If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
1 |
Kufungua na kudurusu mitihani |
||||||||
2 | 1 |
USAFI WA MAZINGIRA
Kusikiliza na Kuzungumza |
Kusikiliza na kujibu: mjadala
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusikiliza mjadala -Kuchangamkia umuhimu wa kusikiliza mjadala |
-Kujadili vipengele vya kuzingatia wakati wa kusikiliza mjadala -Kusikiliza mjadala kuhusu usafi wa mazingira |
Je, unazingatia nini wakati wa kusikiliza mjadala?
|
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 1
|
-Kutambua vipengele vya kusikiliza mjadala
-Kushiriki mjadala kwa kuzingatia vipengele vya kusikiliza
|
|
2 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma |
Kusikiliza na kujibu: mjadala
Kusoma kwa ufahamu: kifungu cha simulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kuchangia mjadala -Kuchangamkia kushiriki katika mijadala |
-Kujadili vipengele vya kuzingatia wakati wa kuchangia mjadala -Kushiriki katika mjadala kuhusu usafi wa mazingira |
Je, unazingatia nini wakati wa kuchangia mjadala?
|
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 2
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 5 |
-Kutambua vipengele vya kuchangia mjadala
-Kushiriki mjadala kwa kuzingatia vipengele vifaavyo
|
|
2 | 3 |
Kusoma
Kuandika |
Kusoma kwa ufahamu: kifungu cha simulizi
Viakifishi: koloni |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -Kufanya utabiri na ufasiri kutokana na kifungu cha simulizi -Kuelezea maana ya msamiati katika kifungu cha simulizi |
-Kufanya utabiri na ufasiri -Kutambua na kuelezea maana ya msamiati |
Je, ni mambo gani yanayoweza kukusaidia kuelewa kifungu cha simulizi?
|
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 6
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 9 |
-Kufanya utabiri na ufasiri
-Kuelezea maana ya msamiati
|
|
2 | 4 |
Kuandika
Sarufi |
Viakifishi: semi koloni
Vihusishi vya mahali |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -Kutambua alama ya semi koloni -Kutumia alama ya semi koloni ipasavyo katika matini -Kuchangamkia matumizi ya alama ya semi koloni katika maandishi |
-Kutambua alama ya semi koloni katika sentensi -Kujadili matumizi ya semi koloni -Kutumia semi koloni katika sentensi na vifungu -Kurekebisha vifungu vya maandishi kwa kutumia alama ya semi koloni ipasavyo |
Je, alama ya semi koloni hutumiwa vipi katika maandishi?
|
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 11
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 14 |
-Kutambua alama ya semi koloni
-Kutumia alama ya semi koloni ipasavyo
-Kurekebisha makosa ya matumizi ya alama ya semi koloni
|
|
3 | 1 |
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza |
Vihusishi vya wakati
Semi: vitendawili |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -Kutambua vihusishi vya wakati -Kutumia vihusishi vya wakati ipasavyo katika matini -Kuchangamkia matumizi bora ya vihusishi vya wakati |
-Kutambua vihusishi vya wakati katika sentensi -Kutumia vihusishi vya wakati katika sentensi -Kutunga vifungu vifupi kwa kutumia vihusishi vya wakati |
Je, vihusishi vya wakati vinatumika wakati gani?
|
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 16
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 51 |
-Kutambua vihusishi vya wakati
-Kutumia vihusishi vya wakati ipasavyo
-Kutunga sentensi kwa kutumia vihusishi vya wakati
|
|
3 | 2 |
UTUNZAJI WA MALIASILI
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma |
Semi: nahau
Kusoma kwa ufasaha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -Kutambua nahau -Kueleza maana ya nahau -Kuchangamkia matumizi ya nahau |
-Kutambua nahau katika picha -Kujadili maana ya nahau -Kutaja mifano ya nahau -Kueleza maana za nahau |
Je, ni nahau gani unazozijua?
|
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 54
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 57 |
-Kutambua nahau
-Kueleza maana za nahau
-Kutumia nahau ipasavyo
|
|
3 | 3 |
Kusoma
Kuandika |
Kusoma kwa ufasaha
Insha za kubuni: masimulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -Kusoma kwa kuzingatia ishara za mwili -Kusoma kwa kuwasiliana na hadhira -Kuchangamkia usomaji bora |
-Kusoma kifungu kwa kuzingatia ishara za mwili -Kusoma kifungu kwa kuwasiliana na hadhira -Kutambua makosa wakati wa kusoma -Kufanya marekebisho wakati wa kusoma |
Ni vipengele gani vya kuzingatia katika usomaji wa ufasaha?
|
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 58
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 60 |
-Kusoma kwa kuzingatia ishara za mwili
-Kusoma kwa kuwasiliana na hadhira
-Kutambua na kurekebisha makosa ya usomaji
|
|
3 | 4 |
Kuandika
Sarufi |
Insha za kubuni: masimulizi
Nyakati na hali: -ki -ya masharti |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -Kutambua mandhari katika insha ya masimulizi -Kuandika insha ya masimulizi ukizingatia lugha ya kitamathali, matendo ya wahusika na mandhari yanayofaa -Kuchangamkia uandishi wa insha za masimulizi |
-Kutambua mandhari katika insha ya masimulizi kuhusu utunzaji wa maliasili -Kujadili kuhusu mambo yanayofaa kutumika katika insha ya masimulizi -Kuandika insha ya masimulizi kuhusu utunzaji wa maliasili |
Ni mandhari gani yanayofaa kutumika katika insha ya masimulizi?
|
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 61
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 62 |
-Kutambua mandhari katika insha ya masimulizi
-Kuandika insha ya masimulizi ukizingatia lugha ya kitamathali, matendo ya wahusika na mandhari yanayofaa
|
|
4 | 1 |
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Nyakati na hali: -ka
-ya kufuatana kwa vitendo
Ufahamu wa kusikiliza Ufahamu wa kusikiliza |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -Kutambua matumizi ya -ka -ya kufuatana kwa vitendo -Kutumia -ka -ya kufuatana kwa vitendo ipasavyo katika matini -Kuchangamkia matumizi ya -ka -ya kufuatana kwa vitendo |
-Kusoma sentensi zenye -ka -ya kufuatana kwa vitendo -Kutambua matumizi ya -ka -ya kufuatana kwa vitendo -Kutumia -ka -ya kufuatana kwa vitendo ipasavyo katika sentensi -Kutunga sentensi kwa kutumia -ka -ya kufuatana kwa vitendo |
Je, -ka
-ya kufuatana kwa vitendo hutumiwa wakati gani katika sentensi?
|
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 64
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 70 Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 72 |
-Kutambua matumizi ya -ka
-ya kufuatana kwa vitendo
-Kutumia -ka
-ya kufuatana kwa vitendo ipasavyo katika sentensi
-Kutunga sentensi zenye -ka
-ya kufuatana kwa vitendo
|
|
4 | 2 |
MITAZAMO HASI YA KIJINSIA
Kusoma Kusoma |
Kusoma kwa ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha ufahamu -Kupanga matukio yanavyofuatana -Kuchangamkia usomaji wa vifungu vya ufahamu |
-Kusoma kifungu cha ufahamu kuhusu mitazamo hasi ya kijinsia -Kutambua habari mahususi katika kifungu cha ufahamu -Kupanga matukio yanavyofuatana katika kifungu cha ufahamu |
Kwa nini tunasoma kifungu cha ufahamu?
|
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 73
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 75 |
-Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha ufahamu
-Kupanga matukio yanavyofuatana katika kifungu cha ufahamu
|
|
4 | 3 |
Kuandika
|
Insha za kiuamilifu: shajara
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -Kueleza maana ya shajara -Kutambua vipengele vya shajara -Kuchangamkia uandishi wa shajara |
-Kutambua maana ya shajara -Kusoma kielelezo cha shajara -Kujadili vipengele vya shajara -Kujadili umuhimu wa shajara |
Kwa nini watu hutumia shajara?
|
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 76
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 78 |
-Kueleza maana ya shajara
-Kutambua vipengele vya shajara
|
|
4 | 4 |
Sarufi
|
Hali za masharti: hali ya masharti -nge-
Hali za masharti: hali ya masharti -ngali- |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -Kueleza maana ya hali ya masharti -Kutambua matumizi ya hali ya masharti -nge- -Kuchangamkia matumizi ya hali ya masharti -nge- |
-Kusoma sentensi zenye hali ya masharti -nge- -Kujadili maana ya hali ya masharti -Kutambua matumizi ya hali ya masharti -nge- -Kutumia hali ya masharti -nge -katika sentensi |
Je, unapotaka kuonyesha hali ya masharti unatumia viambishi gani?
|
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 79
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 82 |
-Kueleza maana ya hali ya masharti
-Kutambua matumizi ya hali ya masharti -nge-
-Kutumia hali ya masharti -nge
-ipasavyo
|
|
5 | 1 |
USALAMA BARABARANI
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Kusikiliza kwa kufasiri
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -Kueleza maana ya kusikiliza kwa kufasiri -Kutambua vipengele vya kusikiliza kwa kufasiri -Kuchangamkia kusikiliza kwa kufasiri |
-Kusikiliza matini kuhusu usalama barabarani -Kutambua misimamo mbalimbali katika matini iliyosikilizwa -Kutoa maoni kuhusu misimamo hiyo -Kujadili namna ya kutambua misimamo mbalimbali |
Ni misimamo gani iliyopo katika matini ulizowahi kusikiliza?
|
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 85
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 86 |
-Kueleza maana ya kusikiliza kwa kufasiri
-Kutambua vipengele vya kusikiliza kwa kufasiri
|
|
5 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa kina: maudhui katika shairi
Kusoma kwa kina: dhamira katika shairi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -Kueleza maana ya maudhui katika fasihi -Kutambua maudhui katika shairi -Kuchangamkia usomaji wa mashairi |
-Kusoma shairi kuhusu usalama barabarani -Kutambua maudhui yanayojitokeza kwenye shairi -Kujadili maudhui katika shairi -Kuchambua maudhui katika shairi |
Je, mashairi uliyowahi kusoma yalizungumzia nini?
|
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 88
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 89 |
-Kueleza maana ya maudhui katika fasihi
-Kutambua maudhui katika shairi
|
|
5 | 3 |
Kuandika
|
Insha za kubuni: methali
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -Kueleza maana ya insha ya methali -Kutambua vipengele vya insha ya methali -Kuchangamkia uandishi wa insha za methali |
-Kusoma kielelezo cha insha ya methali -Kutambua vipengele vya insha ya methali -Kujadili lugha inayotumika katika insha ya methali |
Unahitaji kufanya nini unapoandika insha ya methali?
|
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 90
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 92 |
-Kueleza maana ya insha ya methali
-Kutambua vipengele vya insha ya methali
|
|
5 | 4 |
Sarufi
|
Vielezi vya namna
Vielezi vya wakati |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -Kutambua vielezi vya namna -Kutumia vielezi vya namna ipasavyo katika matini -Kuchangamkia matumizi ya vielezi vya namna |
-Kusoma sentensi zenye vielezi vya namna -Kutambua vielezi vya namna katika sentensi -Kutumia vielezi vya namna katika sentensi -Kutunga sentensi kwa kutumia vielezi vya namna |
Ni vielezi vipi unavyojua?
|
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 93
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 95 |
-Kutambua vielezi vya namna
-Kutumia vielezi vya namna ipasavyo
|
|
6 | 1 |
HUDUMA KATIKA ASASI ZA KIJAMII
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma |
Kusikiliza kwa kutathmini
Ufupisho |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -Kueleza maana ya kusikiliza kwa kutathmini -Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusikiliza kwa kutathmini -Kuchangamkia kusikiliza kwa kutathmini |
-Kusikiliza mazungumzo kuhusu huduma katika asasi za kijamii -Kutambua vipengele vya kuzingatia wakati wa kusikiliza kwa kutathmini -Kujadili maana ya kusikiliza kwa kutathmini |
Unazingatia nini ili kutambua ikiwa mzungumzaji anasema ukweli?
|
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 99
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 101 Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 103 |
-Kueleza maana ya kusikiliza kwa kutathmini
-Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusikiliza kwa kutathmini
|
|
6 | 2 |
Kusoma
Kuandika |
Ufupisho
Insha za kubuni: maelezo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -Kujadili vipengele vya ufupisho -Kufupisha kifungu akizingatia vipengele vya ufupisho -Kuchangamkia ufupisho wa habari za kifungu |
-Kusoma kifungu kuhusu huduma katika asasi za kijamii -Kutambua habari kuu za kila aya -Kufupisha habari za kifungu kwa sentensi mojamoja kwa kila aya -Kuandika ufupisho wa kifungu chote |
Ni vipengele vipi vya kuzingatia katika kufupisha habari za kifungu?
|
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 105
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 106 |
-Kujadili vipengele vya ufupisho
-Kufupisha kifungu akizingatia vipengele vya ufupisho
|
|
6 | 3 |
Kuandika
Sarufi |
Insha za kubuni: maelezo
Vielezi vya mahali |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -Kujadili umuhimu wa kutumia lugha inayoathiri hisia katika insha ya maelezo -Kutumia ipasavyo lugha inayoathiri hisia katika kuandika insha ya maelezo -Kuchangamkia uandishi wa insha za maelezo |
-Kujadili jinsi insha ya maelezo inavyochangia katika kushawishi, kuburudisha, kupasha habari au kufunza -Kujadili umuhimu wa kutumia lugha inayoathiri hisia -Kuandika insha ya maelezo kuhusu kutoa huduma katika asasi za kijamii -Kutumia lugha inayoathiri hisia ya msomaji |
Unapotoa maelezo kuhusu jambo fulani, utatumia aina gani za maneno ili maelezo yako yaathiri hisia?
|
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 108
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 109 |
-Kujadili umuhimu wa kutumia lugha inayoathiri hisia
-Kutumia ipasavyo lugha inayoathiri hisia katika kuandika insha ya maelezo
|
|
6 | 4 |
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza |
Vielezi vya idadi
Uzungumzaji wa kushawishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -Kutambua vielezi vya idadi -Kutumia vielezi vya idadi ipasavyo katika matini -Kuchangamkia matumizi ya vielezi vya idadi |
-Kutambua vielezi vya idadi katika picha na sentensi -Kujadili maana ya vielezi vya idadi -Kutaja mifano ya vielezi vya idadi -Kutunga sentensi kwa kutumia vielezi vya idadi |
Ni idadi gani zinazoweza kutajwa kwa kutumia vielezi vya idadi?
|
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 111
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 116 |
-Kutambua vielezi vya idadi
-Kutumia vielezi vya idadi ipasavyo
|
|
7 | 1 |
MISUKOSUKO YA KIJAMII
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma |
Uzungumzaji wa kushawishi
Kusoma kwa kina: mandhari katika shairi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -Kujadili vipengele vya kuzingatia katika uzungumzaji wa kushawishi -Kufanya mazungumzo ya kushawishi ukizingatia vipengele vya uzungumzaji wa kushawishi -Kuchangamkia uzungumzaji wa kushawishi |
-Kujadili vipengele vya uzungumzaji wa kushawishi -Kubuni na kuigiza mazungumzo ya kushawishi kuhusu misukosuko ya kijamii -Kufanya mazungumzo ya kushawishi ukizingatia vipengele vya uzungumzaji wa kushawishi |
Utafanya nini ili mazungumzo yako yawe na ushawishi kwa wengine?
|
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 118
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 119 |
-Kujadili vipengele vya kuzingatia katika uzungumzaji wa kushawishi
-Kufanya mazungumzo ya kushawishi ukizingatia vipengele vya uzungumzaji wa kushawishi
|
|
7 | 2 |
Kusoma
Kuandika |
Kusoma kwa kina: mandhari katika shairi
Viakifishi: mabano |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -Kufafanua vipengele vya muundo katika shairi -Kuchambua shairi kwa kuzingatia mandhari -Kuchangamkia usomaji wa mashairi |
-Kusoma shairi kuhusu misukosuko ya kijamii -Kutambua vipengele vya muundo kama vile beti, mishororo, mizani, vina, vipande na mshororo wa mwisho -Kuchambua muundo wa shairi |
Vipengele vya muundo katika shairi vinahusu nini?
|
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 120
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 122 |
-Kufafanua vipengele vya muundo katika shairi
-Kuchambua shairi kwa kuzingatia mandhari na muundo
|
|
7 | 3 |
Kuandika
Sarufi |
Viakifishi: kistari kifupi
Ngeli na upatanisho wa kisarufi: ngeli ya U-ZI |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -Kutambua matumizi ya kistari kifupi -Kutumia kistari kifupi ipasavyo -Kuchangamkia matumizi ya kistari kifupi katika maandishi |
-Kutambua alama ya kistari kifupi -Kusoma sentensi zenye kistari kifupi -Kujadili matumizi ya kistari kifupi -Kutumia kistari kifupi ipasavyo katika sentensi |
Je, kistari kifupi hutumiwa vipi katika matini?
|
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 124
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 126 |
-Kutambua matumizi ya kistari kifupi
-Kutumia kistari kifupi ipasavyo
|
|
7 | 4 |
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza |
Ngeli na upatanisho wa kisarufi: ngeli ya YA-YA
Kusikiliza kwa kina: sauti j na nj |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya YA-YA katika sentensi -Kutambua nomino za ngeli ya YA-YA -Kuchangamkia matumizi ya ngeli ya YA-YA |
-Kusoma sentensi zenye nomino za ngeli ya YA-YA -Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya YA-YA -Kutaja mifano ya nomino za ngeli ya YA-YA -Kutumia nomino za ngeli ya YA-YA katika sentensi |
Ni vitu gani katika mazingira yako vyenye majina yaliyo katika ngeli ya YA-YA?
|
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 130
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 135 |
-Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya YA-YA
-Kutambua nomino za ngeli ya YA-YA
-Kutumia nomino za ngeli ya YA-YA kwa kuzingatia upatanisho ufaao wa kisarufi
|
|
8 | 1 |
MATUMIZI YA VIFAA VYA KIDIJITALI KATIKA BIASHARA
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma |
Kusikiliza kwa kina: sauti j na nj
Ufahamu wa kifungu cha kushawishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -Kutofautisha sauti j na nj kimatamshi -Kutumia maneno yenye sauti j na nj ipasavyo katika matini -Kuchangamkia matamshi bora ya sauti j na nj |
-Kutamka vitanzandimi vyenye sauti j na nj -Kuunda vitanzandimi vyenye sauti j na nj -Kusoma vifungu vyenye sauti j na nj |
Ni maneno gani yanayotatanisha katika matamshi ya sauti j na nj?
|
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 136
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 137 |
-Kutofautisha sauti j na nj kimatamshi
-Kutamka vitanzandimi vyenye sauti j na nj ipasavyo
-Kuunda vitanzandimi vyenye sauti j na nj
|
|
8 | 2 |
Kusoma
Kuandika Kuandika |
Ufahamu wa kifungu cha kushawishi
Insha za kubuni: masimulizi Insha za kubuni: masimulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -Kueleza ujumbe wa kifungu cha kushawishi -Kufupisha kifungu cha kushawishi kwa aya moja -Kuchangamkia usomaji wa vifungu vya kushawishi |
-Kueleza ujumbe wa kifungu cha kushawishi kuhusu matumizi ya vifaa vya kidijitali katika biashara -Kufupisha kifungu hicho kwa aya moja -Kueleza funzo linalojitokeza katika kifungu hicho |
Je, kifungu hicho kinatumia mbinu zipi za kushawishi?
|
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 139
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 140 Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 142 |
-Kueleza ujumbe wa kifungu cha kushawishi
-Kufupisha kifungu cha kushawishi kwa aya moja
|
|
8-9 |
Likizo fupi |
||||||||
9 | 2 |
Sarufi
|
Ngeli na upatanisho wa kisarufi: ngeli ya LI
Ngeli na upatanisho wa kisarufi: ngeli ya KU |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya LI katika sentensi -Kutambua nomino za ngeli ya LI -Kuchangamkia matumizi ya ngeli ya LI |
-Kusoma sentensi zenye nomino za ngeli ya LI -Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya LI -Kutaja mifano ya nomino za ngeli ya LI -Kutumia nomino za ngeli ya LI katika sentensi |
Ni vitu gani katika mazingira yako vyenye majina yaliyo katika ngeli ya LI?
|
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 143
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 147 |
-Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya LI
-Kutambua nomino za ngeli ya LI
-Kutumia nomino za ngeli ya LI kwa kuzingatia upatanisho ufaao wa kisarufi
|
|
9 | 3 |
KUKABILIANA NA MSONGO WA MAWAZO
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Mazungumzo: Malumbano ya utani
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, -kueleza maana ya malumbano ya utani kama kipera cha mazungumzo, -kujadili sifa za malumbano ya utani, -kutambua vipengele vya uwasilishaji wa malumbano ya utani. |
- Kueleza maana ya malumbano ya utani akiwa na mwenzake
-Kujadili sifa za malumbano ya utani akishirikiana na wenzake katika kikundi -Kutambua vipengele vya kimsingi vya uwasilishaji wa malumbano ya utani -Kusikiliza malumbano ya utani katika vifaa vya kidijitali au kutoka kwa mgeni mwalikwa au mwalimu na kutambua vipengele vya kimsingi katika uwasilishaji |
Malumbano ya utani huzungumzia nini?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 152 |
Kutambua sifa za malumbano ya utani
|
|
9 | 4 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Kina: Wahusika katika shairi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, -kueleza maana ya wahusika katika fasihi, -kutambua wahusika katika shairi, -kujadili sifa za wahusika katika shairi. |
- Kutafiti mtandaoni au maktabani maana ya wahusika katika fasihi
-Kutambua wahusika (k.v. nafsineni) katika shairi akishirikiana na wenzake -Kuchambua wahusika katika shairi akiwa na wenzake -Kujadili na wenzake sifa za wahusika katika shairi |
Ni wahusika aina gani waliopo katika mashairi uliyowahi kusoma?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 155 |
Kutambua wahusika katika shairi
|
|
10 | 1 |
Kuandika
|
Barua ya kuomba kazi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, -kueleza maana ya barua rasmi ya kuomba kazi, -kutambua vipengele vya barua rasmi ya kuomba kazi. |
- Kueleza maana ya barua rasmi ya kuomba kazi
-Kutambua vipengele vya barua rasmi ya kuomba kazi akiwa na wenzake -Kutambua ujumbe unaoafiki barua rasmi ya kuomba kazi kwa kujadiliana na mwenzake -Kutambua na kutumia lugha inayofaa kwa uandishi wa barua rasmi ya kuomba kazi kwa kujadili na wenzake -Kujadili kwa madhumuni ya kufahamu muundo wa barua rasmi ya kuomba kazi |
Je, unazingatia nini unapoandika barua rasmi ya kuomba kazi?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 157 |
Kutambua vipengele vya barua rasmi ya kuomba kazi
|
|
10 | 2 |
Sarufi
|
Vinyume vya vihusishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, -kueleza maana ya vinyume vya vihusishi, -kutambua vinyume vya vihusishi katika matini. |
- Kueleza maana ya vinyume vya vihusishi
-Kutambua matumizi sahihi ya vinyume vya vihusishi kutoka katika vitabu, tarakilishi au chati akiwa na wenzake au katika kikundi -Kuchagua sentensi zinazoashiria matumizi ya vinyume vya vihusishi kutokana na mchanganyiko wa sentensi kutoka katika vitabu, tarakilishi, chati kwa kuzikolezea wino au kuzipigia mstari |
1. Ni vihusishi gani unavyovijua?
-2. Ni mambo gani yanayoonyeshwa na vinyume vya vihusishi?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 159 |
Kutambua vinyume vya vihusishi katika matini
|
|
10 | 3 |
HAKI ZA KIBINADAMU
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Uzungumzaji katika sherehe
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, -kueleza maana ya uzungumzaji katika sherehe, -kutambua miktadha katika jamii ambapo uzungumzaji katika sherehe hufanywa, -kujadili ujumbe tofautitofauti unaoafiki uzungumzaji katika miktadha mbalimbali ya sherehe. |
- Kueleza maana ya uzungumzaji katika sherehe akishirikiana na wenzake
-Kutambua miktadha katika jamii yake ambamo uzungumzaji katika miktadha ya sherehe hufanywa akishirikiana na wenzake -Kusakura katika mtandao kutafiti ujumbe unaoafiki uzungumzaji katika miktadha mbalimbali ya sherehe akishirikiana na wenzake -Kusikiliza uzungumzaji wa aina mbalimbali kutoka kwenye vifaa vya kidijitali, mwalimu au mgeni mwalikwa na kubainisha ule unaohusu muktadha ya sherehe |
Ni mambo gani ya kuzingatia wakati wa kuzungumza katika muktadha wa sherehe?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 164 |
Kutambua miktadha ya uzungumzaji katika sherehe
|
|
10 | 4 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Mapana
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, -kuteua matini ya kusoma ya kiwango chake, -kueleza ujumbe katika matini ya kujichagulia, -kutambua maana ya msamiati na matumizi mengine ya lugha katika matini ya kujichagulia. |
- Kuchagua matini ya kiwango chake na kuisoma
-Kueleza wenzake ujumbe wa matini ya kujichagulia aliyosoma -Kutambua msamiati uliotumiwa katika matini ya kujichagulia -Kutumia kamusi kutafuta maana ya maneno asiyoyajua akishirikiana na wenzake -Kujenga rekodi ya msamiati na matumizi mengine ya lugha aliyojifunza katika kitabu au shajara yake |
1. Unazingatia nini unapochagua matini ya kusoma?
-2. Ni mambo gani unayozingatia wakati wa kusoma matini ya kujichagulia?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 166 |
Kueleza ujumbe katika matini ya kujichagulia
|
|
11 | 1 |
Kuandika
Sarufi |
Insha za Kubuni: Maelezo
Mnyambuliko wa vitenzi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, -kujadili mitazamo katika insha za maelezo, -kuandika mswada wa insha ya maelezo akizingatia mtazamo mahususi. |
- Kutambua mitazamo mbalimbali ya kimaelezo katika insha za maelezo akiwa na wenzake
-Kushirikiana na wenzake kueleza mitazamo mbalimbali ya kimaelezo katika insha za maelezo -Kuandika vidokezo vya insha vinavyozingatia mitazamo ya kimaelezo atakayotumia katika insha yake ya maelezo -Kuandika mswada wa insha ya maelezo akizingatia mtazamo ya kimaelezo aliyochagua kutumia |
Je, ni mambo gani ya kuzingatia katika kuandika insha ya maelezo?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 167 -Ukurasa 170 |
Kutambua mitazamo mbalimbali katika insha za maelezo
|
|
11 | 2 |
MAGONJWA YANAYOTOKANA NA MIENENDO YA MAISHA
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Ufahamu wa kusikiliza
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, -kueleza habari katika matini ya kusikiliza, -kukadiria maana ya msamiati mahususi na vifungu katika matini ya kusikiliza. |
- Kushirikiana na wenzake kueleza hoja muhimu katika habari aliyosikiliza kuhusu suala lengwa kutoka kwa mwalimu, kifaa cha kidijitali, mgeni mwalikwa au wenzake
-Kukadiria maana ya msamiati mahususi na vifungu katika matini ya kusikiliza akiwa na wenzake |
Je, kusikiliza kwa makini kuna manufaa gani?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 178 |
Kueleza habari katika matini ya kusikiliza
|
|
11 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, -kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora, -kusoma kifungu kwa kasi ifaayo, -kusoma kifungu kwa kutumia sauti ipasavyo. |
- Kujadiliana na wenzake vipengele vya kuzingatia katika kusoma makala kwa ufasaha
-Kutazama vielelezo vya video za watu wanaosoma kwa ufasaha makala akiwa na wenzake -Kusoma kifungu kuhusu suala lengwa katika matini andishi au ya kidijitali akizingatia matamshi bora -Kusoma kifungu cha habari kwa kasi ifaayo kuhusu suala lengwa -Kusoma kifungu akizingatia sauti ifaayo (k.v. kiwango cha sauti na kiimbo) |
Je, unazingatia nini unaposoma kifungu cha nathari?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 180 |
Kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora na kasi ifaayo
|
|
11 | 4 |
Kuandika
|
Hotuba ya kushawishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, -kueleza maana ya hotuba ya kushawishi ili kuitofautisha na aina nyingine za hotuba, -kujadili vipengele vya kuzingatia katika uandishi wa hotuba ya kushawishi. |
- Kueleza maana ya hotuba ya kushawishi akishirikiana na wenzake
-Kutambua hotuba ya kushawishi katika matini -Kujadili vipengele vya kuzingatia katika uandishi wa hotuba ya kushawishi akiwa na wenzake -Kusoma kielelezo cha hotuba ya kushawishi na kujadili vipengele vilivyotumiwa katika hotuba hiyo akiwa na wenzake -Kujadili na wenzake vidokezo vinavyoweza kutumiwa katika kuandika hotuba ya kushawishi |
Unazingatia nini ili kufanya hotuba kuwa na ushawishi kwa wasomaji?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 182 |
Kutambua vipengele vya hotuba ya kushawishi
|
|
12 | 1 |
Sarufi
|
Aina za sentensi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, -kueleza maana ya sentensi tata ili kuitofautisha na aina nyingine za sentensi, -kutambua sentensi tata katika matini. |
- Kutoa maelezo ya sentensi tata kwa usahihi
-Kutambua sentensi tata kwenye orodha ya sentensi kwenye vitabu, chati au tarakilishi kwa kuzipigia mstari au kuzikolezea wino akishirikiana na wenzake -Kutambua sentensi tata zinazojitokeza katika vifungu akiwa na wenzake katika kikundi |
Nini kinafanya sentensi kuwa tata?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 185 |
Kutambua sentensi tata katika matini
|
|
12 | 2 |
MSHIKAMANO WA KIJAMII
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Mazungumzo Mawaidha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya mawaidha -Kujadili ujumbe na sifa za mawaidha ya kifasihi -Kueleza vipengele vya uwasilishaji wa mawaidha -Kutambua washiriki katika mawaidha ya fasihi simulizi -Kuchangamkia kushiriki katika uchanganuzi wa wahusika katika tungo za fasihi simulizi |
-Kueleza maana ya mawaidha akishirikiana na wenzake katika kikundi
-Kujadili ujumbe wa mawaidha ya kifasihi akishirikiana na wenzake katika kikundi -Kujadili na wenzake sifa za mawaidha ya kifasihi -Kueleza vipengele vya uwasilishaji wa mawaidha -Kutambua washiriki (fanani, hadhira) katika mawaidha anayosikiliza |
Mawaidha hushirikisha kina nani?
|
MENTOR
-Kitabu cha Mwanafunzi -Gredi ya Tisa -Uk wa: 104 -Kifaa cha kidijitali -Kinasa sauti -Kapu maneno -Mgeni mwalikwa -Chati |
-Kutambua washiriki katika mawaidha ya fasihi simulizi
-Kuwasilisha mawaidha kwa kuzingatia vipengele vifaavyo vya uwasilishaji
|
|
12 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Kina - Ushairi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua mbinu za lugha katika fasihi -Kuchanganua matumizi ya lugha katika mashairi -Kutumia mbinu mbalimbali za lugha katika mashairi |
-Kutambua mbinu za lugha akiwa na wenzake katika kikundi
-Kujadili mbinu za lugha kwa mujibu wa mashairi aliyosoma akishirikiana na wenzake katika kikundi -Kutunga shairi jepesi (lisilozidi beti tatu) kwa kuzingatia mbinu mbalimbali za lugha akishirikiana na wenzake na kuliwasilisha darasani |
Matumizi ya lugha katika shairi yana umuhimi gani kwa msomaji?
|
MENTOR
-Kitabu cha Mwanafunzi -Gredi ya Tisa -Uk wa: 106 -Tarakilishi -Mtandao -Kamusi -Chati za mashairi |
-Kutambua mbinu za lugha katika fasihi
-Kutumia mbinu mbalimbali za lugha katika mashairi
|
|
12 | 4 |
Kuandika
Sarufi Sarufi |
Insha za Kubuni - Maelezo
Ukanushaji Ukanushaji |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya insha ya maelezo kuhusu hali -Kutambua vipengele vya insha ya maelezo kuhusu hali |
-Kujadili dhana ya insha ya maelezo kuhusu hali akiwa na mwenzake
-Kujadili vipengele vya insha ya maelezo kuhusu hali -Kutambua vipengele vya insha ya maelezo kuhusu hali katika kielelezo cha insha akiwa na wenzake |
Je, ni mambo gani ya kuzingatia katika kuandika insha ya maelezo kuhusu hali?
|
MENTOR
-Kitabu cha Mwanafunzi -Gredi ya Tisa -Uk wa: 108 -Vielelezo vya insha -Kamusi -Chati -Tarakilishi -Mtandao -Uk wa: 110 -Chati za sentensi -Kapu maneno -Kadi -Orodha ya sentensi |
-Kueleza maana ya insha ya maelezo kuhusu hali
-Kutambua vipengele vya insha ya maelezo kuhusu hali
|
|
14 |
Kusahihisha na kufunga shule |
Your Name Comes Here