Home

MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA TANO
MWAKA WA 2025
MUHULA WA I

School

To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.

To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.

Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)

WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
1 1
MAPISHI
Kusikiliza na Kuzungumza: "Matamshi Bora: Silabi na Vitanzandimi -Sauti f/v, s/z, l/r/ na th/dh
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno
kueleza maana ya silabi
Kuchangamkia kukariri vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi yake."
"Mwanafunzi:
Atambue silabi za sauti"
"lengwa kutokana na maneno
kwenye vitabu, ubaoni au kwa"
"kutumia vifaa vya kiteknolojia
asikilize silabi zasauti f/v, s/z,"
"l/r/ na th/dh zikitamkwa na
mwalimu, mgeni mwalikwa au kutoka kwa vifaa vya kiteknolojia (k.v. kinasasauti)
lengwa akiwa peke yake, wawiliwawili au katika vikundi"
"Je, unajua vitanza ndimi? Unaweza kutmaka vitanzandimi gani?"
"Chati
Michoro na picha
Mgeni mwalikwa
Vifaa vya kidijitali (k.v
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 1-3
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk.
1-3"
Kumakinikia jinsi mwanafunzi "anavyotumia lugha katika mawasiliano Kujibu maswali Maigizo Kutambua k.m. kwenye orodha"
1 2
MAPISHI
Kusikiliza na Kuzungumza: Matamshi Bora: Silabi na Vitanzandimi -Sauti f/v, s/z, l/r/ na th/dh
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kueleza maana ya silabi
kutamka silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi
Kuchangamkia kukariri vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi"
ili kuimarisha matamshi yake.
"asikilize vitanza ndimi
vinavyoundwa kutokana na maneno yenye sauti lengwa vikikaririwa (k.m.shirika la reli la Rwanda larejelea shughuli zake rasmi n.k.)
vinavyotokana na sauti husika akiwa peke yake, wawiliwawili na katika vikundi"
"
vifaa vya kidijitali na kushirikiana na wenzake mitamboni kuvirekebisha
kupata vitanzandimi zaidi vyenye sauti lengwa"
"Je, unajua vitanza ndimi? Unaweza kutmaka vitanzandimi gani?"
"Chati
Michoro na picha
Mgeni mwalikwa
Vifaa vya kidijitali (k.v
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha"
"mwanfunzi Uk. 1-3
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 1-3"
Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano Kujibu maswali Maigizo Kutambua k.m. kwenye orodha
1 3
MAPISHI
Kusikiliza na "Kuzungumza: Matamshi" "Bora: Silabi na Vitanzandimi -Sauti f/v, s/z, l/r/ na th/dh
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha mawasiliano
keueleza maana ya vitanza ndimi
Kuchangamkia kukariri vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi yake.
asikilize vitanzandimi
"vinavyoundwa kutokana na
maneno yenye sauti lengwa"
"vikikaririwa (k.m.shirika la reli
la Rwanda larejelea shughuli zake rasmi n.k.)
vinavyotokana na sauti husika akiwa peke yake, wawiliwawili na katika vikundi
vifaa vya kidijitali na kushirikiana na wenzake mitamboni kuvirekebisha"
"kupata vitanzandimi zaidi
vyenye sauti lengwa"
Je, unajua vitanza ndimi? Unaweza kutmaka vitanzandimi gani?
Chati
Michoro na picha
Mgeni mwalikwa
Vifaa vya kidijitali (k.v
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 1-3
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa
Mwalimu Uk. 1-3
Kumakinikia "jinsi mwanafunzi anavyotumia" "lugha katika mawasiliano Kujibu maswali Maigizo Kutambua k.m. kwenye orodha"
1 4
MAPISHI
Kusikiliza na "Kuzungumza: Matamshi Bora: Silabi na" "Vitanzandimi -Sauti f/v, s/z, l/r/ na th/dh
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha mawasiliano
kuunda vitanzandimi vyenye maana kutokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi
Kuchangamkia kukariri vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi"
"ili kuimarisha matamshi
yake."
asikilize vitanzandimi
"vinavyoundwa kutokana na
maneno yenye sauti lengwa vikikaririwa (k.m.shirika la reli"
"la Rwanda larejelea shughuli
zake rasmi n.k.)
vitanzandimi vinavyotokana na sauti husika akiwa peke yake, wawiliwawili na katika vikundi
vifaa vya kidijitali na"
kushirikiana na wenzake mitamboni kuvirekebisha
kupata vitanzandimi zaidi
vyenye sauti lengwa
Je, unajua vitanza ndimi? Unaweza kutmaka vitanzandimi gani?
"Chati
Michoro na picha
Mgeni mwalikwa
Vifaa vya kidijitali (k.v
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 1-3
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa"
Mwalimu Uk. 1-3
Kumakinikia "jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika" "mawasiliano Kujibu maswali Maigizo Kutambua k.m. kwenye orodha"
2 1
MAPISHI
Kusoma: Kusoma kwa ufahamu: Kifungu cha Hadithi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kutambua msamiati wa suala lengwa uliotumika katika kifungu ili kuimarisha ufahamu
kusoma kifungu cha hadithi kwa kuzingatia ujumbe, matukio na wahusika
Kujenga mazoea ya usomaji bora katika maisha ya kila siku.
"Mwanafunzi:atambue msamiati wa suala
lengwa (k.v. vyakula, viungo vya kupikia, njia za kupika na vifaa vya kupikia) kwa kutumia
kadi za maneno, chati, mti maneno au kifaa cha kidijitali"
"ashiriki katika vikundi kujadili
na kutumia msamiati wa suala"
lengwa katika sentensi
Kusoma kuhusu mapishi kuna umuhimu gani? Ni hadithi gani umewahi kuisoma kuhusu mapishi?
Picha vifaa halisi
Tarakilishi
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 3-5
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa
Mwalimu Uk. 5-6
Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa Kujibu maswali k.m. katika ufahamu Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwa
2 2

2 3
MAPISHI
Kusoma: Kusoma "kwa ufahamu: Kifungu cha Hadithi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kusoma kifungu cha hadithi kwa kuzingatia ujumbe, matukio na wahusika
kuonyesha uelewa wa kifungu kwa kutoa muhtasari na kujibu maswali
kujenga mazoea ya usomaji bora katika maisha ya kila siku.
Mwanafunzi:
Asome vifungu kuhusu suala
"lengwa kwenye kitabu au kwenye tarakilishi akiwa peke yake, wawiliwawili au katika vikundi
"
kifungu alichosoma
kifungu alichosoma.
"kuhusu suala lengwa
na kujadiliana na wenzake"
kuhusu ujumbe ulioyomo
Kusoma kuhusu mapishi kuna umuhimu gani? Ni hadithi gani umewahi kuisoma kuhusu mapishi?
Picha vifaa
halisi
Tarakilishi
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 3-5
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 5-6
Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa Kujibu maswali k.m. katika ufahamu Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwa
2 4
MAPISHI
Kuandika: "Kuandika Insha ya wasifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
"
ndogo,
kutambua insha ya wasifu kwa kuzingatia mtindo na muundo wake
kuandika insha yawasifu kwa ubunifu ili kujenga maelezo yenye kutoa picha dhahiri"
c. kufurahia kutunga insha bora ili kuimarisha mazoea ya kuandika

kutambua insha ya wasifu kwa kuzingatia mtindo na muundo wake
kuandika insha yawasifu kwa ubunifu ili kujenga maelezo yenye kutoa picha dhahiri
kufurahia kutunga insha bora ili kuimarisha mazoea ya kuandika"
Mwanafunzi:atabue insha ya wasifu
kwa kurejelea vielelezo vya insha zilizoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi

ya wasifu vilivyoandikwa katika matini
mbalimbali au tarakilishi
ashirikiane na wenzake kujadili mada na muundo wa insha ya wasifu
na wenzake katika vikundi ili kubainisha na
kujadili vidokezo vifaavyo vya mada lengwa.
. Insha ya wasifu ni "gani? . Unazingatia nini unapoandika insha ya wasifu?"
"Kielelezo cha
insha ya wasifu
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 6-7
KLB Visionary Kiswahili
Mwongo wa"
Mwalimu Uk. 7-9
Kuandika "tungo mbalimbali Wanafunzi kufanyiana tathmini Potfolio Shajara Mijadala kuhusu vidokezo" vya insha
3 1
MAPISHI
"Kuandika: Kuandika" Insha ya wasifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kutambua insha ya wasifu kwa kuzingatia mtindo na muundo wake
kuandika insha yawasifu kwa ubunifu ili kujenga maelezo yenye kutoa picha dhahiri
kufurahia kutunga insha bora ili kuimarisha mazoea ya kuandika
"aandike insha ya wasifu
isiyopungua maneno 150"
"inayohusu mada lengwa (k.v. Mpishi nimpendaye) kwa kuzingatia, anwani, mpangilio mzuri wa mawazo,
hati safi, kanuni za kisarufi (k.v uakifishaji mwafaka na tahajia) na kwa lugha ya kiubunifu inayojumuisha methali, tashbihi na nahau alizojifunza awali."
mtandaoni na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili
kuisoma na kuitathmini
aliyoandika ili kumpa motisha kuandika zaidi
"Insha ya wasifu ni gani?" Unazingatia nini unapoandika insha ya wasifu?
Kielelezo cha insha ya wasifu
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 6-7
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 7-9
Kuandika tungo mbalimbali "Wanafunzi kufanyiana tathmini Potfolio Shajara Mijadala kuhusu vidokezo vya insha"
3 2
MAPISHI
Sarufi: Aina za Nomino: Kutambua Nomino za Pekee
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kutambua nomino za pekee kwenye sentensi au vifungu vya maneno
Kueleza maana ya nomino
Kuchangamkia kutumia nomino za pekee katika utungaji wa sentensi na kujaza mapengo kwenye vifungu.
"Mwanafunzi:
"atambue nomino za pekee
"(k.v. Kisumu, Mei, Rabuka, Alhamisi na Yohana) kwenye tarakilishi, kapu maneno,
mti maneno, kadi maneno au"
chati
nomino za pekee kama vile za majina ya mji, majina ya mito,
majina ya watu na majina ya miezi
"Nomino za pekee zinahusu nini?" . Ni nomino zipi za pekee unazozijua?
"Chati
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali (k.v
Kadi za nomino
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 8-9
KLB Visionary Kiswahili
Mwongo wa"
Mwalimu Uk. 10-11
Kutambua k.m. kwenye orodha Kuambatanisha maneno lengwa Kujaza mapengo Kujaza fumbo maneno Kazi mradi
3 3
MAPISHI
Sarufi: Aina za "Nomino: Kutunga sentensi"
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kutambua nomino za pekee kwenye sentensi au vifungu vya maneno
kutunga sentensi kwa kutumia nomino za pekee ili kukuza matumizi ya lugha sahihi
Kuchangamkia kutumia nomino za pekee katika utungaji wa sentensi na kujaza mapengo kwenye vifungu.
atambue nomino za pekee
katika sentensi kwenye vitabu, tarakilishi, chati kwa kuzipigia mstari au kukolezea rangi
nomino za pekee
nomino za pekee akiwa
peke yake, wawiliwawili au vikundi
Nomino za pekee "zinahusu nini? Ni nomino zipi za pekee unazozijua?"
Chati
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali (k.v
Kadi za nomino
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 8-9
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa
Mwalimu Uk. 10-11
Kutambua k.m. kwenye orodha Kuambatanisha maneno lengwa Kujaza mapengo Kujaza fumbo maneno Kazi mradi
3 4
MAPISHI
Aina za Nomino: Kutambua Nomino za kawaida
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kutambua nomino za kawaida kwenye sentensi au vifungu vya maneno
kueleza maana ya nomino za kawaida
kufurahia kutumia nomino za kawaida katika utungaji wa sentensi na kujaza mapengo kwenye vifungu.
Mwanafunzi:amtabue nomino za kawaida
"kwenye kadi au kapu
la maneno (k.v.mtu, mtoto, darasa, ukuta, mwalimu, meza na kiti)"
nomino za kawaida
katika sentensi kwa kuzipigia mistari au kuzikolezea rangi kwenye tarakilishi
Je, ni vitu gani vipatikanavyo katika mazingira yako? Ni vitu gani vinavyotumiwa katika mapishi mbalimbali?
Chati
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali (k.v
Kadi za nomino
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 10-11
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa
Mwalimu Uk. 12-14
Kutambua k.m. kwenye orodha Kuambatanisha maneno lengwa Kujaza mapengo Kujaza fumbo maneno Kazi mradi
4 1
HUDUMA YA KWANZA
Kusikiliza na kuzungumza: Maamkuzi na Maagano- kutambua maamkuzi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kutambua aina mbalimbali za maamkuzi na maagano katika mawasiliano
kuelza njia wanazotumia kuagana
Kuchangamkia maamkuzi na maagano katika mahusiano.
Mwanafunzi:
shikamoo, Habari za utokako? Habari za adhuhuri? Habari za jioni?)kutoka kwenye chati, ubao au vifaa vya kidijitali, michoro na picha
mwenzake au katika vikundi maamkuzi yanayolengwa na
matumizi yake
Je, watu husalimiana vipi katika jamii? Je, watu huagana vipi katika jamii?
Video
Picha
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 13-18
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 15-18
Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano Kujibu maswali Maigizo Kutambua k.m. kwenye orodha
4 2

4 3
HUDUMA YA KWANZA
Kusikiliza na "kuzungumza: Maamkuzi na Maagano
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kueleza maamkuzi na maagano yanayotumika katika miktadha mbalimbali
kutumia aina mbalimbali za maamkuzi na maagano katika mawasiliano
Kuchangamkia maamkuzi na maagano katika mahusiano.
atambue maagano(k.v
"salama, safari njema,
alamsiki) kutoka kwenye chati, ubao au vifaa vya kidijitali,"
"michoro na picha
kuigiza maamkuzi na maagano lengwa
na kuagana katika vifaa vya kidijitali
e maamkuzi na"
maagano na majibu sahihi
Je, watu husalimiana vipi katika jamii? Je, watu huagana vipi katika jamii?
Video
Picha
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 13-18
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 15-18
Kumakinikia "jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika" "mawasiliano Kujibu maswali Maigizo Kutambua k.m. kwenye orodha"
4 4
HUDUMA YA KWANZA
Kusoma: "Kusoma kwa Kina: Matumizi ya Kamusi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

a. kutambua mpangilio wa maneno katika kamusi ili kupata maneno lengwa kwa urahisi"
"kueleza sababu za kutumia kamusi
Kuchangamkia kutumia kamusi katika kukuza msamiati wake."
Mwanafunzi:
Apange maneno aliyopewa
"kwenye chati, kapu maneno au
mti maneno kialfabeti"
Achague neno kutoka kapu
"maneno au mti maneno ili
kulitafuta kwenye kamusi"
Atumie amusi kutafuta maana za maneno mbalimbali akiwa
"peke yake, wawiliwawiliau
katika vikundi maana za maneno"
Unatafutaje maana "ya maneno kwenye kamusi? Kwa nini tunatumia" "kamusi? 3. Je, ni habari zipi" tunaweza kupata katika kamusi?
"Kamusi ya maeno
KLB Visionary
Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 18-20"
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 19-20
Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa "Kujibu maswali k.m. katika ufahamu Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwa"
5 1
HUDUMA YA KWANZA
"Kusoma: Kusoma kwa Kina:" Matumizi ya Kamusi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kutambua mpangilio wa maneno katika kamusi ili kupata maneno lengwa kwa urahisi
kutumia kamusi ipasavyo kutafuta maana za maneno asiyoyajua yaliyo katika matini teule ili kukuza msamiati wake
Kuchangamkia kutumia
kamusi katika kukuza msamiati wake.
"Mwanafunzi:
Apange maneno aliyopewa kwenye chati, kapu maneno au"
"mti maneno kialfabeti
neno kutoka kapu
maneno au mti maneno ili kulitafuta kwenye kamusi"
amusi kutafuta maana za maneno mbalimbali akiwa peke yake, wawiliwawili au katika vikundi
maana za maneno
"Unatafutaje maana ya maneno kwenye kamusi?" "Kwa nini tunatumia kamusi? Je, ni habari zipi" tunaweza kupata katika kamusi?
Kamusi ya maeno
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 18-20
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 19-20
Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa Kujibu maswali k.m. katika ufahamu Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwa
5 2
HUDUMA YA KWANZA
Kuandika: Kutambua Insha za masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kutambua insha ya masimulizi kwa kuzingatia ujumbe, mtindo na muundo
kuandika insha ya masimulizi kwa kufuata kanuni zifaazo
kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya masimulizi ili kukuza ubunifu wake
Mwanafunzi:
Atambue insha ya masimulizi
"kwa kurejelea vielelezo vya
insha zilizoandikwa kwenye"
matini mbalimbali au tarakilishi
ashiriki na wenzake kujadili
"mada ya insha na muundo wa
insha ya masimulizi
maneno 150 inayosimulia kisa cha tukio linalohusiana na huduma ya kwanza kwa"
"kuzingatia anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi,
tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka na kwa"
lugha ya kiubunifu.
Je, unazingatia nini ili kuandika insha nzuri ya masimulizi?
Kielelezo cha insha ya masimulizi
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 20-23
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 21-23
"Kuandika tungo mbalimbali Wanafunzi kufanyiana" "tathmini Potfolio Shajara Mijadala kuhusu vidokezo vya insha"
5 3
HUDUMA YA KWANZA
Kuandika: Kuandika Insha za masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kutambua insha ya masimulizi kwa kuzingatia ujumbe, mtindo na muundo
kuandika insha ya masimulizi kwa kufuata kanuni zifaazo
kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya masimulizi ili kukuza ubunifu wake
insha ya masimulizi mtandaoni na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili kuisoma na kuitathmini
wenzake insha aliyoandika ili kuitathmini
Je, unazingatia nini ili kuandika insha nzuri ya masimulizi?
Kielelezo cha insha ya masimulizi
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 20-23
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk.
21-23
"Kuandika tungo mbalimbali Wanafunzi kufanyiana" tathmini c) Potfolio d) Shajara e) Mijadala kuhusu vidokezo vya insha
5 4
Sarufi
Aina za Nomino: Kutambua Nomino za wingi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kutambua nomino za wingi katika matini mbalimbali
kueleza maana ya nomino za wingi
kufurahia kutumia nomino za wingi katika mawasiliano
Mwanafunzi
"Atambue nomino za wingi
(k.m chumvi, sukari, maji, uji,"
mafuta na manukato) kutoka
"kwenye kapu la maneno, chati,
vitabu na vifaa vya
kidijitali akiwa peke yake, wawiliwawili au katika"
kikundi
"katika sentensi kwa
kufanya mazoezi daftarini"
"Unajua majina gani ambayo yanayohusu vitu Vinavyopatikana" katika wingi tu?
Vifaa halisi
Picha
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 23-25
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 24-26
Kutambua k.m. kwenye orodha Kuambatanisha maneno lengwa Kujaza mapengo Kujaza fumbo maneno Kazi mradi
6 1
Sarufi
"Aina za Nomino: Kutumia Nomino" za wingi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kutambua nomino za wingi katika matini mbalimbali
kutumia nomino za wingi katika sentensi
kufurahia kutumia nomino za wingi katika mawasiliano
"Mwanafunzi atambue nomino za wingi
"kwa kuzipigia mistari
au kuzikolezea rangi kwenye matini"
"kujaza mapengo kwenye sentensi
omino za wingi katika sentensi kwa"
kufanya mazoezi daftarini
"Unajua majina gani ambayo" yanayohusu vitu Vinavyopatikana katika wingi tu?
Vifaa halisi
Picha
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 23-25
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa
Mwalimu Uk. 24-26
Kutambua k.m. kwenye orodha Kuambatanisha maneno lengwa Kujaza mapengo Kujaza fumbo maneno Kazi mradi
6 2

6 3
Sarufi
Aina za Nomino: Kutambua Nomino za vitenzi-jina
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
"
a. kutambua nomino za vitenzi- jina kwenye"
"kifungu cha maneno au kwenye sentensi
kueleza maana ya nomino za vitenzi-jina
Kufurahia umuhimu wa nomino za vitenzi-jina"
"Mwanafunzi:
Atambue vitenzi-jina kutoka
kwenye kapu la maneno,"
vyombo vya kijiditali (k.v.
kusoma, kucheka, kula, kulia,
"kuandika and kadhalika.)
Atambue vitenzi-jina akiwa"
"na wenzake kwa kuvipigia mistari au kuzikolezea rangi kwenye matini n.k.
Atumie nomino za vitenzijina kwa kujaza mapengo kwenye
sentensi"
Atunge sentensi au vifungu
"vya maneno kwa kutumia nomino za vitenzi-jina akiwa
peke yake, wawiliwawili au katika vikudi."
Ni mambo gani wewe hufanya ukiwa nyumbani? Unapenda kufanyamambo gani darasani?
"Vifaa halisi
Picha
KLB Visionary
Kiswahili Kitabu cha"
"mwanfunzi Uk. 26-27
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 26-29"
"Kutambua k.m. kwenye orodha" "Kuambatanisha maneno lengwa Kujaza mapengo Kujaza fumbo maneno Kazi mradi"
6 4
Sarufi
Aina za Nomino: Kutumia Nomino za vitenzi-jina
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kutambua nomino za vitenzi- jina kwenye kifungu cha maneno au kwenye sentensi
kutunga sentensi au vifungu vya maneno akitumia nomino za vitenzijina ili kukuza matumizi bora ya lugha
Kufurahia kutumia nomino za vitenzijina katika utungaji wa sentensi na kujaza mapengo.
Mwanafunzi:
vitenzi-jina kutoka kwenye kapu la maneno, vyombo vya kijiditali (k.v. kusoma, kucheka, kula, kulia, kuandika and kadhalika.)
Atambue vitenzi-jina akiwa na wenzake kwa kuvipigia mistari au kuzikolezea rangi kwenye matini n.k.
umie nomino za vitenzijina kwa kujaza mapengo kwenye sentensi
sentensi au vifungu vya maneno kwa kutumia nomino za vitenzi-jina akiwa peke yake, wawiliwawili au katika vikudi.
Ni mambo gani wewe hufanya ukiwa nyumbani? Unapenda kufanyamambo gani darasani?
Vifaa halisi
Picha
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 26-27
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 26-29
Kutambua k.m. kwenye orodha Kuambatanisha maneno lengwa Kujaza mapengo Kujaza fumbo maneno Kazi mradi
7 1
MAPAM BO
Kusikiliza na Kuzungumza: Matamshi Bora: Kutambua Vitendawili vyenye sauti zinazokaribiana
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kutambua vitendawili vya suala lengwa vyenye sauti zinazokaribiana kwenye orodha
kutamka maneno yenye
sauti zinazokaribiana katika vitendawili lengwa"
"kifungu cha maneno au kwenye sentensi
kueleza maana ya nomino za vitenzi-jina
Kufurahia umuhimu wa nomino za vitenzi-jina"
Mwanafunzi:
atambue vitendawili vya
"mapambo vyenye maneno ya
sauti f/v, s/z, l/r, th/dh
katika chati, ubao au vifaa vya kidijitali (k.m Wafaa lakini wavaliwa bila matumizi maalum (Mtandio),"
kusoma, kucheka, kula, kulia,
"kuandika and kadhalika.)
Atambue vitenzi-jina akiwa"
"na wenzake kwa kuvipigia mistari au kuzikolezea rangi kwenye matini n.k.
Atumie nomino za vitenzijina kwa kujaza mapengo kwenye
sentensi"
Atunge sentensi au vifungu
"vya maneno kwa kutumia nomino za vitenzi-jina akiwa
peke yake, wawiliwawili au katika vikudi."
"Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze: kutambua vitendawili vya suala lengwa vyenye sauti zinazokaribiana kwenye orodha kutamka maneno yenye sauti zinazokaribiana katika vitendawili lengwa" "kifungu cha maneno au kwenye sentensi kueleza maana ya nomino za vitenzi-jina Kufurahia umuhimu wa nomino za vitenzi-jina"
Tapurekoda
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 29-31
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa
Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano Kujibu maswali Maigizo
7 2
MAPAM BO
Aina za Nomino: Kutumia Nomino za vitenzi-jina
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kutambua nomino za vitenzi- jina kwenye kifungu cha maneno au kwenye sentensi
kutunga sentensi au vifungu vya maneno akitumia nomino za vitenzijina ili kukuza matumizi bora ya lugha
Kufurahia kutumia nomino za vitenzijina katika utungaji wa sentensi na kujaza mapengo.
Mwanafunzi:atambue
vitenzi-jina kutoka kwenye kapu la maneno, vyombo vya kijiditali (k.v. kusoma, kucheka, kula, kulia, kuandika and kadhalika.)
Atambue vitenzi-jina akiwa na wenzake kwa kuvipigia mistari au kuzikolezea rangi kwenye matini n.k.
umie nomino za vitenzijina kwa kujaza mapengo kwenye sentensi
sentensi au vifungu vya maneno kwa kutumia nomino za vitenzi-jina akiwa peke yake, wawiliwawili au katika vikudi.
Ni mambo gani wewe hufanya ukiwa nyumbani? Unapenda kufanyamambo gani darasani?
Vifaa halisi
Picha
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 26-27
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 26-29
Kutambua k.m. kwenye orodha Kuambatanisha maneno lengwa Kujaza mapengo Kujaza fumbo maneno Kazi mradi
7 3
MAPAM BO
Kusikiliza na Kuzungumza: Matamshi Bora: Kutambua Vitendawili vyenye sauti zinazokaribiana
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kutambua vitendawili vya suala lengwa vyenye sauti zinazokaribiana kwenye orodha
kutamka maneno yenye
sauti zinazokaribiana katika vitendawili lengwa"
"c. kuchangamkia matumizi ya vitendawili vyenye sauti zinazokaribiana kama njia ya kujenga utamkaji bora
wa maneno"
Mwanafunzi:
atambue vitendawili vya
"mapambo vyenye maneno ya
sauti f/v, s/z, l/r, th/dh
katika chati, ubao au vifaa vya kidijitali (k.m Wafaa lakini wavaliwa bila matumizi maalum (Mtandio),"
Ananitazama, hasemi hasikii (Picha), Lapendeza rangi lakini halikai (Ua). Dhahabu yangu ya thamani haisimami (Mkufu.)
Je, ni vitendawili gani unavyovijua?
"Tapurekoda
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 29-31
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa"
Mwalimu Uk. 31-33
"Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano Kujibu maswali Maigizo" "d) Kutambua k.m. kwenye orodha Mijadala Mazungumzo"
7 4
MAPAM BO
Kusikiliza na Kuzungumza: Matamshi Bora: Kutega na kutegua vitendawili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kutamka maneno yenye sauti zinazokaribiana katika vitendawili lengwa
kutega na kutegua vitendawili vyenye sauti zinazokaribiana ili kujenga matamshi bora
kuchangamkia matumizi ya vitendawili vyenye sauti zinazokaribiana kama njia ya kujenga utamkaji bora
wa maneno
ashiriki katika kutega na
kutegua vitendawili vyenye sauti zinazokaribiana
wakiwa wawiliwawili au katika vikundi
ilize vitendawili vikitegwa na kuteguliwa kupitia vyombo vya kidijitali.
Je, ni vitendawili gani unavyovijua?
Tapurekoda
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 29-31
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 31-33
Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano Kujibu maswali Maigizo Kutambua k.m. kwenye orodha Mijadala Mazungumzo
8 1
Kusoma
Kusoma kwa ufahamu: Kifungu cha hadithi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kutambua msamiati wa mapambo uliotumiwa katika kifungu
kuelezea maana za msamiati mbalimbali wa mapambo
Kuonea fahari kusoma hadithi kuhusu mapambo na kujibu maswali.
Mwanafunzi:atambue msamiati wa
mapambo (k.v vipuli, pete, bangili na ushanga) kwa kutazama picha na vifaa halisi.
msamiati wa mapambo na maana yake mtandaoni
yanapovaliwa.
Kwa nini ni muhimu kusoma kuhusu mapambo?
Vifaa halisi
Picha
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 32-35
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 34-35
Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa Kujibu maswali k.m. katika ufahamu Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwa
8 2

8 3
Kusoma
Kusoma kwa ufahamu: Kifungu cha hadithi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kusoma kifungu cha hadithi ili kupata ujumbe
kuonyesha uelewa wa hadithi kwa kutoa muhtasari na kujibu maswali
Kuonea fahari kusoma
hadithi kuhusu mapambo na kujibu maswali.
"kutumia msamiati husika, akiwa peke yake kisha kwenye wawiliwawili au kikundi.
na wenzake kwa
zamu ili kuelewa ujumbe kwa zamu
aliyoisoma"
"
hadithi."
Kwa nini ni muhimu kusoma kuhusu mapambo?
"Vifaa halisi
Picha
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 32-35
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa"
Mwalimu Uk. 34-35
"Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa Kujibu maswali k.m. katika ufahamu Kutoa muhtasari wa" "ufahamu au matini yaliyosomwa"
8 4
Kuandi ka
Kuandika kwa Tarakilishi: Uchapaji
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kutambua sehemu mbalimbali za tarakilishi zinazotumika kupigia chapa
kueleza maana ya tarakilishi
Kujenga mazoea ya kutumia tarakilishi kuandika na kuhifadhi maandishi.
Mwanafunzi :
"Atambue sehemu mbalimbaliza
tarakilishi za kupigia chapa."
"(k.v. bodidota, kipanya,
kiwambo/mulishi n.k.)"
Atumie tarakilishi kuandika
"maneno au sentensi zinazolenga msamiati wa mapambo k.v. herini, vipuli, pete, kipini, bangili, shanga, chapuo,
taji, kugesi na hina
atumie tarakilishi kuandika kifungu kinahusisha mapambo mbalimbali"
Je, ni sehemu zipi za tarakilishi unazozijua? Tarakilishi hutuwezesha kufanya kazi gani? Ni hatua gani zinazohusika tunapotumia tarakilishi
Kielelezo cha insha
Tarakilishi
Mchoro
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 35-38
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 36-38
Kuandika tungo mbalimbali Wanafunzi kufanyiana tathmini Potfolio Shajara Mijadala kuhusu vidokezo vya insha
9 1
Kuandi ka
Kuandika kwa Tarakilishi: Uchapaji
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kutambua sehemu mbalimbali za tarakilishi zinazotumika kupigia chapa
kutumia tarakilishi ili kujenga maarifa ya kidijitali
Kujenga mazoea ya kutumia tarakilishi kuandika na kuhifadhi maandishi.
kwenye faili ya tarakilishi mara kwa mara
e tarakilishi akishirikiana na wenzake katika kikundi
mwalimu ili kuitathmini
ufanya mazoezi ya kuandika kwa kutumia tarakilishi akisaidiwa na mzazi/mlezi wake
Je, ni sehemu zipi za tarakilishi unazozijua? Tarakilishi hutuwezesha kufanya kazi gani? Ni hatua gani zinazohusika tunapotumia tarakilishi
Kielelezo cha insha
Tarakilishi
Mchoro
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 35-38
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa
Mwalimu Uk. 36-38
Kuandika tungo mbalimbali Wanafunzi kufanyiana tathmini Potfolio Shajara Mijadala kuhusu vidokezo vya insha
9 2
Sarufi
Aina za Nomino: Nomino za Makundi- kutambua nomino za makundi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua nomino za makundi katika sentensi ili kuzibainisha
kuelezea nomino za makundi kwa kutoa mifano mwafaka kutumia nomino
za makundi kwa usahihi katika sentensi"
c. kueleza umuhimu wa nomino za makundi
Mwanafunzi:
"Atambue nomino za makundi
(k. v mlolongo wa magari, tita"
"la kuni, mkungu wa ndizi, safu
ya siafu, korija la maua, bunda la noti) katika chati, kadi maneno, ubao, vifaa vya kidijitalin.k"
Ajadili katika kikundi au wawiliwawili maana ya nomino za makundi huko akitoa mifano.
"Atumie nomino za makundi
katika sentensi na kuziandika"
daftarini mwake.
Atumie nomino za makundi
"kutunga sentensi mtandaoni
akiwa na wenzake."
Je, unajua maneno gani yanayotaja makundi ya watu na vitu? Je, nomino za makundi hutumiwa vipi?
"Kadi za maneno za makundi
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 38-40
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa"
Mwalimu Uk. 39-40
"Kutambua k.m. kwenye orodha Kuambatanisha maneno lengwa Kujaza mapengo" "Kujaza fumbo maneno Kazi mradi"
9 3
Sarufi
Aina za Nomino: Nomino za Makundi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Keueleza maana ya nomino za makundi
kuelezea nomino za makundi kwa kutoa mifano mwafaka kutumia nomino za makundi kwa usahihi katika sentensi
Kuonea fahari matumizi ya nomino za makundi katika miktadha mbalimbali.
Mwanafunzi:
mino za makundi (k. v mlolongo wa magari, tita la kuni, mkungu wa ndizi, safu ya siafu, korija la maua, bunda la noti) katika chati, kadi maneno, ubao, vifaa vya kidijitalin.k
kikundi au wawiliwawili maana ya nomino za makundi huko akitoa mifano.
za makundi katika sentensi na kuziandika daftarini mwake.
no za makundi
kutunga sentensi mtandaoni akiwa na wenzake.
Je, unajua maneno gani yanayotaja makundi ya watu na vitu? Je, nomino za makundi hutumiwa vipi?
Kadi za maneno za makundi
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 38-40
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 39-40
Kutambua k.m. kwenye orodha Kuambatanisha maneno lengwa Kujaza mapengo Kujaza fumbo maneno Kazi mradi
9 4
Sarufi
Aina za Nomino: Nomino Ambata
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua nomino ambata katika matini ili kuzitofautisha na aina nyingine za nomino
kutumia nomino ambata kwa usahihi katika sentensi ili kuimarisha mawasiliano
kuonea fahari matumizi ya nomino ambata katika mawasiliano
Mwanafunzi:
"Atambue nomino ambata
(k.v askarikanzu, mbwamwitu,"
"mwanasiasa na mwananchi) kwa kutumia kadi maneno, kapu maneno, chati au
vifaa vya kidijitali akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi
ajadili katika kikundi au wawiliwawili maana ya nomino ambata huko akitoa mifano."
Je, unajua maneno yapi yanayounganishwa kuunda neno moja?
Kadi za maneno za makundi
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 41-43
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 41-42
Kutambua k.m. kwenye orodha Kuambatanisha maneno lengwa Kujaza mapengo e) Kazi mradi
10 1
Sarufi
"Aina za Nomino: Nomino Ambata
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua nomino ambata katika matini ili kuzitofautisha na aina nyingine za nomino
kutumia nomino ambata kwa usahihi katika sentensi ili kuimarisha mawasiliano
kuonea fahari matumizi ya
nomino ambata katika mawasiliano.
"atumie nomino ambata
katika sentensi na kuziandika katika daftari lake."
"nomino ambata kutunga sentensi mtandaoni akishirikiana na wenzake.
kupata mifano zaidi ya nomino ambata na kuziandika katika daftari lake"
. Je, unajua maneno yapi yanayounganishwa kuunda neno moja?
Kadi za maneno za makundi
"KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 41-43
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 41-42"
"Kutambua k.m. kwenye orodha" Kuambatanisha maneno lengwa Kujaza mapengo Kazi mradi"
10 2

10 3
Sarufi
Aina za Nomino: Nomino za dhahania
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua nomino za dhahania katika matini mbalimbali
kuelezea nomino za dhahania kwa kutoa mifano mwafaka
Kuonea fahari matumizi ya nomino za dhahania katika mawasiliano.

Mwanafunzi:
"Atamue nomino za dhahania
(k.v upendo, uhodari,ukweli)"
"kwa kutumia kadi maneno, mti maneno, chati au vifaa vya
kidijitali"
Ajadili katika kikundi au
"wawiliwawili maana ya nomino za dhahania huko akitoa mifano.
katika sentensi na
kuziandika sentensi hizo daftarini mwake"
atumie nomino za dhahania
"kutunga sentensi mtandaoni
akishirikiana na wenzake."
Je, unajua maneno yapi yanayotaja vitu ambavyo haviwezi kushikwa au kuonekana kwa macho?
Kadi za maneno za makundi
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 43-44
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 43-44
Kutambua k.m. kwenye orodha Kuambatanisha maneno lengwa Kujaza mapengo e) Kazi mradi
10 4
Sarufi
Aina za Nomino: Nomino za dhahania
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kuelezea nomino za dhahania kwa kutoa mifano mwafaka
kutumia nomino za dhahania kwa usahihi katika sentensi
Kuonea fahari matumizi ya nomino za dhahania katika mawasiliano.
"Mwanafunzi:atumie
nomino za dhahania (k.v upendo, uhodari, ukweli) kwa kutumia kadi maneno, mti maneno, chati au vifaa vya kidijitali
kundi au wawiliwawili maana ya nomino za dhahania huko akitoa mifano.
katika sentensi na
kuziandika sentensi hizo daftarini mwake"
"za dhahania
kutunga sentensi mtandaoni akishirikiana na wenzake."
Je, unajua maneno yapi yanayotaja vitu ambavyo haviwezi kushikwa au kuonekana kwa macho?
Kadi za maneno za makundi
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 43-44
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 43-44
Kutambua k.m. kwenye orodha Kuambatanisha maneno lengwa Kujaza mapengo e) Kazi mradi
11 1
Sarufi
Uakifishi: -Herufi kubwa -koma (,) -kikomo (.) -kiulizi (?)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kutambua herufi kubwa, alama ya koma, kikomo na kiulizi katika maandishi
kutumia herufi kubwa, koma, kikomo na kiulizi ifaavyo katika maaandishi
kufurahia matumizi ya herufi kubwa, koma, kikomo na kiulizi katika maaandishi
"Mwanafunzi:atambue herufi kubwa ,
koma, kikomo na kiulizi katika maandishi"
"ashiriki katika vikundi
kuakifisha sentensi akitumia"
"herufi kubwa, koma, kikomo na kiulizi (baadhi ya sentensi ziangazie suala lengwa)
herufi kubwa, koma, kikomo na kiulizi ifaavyo andike sentensi zenye herufi
kubwa, koma, kikomo nakiulizi akitumia kifaa cha
kidijitali."
Kwa nini alama za kuakifisha hutumiwa katika maandishi?
Kadi za maneno za makundi
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 44-47
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 45-47
Kutambua k.m. kwenye orodha Kuambatanisha maneno lengwa Kujaza mapengo e) Kazi mradi
11 2
Sarufi
Uakifishi: -Herufi kubwa -koma (,) -kikomo (.) -kiulizi (?) Kutumia viakifishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua herufi kubwa, alama ya koma, kikomo na kiulizi katika maandishi
kutumia herufi kubwa, koma, kikomo na kiulizi ifaavyo katika maaandishi
kufurahia matumizi ya herufi kubwa, koma, kikomo na kiulizi katika maaandishi
Mwanafunzi:atambue herufi kubwa
koma, kikomo na kiulizi katika maandishi
ashiriki katika vikundi kuakifisha sentensi akitumia herufi kubwa, koma, kikomo na kiulizi (baadhi ya sentensi ziangazie suala lengwa)
herufi kubwa, koma, kikomo na kiulizi ifaavyo
andike sentensi zenye herufi kubwa, koma, kikomo na kiulizi akitumia kifaa cha kidijitali.
Kwa nini alama za kuakifisha hutumiwa katika maandishi?
Kadi za maneno za makundi
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 44-47
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 45-47
Kutambua k.m. kwenye orodha Kuambatanisha maneno lengwa Kujaza mapengo e) Kazi mradi
11 3
SAA NA MAJIRA
Kusikiliza na Kuzungumza: Heshima, adabu na vyeo: Maneno ya Heshima
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua maneno ya heshima yanayohusiana na udugu yanayotumiwa katika
mawasiliano"
"kutumia maneno ya udugu kwa usahihi katika mazungumzo yake ya kila siku
Kuthamini kutumia maneno ya udugu katika mawasiliano ya kila siku."
Mwanafunzi:
"Atambue maneno ya udugu
(k.v. bwana, bibi, ndugu, binti,"
"bin, mama,
mamamkubwa/mdogo, mjomba) kwenye ubao, mti"
maneno, tarakilishi au kapu
"maneno.
Aeleze maana ya maneno"
"lengwa kama yanavyotumiwa
katika mahusiano ya kila siku kati ya watu."
Unatumia neno lipi la heshima kumrejelea mwalimu wako wa kike au wa kiume?
"Picha
Kadi ya maneno za udugu'
KLB Visionary
Kiswahili"
"Kitabu cha mwanfunzi Uk. 49-51
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa
Mwalimu Uk. 49-51"
Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano "Kujibu maswali Maigizo Kutambua k.m. kwenye orodha"
11 4
SAA NA MAJIRA
Kusikiliza na Kuzungumza: Heshima, adabu na vyeo: Maneno ya Heshima
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua maneno ya heshima yanayohusiana na udugu yanayotumiwa katika mawasiliano
kutumia maneno ya udugu kwa usahihi katika mazungumzo yake ya kila siku
Kuthamini kutumia maneno ya udugu katika mawasiliano ya kila siku.
Mwanafunzi:
Atunge sentensi kwa kutumia maneno lengwa kwa usahihi.
watu wakitumia maneno ya udugu kwenye tarakilishi na video.
neno ya udugu akishirikiana na wenzake darasani.
o mafupi akiwa na wenzake huku akitumia msamiati wa udugu.
Unatumia neno lipi la heshima kumrejelea mwalimu wako wa kike au wa kiume?
Picha
Kadi ya maneno za udugu'
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 49-51
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa
Mwalimu Uk. 49-51
Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano Kujibu maswali Maigizo Kutambua k.m. kwenye orodha
12 1
Kusoma
Kusoma kwa Mapana: Matini ya kidijitali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua na kuzingatia hatua za kiusalama katika matumizi ya vifaa vya kidijitali
kusakura matini kwenye tovuti salama ili kupata vifungu vya kusoma vyenye suala lengwa
Kuchangamkia matumizi ya vifaa vya kidijitali katika kutafuta na kusoma ujumbe ili kuimarisha maarifa yake.
Mwanafunzi:
"Azingatie hatua za kiusalama
katika kutumia vifaa vya"
"kidijitali k.v. kufungua
mitandao ifaayo."
Atambue mitandao salama
"yenye matini inayohusu
suala lengwa (saa na majira) na inayoafiki kiwango chake
habari kwa mwalimu,
mzazi au mlezi wake endapo atapata ujumbe kutoka
kwa watu asiowajua mtandaoni na kutowasiliana nao"
Ni njia zipi unazoweza kupata matini za kusoma katika vifaa vya kiteknolojia?
Tarakilishi/vi pakatalishi
Kinasasauti
Rununu
projekta
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 52-54
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 51-53
Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa Kujibu maswali k.m. katika ufahamu Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwa
12 2

12 3
Kusoma
Kusoma kwa Mapana: Matini ya kidijitali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua msamiati wa suala lengwa katika matini ya kidijitali -kusakura matini kwenye tovuti salama ili kupata vifungu vya kusoma vyenye suala lengwa
Kuchangamkia matumizi ya vifaa vya kidijitali katika kutafuta na kusoma ujumbe ili kuimarisha maarifa yake
ndogo,
kutambua msamiati wa suala lengwa katika matini ya kidijitali"
kusakura matini kwenye tovuti salama ili kupata vifungu vya kusoma vyenye suala lengwa
Kuchangamkia matumizi ya vifaa vya kidijitali katika kutafuta na kusoma ujumbe ili kuimarisha maarifa yake.
"asome matini kwa kutumia
vifaa vya kidijitali yanayojumuisha msamiati wa saa (k.v. kasoro dakika
Ni njia zipi unazoweza kupata matini za kusoma katika vifaa vya kiteknolojia?
"Tarakilishi/vi pakatalishi
Kinasasauti
Rununu
projekta"
"KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 52-54
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 51-53"
Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa "Kujibu maswali k.m. katika ufahamu Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwa Kukariri na kuimba mashairi Kusoma kwa sauti"
12 4
Kuandika
Aina za Insha: Baruapepe
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kutambua baruapepe kwa kuzingatia muundo wake
kuandika baruapepe kwa kuzingatia ujumbe, muundo na mtindo
Kuchangamkia uandishi wa baruapepe katika mawasiliano.
"Mwanafunzi:atambue muundo wa
baruapepe kwa kurejelea kielelezo chake kilichochapishwa au kwenye
tarakilishi"
"ajadili sehemu mbalimbaliza
baruapepe kama vile"
"anwanipepe ya mtumaji (k.m.
tina18@gmail.com), anwanipepe ya mpokeaji, mada ya baruapepe, mtajo, mwili, hitimisho na
jina la mwandishi/mtumaji."
Unazingatia mambo gani unapoandika baruapepe? Ni mambo gani unayoweza kumweleza rafiki yako katika baruapepe?
Kielelezo cha insha
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 54-56
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 54-55
Kuandika tungo mbalimbali Wanafunzi kufanyiana tathmini Potfolio Shajara Mijadala kuhusu vidokezo vya insha

Your Name Comes Here

Download

Feedback