If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
1 | 3 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Sifa za fasihi simulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya fasihi simulizi. -Kutaja sifa bainifu za tanzu hizo mbili. -Kutaja mifano za fasihi simulizi na andishi. |
Kueleza
Kujadiliana Kuandika Kuuliza maswali Kuigiza |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya fasihi simulizi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 1-2
|
|
1 | 4 |
Ufahamu
Sarufi |
Ufahamu
Upatanisho wa kisarufi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma kwa sauti na kimya. -Kujibu maswali. -Kubainisha umuhimu wa usalama barabarani. |
Kueleza
Kujadiliana Kuandika Kuuliza maswali Kuigiza Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 2-3
|
|
1 | 5 |
Sarufi
Kusoma |
Upatanisho wa kisarufi
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza upatanisho wa kisarufi kati ya nomino na vivumishi. -Kutambua upatanisho wa kisarufi kati ya nomino na viulizi. -Kutunga sentensi sahihi kutumia viulizi. |
Tajriba.
Maswali na majibu. Mifano. Mazoezi. Marudio |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 3-8
|
|
1 | 6 |
Kusoma (fasihi)
Kusoma |
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Kusoma kwa mapana |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutaja na kugusia yaliyomo katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi cha fasihi. -Kueleza mtiririko wa kitabu kwa muhtasari. -Kueleza dhamira ya riwaya teule. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
2 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Fasihi
Ufahamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana za fasihi simulizi na fasihi andishi -Kueleza tofauti kati ya fasihi andishi na fasihi simulizi. -Kutoa mifano ya vipera vya fasihi simulizi katika jamii (yake) |
Kueleza
Kusoma Kuigiza Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 10-11
|
|
2 | 2 |
Kusoma (fasihi)
|
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi. -Kueleza muktadha. -Kuchambua vipengele vya fasihi- lugha, maudhui, na fani. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
2 | 3 |
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma kwa kina |
Upatanisho wa kisarufi
Fasihi andishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana na manufaa ya upatanisho wa kisarufi. -Kukamilisha sentensi ili kuleta upatanisho wa kisarufi. -Kutunga sentensi zenye upatanisho wa kisarufi. |
Tajriba.
Maswali na majibu. Mifano. Mazoezi. Marudio |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 13-17
|
|
2 | 4 |
Kuandika
Kusoma (fasihi) |
Barua rasmi
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza muundo wa barua rasmi. -Kutaja sifa za barua rasmi. -Kuandika barua rasmi kwa mfadhili. |
Maelezo
Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 19-20
|
|
2 | 5 |
Kusoma (fasihi)
Kusikiliza na kuzungumza |
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Isimu jamii: Lugha ya itifaki |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kufafanua maudhui kwa kutoa mifano katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi. -Kueleza mtiririko wa kisa -Kuchambua vipengele vya fasihi- maudhui, wahusika na mbinu |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
2 | 6 |
Ufupisho
Sarufi na matumizi ya lugha |
Muhtasari
Aina za maneno: Nomino |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya sarufi. -Kueleza mambo muhimu ya kuzingatia katika ufupisho. -Kuandika muhtasari wa taarifa kwa usahihi. |
Kusoma
Majadiliano Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 22-23
|
|
3 |
Opener Exams |
|||||||
4 | 1 |
Kusoma kwa kina
Kusoma (fasihi) |
Maudhui katika fasihi andishi
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya maudhui na mafunzo. -Kufafanua maudhui ya fasihi andishi. -Kubainisha maudhui ya hadithi zozote katika mkusanyiko wa hadithi fupi. |
Maelezo
Ufafanuzi Majadiliano. Uchunguzi. Kazi ya vikundi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 25-26
|
|
4 | 2 |
Kusoma (fasihi)
Kuandika |
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Tahakiki |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kufafanua muundo wa Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi. -Kueleza mtindo na vipengele vyake katika riwaya. -Kutofautisha baina ya muundo na mtindo katika riwaya. |
Kusoma
Kujadili Kusikiliza Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
4 | 3 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kuandika |
Methali
Misemo Insha ya methali |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya methali. -Kufafanua matumizi ya methali. -Kutumia methali katika mazungumzo. |
Utafiti.
Mifano. Uchunguzi. Kazi mradi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 30-32
|
|
4 | 4 |
Kusoma (fasihi)
|
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza umuhimu wa lugha katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi. -Kuchambua tamathali na matumizi ya lugha katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi. -Kueleza sajili na muktadha wa lugha mbalimbali. |
Kusoma
Kuadili Kudodoso fani za lugha Kuandika Kuwasilisha mbele ya darasa |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
4 | 5 |
Kusikiliza na kuzungumza
Ufahamu |
Isimu jamii: Sajili ya bunge
Ufahamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya sajili katika lugha. -Kufafanua sifa za lugha ya sajili ya bunge. -Kuigiza mazungumzo na kutoa idhibati kuwa ni lugha ya bungeni. |
Kuandika
Kuuliza maswali Kujibu maswali Kuigiza Majadiliano. |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 47-48
|
|
4 | 6 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Aina za maneno: Vivumishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kuainisha vivumishi. -Kutoa mifano ya vivumishi. -Kutumia vivumishi katika sentensi. |
Maelezo
Ufafanuzi. Utafiti. Kutoa mifano |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 51-54
|
|
5 | 1 |
Kusoma (fasihi)
|
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutaja vipengele vya kutumia kupata maadili ya Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi. -Kueleza maana ya anwani na umuhimu wake. -Kufafanua wahusika na jinsi wanavyojenga maadili. |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha mbele ya darasa Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
5 | 2 |
Kusoma kwa kina
Kusikiliza na kuzungumza Kusikiliza na kuzungumza |
Muundo na mtindo katika mashairi arudhi
Fasihi simulizi: Mafumbo Fasihi simulizi: Misimu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana na umuhimu wa fani katika mashairi ya arudhi. -Kufafanua muundo, mtindo, wahusika, na matumizi ya lugha katika mashairi ya arudhi. -Kuchambua fani katika mashairi ya arudhi. |
Maelezo
Ufafanuzi. Majadiliano. Uchunguzi. Kazi ya vikundi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 54-56
|
|
5 | 3 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma (fasihi) |
Lakabu
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya lakabu. -Kufafanua sifa za lakabu. -Kutoa mifano ya lakabu. |
Usomaji.
Maelezo. Utafiti. Majadiliano |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 61-62
|
|
5 | 4 |
Kusoma (fasihi)
Ufahamu |
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Unene wa kuhatarisha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kupambanua falsafa na itihadi ya mwandishi wa riwaya. -Kutaja maadili katika riwaya. -Kuchambua vipengele tofauti za fasihi. |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha mbele ya darasa Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
5 | 5 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Vitenzi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya vitenzi. -Kubainisha vitenzi katika sentensi. -Kutunga sentensi kutumia vitenzi vikuu, visaidizi, vishirikishi, vipungufu na vitenzi sambamba |
Maelezo.
Mifano. Mazoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 64-67
|
|
5 | 6 |
Kusoma kwa kina
Kusoma (fasihi) |
Mashairi huru
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kufafanua wakati na sababu za kuchipua kwa mashairi huru. -Kueleza kuzuka kwa mtindo wa mashairi ya kisasa. -Kutoa maoni kuhusu mgogoro wa mashairi ya jadi na huru. |
Dayalojia
Maelezo Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 68-70
|
|
6 | 1 |
Kusoma (fasihi)
Kusoma |
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Tamathali za usemi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutaja wahusika wote kutoka Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi -Kutaja hulka (sifa) za wahusika katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi -Kufafanua sifa za wahusika kwa kutoa mifano katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
6 | 2 |
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi na matumizi ya lugha Kuandika |
Soga
Mnyambuliko wa vitenzi Uandishi wa tahariri |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya soga. -Kufafanua sifa za soga. -Kubainisha mafunzo katika soga. -Kutoa mfano wa soga |
Maelezo
Ufafanuzi. Ufaraguzi. Majadiliano. Maswali na majibu |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 84-86
|
|
6 | 3 |
Kusoma (fasihi)
|
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma kwa sauti na matamshi bora -Kupambanua sifa za wahusika, maudhui, mtindo wa mwandishi -Kujibu maswali. |
Kueleza
Kusoma Kujadili Kuzuru maktaba |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
6 | 4 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Ufahamu wa kusikiliza
Ufahamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma kwa sauti na kimya. Kujibu maswali. Kueleza ni funzo gani unalolipata kutokana na kisa ulichokisoma |
Kueleza
Kujadiliana Kuandika Kuuliza maswali Kuigiza Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya fasihi simulizi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 96-97
|
|
6 | 5 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Mnyambuliko vitenzi II
Mnyambuliko vitenzi vya silabi ya konsonanti moja |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza mnyambuliko wa vitenzi. Kuainisha kauli mbalimbali za vitenzi. Kufafanua maana ya vitenzi katika kauli mbalimbali. |
Ufafanuzi.
Maelezo. Mifano |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 98-100
|
|
6 | 6 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma sura ya kwanza ya hadithi fupi (Fadhili za punda) Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya kwanza. Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya kwanza. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
|
7 | 1 |
Kusoma kwa kina
Kuandika |
Muundo na mtindo katika fasihi andishi
Utafiti wa kazi za fasihi simulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kufafanua tofauti zilizopo kati ya dhana za muundo na mtindo wa kazi za fasihi andishi. Kueleza vipengele vya kimsingi vya kuzingatia katika fasihi andishi. Kupambanua mtindo wa tamthilia au hadihi fupi teule unayoisoma darasani. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 102-105
|
|
7 | 2 |
Fasihi
Kusikiliza na kuzungumza Kusoma (fasihi) |
Ushairi
Miviga Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kukariri shairi. Kuonyesha dhamira ya mshairi. Kueleza uhuru wa kishairi alizozitumia mshairi. |
Kueleza
Kusoma Kuigiza Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kamusi Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 112-113
|
|
7 | 3 |
Kusoma (fasihi)
Ufupisho |
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
Ufupisho |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma na kueleza maudhui katika sura ya pili. Kupambanua sifa za wahusika katika sura ya pili. Kujibu maswali. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi Kamusi |
Kitabu teule
|
|
7 | 4 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Aina za maneno; Vielezi
Aina za maneno; Viunganishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kutaja aina za vielezi. Kueleza aina za vielezi. Kutunga sentensi akitumia aina za vielezi. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 118-121 |
|
7 | 5 |
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma (fasihi) |
Aina za maneno; Vihusishi
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kutaja aina za vihusishi. Kueleza aina za vihusishi. Kueleza dhima ya vihusishi katika sentensi. Kutunga sentensi akitumia vihusishi. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 123-124 |
|
7 | 6 |
Kusoma (fasihi)
Sarufi na matumizi ya lugha |
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
Aina za maneno; Vihisishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma na kueleza maudhui katika sura ya nne na ya tano Kupambanua sifa za wahusika katika sura ya nne na ya tano Kujibu maswali. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
|
8 | 1 |
Kusoma kwa kina
Kuandika |
Mashairi ya arudhi
Memo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya shairi ya arudhi. Kufafanua maudhui ya shairi la arudhi. Kubainisha mafunzo ya shairi hilo. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 126-128
|
|
8 | 2 |
Kuandika
Kusoma (fasihi) Kusoma (fasihi) |
Baruameme
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo) Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kutambua maana ya baruameme Kueleza muundo wa baruameme. Kuandika baruameme. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 129-130 |
|
8 | 3 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza |
Ujumbe wa rununu
Ngano |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza umuhimu wa rununu Kueleza muundo wa ujumbe wa rununu Kuandika ujumbe wa rununu |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 130 |
|
8 | 4 |
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi na matumizi ya lugha |
Ngano
Uundaji wa maneno |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kutaja aina za ngano Kutoa mifano ya ngano, mfano mifano za ngano za mtanziko. Teua aina za wahusika wanaotumika katika ngano na ufafanue matumizi yao. |
Kusoma
Majadiliano Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 133-134
|
|
8 | 5 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma sura ya saba (Kila Mchezea Wembe) Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya saba. Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya saba. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
|
8 | 6 |
Kusoma kwa mapana
Kuandika |
Changamoto zinazoikabili lugha ya Kiswahili
Insha za masimulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kujadili matatizo yanayozikabili lugha ya Kiswahili kwa mujibu wa taarifa. Kueleza jinsi Changamoto zinazoikumbuka lugha ya Kiswahili zinavyoweza kukabiliwa. Kufafanua jinsi lugha ya Kiswahili inaweza kusambazwa nchini. |
Maelezo
Ufafanuzi Majadiliano. Uchunguzi. Kazi ya vikundi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 139-141
|
|
9 |
Mid term exams and break |
|||||||
10 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi na matumizi ya lugha Kusoma (fasihi) |
Mighani
Mwingiliano wa aina za maneno Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kufafanua maana ya mighani Kubainisha sifa za mighani Kutoa mifano kwa mighani katika jamii yake. |
Utafiti.
Mifano. Uchunguzi. Kazi mradi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 143-144
|
|
10 | 2 |
Kusoma (fasihi)
Kusoma kwa mapana |
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
Wajibu wa Kiswahili Kitaifa na kimataifa |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma na kueleza maudhui katika sura ya nane. Kupambanua sifa za wahusika katika sura ya nane. Kujibu maswali. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi Kamusi |
Kitabu teule
|
|
10 | 3 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza |
Kumbukumbu
Isimujamii: Matumizi ya lugha katika hotuba |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza muundo wa insha ya kumbukumbu Kudondoa makosa yote katika insha yake na kuyarekebisha Kuandika insha ya kumbukumbu upya bila makosa yoyote |
Maelezo
Ufafanuzi Maswali na majibu Majadiliano Mazoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 150-152
|
|
10 | 4 |
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma (fasihi) |
Nyakati, hali na ukanushaji wake
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kufafanua matumizi ya si-, -me- na –ki- Kubainisha kanuni za ukanushaji wa hali hizo Kukanusha sentensi hali hizo tatu |
Masimulizi
Uchunguzi Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 156-158
|
|
10 | 5 |
Kusoma (fasihi)
Kusoma kwa mapana |
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
Historia ya lugha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma na kueleza maudhui katika sura ya tisa. Kupambanua sifa za wahusika katika sura ya tisa. Kujibu maswali. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi Kamusi |
Kitabu teule
|
|
10 | 6 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza |
Hotuba
Isimujamii: Sajili ya viwandani |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya hotuba. Kutambua umuhimu wa hotuba. Kufafanua muundo wa hotuba. Kuandika hotuba. |
Usomaji.
Maelezo. Maswali na majibu. Utafiti. |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 160-161
|
|
11 | 1 |
Ufahamu
Kusoma (fasihi) Kusoma (fasihi) |
Mawasiliano katika tarakilishi na utandawazi
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo) Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma kwa sauti na kimya. Kujibu maswali. Kutaja sifa zinazodhihirisha mchakato wa mawasiliano kupitia tarakilishi. |
Maelezo
Ufafanuzi. Majadiliano. Uchunguzi. Kazi ya vikundi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 163-165
|
|
11 | 2 |
Sarufi
Kusoma kwa kina |
Ukanushaji wa hali II
Kamliwaze |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kufafanua matumizi ya –a-, -po-, -nge-, -ngali- na –ngeli- Kubainisha kanuni za ukanushaji wa hali hizo Kukanusha sentensi hali hizo tatu |
Maelezo
Ufafanuzi. Mifano. |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 165-167
|
|
11 | 3 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza |
Insha ya mawazo
Mawaidha katika fasihi simulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza muundo wa insha ya mawazo Kufafanua vigezo muhimu vya insha mawazo Kuandika insha ya mawazo ifaavyo. |
Kueleza
Kujadili Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 61-62
|
|
11 | 4 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma sura ya kumi na moja (Nipe nafasi) Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya kumi na moja. Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya kumi na moja. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
|
11 | 5 |
Ufahamu
Sarufi na matumizi ya lugha |
Ufahamu
Uakifishaji |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kufafanua mawazo makuu katika kifungu Kueleza msamiati na kuutungia sentensi kwa usahihi Kujibu maswali ya ufahamu kiukamilifu |
Maelezo.
Mifano. Mazoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 171-172
|
|
11 | 6 |
Kusoma kwa kina
Kuandika Kusoma (fasihi) Kusoma (fasihi) |
Idhini ya kishairi
Insha ya wasifu Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo) Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya ‘Idhini ya kishairi’ Kutaja Idhini za kishairi anazoweza kuzitumia mshairi. Kueleza sababu za mshairi kutumia Idhini ya kishairi. |
Maelezo.
Kuigiza. Kuandika. Maswali na majibu |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 175-176
|
|
12-13 |
End term exams |
|||||||
14 |
School closure |
Your Name Comes Here