If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
2 | 1 |
Usafi wa mazingira
Kusikiliza na kuzungumza
|
Kusikiliza na kujibu .
mjadala
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufikia mwisho mada ndogo : -Kutambua vipienegele vya kuzingatia katika kusikiliza na kuchangia mjadala -Kueleza vipgengee vya kuzingatia katika kskiliza na kuchangia mjadala -Kutazamana na kusikiliza mjadala lengwa katika vifaa vya kidigitali -Kuchngamkia kutambua vipengele muhimu katika mjadala |
katika makundi :
-KUtazama na kuskiliza mjadala kuhusu suala lengwa katika kifaa cha kijitari -Atambue vipengele vya kuzingatia katika kuskiliza na kuchnagia mjadala -Ajadili vipengele alivyotambua kwenye daftari lake . -Ashiriki mjadala darasani na wenzake. |
Je unazingatia nini wakati wa kusikiliza na kuchangia mjadala ?
|
Acess kiswahili gredi ya 9 uk 1-3.
Vifao vya kidijitezi Chati kudi mane matini ya mwalimu |
-Kitambua
-Kuuliza na kujibu maswali .
-Orodha hakiki
-Kueleza
-Kushiriki mjadala .
|
|
2 | 2 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma |
Kusikiliza na kujibu .
mjadala
Kusoma kwa ufahamu Kifungu cha simulizi . |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kushiriki mjadala kwa kuzingatia vipengele vifaavyo katia kushiriki mjadala. -Achangamkie kushiriki katika mjadala ya miktadha mbalimbali. |
-kuteua mada au swala lengwa la kufanyiwa mjadala
-kushiriki mjadala kuhusu swala lengwa akizingatia vipengele |
Je unazingatia nini wakati wa kushiriki mjadala ?
|
Wanafunzi kiswahili ukwa wa 3 .
-Kiswahili sahili gredi ya 9 uk 4 - 6. -Picha -Michoro vifaa vya kidijitali . |
-Kushiriki mjadala .
-Matamshi bora ya maneno
|
|
2 | 3 |
Kusoma
Kuandika Kuandika |
Kusoma kwa ufahamu
Kifungu cha simulizi .
Viakifishi Alama ya koloni Viakifishai Semi koloni |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kufanya ufasiri na utabiri kutokana na kifungu cha simulizi -kutambua na kueleza maana ya msamiati kama ulivytumika katika kifungu -Achangamkie kutumia msamiati alivyotumbua kwa usahihi katika utunzi wa sentensi. |
-kutabiri matukio katika kifungu kutkana na picha au matukio
-Afasiri habari kutokana na kifungu cha simulizi. -Atambue na kuorodhesha msamiati katika kifungu alichokioma -Aeleze maana aya msamiati kulingana na matumizi yake kimuktadha -Atunge sentensi akitumia msamiati huo kwa usahihi. |
Je utawezaje kutambua msamiati uliopo katika kifungu simulizi?
|
-Kiswahili gredi ya 9 uk wa 5 - 6
-Chati -Kamusi -Matin ya mwalimu . -Kiswahili sahil gredi ya 9 uk wa 7-8 . -Matini ya mwalimu -Kifaa cha kiditali -Kiswahili sahili gredi ya 9 ukurasa wa 9 - 10 . -Kadi -Maneno . |
-Kutambua
-Kutunga sentensi .
-Wanafunzi kufanyia na tathmini .
|
|
2 | 4 |
Sarufi
Kusikiliza na kuzungumza |
Vihsishi
Vihusishi vya mahali
Vihsishi Vihusishi vya wakati Kusikiliza kwa kina . Sauti - b - na -mb - |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-aweze kueleza maana ya vihusishis -Atambue vihusishi vya mahali katika matani -Kuchamkia matumizi yafaayo ya vihusishi vya mahali katka matni mbali mbali. |
Katika makundi waili waili au peke yake aelekezwe:
-kueleza maana ya vihusishi vya mahali -Atambue vihusishi vya mahali katika matani. -Achangamkie kutumia vihusishi vya mhali katika matani mbali mbali |
Je ni wakati gani tunatumia vihusishi vya mahali?
|
-Kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 10 - 11 .
-Kadi maneno -Matini ya mwalimu -Kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 11 -12 . -Chati mabango -Vifaa vya kidigitali . -kamusi -kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 14-15 . -Mti maneno Na mwanafunzi -Kifaa cha kidijitari |
-kujaza pengo
-Kuuliza Maswal na majibu
-Kutunga sentensi
-Kufanyiana tathmini
|
|
3 | 1 |
kusoma
Kuandika |
Kusoma kwa mapona
Insha za kiuamilifu . Barua ya kirafiki |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kuteuana kufafanua ujumbe wa matani aliyoyasoma -kutambua msamiati ulotumika katika matani ya kujichagulia -Kujenga mazoea ya kujisomea matani mbali mbali aliyojichagulia |
- kuteua matini kuhusu suala linalo mvutia kisha some matani aliyojichagulia .
-kutambua msamiati muhimu atika matani aliyoteua -Kufafanua ujumbe wa matani aliyoyasoma kwa ufupi. -Kutambua na kuorodhesha msamiati uliotumika katika matani aliyojichagulia . |
Je unazingatia nini unapojichagulia matini ya kusoma?
|
-kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 15-16 .
-Matini mbali mbali za kujichagulia. -kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 17-18 . -Matini ya mwalimu . -Michoro -chati |
-kusoma
-kutambua msamiati
-kuorodhesha msamiti na maana yake.
|
|
3 | 2 |
Kuandika
sarufi sarufi |
Insha za kiuamilifu
Barua ya kirafiki
Vihusishi . Vihusishi vya A - unganifu Vihusishi vya sababu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kujibu barua aya kirafiki akizingatia ujumbe ,lugha na muundo unaofaa -Kujenga mazoea ya kujibu barua ya kirafiki katika maisha ya kila siku. |
-kuandika na kujibu barua ya kirafiki akizingatia ujumbe,lugha na muundo unaofaa
-Kuwasomea wenzake barua aliyoiandika ili waitolee maoni. |
Je unazingatia nini unapojibu barua ay kirafiki?
|
-acess kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 18-19 .
-Vifaa vya kidijitali . -Matini ya mwalimu. -Kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 19-20 . -Vifaa vya kidigitali . -Acess kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 21-22. -Vifaa vya kidijitali -Kapu na kadi amneno -Matini ya mwalimu |
-Kuandika barua
-Kusomeana
-Kufanya tathmini .
|
|
3 | 3 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Semi
Tashbihi sitiari na methali
Tashbihi .
Semi . (sitiari na methali ) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleze maana ya tashbihi -Kutabua tashbihi katika matani ya fasihi . -Kueleza matumizi ya tashbihi katika matani ya fasihi simlizi -Kuchangamkia kueleza matumizi ya tashbihi katika fungo za fasihi simulizi . |
-kueleza maana ya tshbihi
-Atambue tashbhi katika matani ya fasihi -Aeleze matumizi ya tashbihi katik amatani ya fasihi simulizi. -Achangamkie kueleza matumizi ya tashbihi katika fungo la fasihi. |
Je tunatumia mbinu gani za lugha katika kuwasilisha tungo za fasihi simulizi ?
|
Acess kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa kurasa wa 23-24 .
Matini ya mwalimu Kapu la tashbihi chati Acess kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa kurasa wa 24 -26 . |
-Kusoma
-Kutambua
-Kujadili
-Kielezo maana
-Kuchangamkia mazoezi .
|
|
3 | 4 |
Kusoma
Kuandika |
Kusoma kwa kina .
Sifa za ushairi .
Insha za kubuni . Masimulizi . |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya shairi ili kutofautisha na tungo nyingine -Kujadili sifa za ushairi kama utunzi wa fasihi andishi -kueleza sifa za ushairi katika shairi -Kufurahia kuchambua ushairi kama utungo wa fasishi. |
-kutafiti maana ya ushairi vitambuni au mtandaoni ili kutofautisha na fungo nyingine.
-kutambua sifa za ushairi utunzi wa fasihi andishi -Kujadiliana sifa za ushairi kama ufunzo wa fasihi simulizi |
Je shairi uiowahi kulisoma lilikua linasimulia nini?
Je unafahamu sifa zipi za ushairi?
|
-Kiswahili acess gredi ya 9 ukurasa wa 29-30.
-Matini ya mwalimu -Kifaa cha kidigitari -mashairi -diwani teule -Vifaa vya kidigitari -Kiswahili sahili gredi ya 9 ukurasa wa 31-32 Kiswahil gradi ya 9 ukurasa 32-33 Vifaa vya kiditali Matini ya mwalimu Kielelzo cha insha. |
-kutambua
-Kujadiliana na kutafiti
-maswali na majibu
-shairi
|
|
4 | 1 |
Kuandika
Sarufi Sarufi |
Insha za kubuni
masimulizi
Vuhusishi . Vihusishi vilinganishi Vihusishi . Kihusishi na . |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kuandika insha ya masimuizi kwa kuzingatia ujumbe na muundo ufaao -Kuandika insha simulizi kwa kuzingati aujumbe na muundo ufaao . |
-kuandika insha ya asimulizi daftarini mwake au kweny kifaa cha kidijitali akizingatia ufafanuzi ufaao wa ujumbe kupitia kwa utangulizi ,kiini,hitimisho na wahusika
-Awasomee wenzake ili waitolee maoni . |
Je unaff kuzingatia nini unapoa andika insha ya masimulizi?
|
-kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 33
-Matini ya mwalimu . -Vifaa vya kidigitari -Acess kiswahili gredi ya 9 ukurusa wa 34. -Chati -Vifaa vya kiditajitari -Matii ya mwalimu . |
-kuandika insha
-Kufanyiana tathmini
-Kielelzo cha barua iliyoandikwa
|
|
4 | 2 |
Kuskiliza na kuzungumza
Kusikiliza na kuzungumza |
Semi .
vitendawili
Semi . Nahali . |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya vitendawili ili kuvipambanua . -Kutambua vitendawili ktika matini . -Kufafanua umuhimu wa vitendawili katika fasihi simulizi . -Kuchangamkia uwasilishaji wa vitendawili katika fungo za fasihi . |
-Kueleza maana ya vitendawili .
-Kutambua vitendawili katika matini ya fasihi simulizi . -Kutafiti mtandaoni au vitabuni umuhimu wa vitendawili . -Kujadili vipengele vya uwasilishaji vitendawili . -Kuwasilisha vitendawili kwa kuzingatia vipengele vya uwasilishaji wa vitendawili . |
Je vitendawili vina umhim upi katka fasihi simulizi?
Je unazingatia nini unapowasilisha vitendawili?
|
-Acess kiswahili gredi ya 9 ukurusa wa 37-38 .
-Matini ya mwalimu. -Chati -Michoro -Kifaa cha kidigitali . -Acess kiswahil gradi ya 9 ukurasa wa 39-40. -Matini ya mwalimu -Picha -Vifaa vya kidijari. |
-kueleza
-Kitendawili
-kufafanua
-Kuwasilisha vitendawili
-Kutenga na kutengua.
|
|
4 | 3 |
Kusoma kwa ufasaha
Kuandika |
Kusoma kwa ufasaha
Insha za kubuni masimulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua vipengele vya kuzingati katika kusoma kwa ufasaha . -Kusoma kifungu cha nathari akizingatia matamshi bora . ,kiwango kiffacho cha sauti na kasi ifaavyo . -Kujenga mazoea ya kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasialiano . |
-Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusoma kwa ufasaha
-Asome kifungu cha nathari akizingatia mtamshi bora . -Asome kifungu akizingatia kasi ufaavyo na kiwango cha sauti ifaavyo . |
Je unaposoma kifungu chochote unazingatia mambo gani?
|
kiswahli gredi ya 9 ukurasa 41-43
-Picha -Michoro -Vitabu -Matini ya mwalimu . Kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 43. Matini ya mwalimu? -Kiswahili gredi ya 9 ukurusa wa 44 - 45. -Matini ya mwalimu -Kifaa cha kidijitari. |
-kusoma Kufanyiana tathmini
-kutamka ipasavyo.
|
|
4 | 4 |
Kuandika
Sarufi |
Insha za kubuni
masimulizi
Nyakati na hali . Ki- ya masharti |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kuandika insha ya masimuliizi akizingatia lugha ya kitamadhali ,matendo ya wahusika na mandhari -Kufurahia kuandika insha za masimulizi akizingatia lugha ya kitamathali ,matendo ya wahusika,uchoraji wa mandhari ufaao ili kufanikisha mawasiliano . |
- kuandika insha ya amasimulizi kuhusu suala lengwa akitumia vipengele vifaavyo vya lugha ya kitamadhari ili kujenga taswira zifaazo .
-Kuwasomea wenzake insha aliyoandika kuhusu suala lengwwa ili wachanganue lugha ya kitamadharli,matendo ya wahusika na madhari . |
Je unazingatia vipengee vipi unapoandika insha ya masimuizi?
|
-kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 46?
-Matini ya mwalimu. -Michoro -vitabu 1,kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 47-48 -Matini ya mwalimu . -Picha -michoro |
-kuandika tathmini
-Orodha hakiki
-Kusomea wengine.
|
|
5 | 1 |
Sarufi
Kusikiliza na kuzungumza Kusikiliza na kuzungumza |
Nyakati na hali .
Hali ya kufuata na kwa vitendo .
Ufahamu wa kuskiliza Ufahamu wa kuskiliza |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua ka ya kufuatana kwa vitendo katika matini . -Kutumia ka ya kufuatana kwa vitendo ipasavyo katika matini . -Kujenga mazoea ya matumizi ya ka ya kufuatana kwa vitendo ili kufanikisha mawasiliano . |
-kutambua ka ya kufuatana kwa vitendo katika matini mbalimbali
-Atambue sentensi zinazoashiria matumizi ya kufuatana kwa vitendo kutokana na mchnganyiko wa sentensi kwenye vitabu au tarakilishi . |
Je -ka ya kufuatana kwa vitendo hutumika wakati gani katika senstensi.?
|
-Kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 48 - 49 .
-Matini ya mwalimu -Vifaa vya kidigitali -Picha michoro -kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 51 -52 . -Picha -michoro -Vifaa vya kidijitari -Kiswahili gredi 9 ukurasa wa 51-52 -Matini ya mwalimu na mwanafunzi . |
-kueleza Mifano
-mazoezi
-Kutunga sentensi
-Kutathmini
|
|
5 | 2 |
Kusoma
Kuandika |
Kusoma kwa ufahamu .
Insha za kiuamilifu . Shajara . |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kudondoa habari mahususi kutoka kifungu cha ufahamu . -Kufanya utabiri na ufasiri kutokana na kifungu cha ufahamu . -Kuchangamkia kusoma kwa ufahamu ili kukuza kuelewa habari . |
-Kusoma kifungu cha ufahamu .
-Kudondoa habari mahususis katika kifungu cha ufahamu . -Kueleza habari za kifungu cha ufahamu kwa ufupi na ufasiri kutokana na kifungu cha ufaham u . |
Je kwa nini tunasoma kifungu cha ufahamau?
|
-vifaa vya kidigitali
-Kiswahli gredi ya 9 ukurasa wa 52-54 -Matini ya mwalimu -Picha -Kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 54-55 -Chati -michoro -kiswahili gredi ya 9 ukrasa wa 55-57. -Kielelewzo cha shajara -Matani ya mwalimu |
-kusoma na Kuulizana maswali
-Kudondoakielelzo
-kutabiri
-michoro
|
|
5 | 3 |
sarufi
|
Hali yza masharti .
-nge-
Hali ya masharti . -ngali) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maan ya hali ya masharti . -Kutambua matumizi ya hali ya masharti nge katika matini -Kutumia hali ya masharti nge ipasavyo katika matini . -Kuchangamkia matumizi yafaayo ya hali ya masharti nge ili kukuza ufasaha wa lugha . |
-Kutafiti maana halisi ya hali ya masharti nge .
-Atambue na kueleza hali halisi ya hali ya masharti nge . katika sentensi na vifungu . -Achanganue sentensi zinashoashiria matumizi ya hali ya masharti nge kutokana na mchnganyiko wa sentensi kutoka kwenye vitabu . -Atunge sentensi kuonyesha matumizi ya nge akizingatia mtaambuko mbali mbali . |
Je hali ya masharti ya nge hutumika vipi?
|
-kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 58
-Matani ya mwalimu -Chati -Picha -Michoro -Vifaa vya kidigitali -kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 59-60 |
-Mifano
-Maelezo
-Kutunga sentensi
-Orodha hakiki
-kutambua
|
|
5 | 4 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma Kusoma |
Kusikiliza na kufasiri .
Kusoma kwa kina . Ushairi . (Maudhui) . Kusoma kwa kina . (dhamira) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya a kufasiri kwa kusikiliza ili kubainisha . -Kueeza misimamo na mielekeo kuhusu ujumbe wa matini ya kusikiliza . -Kujenga mazoea ya kutambua misimamo na mielekeo katika matini mbali mbali ili kupata amaana ya ujumbe . |
-kutafiti maan ya kusikiliza kwa ufasiri kutoka mtandaoni au maktaba na awasilishe matokeo ya utafiti .
-Kueleza msismamo na mielekeo kuhusu ujumbe katika matini mbali mbali anayosikiliza kuhusu suala lengwa . -Kusikiliza habari kuhusu suala lengwa katika kifaa cha kidijiari . -Kuchambua msimamo na mielekeo kuhusu ujumbe. |
Je ni misimamo ipi iliyopo katika matini ulizowahi kuskiliza?
|
-kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 61-62
-Matani ya mwalimu -Vifaa vya kidigitali -Matani ya mwanafunzi Kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 63-64 Mitani ya mwalimu Vifaa vya kidigitari Picha za michoro -kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 64-65 -Matani ya mwalmu -Vifaa vya kidigitari |
-kuskiliza na Kuuliza
-kueleza
-kuchambua
-kuandika na kujibu maswali.
|
|
6 | 1 |
Kuandika
sarufi |
Insha za kubuni .
(methali)
Vielezi vya wakati |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya insha ya methali -Kujadili vipengele muhimu katika uandishi wa insha ya methali -Asome kielelzo cha insha ya methali Na kuandika vindokezo atakavyotumia ili kuandika insha ya methali . -Andika insha ya methali kizingatia vipengele muhimu vya uanishi . |
-Kuelewe na kueleza maan ya insha ya methali
-Kujadili vipengele muhimu akizingatia ujumbe,mundo na lugha sahihi . -Asome kielelezo cha insha ya methali ili kuandaa vidokezo vitakavyo idhimisha kuandika insha ya methali . -Kuchngamkia uandishi wa insha ya methali huku akizingatia suala lengwa . |
Je insha ya methali inahusu nini?
Unazingatia nii kuandka insha ya methali?
|
-kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 66-68
-Matini ya mwalimu Kisw sahili gredi ya 9 ukurasa 70-71 matini ya mwalimu -vifaa vya kidijitali -michoro -kapu maneno |
-Kueleza
-Kusoma kielelzo
-Kuandika insha .
|
|
6 | 2 |
Kusikiliza na kuzungumza
kusoma kuandika |
Kusikiliza kwa kutathmini
Ufupisho Insha za kubuni (maelezo) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- aeleza maana ya kusikiliza kwa Kutathmini kwa kutafiti mtandaoni au vitabuni. - Kujadili vipengele vya kizinga katika kusikiliza kwa Kutathmini. -kusikiliza kifungu atakachosomewa na mwalimu akizingatia vipengele muhimu kusikiliza kwa Kutathmini -Achangamkie kusikiliza kwa Kutathmini habari yoyote ya kujichagulia mtandaoni amsomee mwenzake ili amtolee maoni |
-kusakura mtandaoni au vitabuni ili kueleza maana ya Kusikiliza kwa Kutathmini
-Kujadili vipengele vya kuzingatia katika Kusikiliza na Kutathmini. -Kusikiliza kwa makini kifungu atakachosomewa na mwalimu ili kutoa vipengele vinavyostahili kwa matini hiyo. -kusakura mtandaoni ili kutoa habari atakayosomea mwenzake ili amtolee maoni. |
Je kusikiliza kwa kutathmini kunahitaji nini?
|
Kisw sahili gredi ya 9 ukurasa wa 74-76
Matini ya mwalimu -kamusi -kifaa cha kidijitali Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 74-76 Access kisw sahili gredi ya 9 uk wa 77-78 -matini ya mwalimu -vifaa va kidijitali -picha michor |
-kutafiti
-Kujadili
-kusoma
-kujibu maswali
-Kutathmini
|
|
6 | 3 |
sarufi
|
Vielezi vya mahali na vya idadi
a, vielezi vya mahali
vielezi vya idadi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- keleza maana ya vielezi vya mahali - Kutaja Mifano ya vielezi vya mahali - kutambua vielezi vya mahali katika matini mbalimbali. - Kuchangamkia matumizi ya vielezi vya mahali ipasavyo kwa kupigia mstari na kutungia sentensi. |
-kueleza maana ya vieleza vya mahali kwa kusakura mitandaoni au vitabuni.
-Kutaja vielezi vya mahali katika matini mbalimbali -kutambua vielezi vya mahali kwa kuvipigia mstari -Kuchangamkia matumizi ya vielezi vya mahali ipasavyo katika Kutunga sentensi na kunakili kifungu kifupi |
Je vielezi vya mahali hutumika vipi katika mawasiliano?
|
Access kisw sahili gredi a 9 uk wa 79-80
-matini ya mwalimu -picha -michoro -vifaa vya kidijitali -kamusi Access kisw sahili gredi ya 9 uk wa 81-82 -kadi maneno -kapu maneno |
-kueleza
-Kutaja
-Kujadili
-Kutunga sentensi
-Kutathmini
|
|
6 | 4 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma |
Uzungumzaji wa kushawishi
Kusoma kwa kina Ushairi a, mandhari |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kueleza maana ya uzungumzaji wa kushawishi - kubainisha miktadha ya kijamii ambapo uzungumzaji wa kishawishi hutokea -kujadili vipengele vya kuzingatia katika uzungumzaji wa kishawishi asikilize mwenzake akifanya uzungumzaji wa kishawishi akizingatia vipengele muhimu ili kumtathmini |
-kueleza maana ya mazungumzo ya kishawishi kwa kusakura mitandaoni au vitabuni.
-kubainisha miktadha ya kijamii ambapo uzungumzaji wa kushawishi hutokea -kujadili vipengele vya kuzingatia anapo zungumza kwa kishawishi -asikilize miktadha mbalimbali ya kishawishi ili kutathmini vipengele vinavyotumika |
Je vipengele vya uzungumzaji wa ushawishi ni vipi?
|
Access kisw sahili gredi ya 9 uk 83-84
-matini ya mwalimu -picha -michoro -kamusi -vifaa vya kidigitali Access kisw sahili gredi ya 9 uk 84-86 -vifaa vya kidijitali |
-kusakula
-kueleza
-kubainisha
-Kujadili
-Kusikiliza
|
|
7 | 1 |
Kusoma
kuandika kuandika |
Kusoma kwa kina
b, muundo
Viakifishi mabano na kistari kifupi a, matumizi ya mabano Viakifishi Matumizi ya kistari kifupi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kueleza maana ya muundo katika fasihi andishi -kutambua vipengele vya muundo katika shairi -kuchangamkia kusoma shairi akizingatia maudhui na muundo ili kudhibitisha uelewa. |
-kutafiti na kusakira mtandaoni ili kueleza maana ya muundo katika fasihi
-kutambua vipengele muhimu katika shairi ikiwa ni pamoja na vina, mizani, beti na mishororo -kuchangamkia kusoma shairi akizingatia maudhui na muundo ili kutathmini uelewa |
Je, viengele vya muundo katika shairi ni vipi?
|
Access kisw sahili gredi la 9 uk 87-88
-matini ya mwalimu -picha -michoro -kamusi -vifaa vya kidigitali Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 88-89 -matini ya mwalini -chati Acess kisw sahili gredi ya 9 uk 89-90 -vifaa vya kidijitali |
-kusakura
-kueleza
-kutambua
-Kujadili
-kusoma na kukariri shairi
-maswali na majibu
|
|
7 | 2 |
sarufi
|
Ngeli na upatanisho wa kisarufi
a, ngeli ya u-zi
Ngeli na upatanisho wa kisarufi Ngeli ya (ya-ya) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
ndogo - kusoma mifano ya sentensi katika ngeli ya u-zi - kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya u-zi katika sentensi -kutaja mifano ya nomino katika ngeli ya u-zi na kuandika vitabuni - kuchangamkia kutambua nomino katika ngeli ya u-zi katika matini mbalimbali ili kutathmini uelewa |
-kusoma mifano ya sentensi katika ngeli a u-zi
-kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi katika umoja na wingi vya ngeli ya u-zi katika sentensi. -kutaja mifano ya nomino katika ngeli ya u-zi, umoja na wingi na kuviandika vitabuni -afurahie kutambua nomino katika ngeli ya u-zi katika matini mbalimbali ili kutathmini uelewa |
Je nomino katika ngeli ya u-zi ni zipi?
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 91-92
-matini ya mwalimu -kadi maneno -michoro -picha -vifaa vya kidijitali Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 93-94 -kifaa cha kidigitali -kamusi |
-kusoma
-kueleza
-Kutaja
-Kutunga sentensi
-kujaza pendo
|
|
7 | 3 |
Kusikiliza na kuzungumza
kusoma kuandika |
Kusikiliza kwa kina
Sauti j na nj
Kusoma kwa ufahamu Kifungu cha kishawishi Insha za kubuni (Masimulizi) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
ndogo -kutamka sauti j nan j ipasavyo ili kuzibainisha - kutambua kwa kupigia mstari sauti j nan j ili kizitofautisha - kusoma vitanzandimi katika kifungu akizingatia matamshi bora ya sauti j na nj -achangamkie kutunga vitanza ndimi akitumia nomino katika sauti j nan j kuvisomea wengine ili kuwatolea maoni |
-kutamka sauti j na nj ipasavyo ili kuzibainisha
-kutambua kwa kupiga mstari sauti j na nj katika sentensi na kifungu -kusoma vitanza ndimi katika kifungu akizingatia matamshi bora ya sauti j nan j -kufurahia kutunga vitanza ndimi akitumia jozi ya maneno katika sauti ya j nan j kama vile: kuja-kunja Ajali-anjali Waja-wanja Amsomee mwenzake ili kumtolea maoni |
Sauti j nan j hutofautiana vipi katika matamshi?
|
Access kisw gredi ya 9 uk wa 96
-matini ya mwalimu -kamusi -picha Access kisw sahili grade ya 9 uk wa 97-98 -vifaa vya kidijitali Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 99-101 -kielelezo cha insha |
-kutamka
-kutambua
-kusoma
-Kutunga vitanzandimi
|
|
7 | 4 |
sarufi
|
Ngeli na upatanisho wa kisarufi
Ngeli ya (li)
Ngeli na upatanisho wa kisarufi Ngeli ya (ku) Ngeli ya pa-ku-mu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi katika ngeli ya (li) - Kutaja nomino katika ngeli ya (li) katika chati - kutambua kwa kuvipigia mstari viambishi vya upatanisho wa kisarufi a ngeli ya (li) - Achangamkie Kutunga sentensi na kifungu kifupi akitumia nomino katika ngeli ya (li) ili Kutathmini uelewa |
-kutaja nomino katika ngeli ya (li) na kuzitambua katika matini mbalimbali
-kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi katika ngeli ya li umoja na wingi -kusoma kifungu kisha kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi ya ngeli ya li -kuchangamkia kifungu kifupi na sentensi akitumia nomino katika ngeli ya li ili kutathmini uelewa |
Je, nomino katika ngeli ya (li) ni zipi?
Viambishi ngeli katika ngeli ya (li) ni zipi?
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 102-103
-matini ya mwalimu -kamusi -chati -mabango Access kisw sahili grdi ya 9 uk wa 104-105 -vifaa vya kidijitali Kisw sahili gredi ya 9 uk wa106-107 Mabango -vifaa vya kidigitali |
-kutambua kwa kusoma
-Kutaja
-Kujadili
Orodha hakiki
-Kutunga sentensi na kifungu
|
|
8 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Mazungumzo
Malumbano ya utani
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
ndogo - kueleza maana ya malumbano ya utani - kutaji aina za malumbano ya utanikama atavyopata katika mitandai ama vitabu - kujadili sifa za malumbano ya utani pamoja na vipengele muhimu vya uwasilishaji wa malumbano ya utani - kuwasilisha malumbano ya utani katika vikundi ili wayatolee maoni |
-kueleza maana ya malumbano ya utani kwa kutafiti nas kusakura mitandaoni
-kutaja aina za malumbano ya utani ili kutofautisha na malumbano mengine -kujadili sifa na vipengele muhimu katika uwasilishaji wa malumbano ya utani -kuchangamkia uwasilishaji wa malumbano ya utani katika vikundi ili kutoleana maoni |
Je, sifa za malumbano ya utani ni zipi?
Vipengele muhimu katika malumbano ya utani ni zipi?
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 108-109
-matini ya mwalimu -vifaa vya kidijitali -mwanafunzi |
-kueleza
-Kutaja
-Kujadili
-Kuwasilisha
|
|
8 | 2 |
Kusikiliza na kuzungumza
kusoma kusoma |
Mazungumzo
Malumbano ya utani
Ushairi Kusoma kwa kina wahusika Kusoma kwa kina Ushairi Wahusika karika shairi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kujadili vipengele vya uwasilishaji wa malumbano ya utani katika mawasilisho yao - kuchangamkia uwasilishaji wa malumbano ya utani katika vikundi vyao ili kutoleana maoni na kutathmini |
-kujadili pamoja na wenzake vipengele muhimu vya uwasilishaji wa malumbano ya utani
-kuchangamkia uwasilishaji wa malumbano ya utani katika kikundi au wawili akizingatia vipengele muhimu ili kutathmini uelewa |
Je, vipengele muhimu katika uwasilishaji wa malumbano ya utani ni zipi?
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa109-110
-matini ya mwalimu -mwanafunzi Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 110-111 -vifaa vya kidijitali -Kisw sahili gradi ya 9 Uk wa 112 -Matini ya mwalimu na mwanfunzi |
-Kujadili
-Kuwasilisha
-Orodha hakiki
|
|
8 | 3 |
kuandika
|
Barua rasmi
Barua ya kuomba kazi
Barua rasmi ya kuomba kazi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
ndogo -kueleza maana ya barua rasmi ya kuomba kazi -kujadili vipengele vya barua rasmi ya kuomba kazi kama : anwanin, mtajo -kusoma kielezo cha barua rasmi na kujibu maswali yake. |
-kueleza maana ya barua rasmi ya kuomba kazi kwa kitafiti na kisakira mtandaoni au vitaboni
-Kujadili vipengele muhimu vya barua rasmi akizingatia ujumbe, muundo na lugha ipasavyo -kusoma barua rasmi ya kuomba kazi na kujibu maswali yake |
Je brua rasni ya kuomba kazi huzingatia nini?
|
Kisw sahihi gredi ya 9 uk wa 112-113
-matini ya mwali vifua vya kidijitali Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 114 Matini ya mwalimu |
Kisakura
Kitafiti
Kieleza
Kusoma
kujadili
|
|
8 | 4 |
sarufi
Kusikiliza na kuzungumza |
Vinyume vya vihusishi
Uzungumzaji katika sherehe |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya vinyume vya vihusishi -kutaja mifano ya vinyume vya vihusishi ili kutofautisha na vingine. -kuambatanisha vihusishi na vinyume vyake katika jedwali |
-kueleza maana ya vinyume vya vihusishi kwa kitafiti vitabuni
-kutaja mifano ya vinyume vya vihusishi ili kubaini na vingine. Kuabatanisha katika jedwali vinyume na vihusishi vyake ipasavyo. |
Je vinyume vya vihusishi ni vipi
|
Kiswa sahili gredi ya 9 uk wa 115-116
Matini ya mwalimu Mabongo Vifaa vya kidijitari Uk wa 116 Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 118-119 picha michoro |
Kutafuta kueleza
Kuambatasha
Orodha hakiki
|
|
9 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
kusoma kuandika |
Uzungumzanji katika sherehem
Kusoma kwa mapana Matini ya kujichagulia Insha za kubuni maelezo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwnafunzi aweze -kusikiliza mazungumzo katika kifaa cha kidigitari au matini ya mwalimu na kutambua muktadha wa mazungumzo hayo -kuigiza mazungumzo katika muktdha mbali mbali ya sherehe wanazozijua ili kutadhimini uelewa sherehe wanazozijua ili kutathmini ni uelewa |
Mwanafunzi aelezwe
Kusikiliza mazungumzo katika kifaa cha kijiditali kisha kujibu maswali ipasavyo. Kuigiza mazungumzo katika muktadha mbali mbali ya sherehe ili kutathmini ni uelewa |
Je unazingatia nini unapozungumza katika sherehe
|
Kiswahili sahili gredi 9 uk wa 119
Matini ya mwalimu mwanfunzi Kisw sahihi Gredi ya 9 uk wa 119-120 -matini ya mwalimu Vifaa vya kidijitari novela Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 121 kamusi |
Kisakira na kusikiliza
Kujibu maswali
Kuigiza mazungumzo
|
|
9-10 |
Mid term break |
||||||||
10 | 2 |
kuandika
sarufi |
Insha za kubuni
(maelezo)
Mnyambuliko wa vitenzi Kauli ya kutendana |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwanfunzi aweze -kusakira mtambaoni au vitabuni na vielelezo vya insha za maelezo na kuchambua mitazamo mbalimbali katika insha hizo. -kuchangamkia kuandika insha ya maelezo kuhusu suala lengwa akizingatia mitazamo inayostahili ili kutathmini uelewa |
Mwanfunzi aelekezwe.
-kusakira na kutafiti mtandaoni au vitabuni vielekezo mbali mbali vya insha ya maelezo ili kuteua mitazamo mbali mbali iliyotumika. -kuchangamkia kuandaika insha ya maelezo kuhusu suals lengwa akizingatia ili kutathmini uelewa. |
Je ni mitazamo ipi inayotiwa katika insha ya maelezo?
|
Kisw sahili gredi 9
Uk wa 122-123 Matini ya mwlimu Vifaa vya kidijitali Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 124 Kamusi Mabango michoro |
Kisakura
Kitafiti
Kusoma
Kuandika insha ya maelezo
|
|
10 | 3 |
sarufi
Kusikiliza na kuzungumza |
Kauli ya kutendeana
Mnyabuliko wa vitenzi kauli ya kutendesha Matini ya kusikiliza |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwanfunzi aelekezwe na aweze -kueleza maana ya kauli ya kutendeana -kutaja mifano ya nomino katika kauli ya kutendeana na kueleza viambishi vya kauli ya kutendeana. -kutambua kwa kupigia mstari viambishi vya kauli ya kutendeana katika sentensi na kifungu. -kuchangamkia kuandika vitenzi na sentensi ya kutendeana |
Kueleza maana ya kauli ya kutendeana akitumia kamausi au mtandao
Kutaja vitenzi katika kauli ya kutendeana ili kuuibadilisha. Kutambua kwa kupigia mstari viambishi vya kauli ya kutendeana katika sentensi na kufungucha maneno ipasavyo. -kuandika vitenzi na kutunga sentensi katika kauli ya kutendeana ili kutathmini |
Je viabishi vya kauli ya kutendeana ni vipi
|
Access
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 126-127 Matini ya mwalimu Kamusi Vifaa vya kidijitari mabango Kisw sahili gredi ya 9 uk 127-129 Matini ya mwalimu kamusi vifaa vya kidijitali mabango picha Kisw Sahili Gredi ya 9 uk wa 129-130 Matini ya mwalimu vifua vya kidijitari |
Kueleza
Kutaja
Kutambua
Kutinga
Sentensi
Kujaza pengo
kusoma
|
|
10 | 4 |
kusoma
kuandika |
Kusoma kwa ufasaha
Hotuba ya kushawishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
ndogo mwanfunzi aweze -kueleza vipengele vya kusoma kwa ufasaha ili kuelewa mada lengwa -kusikiliza au kutazama video au televisheni ili kuona watu wakisoma Makala kwa ufasaha kisha kujadili vipengele vilivyotumika katika usomaji -kusoma kifungu kwa zamu akizingatia vipengele vya kusoma kwa ufasaha ili kutathmini usomaji wake |
Mwanfunzi aelekezwe
-kutanja na kueleza vipengele vinavyozingatiwa ili kusoma kwa ufasaha -kusikiliza video au kutazama runinga ili kuona watu wakisoma kwa ufasaha katika miktadha mbali mbali na kuchambua vipengele vilivyotumika. -kufurahia kusoma kifungu kwa zamu huku akizingatia vipengele muhimu inavyostahili wenzake watathmini usomaji wake. |
Je vipengele vya kuzingatiwa unaposoma kwa ufasaha ni vipi?
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 131-132.
Matini ya mwalimu vifaa vya kidigitari runinga Access Kiswa sahili gredi ya 9 uk wa 133-134 Matini ya mwalimu Vifaa vya kidigitari |
Iweleza
Kusoma
Kusikiliza
Kujibu maswali
|
|
11 | 1 |
kuandika
Sarufi Kusikiliza na kuzungumza |
Hotuba ya kushawishi
Aina ya sentensi Sentensi tata Mazungumzo mawaidha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwanfunzi aweze. -Kuandaa vidokezo vitakavyo msaidia katika uandishi wa hotuba kuhusu suala lengwa. -kuandika hotuba ya kishawishi daftari au katika kifaa awasomee wenzake ili waitolee maoni |
Mwanafunzi aelekezwe.
-Kuandaa vidokezo huku akizingatia vipengele muhimu kuhusu suala lengwa. -Kuandika hotuba ya kishawishi daftarini au katika kifaa cha kidigitari kisha awasomee wenzake ili kutoa maoni |
Je hotuba ya kishawishi huzingatia nini?
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 135.
Matini ya mwalimu Vifaa vya kidigitari Kisw sahili Gredi ya 9 uk wa 136-137 Vifaa vya kidigitali Picha na michoro Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 139-140 Matini ya mwalimu Vifaa vya kidijitali. Picha michoro |
Kuandaa vidokezo
Kuandika hotuba ya kishawishi
|
|
11 | 2 |
Kusikiliza na kuzungumza
kusoma kusoma |
Mazungumzo
mawaidha
Kusoma kwa kina Mbinu za lugha Kusoma kwa kina ushairi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusikiliza mawaidha atakayosomewa na mwalimu kisha ajibu maswali ili kuthibitisha mawaidha ya kifasihi. -kutambua vipengele vya liwasilishaji wa mawaidha kwa kuzingatia vipengele vya uwasilishaji kuhusa suala lengwa |
Mwanfunzi aelekezwe.
Kusikiliza mawaidha takayosomewa na mwalimu na kujibu maswali ipasavyo. -kutambua vipengele vya uwasilishanji wa mawidha ya kifasihi ipasavyo. -kuwasilisha mawaidha kwa kuzingatia vipengele vya uwasilishaji kuhusu suala lengwa ili ili kutathmini uelewa. |
Je vipengele vya uwasilishanji wa mawaidha ya kifasihi ni vipi?
|
Kisw sahili uk wa 141-142
Matini ya mwalimu mwanafunzi Access Kiswahili sahili gredi ya 9 uk wa 143-144 -matini ya mwalimu -diwani za mashairi Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 145 -vifaa vya kidigitali |
Kusikiliza
Kujibu maswali
Kutambua
Kuwasilisha
Orodha hakiki
|
|
11 | 3 |
kuandika
sarufi |
Insha za kubuni
maelezo
Ukanushaji hali ya masharti |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kusoma kielelezo cha insha ya maelezo ili kutambua ni ya aina gani - kutambua hali inayoelezewa katika insha aliyoisoma ili kuelewa maana ya hali katika insha ya maelezo - kujadili vipengele vya insha ya maelezo kuhusu hali - kuchangamkia kuandika insha ya maelezo kuhusu hali katika daftari au tarakilishi kuhusu suala lengwa kisha awasomee wenzake ili awatolee maoni |
kusoma kielelezo cha insha ya maelezo ili kutambua ni ya aina gani
-kutambua hali inayoelezewa katika insha aliyoisoma ili kuelewa maana ya hali katika insha ya maelezo -kujadili vipengele vya kuzingatia katika insha ya maelezo kuhusu hali -kuchangamkia kuandika insha ya maelezo kuhusu hali daftarini au tarakilishi kuhusu swala lengwa kisha awasomee wenzake ili wamtolee maoni |
Je, vipengele vya kuzingatia katika insha ya maelezo kuhusu hali ni zipi?
|
Kisw sahil gredi ya 9 uk wa 146-147
-matini ya mwalimu Vifaa vya kidijitali Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 146-148 -chati na mabango |
-kusoma
-kutambua
|
|
11 | 4 |
sarufi
Kusikiliza na kuzungumza |
Ukanushaji wa hali ya masharti
-ngali
Ukanushaji wa hali ya masharti (-ki) mawaidha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kueleza maana ya ukanusho wa hali ya masharti |
kujua maana ya ukanusho wa hali ya masharti
|
Ni kanuni zipi huzingatiwa katika ukanusho wa hali ya masharti -ngali
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 149-150
-matini ya mwalimu -chati na michoro Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 151-152 -mabango -michoro -chati Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 153 -vifaa vya kidijitali |
-kueleza
-kusoma na kutambua
-Kutunga sentensi na kifungu
-Kutathmini
|
|
12 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
kusoma |
mawaidha
Kusoma kwa ufahamu Kifungu cha mjadala |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kujadili ishara zifaazo ili kuboresha uwasilishaji wa maidha -kutolea wenzake darasani mawaidha kuhusu suala lengwa akizingatia vipengele vya lugha na ishara |
-kujadili ishara zinazo fanikisha uwasilishaji wa mawaidha
-kutolea wenzake mawaidha kuhusu suala lengwa akizingatia vipengele vya lugha na ishara zifaazo |
je, ishara zifaazo katika mawaidha ni zipi?
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 154
-matini ya mwalimu Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 155-156 -picha -michoro -vifaa vya kidijitali |
-Kujadili
-kutoa mawaidha
-Kutathmini
-Orodha hakiki
|
|
12 | 2 |
kusoma
kuandika kuandika |
Kifungu cha mjadala
Insha za kiuamilifu shajara Insha za kiuamilifu shajara |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kusakira mtandaoni kifungu cha mjadala na kukisoma kisha aandike habari mahususi katika kifungu cha mjadala alichokisoma -kuchangamkia kusoma miktadha mbalimbali kuhusu suala lengwa na kuchanganua mtazamo wake ili kutathmini uelewa |
-kusakura mtandaoni kifungu cha mjadala akisome kisha aandike habari mahususi katika kifungu alichokisoma
-kuchangamkia kusoma miktadha mbalimbali kuhusu suala lengwa na kuchanganua mitazamo yake vilivyo |
Je, unazingatia nini unaposakira matini ya kusoma mtandaoni?
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 156
-vifaa vya kidijitali Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 158-159 -matini ya mwalimu -kielelezo Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 160 |
-kusakira
-kusoma
-kuchambua
-Orodha hakiki
|
|
12 | 3 |
sarufi
Kusikiliza na kuzungumza |
Ukubwa na udogo wa nomino
a, Hali ya ukubwa wa nomino
Hali ya udogo wa nomino Kusikiliza kwa kutathmini |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kueleza maana ya ukubwa wa nomino - kutambua kiambishi katika hali ya ukubwa (-ji) katika umoja - kutambua nomino katika hali ya ukubwa umoja na wingi katika matini mbalimbali - kuchangamkia sentensi katika hali ya ukubwa wa nomino na kutambua viambishi vya ukubwa ili kutathmini uelewa |
-kueleza na kuelewa maana ya ukubwa wa nomino
-kutambua viambishi katika hali ya ukubwa -kutambua nomino katika hali ya ukubwa katika umoja na wingi katika matini mbalimbali -kufurahia kutunga sentensi katika hali ya ukubwa wa nomino huku akizingatia viambishi vya ukubwa ili kutathmini uelewa |
Je, hali ya ukubwa wa nomino huchukua kiambishi kipi?
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 160- 161
-matini ya mwalimu -kamusi -vifaa vya kidijitali Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 162-164 -kupu maneno Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 166-167 |
-kueleza
-kutambua
-Kutunga sentensi
-kujaza pengo
-Orodha hakiki
|
|
12 | 4 |
kusoma
Kuandika Kuandika Kuandika |
ufupisho
Kujibu barua pepe Kujibu barua pepe Kujibu barua pepe |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kujadili vipengele vya kuzingatia katika kufupisha habari. -kusoma kifungu kisha kujibu maswali kisha afupishe kifungu akizingatia vipengele vya ufupisho . Atafute mtandaoni au kusoma vitambuni ujumbe ulio na mada lengwa kisha azingatie a vipengele muhimu kufupisha li kudhamini . |
-kujadili vipengele vya kuzingatia katika ufupisho.
B,kusoma kifungu kisha kujibu maswali na kufupisha kifungu akizingatia vipengele vya ufupisho . -Kutafuta mtandaoni au vitambuni kusoma ujumbe a ulio na suala lengwa kisha azingatie vipengele vya ufupisho kufupisha ili kutamini kuelewe . |
Je vipengele muhimu vya ufupisho ni vipi ?
|
-kiswahili gredi 9 ukurasa wa 167-168
-matini ya mwalimu Vifaa vya kidijitali . -kiswahili gredi 9 ukurasa wa 169 - 170 . Na mwanafunzi . -kiswahili gredi 9 ukurasa wa 174 - 174 . picha |
-Kujadili vipengele
-kuandika
|
Your Name Comes Here