If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
1 |
Reporting, and settling & revision of last term's exm |
|||||||
2 | 1 |
Ufahamu
|
Unene wa kuhatarisha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma taarifa kwa ufasaha. -Kujibu maswali kwa usahihi. -Kueleza maana ya maneno. -Kuzingatia mafunzo. |
Usomaji.
Utafiti. Utatuzi wa mambo. Uchunguzi kifani |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 62-64
|
|
2 | 2 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Vitenzi: Mzizi na viambishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza dhana ya mzizi na viambishi katika vitenzi. -Kubainisha mzizi wa viambishi awali na tamati katika vitenzi. -Kuonyesha viambishi vya kauli za Mnyambuliko katika vitenzi. |
Maelezo
Ufafanuzi. Maswali na majibu. Majadiliano. Tajriba |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 76-79
|
|
2 | 3 |
Kusoma
|
Tamathali za usemi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza manufaa ya tamathali za usemi kwa uandishi wa fasihi. -Kufafanua maana za tamathali za usemi. -Kudondoa tamathali zozote kutoka kwenye riwaya teule. |
Usomaji.
Maelezo. Maswali na majibu. Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 79-83
|
|
2 | 4 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Soga
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya soga. -Kufafanua sifa za soga. -Kubainisha mafunzo katika soga. -Kutoa mfano wa soga |
Maelezo
Ufafanuzi. Ufaraguzi. Majadiliano. Maswali na majibu |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 84-86
|
|
2 | 5 |
Kusoma kwa kina
|
Muundo na mtindo katika fasihi andishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kufafanua tofauti zilizopo kati ya dhana za muundo na mtindo wa kazi za fasihi andishi. Kueleza vipengele vya kimsingi vya kuzingatia katika fasihi andishi. Kupambanua mtindo wa tamthilia au hadihi fupi teule unayoisoma darasani. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 102-105
|
|
2 | 6 |
Kuandika
|
Utafiti wa kazi za fasihi simulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya neno ‘utafiti’ Kufafanua njia za Utafiti wa fasihi simulizi. Kueleza vifaa vinavyoweza kutumika katika Utafiti wa fasihi simulizi nyanjani. |
Kueleza
Kusoma Kuigiza Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 105-106
|
|
3 | 1 |
Fasihi
|
Ushairi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kukariri shairi. Kuonyesha dhamira ya mshairi. Kueleza uhuru wa kishairi alizozitumia mshairi. |
Kueleza
Kusoma Kuigiza Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 112-113
|
|
3 | 2 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Miviga
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kufafanua maana ya miviga katika jamii Kubainisha umuhimu wa miviga katika jamii Kubainisha miviga mizuri na kuendeleza na mibaya kupingwa vita |
Kueleza
Kusikiliza Kujadili Kusoma makala kitabuni kwa sauti kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 115-116
|
|
3 | 3 |
Ufupisho
|
Ufupisho
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma hadithi na kuelewa ujumbe Kudondoa hoja muhimu Kufupisha hadithi kwa urefu ulioulizwa |
Kusoma
Kujadili Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 116-118
|
|
3 |
Opening exams |
|||||||
4 | 1 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Aina za maneno; Vihisishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kutaja aina za vihisishi. Kueleza aina za vihisishi. Kueleza dhima ya vihisishi katika sentensi. Kutunga sentensi akitumia vihisishi. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu |
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 124-125 |
|
4 | 2 |
Kusoma kwa kina
|
Mashairi ya arudhi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya shairi ya arudhi. Kufafanua maudhui ya shairi la arudhi. Kubainisha mafunzo ya shairi hilo. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 126-128
|
|
4 | 3 |
Kuandika
|
Ujumbe wa rununu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza umuhimu wa rununu Kueleza muundo wa ujumbe wa rununu Kuandika ujumbe wa rununu |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 130 |
|
4 | 4 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Uundaji wa maneno
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kuunda nomino kutoka na vitenzi. Kutunga nomino kutokana na aina nyingine za maneno. Kubainisha vivumishi kutokana na aina nyingine za maneno. |
Kueleza
Kujadili Kujibu maswali |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 137-139
|
|
4 | 5 |
Kusoma kwa mapana
|
Changamoto zinazoikabili lugha ya Kiswahili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kujadili matatizo yanayozikabili lugha ya Kiswahili kwa mujibu wa taarifa. Kueleza jinsi Changamoto zinazoikumbuka lugha ya Kiswahili zinavyoweza kukabiliwa. Kufafanua jinsi lugha ya Kiswahili inaweza kusambazwa nchini. |
Maelezo
Ufafanuzi Majadiliano. Uchunguzi. Kazi ya vikundi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 139-141
|
|
4 | 6 |
Kuandika
|
Insha za masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kujieleza kwa mtiririko ufaao Kutambua hatua za uandishi bora wa insha maelezo Kuandika insha ya maelezo kwa kutumia fani mbalimbali za lugha |
Kueleza
Kujadili Kujibu maswali |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 142
|
|
5 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Mighani
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kufafanua maana ya mighani Kubainisha sifa za mighani Kutoa mifano kwa mighani katika jamii yake. |
Utafiti.
Mifano. Uchunguzi. Kazi mradi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 143-144
|
|
5 | 2 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Mwingiliano wa aina za maneno
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza jinsi aina za maneno hubadilika kutegemea utendaji kazi yake katika sentensi Kufafanua jinsi aina za maneno huingiliana. Kubainisha maneno yaliyopigwa mistari ni ya aina gani. Kutunga sentensi akitumia msamiati ufaao |
Mashindano
Majadiliano Maelezo Ufafanuzi Maswali na majibu |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 146-148
|
|
5 | 3 |
Kusoma kwa mapana
|
Wajibu wa Kiswahili Kitaifa na kimataifa
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma taarifa inayohusu Wajibu wa Kiswahili Kitaifa na kimataifa. Kueleza mambo yanayothibitisha nafasi ya Kiswahili kimataifa. Kufafanua Wajibu unaotekelezwa na lugha ya Kiswahili kulingana na taarifa. |
Usomaji.
Maelezo. Maswali na majibu. Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 148-149
|
|
5 | 4 |
Kuandika
|
Kumbukumbu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza muundo wa insha ya kumbukumbu Kudondoa makosa yote katika insha yake na kuyarekebisha Kuandika insha ya kumbukumbu upya bila makosa yoyote |
Maelezo
Ufafanuzi Maswali na majibu Majadiliano Mazoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 150-152
|
|
5 | 5 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Isimujamii: Matumizi ya lugha katika hotuba
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza matumizi ya lugha katika hotuba. Kufafanua sifa za lugha ya hotuba. Kutambua umuhimu wa Utoaji hotuba |
Kudadisi
Uchunguzi Ufafanuzi Uhakiki |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 153
|
|
5 | 6 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Nyakati, hali na ukanushaji wake
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kufafanua matumizi ya si-, -me- na –ki- Kubainisha kanuni za ukanushaji wa hali hizo Kukanusha sentensi hali hizo tatu |
Masimulizi
Uchunguzi Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 156-158
|
|
6 | 1 |
Kusoma kwa mapana
|
Historia ya lugha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma taarifa ‘Historia ya lugha’ Kueleza mikakati iliyojadiliwa katika taarifa ya kukiimarisha Kiswahili. Kutambua hali ya Kiswahili nchini Kenya huku akirejelea taarifa aliyoisoma. |
Kuandika
Kuuliza maswali Kujibu maswali Kuigiza Majadiliano. |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 158-160
|
|
6 | 2 |
Kuandika
|
Hotuba
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya hotuba. Kutambua umuhimu wa hotuba. Kufafanua muundo wa hotuba. Kuandika hotuba. |
Usomaji.
Maelezo. Maswali na majibu. Utafiti. |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 160-161
|
|
6 | 3 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Isimujamii: Sajili ya viwandani
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya sajili ya viwandani. Kufafanua sajili ya viwandani. Kueleza jinsi uhusiano wa wahusika viwandani unavyodhibiti matumizi ya lugha viwandani. |
Maelezo
Ufafanuzi. Utafiti. Kutoa mifano |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 162
|
|
6 | 4 |
Ufahamu
|
Mawasiliano katika tarakilishi na utandawazi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma kwa sauti na kimya. Kujibu maswali. Kutaja sifa zinazodhihirisha mchakato wa mawasiliano kupitia tarakilishi. |
Maelezo
Ufafanuzi. Majadiliano. Uchunguzi. Kazi ya vikundi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 163-165
|
|
6 | 5 |
Sarufi
|
Ukanushaji wa hali II
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kufafanua matumizi ya –a-, -po-, -nge-, -ngali- na –ngeli- Kubainisha kanuni za ukanushaji wa hali hizo Kukanusha sentensi hali hizo tatu |
Maelezo
Ufafanuzi. Mifano. |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 165-167
|
|
6 | 6 |
Kusoma kwa kina
|
Kamliwaze
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma shairi, ‘Kamliwaze’ Kuchambua shairi hili, ‘Kamliwaze’ Kujibu maswali. |
Ufaraguzi
Utafiti Maelezo Ufanunuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 168
|
|
7 | 1 |
Kuandika
|
Insha ya mawazo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza muundo wa insha ya mawazo Kufafanua vigezo muhimu vya insha mawazo Kuandika insha ya mawazo ifaavyo. |
Kueleza
Kujadili Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 61-62
|
|
7 | 2 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Mawaidha katika fasihi simulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya mawaidha katika fasihi simulizi. Kufafanua sifa za mawaidha. Kutaja dhima ya mawaidha. |
Usomaji.
Utafiti. Utatuzi wa mambo. Uchunguzi kifani |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 170-171
|
|
7 | 3 |
Ufahamu
|
Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kufafanua mawazo makuu katika kifungu Kueleza msamiati na kuutungia sentensi kwa usahihi Kujibu maswali ya ufahamu kiukamilifu |
Maelezo.
Mifano. Mazoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 171-172
|
|
7 | 4 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Uakifishaji
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma kifungu kisha kutoa mifano ya matumizi ya lugha na alama za uakifishaji. Kutaja alama za uakifishaji zilizotumiwa katika kifungu. Kugeuza sentensi ziwe katika usemi halisi. Kuandika sentensi katika usemi taarifa. |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha mbele ya darasa Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 173-175
|
|
7 | 5 |
Kusoma kwa kina
|
Idhini ya kishairi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya ‘Idhini ya kishairi’ Kutaja Idhini za kishairi anazoweza kuzitumia mshairi. Kueleza sababu za mshairi kutumia Idhini ya kishairi. |
Maelezo.
Kuigiza. Kuandika. Maswali na majibu |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 175-176
|
|
7 | 6 |
Kuandika
|
Insha ya wasifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya wasifu Kutambua sifa za wasifu na umuhimu wake. Kuandika wasifu yake kwa muundo sahihi. |
Maelezo
Ufafanuzi. Maswali na majibu. Majadiliano. Tajriba |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 176
|
|
8 | 1 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Yambwa na chagizo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya yambwa na chagizo. Kubainisha chagizo katika sentensi. Kutunga sentensi zilizo na yambwa na chagizo |
Kueleza
Kusoma Kujibu maswali Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 190-191
|
|
8 | 2 |
Kuandika
|
Maagizo na maelekezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya maagizo ya maelekezo. Kufafanua muundo wa kuandika maagizo/maelekezo. Kueleza vipengele vya kuandika maagizo/maelekezo |
Maelezo.
Majadiliano. Tajriba. Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 193
|
|
8 | 3 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Virai
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya kirai. Kutambua aina za virai. Kutunga sentensi kudhihirisha aina za virai. |
Kusoma
Kujadili Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 198-199
|
|
8 | 4 |
Kuandika
|
Dayalojia
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma na kuigiza dayalojia kwa ufasaha. Kujibu maswali kutokana na dayalojia. Kuandika dayalojia. |
Uigizaji
Maelezo Ufafanuzi. Maswali na majibu Kazi mradi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 200 |
|
8 | 5 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Nyimbo na maghani
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya nyimbo na maghani. Kutaja sifa za nyimbo na maghani. Kutaja na kueleza aina za nyimbo Kufafanua umuhimu wa nyimbo na maghani. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 209-212
|
|
8 | 6 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Vishazi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya kishazi Kubainisha aina za vishazi Kutunga sentensi zenye vishazi Kutambua vishazi katika tungo |
Kueleza
Kusoma Kujibu maswali Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 214-216 |
|
9 |
Mid term break |
|||||||
10 | 1 |
Kuandika
|
Ratiba
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya ratiba. Kufafanua umuhimu wa ratiba. Kutaja mambo muhimu ya kuzingatia mtu anapoandika ratiba. Kuandika ratiba. |
Kusoma.
Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 216-217
|
|
10 | 2 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Ulumbi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya ulumbi. Kueleza majukumu ya walumbi. Kufafanua umuhimu wa ulumbi Kutoa mifano ya walumbi. |
Maelezo
Uchunguzi kifani Utazamaji Kutoa mifano |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 218-219
|
|
10 | 3 |
Kuandika
|
Barua kwa mhariri
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza muundo wa barua kwa mhariri. Kutaja sifa za barua kwa mhariri. Kuandika barua kwa mhariri. |
Mifano.
Majadiliano Maelezo Ufafanuzi Tajriba Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 227-228
|
|
10 | 4 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Uchanganuzi wa sentensi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya uchanganuzi wa sentensi. Kufafanua sentensi sahili, ambatano na changamano. Kueleza vitenzi vya sentensi baada ya uchanganuzi. |
Maelezo
Uchunguzi Mifano Ufafanuzi Kujaza majedwali Mazoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 228-233
|
|
10 | 5 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Isimu jamii: Sajili ya mahakamani
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kufafanua sifa za sajili ya mahakamani Kueleza umuhimu wa sajili ya mahakamani Kutaja wanaohusika katika kutumia lugha ya mahakamani |
Usomaji.
Maelezo. Maswali na majibu. Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 236
|
|
10 | 6 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Uchanganuzi wa fungu tenzi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya fungu tenzi. Kuchanganua fungu tenzi kama sentensi sahili au kishazi tegemezi. Kuandika mifano ya fungu tenzi. |
Maelezo
Ufafanuzi Maswali na majibu Majadiliano Mazoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 238-239
|
|
11-12 |
End term exams |
|||||||
13 | 1 |
Kuandika
|
Insha ya mazungumzo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza muundo wa insha ya mazungumzo Kutaja sifa za insha ya mazungumzo. Kuandika insha ya mazungumzo. |
Kudadisi
Uchunguzi Ufafanuzi Uhakiki |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 241
|
|
13 | 2 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Changamoto za fasihi simulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza sifa za fasihi simulizi. Kutaja aina za fasihi simulizi. Kufafanua changamoto za fasihi simulizi. |
Masimulizi
Uchunguzi Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 242
|
|
13 | 3 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Viambishi maalumu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya viambishi maalumu. Kutaja aina za viambishi maalumu. Kutunga sentensi kubainisha matumizi ya kiambishi –ku-, -ndi-, -ji- |
Kuandika
Kuuliza maswali Kujibu maswali Kuigiza Majadiliano. |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 244-247
|
|
13 | 4 |
Kusoma kwa mapana
|
Tahariri kutoka magazetini
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma mfano wa tahariri. Kueleza mambo ambayo yalifanyika kwa ajili ya kuiimarisha lugha ya Kiswahili. Kutaja vizuizi vinavyokabiliwa kwa kukua lugha ya Kiswahili. |
Usomaji.
Maelezo. Maswali na majibu. Utafiti. |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 247-248
|
|
13 | 5 |
Kuandika
|
Mjadala
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya mjadala. Kufafanua kanuni za kutendesha mjadala. Kutaja umuhimu wa mjadala. |
Maelezo
Ufafanuzi. Utafiti. Kutoa mifano Kuigiza |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 250
|
|
13 | 6 |
Kusoma kwa kina
|
Matangazo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya Matangazo. Kufafanua umuhimu wa Matangazo. Kutaja aina za Matangazo. Kueleza sifa za Matangazo Kuandika Matangazo. |
Maelezo
Ufafanuzi. Majadiliano. Uchunguzi. Kazi ya vikundi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 256-258
|
|
14 |
Revision & closing |
Your Name Comes Here