If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
1 | 1 |
Uhuru wa Wanyama
|
Kusikiliza na kuzungumza; Tanzu za fasihi
Tanzu za fasihi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya fasihi. Kutaja sifa za tanzu za fasihi. Kusoma hadithi iliyopo katika kitabu cha mwanafunzi. Kufurahia kusoma hadithi zinazohusu fasihi. |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya fasihi.
Mwanafunzi kutaja sifa za tanzu za fasihi. Mwanafunzi kusoma hadithi iliyopo katika kitabu cha mwanafunzi |
Je, umewahi kusimuliwa hadithi gani?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 29-31
Kapu maneno Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 32-34 Mabango Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
1 | 2 |
Uhuru wa Wanyama
|
Kusoma; Kusoma kwa kina- Novela
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutumia kamusi au mtandao kutafuta maana ya novela. Kueleza kuhusu kitabu kilichoandikwa katika kitabu cha mwanafunzi. Kuchangamkia kusoma novela. |
Mwanafunzi aweze kutumia kamusi au mtandao kutafuta maana ya novela.
Mwanafunzi kueleza kuhusu kitabu kilichoandikwa katika kitabu cha mwanafunzi |
Unafurahia kusoma vitabu gani vya hadithi?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 35-37
Kapu maneno Kamusi Majarida Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
1 |
Labour day |
||||||||
1 | 4 |
Uhuru wa Wanyama
|
Kusoma kwa kina- Novela
Kuandika; Insha za kubuni |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma sehemu ya novela iliyoteuliwa na mwalimu. Kujadiliana sifa za novela. Kufurahia kusoma novela. |
Mwanafunzi a sehemu ya novela iliyoteuliwa na mwalimu aweze kusoma.
Wanafunzi wakiwa katika vikundi waweze kujadiliana sifa za novela. |
Sifa za novela ni gani?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 36-37
Kapu maneno Kamusi Majarida KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 37 Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
2 | 1 |
Uhuru wa Wanyama
|
Kuandika; Insha za kubuni
Sarufi; Aina za nomino: Nomino za wingi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuandika vidokezo vya insha ya kubuni aliyoichagua. Kuandika insha ya kubuni. Kuchangamkia kuandika insha za kubuni. |
Mwanafunzi kuandika vidokezo vya insha ya kubuni aliyoichagua.
Mwanafunzi kuandika insha ya kubuni |
Unaweza kuandika vidokezo gani kuhusu kisa ulichotambua?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 38
Kamusi Majarida Michoro na picha KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 38-39 Kapu maneno Mabango |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
2 | 2 |
Uhuru wa Wanyama
|
Aina za nomino: Nomino za wingi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutunga sentensi akitumia nomino za wingi. Kutumia nomino za wingi kuandika aya ya maneno hamsini kuhusu uhuru wa wanyama. Kuchangamkia kutumia nomino za wingi. |
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi akitumia nomino za wingi.
Mwanafunzi kutumia nomino za wingi kuandika aya ya maneno hamsini kuhusu uhuru wa wanyama. |
Unatumia vipi nomino za wingi?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 39
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
2 | 3 |
Uhuru wa Wanyama
|
Nomino za vitenzi-jina
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutaja nomino za vitenzi jina katika matini. Kusoma kifungu, |
Mwanafunzi aweze kutaja nomino za vitenzi jina katika matini.
Mwanafunzi aweze kusoma kifungu, |
Unafikiria nomino za vitenzi jina ni gani?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 39-41
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 41 |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
2 | 4 |
Aina za Maliasili
|
Kusikiliza na kuzungumza; Nyimbo za watoto
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutaja nyimbo za watoto anazozijua katika jamii yake. Kusikiliza wimbo ufuatao ukiimbwa na mwalimu. Kuchangamkia kuimba nyimbo za watoto. |
Mwanafunzi kutaja nyimbo za watoto anazozijua katika jamii yake.
Mwanafunzi kusikiliza wimbo ufuatao ukiimbwa na mwalimu. |
Je, ni nyimbo gani za watoto unazozijua katika jamii yako?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 43-44
Mabango Kamusi Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
3 |
Opener exams |
||||||||
4 | 1 |
Aina za Maliasili
|
Nyimbo za watoto
Nyimbo za bembelezi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutaja sifa za nyimbo za watoto. Kujadili namna ya kuwasilisha nyimbo za watoto. Kuimba nyimbo moja ya watoto. Kufurahia kuimba nyimbo za watoto. |
Mwanafunzi aweze kutaja sifa za nyimbo za watoto.
Wanafunzi wakiwa katika vikundi kujadili namna ya kuwasilisha nyimbo za watoto. Mwanafunzi kuimba nyimbo moja ya watoto. |
Unapoimba nyimbo za watoto, unazingatia mambo gani ili mtoto atulie au kulala?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 44
Kamusi Majarida Michoro na picha KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 44-45 Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
4 | 2 |
Aina za Maliasili
|
Nyimbo za bembelezi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza sifa za bembelezi. Kujadilimtindo ya uwasilishaji wa bembelezi. Kuimba nyimbo moja bembelezi. Kufurahia kuimba nyimbo bembelezi. |
Mwanafunzi aweze kueleza sifa za bembelezi.
Wakiwa katika vikundi, waweze kujadiliana mtindo ya uwasilishaji wa bembelezi. Mwanafunzi kuimba nyimbo moja bembelezi. |
Unapoimba bembelezi, unazingatia mambo gani ili mtoto atulie au kulala?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 45-46
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
4 | 3 |
Aina za Maliasili
|
Kusoma; Kusoma kwa ufasaha
Kusoma kwa ufasaha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma kifungu katika kitabu cha mwanafunzi. Kuhesabu idadi ya maneno katika kifungu Kufurahia kusoma kifungu katika kitabu cha mwanafunzi. |
Wakiwa wawiliwawili, wanafunzi waweze kusoma kifungu katika kitabu cha mwanafunzi.
Wanafunzi waweze kuhesabu idadi ya maneno katika kifungu |
Unazingatia nini ili kusoma makala kwa ufasaha?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 46-47
Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 47 |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
4 | 4 |
Aina za Maliasili
|
Kuandika; Insha za kubuni- Masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma insha ya masimulizi iliyopo katika kitabu cha mwanafunzi, |
Mwanafunzi aweze kusoma insha ya masimulizi iliyopo katika kitabu cha mwanafunzi,
|
Unazingatia mambo gani unapoandika insha ya masimulizi?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 48-49
Kapu maneno Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
5 |
Madaraka day |
||||||||
5 | 2 |
Aina za Maliasili
|
Insha za kubuni- Masimulizi
Sarufi; Nyakati: Wakati uliopo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza umuhimu wa wahusika na mandhari katika insha za masimulizi. Kuandika insha ya masimulizi kwa kuzingatia lugha, wahusika na mandhari. Kufurahia kuandika insha za masimulizi. |
Mwanafunzi kueleza umuhimu wa wahusika na mandhari katika insha za masimulizi.
Mwanafunzi aweze kuandika insha ya masimulizi kwa kuzingatia lugha, wahusika na mandhari. |
Insha ya masimulizi inahusu nini?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 49-50
Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 50-51 Kapu maneno Mabango |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
5 | 3 |
Aina za Maliasili
|
Wakati uliopita
Wakati ujao |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutambua vitenzi vilivyo katika wakati uliopita. Kutumia wakati uliopita katika sentensi. Kuchangamkia matumizi ya wakati uliopita. |
Mwanafunzi aweze kutambua vitenzi vilivyo katika wakati uliopita.
Mwanafunzi kutumia wakati uliopita katika sentensi. |
Ni kipande gani cha neno kinachowakilisha wakati?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 51-52
Kamusi Majarida Michoro na picha KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 52-54 |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
5 | 4 |
Unyanyasaji wa Kijinsia
|
Kusikiliza na kuzungumza; Mazungumzo mahususi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza jinsi yeye huwaamkua na kuwaaga watu. Kujadiliana umuhimu wa kujua maamkizi na maagano mbalimbali. Kuchangamkia maamkuzi na maagano. |
Wanafunzi waweze kueleza jinsi yeye huwaamkua na kuwaaga watu.
Wanafunzi wakiwa katika vikundi waweze kujadiliana umuhimu wa kujua maamkizi na maagano mbalimbali. |
Je, wewe huwaamkua na kuwaaga watu vipi?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 55
Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
6 | 1 |
Unyanyasaji wa Kijinsia
|
Kusikiliza na kuzungumza; Mazungumzo mahususi
Kusoma kwa ufahamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutaja maneno ya maamkuzi na maagano yaliyotumika katika mazungumzo. Kuigiza mazungumzo katika kitabu cha mwanafunzi. Kufurahia kuigiza mazungumzo. |
Wakiwa wawili, wanafunzi kutaja maneno ya maamkuzi na maagano yaliyotumika katika mazungumzo.
Wakiwa katika vikundi, kuigiza mazungumzo katika kitabu cha mwanafunzi. |
Je, ni maamkuzi na maagano gani yanayotumika katika jamii yako?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 55
Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 58-60 Kapu maneno Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
6 | 2 |
Unyanyasaji wa Kijinsia
|
Kuandika; Insha ya maelekezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza maana ya insha ya maelezo. Kuelezea mwenzake jinsi ya kufika shuleni kutoka sokoni. Kutathmini umuhimu wa maelezo. |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya insha ya maelezo.
Wakiwa katika vikundi au wawili, wanafunzi waweze kuelezea mwenzake jinsi ya kufika shuleni kutoka sokoni |
Je, unaweza kumueleza vipi rafiki yako kufika nyumbani kwenu ili asipotee?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 61-62
Kamusi Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
6 | 3 |
Unyanyasaji wa Kijinsia
|
Kuandika; Insha ya maelekezo
Sarufi; Nyakati na hali: Wakati uliopo hali ya kuendelea |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutambua aina za insha za maelezo. Kutambua sifa za insha ya maelezo. Kuandika insha ya maelekezo. Kufurahia kuandika insha ya maelezo. |
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze kutambua aina za insha za maelezo
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze kutambua sifa za insha ya maelezo. Wanafunzi kuandika insha ya maelekezo. |
Insha ya maelezo inahusu nini?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 62-63
Michoro na picha Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 63-64 Kamusi Majarida |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
6 | 4 |
Unyanyasaji wa Kijinsia
|
Sarufi; Nyakati na hali: Wakati uliopita hali ya kuendelea
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutambua vitenzi vilivyo katika wakati uliopita hali ya kuendelea. Kutunga sentensi katika wakati uliopita hali ya kuendelea. Kuchangamkia matumizi ya vitenzi vilivyo katika wakati uliopita hali ya kuendelea. |
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi kutambua vitenzi vilivyo katika wakati uliopita hali ya kuendelea
Wakiwa wawili au peke yao, wanafunzi kutunga sentensi katika wakati uliopita hali ya kuendelea |
Je, ulifanya nini jana kabla ya kulala?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 64-65
Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
7 | 1 |
Unyanyasaji wa Kijinsia
Usalama shuleni |
Sarufi; Nyakati na hali; Wakati ujao hali ya kuendelea
Kusikiliza na Kuzungumza- Matini |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutambua vitenzi vilivyo katika wakati ujao hali ya kuendelea. Kutunga sentensi katika wakati ujao hali ya kuendelea. Kuchangamkia matumizi ya vitenzi vilivyo katika wakati ujao hali ya kuendelea. |
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi kutambua vitenzi vilivyo katika wakati ujao hali ya kuendelea
Wakiwa wawili au peke yao, wanafunzi kutunga sentensi katika wakati ujao hali ya kuendelea |
Je, utafanya nini kesho?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 65-66
Kapu maneno Mabango Kamusi Michoro na picha KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 67-68 Majarida |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
7 | 2 |
Usalama shuleni
|
Kusoma kwa kina; Maudhui na dhamira
Kuandika; Insha za masimulizi kutokana na picha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza maana ya maudhui na dhamira katika fasihi. Kusoma sehemu ya novela iliyoteuliwa na mwalimu. Kujadiliana maudhui mbalimbali katika sehemu ya novela aliyosoma. Kujenga mazoea ya usomaji wa kazi za fasihi katika maisha ya kila siku. |
Mwanafunzi aweze, kueleza maana ya maudhui na dhamira katika fasihi
Mwanafunzi, aweze kusoma sehemu ya novela iliyoteuliwa na mwalimu. Mwanafunzi aweze kujadiliana na wenzake maudhui mbalimbali katika sehemu ya novela aliyosoma |
Vitabu vya hadithi ulivyowahi kusoma vinazungumiza nini?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 68-69
Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 69-72 |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
7 | 3 |
Usalama shuleni
|
Sarufi; Aina za vitenzi: Vitenzi vikuu na vitenzi visaidizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza tofauti kati ya vitenzi vikuu na vitenzi visaidizi. Kuigiza vitendo mbalimbali, k.v. ruka, Tembea, cheza, cheka, andika. Kutathmini matumizi ya vitenzi vikuu na vitenzi visaidizi. |
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze kueleza tofauti kati ya vitenzi vikuu na vitenzi visaidizi
Mkiwa wawili, wanafunzi kuigiza vitendo mbalimbali, k.v. ruka, Tembea, cheza, cheka, andika |
Vitenzi ni nini?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 72-73
Kapu maneno Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
7 | 4 |
Usalama shuleni
Kuhudumia Jamii Shuleni |
Sarufi; Aina za vitenzi: Vitenzi vikuu na vitenzi visaidizi
Kusikiliza na Kuzungumza; Kusikiliza kwa ufahamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutambua vitenzi vikuu na visaidizi katika sentensi. Kutunga sentensi akitumia vitenzi vikuu na vitenzi visaidizi. Kuchangamkia matumizi ya vitenzi vikuu na vitenzi visaidizi. |
Wanafunzi, kutambua vitenzi vikuu na visaidizi katika sentensi
Wanafunzi waweze kutunga sentensi akitumia vitenzi vikuu na vitenzi visaidizi |
Kuna tofauti gani kati ya vitenzi vikuu na vitenzi visaidizi?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 73-74
Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 75 Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
8 | 1 |
Kuhudumia Jamii Shuleni
|
Kusikiliza na Kuzungumza; Kusikiliza kwa ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza umuhimu wa kusikiliza kwa makini. Kusikiliza kifungu atakachosomewa na mwalimu kisha kujibu maswali. Kutathmini umuhimu wa kusikiliza kwa makini |
Mwanafunzi aweze, kueleza umuhimu wa kusikiliza kwa makini
Mwanafunzi aweze kusikiliza kifungu atakachosomewa na mwalimu kisha kujibu maswali |
Je, kusikiliza kwa makini kuna faida gani?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 75-76
Kapu maneno Mabango Kamusi Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
8 |
Midterm break |
||||||||
9 | 1 |
Kuhudumia Jamii Shuleni
|
Kusoma; Ufupisho
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza aina za ujumbe anaweza kutoa kwa njia ya ufupi. Kujadili aina za ujumbe anaweza kutoa kwa njia ya ufupi. Kuonea fahari ufupisho. |
Mkiwa wawiliwawili, wanafunzi waweze kueleza aina za ujumbe anaweza kutoa kwa njia ya ufupi
Mkiwa wawiliwawili, wanafunzi waweze kujadili aina za ujumbe anaweza kutoa kwa njia ya ufupi |
Umewahi kupewa ujumbe gani kwa njia ya ufupi?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 77
Michoro na picha Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 77-78 Mabango Kamusi Majarida |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
9 | 2 |
Kuhudumia Jamii Shuleni
|
Kuandika; Insha ya kubuni- Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza maana ya insha ya maelezo. Kutambua matumizi ya msamiati ufaao kwa ufasaha katika kuandika insha ya maelezo. Kuandika insha ya maelezo. Kuchangamkia kuandika insha ya maelezo. |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya insha ya maelezo
Mwanafunzi aweze kutambua matumizi ya msamiati ufaao kwa ufasaha katika kuandika insha ya maelezo Mwanafunzi aweze kuandika insha ya maelezo |
Je, ni jambo gani ambalo umewahi kumweleza mtu?
Ni lugha ya aina gani uliyotumia ili kuwasilisha picha kamili?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 79-80
Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
9 | 3 |
Kuhudumia Jamii Shuleni
|
Sarufi; Aina za vitenzi- Vitenzi vishirikishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kusoma kifungu katika kitabu cha mwanafunzi. Kutambua vitenzi vishirikishi vilivyotumika katika sentensi. Kutathmini matumizi ya vitenzi vishirikishi. |
Mwanafunzi aweze, kusoma kifungu katika kitabu cha mwanafunzi
Mwanafunzi aweze kutambua vitenzi vishirikishi vilivyotumika katika sentensi |
Ni aina gani ya maneno ambayo huelezea kufanyika kwa kitendo?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 80-81
Kamusi Majarida Michoro na picha KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 81-82 Kapu maneno Chati |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
9 | 4 |
Ulanguzi wa Binadamu
|
Kuzungumza ili kupasha habari
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza maana ya kuzungumza ili kupasha habari. Kutambua aina za kuzungumza ili kupasha habari. Kupata ujasiri wa kuzungumza mbele ya watu. |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya kuzungumza ili kupasha habari
Mwanafunzi aweze kutambua aina za kuzungumza ili kupasha habari |
Je, ni habari gani muhimu ambazo umewahi kupashwa kwa njia ya mazungumzo?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 83-84
Kapu maneno Mabango Kamusi Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 84-86 |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
10 | 1 |
Ulanguzi wa Binadamu
|
Kusoma kwa kina
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza maana ya mandhari katika fasihi. Kueleza umuhimu wa mandhari ya novela. Kuandika maelezo mafupi kuhusu mandhari ya novela. Kuchangamkia kusoma novela mbalimbali. |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya mandhari katika fasihi
Mwanafunzi aweze kueleza umuhimu wa mandhari ya novela Mwanafunzi aweze kuandika maelezo mafupi kuhusu mandhari ya novela |
Ni mazingira gani ya matukio yaliyokuvutia katika vitabu vya hadithi ambavyo umewahi kusoma?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 86-88
Kapu maneno Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
10 | 2 |
Ulanguzi wa Binadamu
|
Kusoma kwa kina
Kuandika; Viakifishi: Kiulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza maana ya ploti. Kueleza umuhimu wa ploti katika novela. Kuandika maelezo kuhusu ploti ya novela aliyoisoma. Kuchangamkia kusoma novela mbalimbali. |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya ploti
Wakiwa wawiliwawili au katika vikundi, wanafunzi waweze kueleza umuhimu wa ploti katika novela Wanafunzi waweze kuandika maelezo kuhusu ploti ya novela aliyoisoma |
Je, ni matukio gani muhimu yaliyo katika novela aliyosoma?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 32-34
Kapu maneno Kamusi Majarida Michoro na picha KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 91 |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
10 | 3 |
Ulanguzi wa Binadamu
|
Kuandika; Viakifishi: Koma
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza matumizi ya koma katika maandishi. Kuandika sentensi akitumia alama ya koma. Kutumia koma mahali panapofaa katika sentensi. Kuchangamkia matumizi ya kiulizi. |
Mwanafunzi aweze
kueleza matumizi ya koma katika maandishi. Mwanafunzi aweze kuandika sentensi akitumia alama ya koma Mwanafunzi aweze kutumia koma mahali panapofaa katika sentensi |
Je, koma hutumiwa vipi katika maandishi?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 91-92
Kapu maneno Kamusi Majarida |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
10 | 4 |
Ulanguzi wa Binadamu
|
Sarufi; Ngeli ya A-WA
Sarufi; Ngeli ya U-I |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kuandika nomino za ngeli ya A-WA zilizo kwenye kitabu cha mwanafunzi. Kusoma ushairi, 'Ulanguzi gonjwa baya' kisha kutambua nomino za ngeli ya A-WA Kuchangamkia matumizi ya ngeli ya A-WA |
Mwanafunzi aweze kuandika nomino za ngeli ya A-WA zilizo kwenye kitabu cha mwanafunzi
Mwanafunzi aweze kusoma ushairi, 'Ulanguzi gonjwa baya' kisha kutambua nomino za ngeli ya A-WA |
Ni vitu gani katika mazingira yako vilivyo na majina yanayopatikana katika ngeli ya A-WA?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 93-94
Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 94-96 Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
11 | 1 |
Matumizi ya Vifaa vya Kidijitali katika mawasiliano
|
Kusikiliza na kuzungumza; Kusikiliza kwa kina
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kusikiliza silabi zitakozotamkwa na mwalimu au kurekodiwa. Kuandika maneno yaliyotamkwa yenye sauti d na nd. Kuchangamkia kukariri silabi za sauti d na nd katika silabi na maneno. |
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze kusikiliza silabi zitakozotamkwa na mwalimu au kurekodiwa.
Mkiwa wawili, wanafunzi kuandika maneno yaliyotamkwa yenye sauti d na nd. |
Ni maneno gani unayojua ambayo yana sauti d au nd?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 97
Kapu maneno Mabango Kamusi Majarida |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
11 | 2 |
Matumizi ya Vifaa vya Kidijitali katika mawasiliano
|
Kusikiliza na kuzungumza; Kusikiliza kwa kina
Kusoma; Ufahamu wa kifungu cha kushawishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno (/d/ na /nd/) Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi (/d/ na /nd/) Kufurahia kutunga vitanzandimi zenye silabi /d/ na /nd/ |
Wanafunzi, kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno (/d/ na /nd/)
Wanafunzi waweze kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi (/d/ na /nd/) |
Je, ni maneno gani yenye sauti /d/ na /nd/?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 97-98
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 98-100 Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
11 | 3 |
Matumizi ya Vifaa vya Kidijitali katika mawasiliano
|
Kuandika; Insha za kubuni: Masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutaja vipengele vinavyozingatiwa kujenga wazo katika insha ya masimulizi. Kuandika insha ya masimulizi, 'Safari ya ajabu' Kuchangamkia kuandika insha ya masimulizi. |
Mwanafunzi aweze kutaja vipengele vinavyozingatiwa kujenga wazo katika insha ya masimulizi
Mwanafunzi aweze kuandika insha ya masimulizi, 'Safari ya ajabu' |
Ni mambo yapi yaliyokuvutia uliposimuliwa kisa fulani?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 100-101
Kapu maneno Mabango Kamusi Majarida |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
11 | 4 |
Matumizi ya Vifaa vya Kidijitali katika mawasiliano
|
Sarufi; Ngeli na upatanisho wa kisarufi: Ngeli ya KI-VI
Sarufi; Ngeli na upatanisho wa kisarufi: Ngeli ya LI-YA |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kuandika nomino za ngeli ya KI-VI zilizo kwenye kitabu cha mwanafunzi. Kutunga sentensi katika umoja na wingi kwa kutumia ngeli ya KI-VI Kuchangamkia matumizi ya ngeli ya KI-VI |
Mwanafunzi aweze kuandika nomino za ngeli ya KI-VI zilizo kwenye kitabu cha mwanafunzi
Mwanafunzi aweze Kutunga sentensi katika umoja na wingi kwa kutumia ngeli ya KI-VI |
Ni vitu gani katika mazingira yako ya shuleni vilivyo katika ngeli ya K-VI?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 102-104
Mabango Kamusi Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 104-106 Majarida Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
12 | 1 |
Kuthamini
|
Kusikiliza na Kuzungumza; Nyimbo za kazi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutaja nyimbo za kazi anazozijua katika jamii yake. Kutambua mazingira ambamo nyimbo za kazi huimbwa. Kusikiliza wimbo ufuatao ukiimbwa na mwalimu. Kuchangamkia kuimba nyimbo za kazi. |
Mwanafunzi aweze kutaja nyimbo za kazi anazozijua katika jamii yake
Mwanafunzi aweze kutambua mazingira ambamo nyimbo za kazi huimbwa Mwanafunzi aweze kusikiliza wimbo ufuatao ukiimbwa na mwalimu |
Je, unajua nyimbo gani?
Je, unajua nyimbo gani za kazi?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 107-109
Kamusi Michoro na picha Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 109-110 Kapu maneno Chati Mabango Majarida |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
12 | 2 |
Kuthamini
|
Kusoma; Kusoma kwa kina- Wahusika
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kusoma novela iliyoteuliwa. Kutaja sifa za wahusika katika novela. Kueleza uhusiano kati ya wahusika katika novela. Kutathmini umuhimu wa kusoma novela. |
Wakiwa wawiliwawili, wanafunzi waweze kusoma novela iliyoteuliwa
Wanafunzi waweze kutaja sifa za wahusika katika novela. Wanafunzi waweze kueleza uhusiano kati ya wahusika katika novela |
Je, unawakumbuka wahusika gani katika novela uliyosoma?
Ni mambo gani yanayokuwezesha kuwakumbuka wahusika katika novela uliyosoma?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 110-112
Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
12 | 3 |
Kuthamini
|
Kuandika; Barua ya kuomba msamaha
Sarufi; Vinyume vya maneno: Vinyume vya nomino |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza umuhimu wa barua rasmi ya kuomba msamaha. Kutaja vipengele vya kimuundo vya barua rasmi ya kuomba msamaha. Kuandika barua rasmi ya kuomba rasmi. Kutathmini umuhimu wa kuomba msamaha. |
Mwanafunzi aweze kueleza umuhimu wa barua rasmi ya kuomba msamaha
Mwanafunzi aweze kutaja vipengele vya kimuundo vya barua rasmi ya kuomba msamaha Mwanafunzi aweze kuandika barua rasmi ya kuomba rasmi |
Je, ni mambo gani ambayo yanaweza kukufanya uombe msamaha?
Utazingatia nini unapoandika barua rasmi ya kuomba msamaha?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 112-114
Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 114-117 Kapu maneno Mabango |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
12 | 4 |
Kuthamini
|
Sarufi; Vinyume vya maneno: Vinyume vya vivumishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutambua vinyume vya vivumishi katika fungu la maneno. Kutunga sentensi akitumia vinyume vya vivumishi. Kuchangamkia kutumia vinyume vya vivumishi. |
Mwanafunzi aweze kutambua vinyume vya vivumishi katika fungu la maneno
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi akitumia vinyume vya vivumishi |
Je, unatumia vipi vinyume vya nomino?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 117-118
Kamusi Majarida Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
Your Name Comes Here