If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
2 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Ufahamu wa kusikiliza
Ufahamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma kwa sauti na kimya. Kujibu maswali. Kueleza ni funzo gani unalolipata kutokana na kisa ulichokisoma |
Kueleza
Kujadiliana Kuandika Kuuliza maswali Kuigiza Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya fasihi simulizi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 96-97
|
|
2 | 2 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Mnyambuliko vitenzi II
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza mnyambuliko wa vitenzi. Kuainisha kauli mbalimbali za vitenzi. Kufafanua maana ya vitenzi katika kauli mbalimbali. |
Ufafanuzi.
Maelezo. Mifano |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 98-100
|
|
2 | 3-4 |
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma (fasihi) |
Mnyambuliko vitenzi vya silabi ya konsonanti moja
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza mnyambuliko vitenzi vya silabi ya konsonanti moja. Kubainisha kauli ya kutendea, kutendwa, kutendeka, kutendewa na kutendesha. Kutunga sentensi akitumia vitenzi kudhihirisha maana za kauli husika. somo, ; Kusoma sura ya kwanza ya hadithi fupi (Fadhili za punda) Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya kwanza. Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya kwanza. |
Tajriba.
Maswali na majibu. Mifano. Mazoezi. Marudio Kusoma Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 100-102
Kitabu teule |
|
2 | 5 |
Kusoma kwa kina
|
Muundo na mtindo katika fasihi andishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kufafanua tofauti zilizopo kati ya dhana za muundo na mtindo wa kazi za fasihi andishi. Kueleza vipengele vya kimsingi vya kuzingatia katika fasihi andishi. Kupambanua mtindo wa tamthilia au hadihi fupi teule unayoisoma darasani. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 102-105
|
|
2 | 6 |
Kuandika
Fasihi |
Utafiti wa kazi za fasihi simulizi
Ushairi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya neno ‘utafiti’ Kufafanua njia za Utafiti wa fasihi simulizi. Kueleza vifaa vinavyoweza kutumika katika Utafiti wa fasihi simulizi nyanjani. |
Kueleza
Kusoma Kuigiza Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 105-106
|
|
3 |
Opener Exams |
|||||||
4 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Miviga
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kufafanua maana ya miviga katika jamii Kubainisha umuhimu wa miviga katika jamii Kubainisha miviga mizuri na kuendeleza na mibaya kupingwa vita |
Kueleza
Kusikiliza Kujadili Kusoma makala kitabuni kwa sauti kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 115-116
|
|
4 | 2 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma sura ya pili ya hadithi fupi (Fadhili za punda) Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya pili. Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya pili. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
|
4 | 3-4 |
Ufupisho
Sarufi na matumizi ya lugha |
Ufupisho
Aina za maneno; Vielezi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma hadithi na kuelewa ujumbe Kudondoa hoja muhimu Kufupisha hadithi kwa urefu ulioulizwa somo, ; Kutaja aina za vielezi. Kueleza aina za vielezi. Kutunga sentensi akitumia aina za vielezi. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kusoma. Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 116-118
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 118-121 |
|
4 | 5 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Aina za maneno; Viunganishi
Aina za maneno; Vihusishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kutaja aina za viunganishi. Kueleza aina za viunganishi. Kueleza dhima ya viunganishi katika sentensi. Kutunga sentensi akitumia aina za vivumishi. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu |
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 121-123 |
|
4 | 6 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma sura ya nne na ya tano ya hadithi fupi (Haru na Sabina) Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya nne na ya tano. Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya nne na ya tano. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
|
5 | 1 |
Kusoma (fasihi)
Sarufi na matumizi ya lugha |
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
Aina za maneno; Vihisishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma na kueleza maudhui katika sura ya nne na ya tano Kupambanua sifa za wahusika katika sura ya nne na ya tano Kujibu maswali. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
|
5 | 2 |
Kusoma kwa kina
|
Mashairi ya arudhi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya shairi ya arudhi. Kufafanua maudhui ya shairi la arudhi. Kubainisha mafunzo ya shairi hilo. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 126-128
|
|
5 | 3-4 |
Kuandika
Kusoma (fasihi) |
Memo
Baruameme Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kutambua maana ya memo. Kueleza muundo wa memo. Kuandika memo. somo, ; Kusoma sura ya sita (Mzimu wa Kipwerere) Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya sita. Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya sita. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi Kusoma Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 128-129 Kitabu teule |
|
5 | 5 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma na kueleza maudhui katika sura ya sita Kupambanua sifa za wahusika katika sita Kujibu maswali. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
|
5 | 6 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza |
Ujumbe wa rununu
Ngano |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza umuhimu wa rununu Kueleza muundo wa ujumbe wa rununu Kuandika ujumbe wa rununu |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 130 |
|
6 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Ngano
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kutaja aina za ngano Kutoa mifano ya ngano, mfano mifano za ngano za mtanziko. Teua aina za wahusika wanaotumika katika ngano na ufafanue matumizi yao. |
Kusoma
Majadiliano Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 133-134
|
|
6 | 2 |
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma (fasihi) |
Uundaji wa maneno
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kuunda nomino kutoka na vitenzi. Kutunga nomino kutokana na aina nyingine za maneno. Kubainisha vivumishi kutokana na aina nyingine za maneno. |
Kueleza
Kujadili Kujibu maswali |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 137-139
|
|
6 | 3-4 |
Kusoma (fasihi)
Kusoma kwa mapana Kuandika |
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
Changamoto zinazoikabili lugha ya Kiswahili Insha za masimulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma na kueleza maudhui katika sura ya saba Kupambanua sifa za wahusika katika sura ya saba. Kujibu maswali. somo, ; Kujadili matatizo yanayozikabili lugha ya Kiswahili kwa mujibu wa taarifa. Kueleza jinsi Changamoto zinazoikumbuka lugha ya Kiswahili zinavyoweza kukabiliwa. Kufafanua jinsi lugha ya Kiswahili inaweza kusambazwa nchini. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi Maelezo Ufafanuzi Majadiliano. Uchunguzi. Kazi ya vikundi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Kitabu teule
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 139-141 |
|
6 | 5 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Mighani
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kufafanua maana ya mighani Kubainisha sifa za mighani Kutoa mifano kwa mighani katika jamii yake. |
Utafiti.
Mifano. Uchunguzi. Kazi mradi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 143-144
|
|
6 | 6 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Mwingiliano wa aina za maneno
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza jinsi aina za maneno hubadilika kutegemea utendaji kazi yake katika sentensi Kufafanua jinsi aina za maneno huingiliana. Kubainisha maneno yaliyopigwa mistari ni ya aina gani. Kutunga sentensi akitumia msamiati ufaao |
Mashindano
Majadiliano Maelezo Ufafanuzi Maswali na majibu |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 146-148
|
|
7 | 1 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma sura ya nane (Kifo cha Suluhu) Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya nane. Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya nane. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
|
7 | 2 |
Kusoma kwa mapana
|
Wajibu wa Kiswahili Kitaifa na kimataifa
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma taarifa inayohusu Wajibu wa Kiswahili Kitaifa na kimataifa. Kueleza mambo yanayothibitisha nafasi ya Kiswahili kimataifa. Kufafanua Wajibu unaotekelezwa na lugha ya Kiswahili kulingana na taarifa. |
Usomaji.
Maelezo. Maswali na majibu. Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 148-149
|
|
7 | 3-4 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza Sarufi na matumizi ya lugha |
Kumbukumbu
Isimujamii: Matumizi ya lugha katika hotuba Nyakati, hali na ukanushaji wake |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza muundo wa insha ya kumbukumbu Kudondoa makosa yote katika insha yake na kuyarekebisha Kuandika insha ya kumbukumbu upya bila makosa yoyote somo, ; Kufafanua matumizi ya si-, -me- na –ki- Kubainisha kanuni za ukanushaji wa hali hizo Kukanusha sentensi hali hizo tatu |
Maelezo
Ufafanuzi Maswali na majibu Majadiliano Mazoezi Masimulizi Uchunguzi Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 150-152
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 156-158 |
|
7 | 5 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma sura ya tisa (Ahadi ni Deni) Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya tisa. Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya tisa. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
|
7 | 6 |
Kusoma kwa mapana
|
Historia ya lugha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma taarifa ‘Historia ya lugha’ Kueleza mikakati iliyojadiliwa katika taarifa ya kukiimarisha Kiswahili. Kutambua hali ya Kiswahili nchini Kenya huku akirejelea taarifa aliyoisoma. |
Kuandika
Kuuliza maswali Kujibu maswali Kuigiza Majadiliano. |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 158-160
|
|
8 |
Midterm exams |
|||||||
9 |
Half term |
|||||||
10 | 1 |
Kuandika
|
Hotuba
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya hotuba. Kutambua umuhimu wa hotuba. Kufafanua muundo wa hotuba. Kuandika hotuba. |
Usomaji.
Maelezo. Maswali na majibu. Utafiti. |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 160-161
|
|
10 | 2 |
Kusikiliza na kuzungumza
Ufahamu |
Isimujamii: Sajili ya viwandani
Mawasiliano katika tarakilishi na utandawazi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya sajili ya viwandani. Kufafanua sajili ya viwandani. Kueleza jinsi uhusiano wa wahusika viwandani unavyodhibiti matumizi ya lugha viwandani. |
Maelezo
Ufafanuzi. Utafiti. Kutoa mifano |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 162
|
|
10 | 3-4 |
Kusoma (fasihi)
Kusoma (fasihi) Sarufi |
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo) Ukanushaji wa hali II |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma sura ya kumi (Toba ya Kalia) Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya kumi. Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya kumi. somo, ; Kusoma na kueleza maudhui katika sura ya kumi. Kupambanua sifa za wahusika katika sura ya kumi. Kujibu maswali. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi Kamusi |
Kitabu teule
|
|
10 | 5 |
Kusoma kwa kina
|
Kamliwaze
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma shairi, ‘Kamliwaze’ Kuchambua shairi hili, ‘Kamliwaze’ Kujibu maswali. |
Ufaraguzi
Utafiti Maelezo Ufanunuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 168
|
|
10 | 6 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza |
Insha ya mawazo
Mawaidha katika fasihi simulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza muundo wa insha ya mawazo Kufafanua vigezo muhimu vya insha mawazo Kuandika insha ya mawazo ifaavyo. |
Kueleza
Kujadili Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 61-62
|
|
11 | 1 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma sura ya kumi na moja (Nipe nafasi) Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya kumi na moja. Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya kumi na moja. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
|
11 | 2 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma na kueleza maudhui katika sura ya kumi na moja. Kupambanua sifa za wahusika katika sura ya kumi na moja. Kujibu maswali. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
|
11 | 3-4 |
Ufahamu
Sarufi na matumizi ya lugha Kusoma kwa kina |
Ufahamu
Uakifishaji Idhini ya kishairi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kufafanua mawazo makuu katika kifungu Kueleza msamiati na kuutungia sentensi kwa usahihi Kujibu maswali ya ufahamu kiukamilifu somo, ; Kueleza maana ya ‘Idhini ya kishairi’ Kutaja Idhini za kishairi anazoweza kuzitumia mshairi. Kueleza sababu za mshairi kutumia Idhini ya kishairi. |
Maelezo.
Mifano. Mazoezi Maelezo. Kuigiza. Kuandika. Maswali na majibu |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 171-172
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 175-176 |
|
11 | 5 |
Kuandika
Kusoma (fasihi) |
Insha ya wasifu
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya wasifu Kutambua sifa za wasifu na umuhimu wake. Kuandika wasifu yake kwa muundo sahihi. |
Maelezo
Ufafanuzi. Maswali na majibu. Majadiliano. Tajriba |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 176
|
|
11 | 6 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma na kueleza maudhui katika sura ya kumi na mbili. Kupambanua sifa za wahusika katika sura ya kumi na mbili. Kujibu maswali. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
|
12 |
Joint Exams |
Your Name Comes Here