If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
2 | 1 |
sarufi
|
Vielezi vya wakati
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza maana ya vielezi vya wakati -Kutambua vielezi vya wakati katika matini mbalimbali kwa kupiga mstari. Kuchangamkia matumizi ya vielezi vya wakati kwa Kutunga sentensi na vifungu vifupi ili kuthibitisha uelewa. |
-maana ya vielezi vya wakati kwa kusakura mtandaoni au vitabuni
-kutambua vielezi vya wakati kwa Kutaja na kuandika katika matini mbalimbali -Achangamkie kutumia vielezi vya wakati ipasavyo kwa Kutunga sentensi na kujaza pengo ili kuthibitisha uelewa |
Je vielezi vya wakati hutumika vipi?
|
Kisw sahili gredi ya 9 ukurasa 70-71
matini ya mwalimu -vifaa vya kidijitali -michoro -kapu maneno |
-kueleza
-kutafiti
-kutambua
-Kutaja
-Kutunga sentensi
-kupigia mstari
-Kutathmini
|
|
2 | 2 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Kusikiliza kwa kutathmini
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- aeleza maana ya kusikiliza kwa Kutathmini kwa kutafiti mtandaoni au vitabuni. - Kujadili vipengele vya kizinga katika kusikiliza kwa Kutathmini. -kusikiliza kifungu atakachosomewa na mwalimu akizingatia vipengele muhimu kusikiliza kwa Kutathmini -Achangamkie kusikiliza kwa Kutathmini habari yoyote ya kujichagulia mtandaoni amsomee mwenzake ili amtolee maoni |
-kusakura mtandaoni au vitabuni ili kueleza maana ya Kusikiliza kwa Kutathmini
-Kujadili vipengele vya kuzingatia katika Kusikiliza na Kutathmini. -Kusikiliza kwa makini kifungu atakachosomewa na mwalimu ili kutoa vipengele vinavyostahili kwa matini hiyo. -kusakura mtandaoni ili kutoa habari atakayosomea mwenzake ili amtolee maoni. |
Je kusikiliza kwa kutathmini kunahitaji nini?
|
Kisw sahili gredi ya 9 ukurasa wa 74-76
Matini ya mwalimu -kamusi -kifaa cha kidijitali |
-kutafiti
-Kujadili
-kusoma
-kujibu maswali
-Kutathmini
|
|
2 | 3 |
kusoma
|
Ufupisho
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kusakura mtandaoni au vitambuni na kueleza maana ya ufupisho. - Kujadili vipengele vya kuzingatia katika kufupisha kifungu - kusoma kifungu kisha kujibu maswali ipasavyo - Achangamkie kufupisha ujumbe akizingatia vipengele muhimu |
-kusakura mitandaoni au vitabuni ili kueleza maana ya ufupisho
-kujadili vipengele vya kuzingatia katika ufupisho wa kifungu -kusoma kifungu na kisha kujibu maswali ipasavyo -azingatie ujumbe, muundo na lugha sahihi ili kufupisha ujumbe kwa aya moja na maneno 40. |
Je unazingatia vipengele vipi katika ufupisho?
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 74-76
Matini ya mwalimu -kamusi -kifaa cha kidijitali |
-kutafiti
-Kujadili
-kusoma
-kujibu maswali
-Kutathmini
|
|
2 | 4 |
kuandika
|
Insha za kubuni
(maelezo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kueleza maana ya insha ya Maelezo akizingatia lugha inayoathiri hisia mbalimbali. - Kujadili umuhimu wa kutumia lugha inayo athiri hisia katika insha ya maelezo. -kusoma kielelezo cha insha ya Maelezo ili kutambua hisia zilizotumika katika maelezo. - Achangamkie kuandika insha ya Maelezo akitumia lugha inayo athiri hisia mbalimbali |
-kueleza maana ya insha ya Maelezo kwa kutafiti katika mtandao au vitabuni.
-Kujadili umuhimu wa kutumia lugha inayo athiri hisia katika maelezo. -kusoma kielelezo cha insha ya Maelezo ili kutambua hisia zinazojitokeza katika kuandika insha ya kubuni ya Maelezo akitumia lugha inayo athiri hisia katika suala lengwa na mitambuko mbalimbalihb |
Je insha za kubuni za maelezo huzingatia hisia gani unapoandika?
|
Access kisw sahili gredi ya 9 uk wa 77-78
-matini ya mwalimu -vifaa va kidijitali -picha michor -kamusi |
-kutafiti
-kueleza
-Kujadili
-kusoma
-kujibu maswali
-kuandika
|
|
3 | 1 |
sarufi
|
Vielezi vya mahali na vya idadi
a, vielezi vya mahali
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- keleza maana ya vielezi vya mahali - Kutaja Mifano ya vielezi vya mahali - kutambua vielezi vya mahali katika matini mbalimbali. - Kuchangamkia matumizi ya vielezi vya mahali ipasavyo kwa kupigia mstari na kutungia sentensi. |
-kueleza maana ya vieleza vya mahali kwa kusakura mitandaoni au vitabuni.
-Kutaja vielezi vya mahali katika matini mbalimbali -kutambua vielezi vya mahali kwa kuvipigia mstari -Kuchangamkia matumizi ya vielezi vya mahali ipasavyo katika Kutunga sentensi na kunakili kifungu kifupi |
Je vielezi vya mahali hutumika vipi katika mawasiliano?
|
Access kisw sahili gredi a 9 uk wa 79-80
-matini ya mwalimu -picha -michoro -vifaa vya kidijitali -kamusi |
-kueleza
-Kutaja
-Kujadili
-Kutunga sentensi
-Kutathmini
|
|
3 | 2 |
sarufi
|
Vielezi vya mahali na vya idadi
a, vielezi vya mahali
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- keleza maana ya vielezi vya mahali - Kutaja Mifano ya vielezi vya mahali - kutambua vielezi vya mahali katika matini mbalimbali. - Kuchangamkia matumizi ya vielezi vya mahali ipasavyo kwa kupigia mstari na kutungia sentensi. |
-kueleza maana ya vieleza vya mahali kwa kusakura mitandaoni au vitabuni.
-Kutaja vielezi vya mahali katika matini mbalimbali -kutambua vielezi vya mahali kwa kuvipigia mstari -Kuchangamkia matumizi ya vielezi vya mahali ipasavyo katika Kutunga sentensi na kunakili kifungu kifupi |
Je vielezi vya mahali hutumika vipi katika mawasiliano?
|
Access kisw sahili gredi a 9 uk wa 79-80
-matini ya mwalimu -picha -michoro -vifaa vya kidijitali -kamusi |
-kueleza
-Kutaja
-Kujadili
-Kutunga sentensi
-Kutathmini
|
|
3 | 3 |
sarufi
|
vielezi vya idadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kueleza maana ya vielezi vya idadi - kutaja mifano ya vielezi vya idadi. - kutambua vielezi vya idadi katika matini mbalimbali - kuchangamkia matumizi ya vielezi vya idadi ipasavyo kwakupigia mstari, kutunga sentensi na kutunga kifungu kifupi. |
Mwanafunzi alekezwe:
-kueleza maana ya vielezi vya idadi kwa kutafiti mtandaoni au vitabuni -kutaja vielezi vya idadi kama ilivyo kwenye vitabu -kutambua vielezi vya idadi katika matini mbalimbali -kuumia vielezi vya idadi ipasavyo katika kutunga sentensi, kuandika kifungu kifupi na kupigia mstari ili kuthibitisha uelewa. |
Je vielezi vya idadi hutumika vipi katika mawasiliani?
|
Access kisw sahili gredi ya 9 uk wa 81-82
-matini ya mwalimu -kadi maneno -kapu maneno -picha -kamusi -vifaa vya kidijitali |
-kutafiti
-kueleza
-Kutaja
-kutambua
-kujaza pengo
-Kutunga sentensi
-kuandika kifungu
|
|
3 | 4 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Uzungumzaji wa kushawishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kueleza maana ya uzungumzaji wa kushawishi - kubainisha miktadha ya kijamii ambapo uzungumzaji wa kishawishi hutokea -kujadili vipengele vya kuzingatia katika uzungumzaji wa kishawishi asikilize mwenzake akifanya uzungumzaji wa kishawishi akizingatia vipengele muhimu ili kumtathmini |
-kueleza maana ya mazungumzo ya kishawishi kwa kusakura mitandaoni au vitabuni.
-kubainisha miktadha ya kijamii ambapo uzungumzaji wa kushawishi hutokea -kujadili vipengele vya kuzingatia anapo zungumza kwa kishawishi -asikilize miktadha mbalimbali ya kishawishi ili kutathmini vipengele vinavyotumika |
Je vipengele vya uzungumzaji wa ushawishi ni vipi?
|
Access kisw sahili gredi ya 9 uk 83-84
-matini ya mwalimu -picha -michoro -kamusi -vifaa vya kidigitali |
-kusakula
-kueleza
-kubainisha
-Kujadili
-Kusikiliza
|
|
4 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa kina
Ushairi
a, mandhari
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
ndodo, - kueleza maana ya mandhari katika fasihi andishi -kutaja mifano ya mandhari katika kazi ya fasihi - kujadili umuhimu wa mandhari katika fasihi - kuchangamkia kusoma shairi na kujibu maswali yake huku akitambua mandhari ya shairi hilo. |
-kueleza maana ya mandhari kwa kusakira mitandaoni au vitabuni.
-kutaja mifano ya mandhari katika kazi ya fasihi andishi -kujadili umuhimu wa mandhari katika fasihi andishi -kuchangamkia na kufurahia kusoma shairi na kujibu maswali yake akitambua mandhari katika suala lengwa |
Je, utatambua aje mandhari katika ushairi?
|
Access kisw sahili gredi ya 9 uk 84-86
-matini ya mwalimu -picha -vifaa vya kidijitali -kamusi |
-kueleza
-Kutaja
-Kujadili
-kusoma shairi
|
|
4 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa kina
b, muundo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kueleza maana ya muundo katika fasihi andishi -kutambua vipengele vya muundo katika shairi -kuchangamkia kusoma shairi akizingatia maudhui na muundo ili kudhibitisha uelewa. |
-kutafiti na kusakira mtandaoni ili kueleza maana ya muundo katika fasihi
-kutambua vipengele muhimu katika shairi ikiwa ni pamoja na vina, mizani, beti na mishororo -kuchangamkia kusoma shairi akizingatia maudhui na muundo ili kutathmini uelewa |
Je, viengele vya muundo katika shairi ni vipi?
|
Access kisw sahili gredi la 9 uk 87-88
-matini ya mwalimu -picha -michoro -kamusi -vifaa vya kidigitali |
-kusakura
-kueleza
-kutambua
-Kujadili
-kusoma na kukariri shairi
-maswali na majibu
|
|
4 | 3 |
kuandika
|
Viakifishi mabano na kistari kifupi
a, matumizi ya mabano
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwanafunzi awezw - kueleza maana ya mabano -kujadili matumizi ya mabano -kutambua matumizi ya mabano katika sentensi na vifungu -kuchangamkia kuandika kifungu kifupi kuhusu suala lengwa akitumia mabano ipasavyo |
-kusakura na kutafuta ili kujua maana ya mabano
-kujadili matumizi ya mabano katika matini mbalimbali -kutambua matumizi ya mabano katika sentensi na vifungu vifupi -kuchangamkia kuandika kifungu kuhusu suala lengwa akituma mabano ipasavyo |
Je mabano ( ) hutumika vipi katika mawasiliani?
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 88-89
-matini ya mwalini -vifaa vya kidigitali -chati |
-kutafiti
-kueleza
-kutambua
-kuandika
-maswali na majibu
|
|
4 | 4 |
kuandika
|
Viakifishi
Matumizi ya kistari kifupi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
ndogo - kueleza maana ya kistari kifupi - kutambua matumizi ya kistari kifupi katika sentensi kama alama ya uakifishaji - achangamkie na kufurahia kuandika sentensi na kifungu kifupi katika kifaa cha kidijitali au vitabuni ili kutathmini uelewa wa suala lengwa. |
-kueleza maana na matumizi ya kistari kifupi
-kutambua matumizi ya kistari kifupi katika sentensi kama alama ya uafikishaji -afurahie kuandika sentensi na kifungu kifupi akitumia kifaa cha kidijitali au vitabuni akitumia kuhusu suala lengwa ili kutathmini uelewa. |
Je, kistari kifupi hutmika vipi na wapi?
|
Acess kisw sahili gredi ya 9 uk 89-90
-matini ya mwalimu -vifaa vya kidijitali -kamusi |
-kutafiti na kueleza
-kutambua
-kuandikia
-Kutathmini
|
|
5 | 1 |
sarufi
|
Ngeli na upatanisho wa kisarufi
a, ngeli ya u-zi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
ndogo - kusoma mifano ya sentensi katika ngeli ya u-zi - kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya u-zi katika sentensi -kutaja mifano ya nomino katika ngeli ya u-zi na kuandika vitabuni - kuchangamkia kutambua nomino katika ngeli ya u-zi katika matini mbalimbali ili kutathmini uelewa |
-kusoma mifano ya sentensi katika ngeli a u-zi
-kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi katika umoja na wingi vya ngeli ya u-zi katika sentensi. -kutaja mifano ya nomino katika ngeli ya u-zi, umoja na wingi na kuviandika vitabuni -afurahie kutambua nomino katika ngeli ya u-zi katika matini mbalimbali ili kutathmini uelewa |
Je nomino katika ngeli ya u-zi ni zipi?
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 91-92
-matini ya mwalimu -kadi maneno -michoro -picha -vifaa vya kidijitali |
-kusoma
-kueleza
-Kutaja
-Kutunga sentensi
-kujaza pendo
|
|
5 | 2 |
sarufi
|
Ngeli na upatanisho wa kisarufi
Ngeli ya (ya-ya)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufikia mwisho wwa mada ndodo, - kusoma mifano ya swentensi katika ngele ya ya-ya ili kutambua viambishi katika umoja na wingi -kutambua kwa kupigia mistari viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya ya-ya katika kifungu cha maneno. -kutambua nomino za ngeli ya ya-ya katika matini mbalimbali kuchangamkia na kufurahia kutunga kifungu cha aya moja kuhusu suala lengwa akizingatia upatanisho wa ngeli ya ya-ya na kutunga sentensi ili kutathmini uelewa |
-kusoma na kutambua viambishi vya ngeli ya ya-ya katika umoja na wingi
-kutambua viambishi ngeli vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya ya-ya katika kifungu cha maneno na sentensi -kutambua na kuorodhesha nomino katika ngeli ya ya-ya katika matini mbalimbali -kufurahia kutunga sentensi na kifungu kifupi kuhusu suala lengwa akizingatia upatanisho wa kisarufi katika ngeli ya ya-ya ili kutathmini uelewa |
Je, nomino katika ngeli ya ya-ya ni zipi?
Viambishi ngeli katika ngeli ya ya-ya umoja na wingi ni vipi?
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 93-94
-matini ya mwalimu -kifaa cha kidigitali -picha -michoro -kamusi |
-kusoma
-kutambua
-Kutaja
-kuandika
-Kutunga sentensi
-kuandika kifungu cha aya moja
|
|
5 | 3 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Kusikiliza kwa kina
Sauti j na nj
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
ndogo -kutamka sauti j nan j ipasavyo ili kuzibainisha - kutambua kwa kupigia mstari sauti j nan j ili kizitofautisha - kusoma vitanzandimi katika kifungu akizingatia matamshi bora ya sauti j na nj -achangamkie kutunga vitanza ndimi akitumia nomino katika sauti j nan j kuvisomea wengine ili kuwatolea maoni |
-kutamka sauti j na nj ipasavyo ili kuzibainisha
-kutambua kwa kupiga mstari sauti j na nj katika sentensi na kifungu -kusoma vitanza ndimi katika kifungu akizingatia matamshi bora ya sauti j nan j -kufurahia kutunga vitanza ndimi akitumia jozi ya maneno katika sauti ya j nan j kama vile: kuja-kunja Ajali-anjali Waja-wanja Amsomee mwenzake ili kumtolea maoni |
Sauti j nan j hutofautiana vipi katika matamshi?
|
Access kisw gredi ya 9 uk wa 96
-matini ya mwalimu -kamusi -picha |
-kutamka
-kutambua
-kusoma
-Kutunga vitanzandimi
|
|
5 | 4 |
kusoma
|
Kusoma kwa ufahamu
Kifungu cha kishawishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
ndogo - kusoma kifungu na kujibu maswali ya ufahamu - kutambua msamiati ulio tumika na kuutungia sentensi - kujadili faida ya vifaa vya kidijitali kama ilivyo elezewa katika kifungu - kuchangamkia kujibu maswali ya ufahamu kifungu cha kishawishi |
-kusoma kifungu cha ufahamu wa kishawishi na kujibu maswali ifaavyo
-kutambua msamiati ulivyotumika katika ufahamu na kueleza maana yake -kujadili faida ya matumizi ya vifaa vya kidijitali kama ilivyo katika ufahamu -kuchangamkia kujibu maswali na kutunga sentensi |
Je, ni vipengele vipi vinavyo kuongoza kujibu maswali a ufahamu?
|
Access kisw sahili grade ya 9 uk wa 97-98
-matini ya mwalimu -vifaa vya kidijitali -kamusi |
-kusoma na kujibu maswali
-Kujadili
-kutambua msamiati
-Kutunga sentensi
|
|
6 | 1 |
kuandika
|
Insha za kubuni
(Masimulizi)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
ndogo - kusoma kielelezo cha insha ya masimulizi kilichoko kitabunu - kutambua vipengele vilivyo tumika kukuza mawazo tofauti katika kila aya. - kuandaa vidokezo vya kuandikia insha ya masimulizi na kuviandika daftarini -kuandika insha ya masimulizi akirejelea ujumbe, muundo na lugha akizingatia suala lengwa |
-kusoma kielelezo cha insha ya masimulizi katika vitabu
-kutambua vipengele muhimu vilivyotumika kukuza mawazo tofauti katika kila aya -kuandaa vidokezo vitakavyo msaidia kuandika insha ya masimulizi kuhusi suala lengwa -kuchangamkia kuandika insha ya masimulizi akizingatia ujumbe, muundo na lugha ifaavyo na kurejelea suala lengwa |
Je, ni vipengele vipi vinavyozingatiwa katika uandishi wa insha ya masimulizi?
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 99-101
-matini ya mwalimu -kielelezo cha insha -kamusi |
-kusoma
-kuandaa vidokezo
-kutambua vipengele
-kuandika
|
|
6 | 2 |
sarufi
|
Ngeli na upatanisho wa kisarufi
Ngeli ya (li)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi katika ngeli ya (li) - Kutaja nomino katika ngeli ya (li) katika chati - kutambua kwa kuvipigia mstari viambishi vya upatanisho wa kisarufi a ngeli ya (li) - Achangamkie Kutunga sentensi na kifungu kifupi akitumia nomino katika ngeli ya (li) ili Kutathmini uelewa |
-kutaja nomino katika ngeli ya (li) na kuzitambua katika matini mbalimbali
-kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi katika ngeli ya li umoja na wingi -kusoma kifungu kisha kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi ya ngeli ya li -kuchangamkia kifungu kifupi na sentensi akitumia nomino katika ngeli ya li ili kutathmini uelewa |
Je, nomino katika ngeli ya (li) ni zipi?
Viambishi ngeli katika ngeli ya (li) ni zipi?
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 102-103
-matini ya mwalimu -kamusi -chati -mabango |
-kutambua kwa kusoma
-Kutaja
-Kujadili
Orodha hakiki
-Kutunga sentensi na kifungu
|
|
6 | 3 |
sarufi
|
Ngeli na upatanisho wa kisarufi
Ngeli ya (ku)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
ndogo - kusoma na kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi ulivyo kolezwa rangi katika ngeli ya (ku) - atambue kwa kutafiti na kusakira mitandaoni nomino katika ngeli ya (ku) - kutambua kwa kupigia mstari vitenzi jina katika ngeli ya (ku) - kuchangamkia kutunga sentensi akitumia nomino au vitenzi jina katika ngeli ya (ku) |
-kusoma na kutambua viambishi vya ngeli ya ku katika umoja na wingi
-kutambua kwa kusakira mtandaoni na vitabuni nomino katika ngeli ya ku -kupigia mstari nomno katika nya ku ili kuzibainisha na zingine -kuchangamkia kutunga sentensi akitumia nomino katika ngeli ya ku ipasavyo |
Je, nomino katika ngeli ya ku ni zipi?
|
Access kisw sahili grdi ya 9 uk wa 104-105
-matini ya mwalimu -vifaa vya kidijitali -chati -mabango |
-kusoma
-kutambua
-Kutaja
-Kutunga sentensi
-Kutathmini
|
|
6 | 4 |
sarufi
|
Ngeli ya pa-ku-mu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kusoma na kutambua viambishi ngeli katika ngeli ya pa-ku-mu - kutambua viambishi vya upatanisho wa sarufi ya ngeli ya pa-ku-mu katika matini mbalimbali - kutambua na kutaja nomino katika ngeli ya pa-ku-mu na kutunga sentensi akitumia nomino hizo ili kutathmini uelewa |
-kusoma na kutambua viambishi ngeli katika ngeli ya pa-ku-mu
-kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya pa-ku-mu katika matini mbalimbali ipasavyo -kuchangamkia na kutaja nomino katika ngeli ya pa-ku-mu na kutunga sentensi ili kuzitofautisha na zingine -kutathmini kazi ya wenzao |
Je viambishi vya ngeli ya pa-ku-mu ni zipi?
Je, nomino katika ngeli ya pa-ku-mu ni zipi?
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa106-107
-matini ya mwalimu Mabango -chati -kamusi -vifaa vya kidigitali |
-kusoma
-Kutaja
-kutambua
-Kutunga sentensi
-Orodha hakiki
-Kutathmini
|
|
7 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Mazungumzo
Malumbano ya utani
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
ndogo - kueleza maana ya malumbano ya utani - kutaji aina za malumbano ya utanikama atavyopata katika mitandai ama vitabu - kujadili sifa za malumbano ya utani pamoja na vipengele muhimu vya uwasilishaji wa malumbano ya utani - kuwasilisha malumbano ya utani katika vikundi ili wayatolee maoni |
-kueleza maana ya malumbano ya utani kwa kutafiti nas kusakura mitandaoni
-kutaja aina za malumbano ya utani ili kutofautisha na malumbano mengine -kujadili sifa na vipengele muhimu katika uwasilishaji wa malumbano ya utani -kuchangamkia uwasilishaji wa malumbano ya utani katika vikundi ili kutoleana maoni |
Je, sifa za malumbano ya utani ni zipi?
Vipengele muhimu katika malumbano ya utani ni zipi?
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 108-109
-matini ya mwalimu -vifaa vya kidijitali -mwanafunzi |
-kueleza
-Kutaja
-Kujadili
-Kuwasilisha
|
|
7 |
Midterm break |
||||||||
8 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Mazungumzo
Malumbano ya utani
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kujadili vipengele vya uwasilishaji wa malumbano ya utani katika mawasilisho yao - kuchangamkia uwasilishaji wa malumbano ya utani katika vikundi vyao ili kutoleana maoni na kutathmini |
-kujadili pamoja na wenzake vipengele muhimu vya uwasilishaji wa malumbano ya utani
-kuchangamkia uwasilishaji wa malumbano ya utani katika kikundi au wawili akizingatia vipengele muhimu ili kutathmini uelewa |
Je, vipengele muhimu katika uwasilishaji wa malumbano ya utani ni zipi?
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa109-110
-matini ya mwalimu -mwanafunzi |
-Kujadili
-Kuwasilisha
-Orodha hakiki
|
|
8 | 2 |
kusoma
|
Ushairi
Kusoma kwa kina
wahusika
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
ndogo - kueleza maana ya wahusika katika fasihi - kujadili sifa za wahusika katika kazi ya fasihi andishi - kusoma na kutambua wahusika katika shairi pamoja na sifa zake |
-kueleza maana ya wahusika katika fasihi
-kujadili sifa za wahusika kama zinavyojitokeza katika shairi -kusoma shairi na kutambua wahusika na sifa zao |
Je, wahusika ni kina nani katika shairi?
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 110-111
-matini ya mwalimu -vifaa vya kidijitali |
-kueleza
-kusoma
-kuandika
-kutambua
-Orodha hakiki
|
|
8 | 3 |
kusoma
|
Kusoma kwa kina
Ushairi
Wahusika karika shairi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma shairi na kichambua sifa za wahusika kama zinavyojitokeza -kusoma shairi katika diwani iliyo teuliwa na mwalimu kisah ajadili sifa za wahusika katika shairi hilo ili kutathmini uelewa. |
-Kusoma shairi na kichambua sifa za wahusika kama zinavyojitokeza katika shairi hilo
-kusoma shairi katika diwani teule na kujadili sifa za wahusika katika kikundi ili kutathimini uelewa. |
Je sifa za wahusika katika shairi ni zipi?
|
-Kisw sahili gradi ya 9
Uk wa 112 -Matini ya mwalimu na mwanfunzi |
-kusoma
-kuchambua sifa
-Kutathmini
-Orodha hakiki
|
|
8 | 4 |
kuandika
|
Barua rasmi
Barua ya kuomba kazi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
ndogo -kueleza maana ya barua rasmi ya kuomba kazi -kujadili vipengele vya barua rasmi ya kuomba kazi kama : anwanin, mtajo -kusoma kielezo cha barua rasmi na kujibu maswali yake. |
-kueleza maana ya barua rasmi ya kuomba kazi kwa kitafiti na kisakira mtandaoni au vitaboni
-Kujadili vipengele muhimu vya barua rasmi akizingatia ujumbe, muundo na lugha ipasavyo -kusoma barua rasmi ya kuomba kazi na kujibu maswali yake |
Je brua rasni ya kuomba kazi huzingatia nini?
|
Kisw sahihi gredi ya 9 uk wa 112-113
-matini ya mwali vifua vya kidijitali |
Kisakura
Kitafiti
Kieleza
Kusoma
kujadili
|
|
9 | 1 |
kuandika
|
Barua rasmi ya kuomba kazi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwanfunzi aweze -Kuadika barua rasmi ya kuomba kazi akizingatia ujumbe, muundo na lugha pamoja na vipengele muhimu katika daftari au kifaa cha kidijitali. -kuwasomea wenzake barua aliyo iyandik ili waitolee maoni. |
-kuandika barua rasmi ya kuomba kazi akifuata na kuzingatia vipengele muhimu na muundo na lugha ipasavyo.
-kusoma barua ilivyo iandika kwa wenzake ili waitolee maoni na kutathmini. |
Je unapoadika barua rasmi huzingatia nini?
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 114
Matini ya mwalimu |
Kuandika barua rasmi
kutathmini
|
|
9 | 2 |
sarufi
|
Vinyume vya vihusishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya vinyume vya vihusishi -kutaja mifano ya vinyume vya vihusishi ili kutofautisha na vingine. -kuambatanisha vihusishi na vinyume vyake katika jedwali |
-kueleza maana ya vinyume vya vihusishi kwa kitafiti vitabuni
-kutaja mifano ya vinyume vya vihusishi ili kubaini na vingine. Kuabatanisha katika jedwali vinyume na vihusishi vyake ipasavyo. |
Je vinyume vya vihusishi ni vipi
|
Kiswa sahili gredi ya 9 uk wa 115-116
Matini ya mwalimu Mabongo Vifaa vya kidijitari |
Kutafuta kueleza
Kuambatasha
Orodha hakiki
|
|
9 | 3 |
sarufi
|
Vinyume vya vihusishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua vinyume vya vihusishi kwa kuvipigia mstari katika kifungu -kisakira mtandaoni ili kutafuta vinyume zaidi |
Aelekezwe kutabua vinyume vya vihusishi kwa kupigia mstari
-kuandika vinyume vya vihusishi villivyo pigiwa mstari katika daftari na kutunga sentensi. |
Je utajuaje vinyume vya vihusishi
|
Uk wa 116
|
Kujaza pengo
Kupigia mstari
Kutunga sentensi
|
|
9 | 4 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Uzungumzaji katika sherehe
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
ndogo -kueleza maana ya kuzungumza katika sherehe. -kujadili ujumbe unoaafikiuzungumzaji katika miktadha mbali mbali ya sherehe. - kujadili vipengele muhimu unapozungumza katika sherehe na kuandika katika vitabu au vifaa vya kidijitali -kuwasilisha mazungumzo katika vikundi ili wayatolee maoni |
Mwanfunzi aelekezwe
Kueleza maana ya kuzungumza katika miktadha mbalimbali ya sherehe. Kujadili ujumbe muhimu unaoafiki mikatadha mbali mbali katika sherehe. -Kuzingatia vipengele vya kuzingatia katika uzungumzanji katika sherehe pamoja na wenzake katika ili watolee maoni |
Je ni vipengele vipi unavyozingatia unapozungumza katika sherehe
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 118-119
Matini ya mwalimu picha michoro |
Kueleza
Kutambua
Kujadili
Orodha hakiki
|
|
10 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Uzungumzanji katika sherehem
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwnafunzi aweze -kusikiliza mazungumzo katika kifaa cha kidigitari au matini ya mwalimu na kutambua muktadha wa mazungumzo hayo -kuigiza mazungumzo katika muktdha mbali mbali ya sherehe wanazozijua ili kutadhimini uelewa sherehe wanazozijua ili kutathmini ni uelewa |
Mwanafunzi aelezwe
Kusikiliza mazungumzo katika kifaa cha kijiditali kisha kujibu maswali ipasavyo. Kuigiza mazungumzo katika muktadha mbali mbali ya sherehe ili kutathmini ni uelewa |
Je unazingatia nini unapozungumza katika sherehe
|
Kiswahili sahili gredi 9 uk wa 119
Matini ya mwalimu mwanfunzi |
Kisakira na kusikiliza
Kujibu maswali
Kuigiza mazungumzo
|
|
10 | 2 |
kusoma
|
Kusoma kwa mapana
Matini ya kujichagulia
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufikia mwaisho wa mada ndogo mwanfunzi aweze. -kutambua matini mbali mbali anazoweza kusoma kwa kujichagulia -kutambua vipengele vya kuzingatia wakati wa kuchagua matini ya kujisomea. -ateue matini ifaayo ya kujisomea kama sayansi, historia , fasihi au michezo. -kuchangamkia kusoma na kuchambua misamiati uliotumika kisha kuutungia sentensi. |
Mwanafunzi aelezwe.
Kutambua matini mbalimbali anazoweza kusoma aidha katika mtandao au vitabuni. -kutambua vipengele muhimu vya kuzingatia wakati wa kuchagua matini ya kijisomes. -kuteua matini ifaayo ili kujisomea akizingatia, kiwango cha uelewa, lugha iliyotumika, inayomuutia. -kuchangamkia kusoma na kuchambua msamiati uliotumika katika matini hizo kisha kutunga sentensi ama kusomea wenzake ili watathmini |
Je unaposoma matini ya kujichagulia unazingatia nini
|
Kisw sahihi
Gredi ya 9 uk wa 119-120 -matini ya mwalimu Vifaa vya kidijitari Mwanfunzi novela |
Kutambua
Kuchagua
Kuteua
Kusoma
Kuchambua msamiati
Kutunga sentensi
|
|
10 | 3 |
kuandika
|
Insha za kubuni
maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwanfunzi aweze -kutambua mitazamo mbalimbali ya kuzingatia wakati wa kuandika isha ya maelezo - Kusoma na kielelezo cha insha na kutambua mitazamo iliyoko katika insha hiyo -kujadili mitazamo mbali mbali katika insha ya maelezo waliyoisoma |
Mwanfunzi aelekezwe
-kutambua na kutaja mitazamo mbalimbali inayozingatiwa katika uandishi wa insha ya maelezo - Kusoma na kutambua mitazamo katika kueleza hicho ili kubainisha. -kujadili mitazamo mbali mbali katika insha ya kueleza na kuandika katika daftari zao |
Je ni mitazamo gani unayozingatia
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 121
Matini ya mwalimu kamusi |
Kutambua
Kusoma
Chambua
kuandika
|
|
10 | 4 |
kuandika
|
Insha za kubuni
(maelezo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwanfunzi aweze -kusakira mtambaoni au vitabuni na vielelezo vya insha za maelezo na kuchambua mitazamo mbalimbali katika insha hizo. -kuchangamkia kuandika insha ya maelezo kuhusu suala lengwa akizingatia mitazamo inayostahili ili kutathmini uelewa |
Mwanfunzi aelekezwe.
-kusakira na kutafiti mtandaoni au vitabuni vielekezo mbali mbali vya insha ya maelezo ili kuteua mitazamo mbali mbali iliyotumika. -kuchangamkia kuandaika insha ya maelezo kuhusu suals lengwa akizingatia ili kutathmini uelewa. |
Je ni mitazamo ipi inayotiwa katika insha ya maelezo?
|
Kisw sahili gredi 9
Uk wa 122-123 Matini ya mwlimu Vifaa vya kidijitali |
Kisakura
Kitafiti
Kusoma
Kuandika insha ya maelezo
|
|
11 | 1 |
sarufi
|
Mnyambuliko wa vitenzi
Kauli ya kutendana
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
ndogo mwanfunzi aweze. -Kueleza maana ya kauli ya kutendana -kutoa mifano ya maneno katika kauli ya kutendana -kutambua kwa kupigia mstari viabishi vya kauli ya kutendana katika matini mbali mbali -kuchangamkia kitunga sentensi akitumia nomino ya kutendana |
Mwanfunzi aelekezwe.
Kueleza maana ya kauli ya kutendana akitumia mtandao au vitabu -kutaja mifano ya nomino katika kauli ya kutendana -kutambua kwa kupigia mstari viabishi na nomino katika kauli ya kutendana -kuchangamkia na kufyrahia kuandika vite na kutunga sentensi katika kauli ya kutendana ili kutathmini. |
Je kiambishi cha kauli ya kutendana ni kipi?
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 124
Kamusi Vifaa vya kidijitali Mabango michoro |
Kueleza
Kutaja
Kinyabua
Kuandika
Kutunga sentensi
Kuandika vitenzi
Orodha hakiki
|
|
11 | 2 |
sarufi
|
Kauli ya kutendeana
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwanfunzi aelekezwe na aweze -kueleza maana ya kauli ya kutendeana -kutaja mifano ya nomino katika kauli ya kutendeana na kueleza viambishi vya kauli ya kutendeana. -kutambua kwa kupigia mstari viambishi vya kauli ya kutendeana katika sentensi na kifungu. -kuchangamkia kuandika vitenzi na sentensi ya kutendeana |
Kueleza maana ya kauli ya kutendeana akitumia kamausi au mtandao
Kutaja vitenzi katika kauli ya kutendeana ili kuuibadilisha. Kutambua kwa kupigia mstari viambishi vya kauli ya kutendeana katika sentensi na kufungucha maneno ipasavyo. -kuandika vitenzi na kutunga sentensi katika kauli ya kutendeana ili kutathmini |
Je viabishi vya kauli ya kutendeana ni vipi
|
Access
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 126-127 Matini ya mwalimu Kamusi Vifaa vya kidijitari mabango |
Kueleza
Kutaja
Kutambua
Kutinga
Sentensi
Kujaza pengo
kusoma
|
|
11 | 3 |
sarufi
|
Mnyabuliko wa vitenzi kauli ya kutendesha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
ndogo mwanfunzi aweze. -kueleza maana ya kauli ya kutendesha katika mnyambuliko wa vitenzi -kutaja mifano ya vitenzi katika kauli ya kutendesha. -kutambua viambishi vya kauli ya kutendesha - kutambua kwa kupigia mstari viambishi na nomino katika kauli ya kutendesha katika kifungu na kujaza pengo ipasavyo |
Mwanafunzi aelekezwe.
-Kueleze maana kwa kusakira kwenye mtandao au kamusi maana ya kauli ya kutendesha. -kutaja mifano ya vitenzi katika kauli ya kutendesha akizingatia muundo upasavyo. -kuchangamkia kwa kupigia mstari viambishi na vitenzi katika kauli ya kutendesha katika sentensi kifungu au mtandao ni ipasavyo. |
Je vitenzi katika kauli ya kutendesha hunyambuliwa vip?
|
Access
Kisw sahili gredi ya 9 uk 127-129 Matini ya mwalimu kamusi vifaa vya kidijitali mabango picha |
Kueleza
Kutaja
Kutambua
Kupigia nstrari
Kitnga sentensi
Kujaza pengo
Ordha hakiki
|
|
11 | 4 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Matini ya kusikiliza
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwanfunzi aweze. -Kueleza maona ya matini ya kusikiliza -kujadili vipengele vya kuzingatia katika matini ya kusikiliza. -kusikiliza matini atakayosomewa na mwalimu kisha kujibu maswali yake ipasavyo kuhusu suala lengwa ili kutoa maoni |
Mwanfunzi aelekezwe
-kusakira na kueleza maana ya matini ya kusikiliza - kujadili vipengele muhimu vya kuzingatia katika uzikilizaji -kusikiliza matini atakayosomewa na mwalimukisha kujibu maswali yake ipasavyo na kutolea maoni |
Je vipengele vya usikilizaji ni vipi?
|
Kisw
Sahili Gredi ya 9 uk wa 129-130 Matini ya mwalimu vifua vya kidijitari |
Kueleza
Kujadili
Kuandika
Kusikiliza
Kujibu maswali
|
|
12 | 1 |
kusoma
|
Kusoma kwa ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
ndogo mwanfunzi aweze -kueleza vipengele vya kusoma kwa ufasaha ili kuelewa mada lengwa -kusikiliza au kutazama video au televisheni ili kuona watu wakisoma Makala kwa ufasaha kisha kujadili vipengele vilivyotumika katika usomaji -kusoma kifungu kwa zamu akizingatia vipengele vya kusoma kwa ufasaha ili kutathmini usomaji wake |
Mwanfunzi aelekezwe
-kutanja na kueleza vipengele vinavyozingatiwa ili kusoma kwa ufasaha -kusikiliza video au kutazama runinga ili kuona watu wakisoma kwa ufasaha katika miktadha mbali mbali na kuchambua vipengele vilivyotumika. -kufurahia kusoma kifungu kwa zamu huku akizingatia vipengele muhimu inavyostahili wenzake watathmini usomaji wake. |
Je vipengele vya kuzingatiwa unaposoma kwa ufasaha ni vipi?
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 131-132.
Matini ya mwalimu vifaa vya kidigitari runinga |
Iweleza
Kusoma
Kusikiliza
Kujibu maswali
|
|
12 | 2 |
kuandika
|
Hotuba ya kushawishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- ndogo . -kueleza maana ya hotumba ya kishawishi ili kutofautisha na zingine. -kujadili vipengele vya kuzingatia katika uandishi wa hotuba ya kishwawishi. -kusoma kielezo cha hotuba yakushawishi huku akizingatia vipengele vya kushawishi vilivyotumika. -kujadili vidokeza vya kuandika hotumba ya kushawishi kuhusu suala lengwa |
Mwanfunzi aelekezwe
-kueleza maana ya hotuba ya kushawishi ili kutofautisha na zingine Kujadili pamoja na wenzake vipengele vinavyozingatiwa katika uandishi wa hotumba ya kushawioshi -kusoma kielezo cha hotuba ya kushawishi akichambua vipengele vilivyotumika -kujadili vidokezo muhimu vya kuudaamwanfunzi ili aandike hotuba ya kushawishi kuhusu suala lengwa |
Je vipengele vya kusingatia katika uandishi wa houmba ya kishawishi ni vipi?
|
Access
Kiswa sahili gredi ya 9 uk wa 133-134 Matini ya mwalimu Vifaa vya kidigitari |
Kueleza
Kujadili
Kusoma
kielelezo
|
|
12 | 3 |
kuandika
|
Hotuba ya kushawishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwanfunzi aweze. -Kuandaa vidokezo vitakavyo msaidia katika uandishi wa hotuba kuhusu suala lengwa. -kuandika hotuba ya kishawishi daftari au katika kifaa awasomee wenzake ili waitolee maoni |
Mwanafunzi aelekezwe.
-Kuandaa vidokezo huku akizingatia vipengele muhimu kuhusu suala lengwa. -Kuandika hotuba ya kishawishi daftarini au katika kifaa cha kidigitari kisha awasomee wenzake ili kutoa maoni |
Je hotuba ya kishawishi huzingatia nini?
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 135.
Matini ya mwalimu Vifaa vya kidigitari |
Kuandaa vidokezo
Kuandika hotuba ya kishawishi
|
|
12 | 4 |
Sarufi
|
Aina ya sentensi
Sentensi tata
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwanfunzi aweze -kusoma aina za sentensi ili kubainisha sentensi tata. -kutoa sentensi zingine zenye maana Zaidi ya moja na kueleza maana ya sentensi tata -kutambua sentensi tata katika matini mbali mbali. -kuchangamkia kutunga sentensi tata na kuwasomea wenzano ili kutathmini uelewa. |
- kusoma aina mbali mbali za sentensi si tata
-Kutaja sentensi tata ili kueleza maana na kuzitofautisha baina ya zingine. kutambua na kuziandika sentensi tata katika matini mbali mbali. Kuchangamkia Kutunga sentensi tata na kuwasomes wenzao ili Kutathmini uelewa |
Je sentensi tata zina maana gani?
|
Kisw sahili
Gredi ya 9 uk wa 136-137 Matini ya mwalimu Vifaa vya kidigitali Picha na michoro |
Kusoma ili kubainisha
Kutaja sentensi
Kutambua
Kutunga sentensi
kutathmini
|
Your Name Comes Here