If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
2 | 1 |
Kusoma (fasihi)
|
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza umuhimu wa lugha katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi. -Kuchambua tamathali na matumizi ya lugha katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi. -Kueleza sajili na muktadha wa lugha mbalimbali. |
Kusoma
Kuadili Kudodoso fani za lugha Kuandika Kuwasilisha mbele ya darasa |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
2 | 2-3 |
Kusoma (fasihi)
Kusikiliza na kuzungumza |
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Ufahamu wa kusikiliza |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza umuhimu wa lugha katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi. -Kuchambua tamathali na matumizi ya lugha katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi. -Kueleza sajili na muktadha wa lugha mbalimbali. somo, ; Kusoma kwa sauti na kimya. Kujibu maswali. Kueleza ni funzo gani unalolipata kutokana na kisa ulichokisoma |
Kusoma
Kuadili Kudodoso fani za lugha Kuandika Kuwasilisha mbele ya darasa Kueleza Kujadiliana Kuandika Kuuliza maswali Kuigiza Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya fasihi simulizi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 96-97 |
|
2 | 4 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma ufahamu. Kutoa maelezo kuhusu jinsi Kiswahili kinavyotumika katika vyombo vya habari Duniani. Kufafanua na kutunga sentensi semi na msamiati. |
Kueleza
Kujadiliana Kuandika Kuuliza maswali |
|
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 97-98
|
|
2 | 5 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Mnyambuliko vitenzi II
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza mnyambuliko wa vitenzi. Kuainisha kauli mbalimbali za vitenzi. Kufafanua maana ya vitenzi katika kauli mbalimbali. |
Ufafanuzi.
Maelezo. Mifano |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 98-100
|
|
2 | 6 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Mnyambuliko vitenzi vya silabi ya konsonanti moja
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza mnyambuliko vitenzi vya silabi ya konsonanti moja. Kubainisha kauli ya kutendea, kutendwa, kutendeka, kutendewa na kutendesha. Kutunga sentensi akitumia vitenzi kudhihirisha maana za kauli husika. |
Tajriba.
Maswali na majibu. Mifano. Mazoezi. Marudio |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 100-102
|
|
3 | 1 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma sura ya kwanza ya hadithi fupi (Fadhili za punda) Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya kwanza. Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya kwanza. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
|
3 | 2-3 |
Kusoma (fasihi)
Kusoma kwa kina |
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
Muundo na mtindo katika fasihi andishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma na kueleza maudhui katika sura ya kwanza Kupambanua sifa za wahusika katika sura ya kwanza Kujibu maswali somo ; Kufafanua tofauti zilizopo kati ya dhana za muundo na mtindo wa kazi za fasihi andishi. Kueleza vipengele vya kimsingi vya kuzingatia katika fasihi andishi. Kupambanua mtindo wa tamthilia au hadihi fupi teule unayoisoma darasani. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi Maswali dodoso Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 102-105 |
|
3 | 4 |
Kuandika
|
Utafiti wa kazi za fasihi simulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya neno ‘utafiti’ Kufafanua njia za Utafiti wa fasihi simulizi. Kueleza vifaa vinavyoweza kutumika katika Utafiti wa fasihi simulizi nyanjani. |
Kueleza
Kusoma Kuigiza Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 105-106
|
|
3 | 5 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma sura ya pili ya hadithi fupi (Fadhili za punda) Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya pili. Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya pili. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
|
3 | 6 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma na kueleza maudhui katika sura ya pili. Kupambanua sifa za wahusika katika sura ya pili. Kujibu maswali. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
|
4 | 1 |
Ufupisho
|
Ufupisho
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma hadithi na kuelewa ujumbe Kudondoa hoja muhimu Kufupisha hadithi kwa urefu ulioulizwa |
Kusoma
Kujadili Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 116-118
|
|
4 | 2-3 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Aina za maneno; Vielezi
Aina za maneno; Viunganishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kutaja aina za vielezi. Kueleza aina za vielezi. Kutunga sentensi akitumia aina za vielezi. somo, ; Kutaja aina za viunganishi. Kueleza aina za viunganishi. Kueleza dhima ya viunganishi katika sentensi. Kutunga sentensi akitumia aina za vivumishi. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 118-121 Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 121-123 |
|
4 | 4 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Aina za maneno; Vihusishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kutaja aina za vihusishi. Kueleza aina za vihusishi. Kueleza dhima ya vihusishi katika sentensi. Kutunga sentensi akitumia vihusishi. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu |
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 123-124 |
|
4 | 5 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma sura ya nne na ya tano ya hadithi fupi (Haru na Sabina) Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya nne na ya tano. Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya nne na ya tano. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
|
4 | 6 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma na kueleza maudhui katika sura ya nne na ya tano Kupambanua sifa za wahusika katika sura ya nne na ya tano Kujibu maswali. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
|
5 | 1 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Aina za maneno; Vihisishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kutaja aina za vihisishi. Kueleza aina za vihisishi. Kueleza dhima ya vihisishi katika sentensi. Kutunga sentensi akitumia vihisishi. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu |
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 124-125 |
|
5 | 2-3 |
Kusoma kwa kina
Kuandika |
Mashairi ya arudhi
Memo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya shairi ya arudhi. Kufafanua maudhui ya shairi la arudhi. Kubainisha mafunzo ya shairi hilo. somo, ; Kutambua maana ya memo. Kueleza muundo wa memo. Kuandika memo. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 126-128
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 128-129 |
|
5 | 4 |
Kuandika
|
Baruameme
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kutambua maana ya baruameme Kueleza muundo wa baruameme. Kuandika baruameme. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 129-130 |
|
5 | 5 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma sura ya sita (Mzimu wa Kipwerere) Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya sita. Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya sita. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
|
5 | 6 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma na kueleza maudhui katika sura ya sita Kupambanua sifa za wahusika katika sita Kujibu maswali. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
|
6 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Ngano
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya ngano. Kueleza umuhimu wa ngano. Kufafanua sifa za ngano kwa ujumla. |
Kusoma
Majadiliano Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 131-134
|
|
6 | 2-3 |
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi na matumizi ya lugha |
Ngano
Uundaji wa maneno |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kutaja aina za ngano Kutoa mifano ya ngano, mfano mifano za ngano za mtanziko. Teua aina za wahusika wanaotumika katika ngano na ufafanue matumizi yao. somo, ; Kuunda nomino kutoka na vitenzi. Kutunga nomino kutokana na aina nyingine za maneno. Kubainisha vivumishi kutokana na aina nyingine za maneno. |
Kusoma
Majadiliano Kuandika Kueleza Kujadili Kujibu maswali |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 133-134
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 137-139 |
|
6 | 4 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma sura ya saba (Kila Mchezea Wembe) Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya saba. Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya saba. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
|
6 | 5 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma na kueleza maudhui katika sura ya saba Kupambanua sifa za wahusika katika sura ya saba. Kujibu maswali. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
|
6 | 6 |

7 | 1 |
Kusoma kwa mapana
|
Changamoto zinazoikabili lugha ya Kiswahili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kujadili matatizo yanayozikabili lugha ya Kiswahili kwa mujibu wa taarifa. Kueleza jinsi Changamoto zinazoikumbuka lugha ya Kiswahili zinavyoweza kukabiliwa. Kufafanua jinsi lugha ya Kiswahili inaweza kusambazwa nchini. |
Maelezo
Ufafanuzi Majadiliano. Uchunguzi. Kazi ya vikundi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 139-141
|
|
7 | 2-3 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza |
Insha za masimulizi
Mighani |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kujieleza kwa mtiririko ufaao Kutambua hatua za uandishi bora wa insha maelezo Kuandika insha ya maelezo kwa kutumia fani mbalimbali za lugha somo, ; Kufafanua maana ya mighani Kubainisha sifa za mighani Kutoa mifano kwa mighani katika jamii yake. |
Kueleza
Kujadili Kujibu maswali Utafiti. Mifano. Uchunguzi. Kazi mradi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 142
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 143-144 |
|
7 | 4 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Mwingiliano wa aina za maneno
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza jinsi aina za maneno hubadilika kutegemea utendaji kazi yake katika sentensi Kufafanua jinsi aina za maneno huingiliana. Kubainisha maneno yaliyopigwa mistari ni ya aina gani. Kutunga sentensi akitumia msamiati ufaao |
Mashindano
Majadiliano Maelezo Ufafanuzi Maswali na majibu |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 146-148
|
|
7 | 5 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma sura ya nane (Kifo cha Suluhu) Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya nane. Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya nane. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
|
7 | 6 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma na kueleza maudhui katika sura ya nane. Kupambanua sifa za wahusika katika sura ya nane. Kujibu maswali. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
|
8 | 1 |
Kusoma kwa mapana
|
Wajibu wa Kiswahili Kitaifa na kimataifa
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma taarifa inayohusu Wajibu wa Kiswahili Kitaifa na kimataifa. Kueleza mambo yanayothibitisha nafasi ya Kiswahili kimataifa. Kufafanua Wajibu unaotekelezwa na lugha ya Kiswahili kulingana na taarifa. |
Usomaji.
Maelezo. Maswali na majibu. Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 148-149
|
|
8 | 2-3 |
Kuandika
Sarufi na matumizi ya lugha |
Kumbukumbu
Nyakati, hali na ukanushaji wake |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza muundo wa insha ya kumbukumbu Kudondoa makosa yote katika insha yake na kuyarekebisha Kuandika insha ya kumbukumbu upya bila makosa yoyote somo, ; Kufafanua matumizi ya si-, -me- na –ki- Kubainisha kanuni za ukanushaji wa hali hizo Kukanusha sentensi hali hizo tatu |
Maelezo
Ufafanuzi Maswali na majibu Majadiliano Mazoezi Masimulizi Uchunguzi Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 150-152
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 156-158 |
|
8 | 4 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma sura ya tisa (Ahadi ni Deni) Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya tisa. Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya tisa. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
|
8 | 5 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma na kueleza maudhui katika sura ya tisa. Kupambanua sifa za wahusika katika sura ya tisa. Kujibu maswali. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
|
8 | 6 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma sura ya kumi (Toba ya Kalia) Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya kumi. Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya kumi. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
|
9 | 1 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma na kueleza maudhui katika sura ya kumi. Kupambanua sifa za wahusika katika sura ya kumi. Kujibu maswali. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
|
9 | 2-3 |
Sarufi
Kusoma kwa kina |
Ukanushaji wa hali II
Kamliwaze |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kufafanua matumizi ya –a-, -po-, -nge-, -ngali- na –ngeli- Kubainisha kanuni za ukanushaji wa hali hizo Kukanusha sentensi hali hizo tatu somo, ; Kusoma shairi, ‘Kamliwaze’ Kuchambua shairi hili, ‘Kamliwaze’ Kujibu maswali. |
Maelezo
Ufafanuzi. Mifano. Ufaraguzi Utafiti Maelezo Ufanunuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 165-167
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 168 |
|
9 | 4 |
Kuandika
|
Insha ya mawazo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza muundo wa insha ya mawazo Kufafanua vigezo muhimu vya insha mawazo Kuandika insha ya mawazo ifaavyo. |
Kueleza
Kujadili Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 61-62
|
|
9-10 |
Half Term |
|||||||
10 | 6 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Mawaidha katika fasihi simulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya mawaidha katika fasihi simulizi. Kufafanua sifa za mawaidha. Kutaja dhima ya mawaidha. |
Usomaji.
Utafiti. Utatuzi wa mambo. Uchunguzi kifani |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 170-171
|
|
11 | 1 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma sura ya kumi na moja (Nipe nafasi) Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya kumi na moja. Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya kumi na moja. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
|
11 | 2-3 |
Kusoma (fasihi)
Sarufi na matumizi ya lugha |
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
Uakifishaji |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma na kueleza maudhui katika sura ya kumi na moja. Kupambanua sifa za wahusika katika sura ya kumi na moja. Kujibu maswali. somo, ; Kusoma kifungu kisha kutoa mifano ya matumizi ya lugha na alama za uakifishaji. Kutaja alama za uakifishaji zilizotumiwa katika kifungu. Kugeuza sentensi ziwe katika usemi halisi. Kuandika sentensi katika usemi taarifa. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi Kusoma Kujadili Kuwasilisha mbele ya darasa Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Kitabu teule
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 173-175 |
|
11 | 4 |
Kusoma kwa kina
|
Idhini ya kishairi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya ‘Idhini ya kishairi’ Kutaja Idhini za kishairi anazoweza kuzitumia mshairi. Kueleza sababu za mshairi kutumia Idhini ya kishairi. |
Maelezo.
Kuigiza. Kuandika. Maswali na majibu |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 175-176
|
|
11 | 5 |
Kuandika
|
Insha ya wasifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya wasifu Kutambua sifa za wasifu na umuhimu wake. Kuandika wasifu yake kwa muundo sahihi. |
Maelezo
Ufafanuzi. Maswali na majibu. Majadiliano. Tajriba |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 176
|
|
11 | 6 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma sura ya kumi na mbili (Nilitamani) Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya kumi na mbili. Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya kumi na mbili. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
|
12 | 1 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma na kueleza maudhui katika sura ya kumi na mbili. Kupambanua sifa za wahusika katika sura ya kumi na mbili. Kujibu maswali. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
|
12 | 2-3 |
Kuandika
|
Tawasifu
Barua kwa mhariri |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya tawasifu Kueleza sifa za tawasifu Kuandika tawasifu kwa lugha inayokubalika somo, ; Kueleza muundo wa barua kwa mhariri. Kutaja sifa za barua kwa mhariri. Kuandika barua kwa mhariri. |
Kuandika
Kueleza Kujibu maswali Mifano. Majadiliano Maelezo Ufafanuzi Tajriba Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 185-186
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 227-228 |
|
12 | 4 |
Kuandika
|
Insha ya mazungumzo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza muundo wa insha ya mazungumzo Kutaja sifa za insha ya mazungumzo. Kuandika insha ya mazungumzo. |
Kudadisi
Uchunguzi Ufafanuzi Uhakiki |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 241
|
|
12 | 5 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Viambishi maalumu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya viambishi maalumu. Kutaja aina za viambishi maalumu. Kutunga sentensi kubainisha matumizi ya kiambishi –ku-, -ndi-, -ji- |
Kuandika
Kuuliza maswali Kujibu maswali Kuigiza Majadiliano. |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 244-247
|
|
12 | 6 |
Kusoma kwa mapana
|
Tahariri kutoka magazetini
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma mfano wa tahariri. Kueleza mambo ambayo yalifanyika kwa ajili ya kuiimarisha lugha ya Kiswahili. Kutaja vizuizi vinavyokabiliwa kwa kukua lugha ya Kiswahili. |
Usomaji.
Maelezo. Maswali na majibu. Utafiti. |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 247-248
|
Your Name Comes Here