwenye orodha
Kuambatanisha maneno lengwa
Kujaza mapengo
e) Kazi mradi
|
|
11 | 1 |
Sarufi
|
Aina za Nomino: Nomino za dhahania
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kuelezea nomino za dhahania kwa kutoa mifano mwafaka kutumia nomino za dhahania kwa usahihi katika sentensi Kuonea fahari matumizi ya nomino za dhahania katika mawasiliano. |
"Mwanafunzi:atumie
nomino za dhahania (k.v upendo, uhodari, ukweli) kwa kutumia kadi maneno, mti maneno, chati au vifaa vya kidijitali kundi au wawiliwawili maana ya nomino za dhahania huko akitoa mifano. katika sentensi na kuziandika sentensi hizo daftarini mwake" "za dhahania kutunga sentensi mtandaoni akishirikiana na wenzake." |
Je, unajua maneno yapi yanayotaja vitu ambavyo
haviwezi kushikwa au kuonekana kwa macho?
|
Kadi za maneno za makundi
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 43-44 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 43-44 |
Kutambua
k.m. kwenye orodha
Kuambatanisha maneno lengwa
Kujaza mapengo
e) Kazi mradi
|
|
11 | 2 |
Sarufi
|
Uakifishi:
-Herufi kubwa
-koma (,)
-kikomo (.)
-kiulizi (?)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua herufi kubwa, alama ya koma, kikomo na kiulizi katika maandishi kutumia herufi kubwa, koma, kikomo na kiulizi ifaavyo katika maaandishi kufurahia matumizi ya herufi kubwa, koma, kikomo na kiulizi katika maaandishi |
"Mwanafunzi:atambue herufi kubwa ,
koma, kikomo na kiulizi katika maandishi" "ashiriki katika vikundi kuakifisha sentensi akitumia" "herufi kubwa, koma, kikomo na kiulizi (baadhi ya sentensi ziangazie suala lengwa) herufi kubwa, koma, kikomo na kiulizi ifaavyo andike sentensi zenye herufi kubwa, koma, kikomo nakiulizi akitumia kifaa cha kidijitali." |
Kwa nini alama za kuakifisha hutumiwa katika maandishi?
|
Kadi za maneno za makundi
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 44-47 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 45-47 |
Kutambua
k.m. kwenye orodha
Kuambatanisha maneno lengwa
Kujaza mapengo
e) Kazi mradi
|
|
11 | 3 |
Sarufi
|
Uakifishi:
-Herufi kubwa
-koma (,)
-kikomo (.)
-kiulizi (?) Kutumia viakifishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua herufi kubwa, alama ya koma, kikomo na kiulizi katika maandishi kutumia herufi kubwa, koma, kikomo na kiulizi ifaavyo katika maaandishi kufurahia matumizi ya herufi kubwa, koma, kikomo na kiulizi katika maaandishi |
Mwanafunzi:atambue herufi kubwa
koma, kikomo na kiulizi katika maandishi ashiriki katika vikundi kuakifisha sentensi akitumia herufi kubwa, koma, kikomo na kiulizi (baadhi ya sentensi ziangazie suala lengwa) herufi kubwa, koma, kikomo na kiulizi ifaavyo andike sentensi zenye herufi kubwa, koma, kikomo na kiulizi akitumia kifaa cha kidijitali. |
Kwa nini alama za
kuakifisha hutumiwa katika maandishi?
|
Kadi za maneno za makundi
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 44-47 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 45-47 |
Kutambua
k.m. kwenye orodha
Kuambatanisha maneno lengwa
Kujaza mapengo
e) Kazi mradi
|
|
11 | 4 |
SAA NA MAJIRA
|
Kusikiliza na Kuzungumza: Heshima, adabu na vyeo: Maneno ya
Heshima
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua maneno ya heshima yanayohusiana na udugu yanayotumiwa katika mawasiliano" "kutumia maneno ya udugu kwa usahihi katika mazungumzo yake ya kila siku Kuthamini kutumia maneno ya udugu katika mawasiliano ya kila siku." |
Mwanafunzi:
"Atambue maneno ya udugu (k.v. bwana, bibi, ndugu, binti," "bin, mama, mamamkubwa/mdogo, mjomba) kwenye ubao, mti" maneno, tarakilishi au kapu "maneno. Aeleze maana ya maneno" "lengwa kama yanavyotumiwa katika mahusiano ya kila siku kati ya watu." |
Unatumia neno lipi la heshima kumrejelea mwalimu wako wa kike au wa kiume?
|
"Picha
Kadi ya maneno za udugu' KLB Visionary Kiswahili" "Kitabu cha mwanfunzi Uk. 49-51 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 49-51" |
Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano
"Kujibu maswali
Maigizo
Kutambua
k.m. kwenye orodha"
|
|
12 | 1 |
SAA NA MAJIRA
|
Kusikiliza na
Kuzungumza: Heshima, adabu na vyeo: Maneno ya Heshima
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua maneno ya heshima yanayohusiana na udugu yanayotumiwa katika mawasiliano kutumia maneno ya udugu kwa usahihi katika mazungumzo yake ya kila siku Kuthamini kutumia maneno ya udugu katika mawasiliano ya kila siku. |
Mwanafunzi:
Atunge sentensi kwa kutumia maneno lengwa kwa usahihi. watu wakitumia maneno ya udugu kwenye tarakilishi na video. neno ya udugu akishirikiana na wenzake darasani. o mafupi akiwa na wenzake huku akitumia msamiati wa udugu. |
Unatumia neno
lipi la heshima kumrejelea mwalimu wako wa kike au wa kiume?
|
Picha
Kadi ya maneno za udugu' KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 49-51 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 49-51 |
Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano
Kujibu maswali
Maigizo
Kutambua
k.m. kwenye orodha
|
|
12 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Mapana: Matini ya kidijitali
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua na kuzingatia hatua za kiusalama katika matumizi ya vifaa vya kidijitali kusakura matini kwenye tovuti salama ili kupata vifungu vya kusoma vyenye suala lengwa Kuchangamkia matumizi ya vifaa vya kidijitali katika kutafuta na kusoma ujumbe ili kuimarisha maarifa yake. |
Mwanafunzi:
"Azingatie hatua za kiusalama katika kutumia vifaa vya" "kidijitali k.v. kufungua mitandao ifaayo." Atambue mitandao salama "yenye matini inayohusu suala lengwa (saa na majira) na inayoafiki kiwango chake habari kwa mwalimu, mzazi au mlezi wake endapo atapata ujumbe kutoka kwa watu asiowajua mtandaoni na kutowasiliana nao" |
Ni njia zipi
unazoweza kupata matini za kusoma katika vifaa vya kiteknolojia?
|
Tarakilishi/vi pakatalishi
Kinasasauti Rununu projekta KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 52-54 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 51-53 |
Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa
Kujibu maswali k.m. katika ufahamu
Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwa
|
|
12 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Mapana: Matini ya kidijitali
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua msamiati wa suala lengwa katika matini ya kidijitali -kusakura matini kwenye tovuti salama ili kupata vifungu vya kusoma vyenye suala lengwa Kuchangamkia matumizi ya vifaa vya kidijitali katika kutafuta na kusoma ujumbe ili kuimarisha maarifa yake ndogo, kutambua msamiati wa suala lengwa katika matini ya kidijitali" kusakura matini kwenye tovuti salama ili kupata vifungu vya kusoma vyenye suala lengwa Kuchangamkia matumizi ya vifaa vya kidijitali katika kutafuta na kusoma ujumbe ili kuimarisha maarifa yake. |
"asome matini kwa kutumia
vifaa vya kidijitali yanayojumuisha msamiati wa saa (k.v. kasoro dakika |
Ni njia zipi
unazoweza kupata matini za kusoma katika vifaa vya kiteknolojia?
|
"Tarakilishi/vi pakatalishi
Kinasasauti Rununu projekta" "KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 52-54 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 51-53" |
Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa
"Kujibu maswali k.m. katika ufahamu
Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwa
Kukariri na kuimba mashairi
Kusoma kwa
sauti"
|
|
12 | 4 |
Kuandika
|
Aina za Insha: Baruapepe
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua baruapepe kwa kuzingatia muundo wake kuandika baruapepe kwa kuzingatia ujumbe, muundo na mtindo Kuchangamkia uandishi wa baruapepe katika mawasiliano. |
"Mwanafunzi:atambue muundo wa
baruapepe kwa kurejelea kielelezo chake kilichochapishwa au kwenye tarakilishi" "ajadili sehemu mbalimbaliza baruapepe kama vile" "anwanipepe ya mtumaji (k.m. tina18@gmail.com), anwanipepe ya mpokeaji, mada ya baruapepe, mtajo, mwili, hitimisho na jina la mwandishi/mtumaji." |
Unazingatia mambo gani unapoandika baruapepe?
Ni mambo gani unayoweza kumweleza rafiki yako katika baruapepe?
|
Kielelezo cha insha
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 54-56 KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 54-55 |
Kuandika tungo mbalimbali
Wanafunzi kufanyiana tathmini
Potfolio
Shajara
Mijadala kuhusu vidokezo vya
insha
|
Your Name Comes Here