If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 1 |
Kufunguliwa kwa shule na udurusu wa mtihani wa muhula uliopita |
|||||||
| 2 | 1 |
Kusoma
Kusoma (fasihi) |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
| 2 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa mapana
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma aina mbalimbali za maandishi yaliyoandikwa kwa miundo na mitindo mbalimbali. -Kusoma kwa haraka bila kuzingatia maneno au vifungu vyote. -Kusoma bila kutafuta maana za maneno kwenye kamusi. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 8
|
|
| 2 | 3-4 |
Kusoma (fasihi)
Kusoma (fasihi) Kusikiliza na kuzungumza |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi Isimu jamii: Lugha ya itifaki |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
| 2 | 5 |
Kuandika
|
Tahakiki
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya Tahakiki. -Kuorodhesha mambo anayohitaji kuzingatia mhakiki anapoandika Tahakiki. -Kuandika tahikiki ya maneno yasiyopungua 400 wala kuzidi 450. |
Kueleza
Kujadili Kujibu maswali |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 27-29
|
|
| 2 | 6 |
Kusoma (fasihi)
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
| 3 | 1 |

| 3 | 2 |

| 3 | 3-4 |
Kusoma (fasihi)
Kuandika |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
Uandishi wa tahariri |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu -Kueleza maana ya tahariri -Kujadili jinsi ya kuandika tahariri. -Kuandika tahariri. |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu Kusoma Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 95 |
|
| 3 | 5 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Ufahamu wa kusikiliza
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma kwa sauti na kimya. Kujibu maswali. Kueleza ni funzo gani unalolipata kutokana na kisa ulichokisoma |
Kueleza
Kujadiliana Kuandika Kuuliza maswali Kuigiza Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya fasihi simulizi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 96-97
|
|
| 3 | 6 |
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi na matumizi ya lugha |
Ufahamu
Mnyambuliko vitenzi II |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma ufahamu. Kutoa maelezo kuhusu jinsi Kiswahili kinavyotumika katika vyombo vya habari Duniani. Kufafanua na kutunga sentensi semi na msamiati. |
Kueleza
Kujadiliana Kuandika Kuuliza maswali |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 97-98
|
|
| 4 | 1 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Mnyambuliko vitenzi vya silabi ya konsonanti moja
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza mnyambuliko vitenzi vya silabi ya konsonanti moja. Kubainisha kauli ya kutendea, kutendwa, kutendeka, kutendewa na kutendesha. Kutunga sentensi akitumia vitenzi kudhihirisha maana za kauli husika. |
Tajriba.
Maswali na majibu. Mifano. Mazoezi. Marudio |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 100-102
|
|
| 4 | 2 |
Kusoma (fasihi)
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
| 4 | 3-4 |
Kusoma kwa kina
Kuandika |
Muundo na mtindo katika fasihi andishi
Utafiti wa kazi za fasihi simulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kufafanua tofauti zilizopo kati ya dhana za muundo na mtindo wa kazi za fasihi andishi. Kueleza vipengele vya kimsingi vya kuzingatia katika fasihi andishi. Kupambanua mtindo wa tamthilia au hadihi fupi teule unayoisoma darasani. somo, ; Kueleza maana ya neno ‘utafiti’ Kufafanua njia za Utafiti wa fasihi simulizi. Kueleza vifaa vinavyoweza kutumika katika Utafiti wa fasihi simulizi nyanjani. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika Kueleza Kusoma Kuigiza Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 102-105
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 105-106 |
|
| 4 | 5 |
Fasihi
Kusikiliza na kuzungumza |
Ushairi
Miviga |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kukariri shairi. Kuonyesha dhamira ya mshairi. Kueleza uhuru wa kishairi alizozitumia mshairi. |
Kueleza
Kusoma Kuigiza Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 112-113
|
|
| 4 | 6 |
Kusoma (fasihi)
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
| 5 | 1 |
Kusoma (fasihi)
Ufupisho |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
Ufupisho |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
| 5 | 2 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Aina za maneno; Vielezi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kutaja aina za vielezi. Kueleza aina za vielezi. Kutunga sentensi akitumia aina za vielezi. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 118-121 |
|
| 5 | 3-4 |
Sarufi na matumizi ya lugha
Sarufi na matumizi ya lugha Kusoma (fasihi) |
Aina za maneno; Viunganishi
Aina za maneno; Vihusishi NGUU ZA JADI na Clara Momanyi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kutaja aina za viunganishi. Kueleza aina za viunganishi. Kueleza dhima ya viunganishi katika sentensi. Kutunga sentensi akitumia aina za vivumishi. somo, ; Kutaja aina za vihusishi. Kueleza aina za vihusishi. Kueleza dhima ya vihusishi katika sentensi. Kutunga sentensi akitumia vihusishi. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 121-123 Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 123-124 |
|
| 5 | 5 |
Kusoma (fasihi)
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
| 5 | 6 |
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma kwa kina |
Aina za maneno; Vihisishi
Mashairi ya arudhi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kutaja aina za vihisishi. Kueleza aina za vihisishi. Kueleza dhima ya vihisishi katika sentensi. Kutunga sentensi akitumia vihisishi. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kamusi |
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 124-125 |
|
| 6 | 1 |
Kuandika
|
Memo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kutambua maana ya memo. Kueleza muundo wa memo. Kuandika memo. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 128-129 |
|
| 6 | 2 |
Kuandika
|
Baruameme
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kutambua maana ya baruameme Kueleza muundo wa baruameme. Kuandika baruameme. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 129-130 |
|
| 6 | 3-4 |
Kusoma (fasihi)
Kuandika |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
Ujumbe wa rununu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu somo, ; Kueleza umuhimu wa rununu Kueleza muundo wa ujumbe wa rununu Kuandika ujumbe wa rununu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu Kusoma. Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 130 |
|
| 6 | 5 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Ngano
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya ngano. Kueleza umuhimu wa ngano. Kufafanua sifa za ngano kwa ujumla. |
Kusoma
Majadiliano Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 131-134
|
|
| 6 | 6 |
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi na matumizi ya lugha |
Ngano
Uundaji wa maneno |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kutaja aina za ngano Kutoa mifano ya ngano, mfano mifano za ngano za mtanziko. Teua aina za wahusika wanaotumika katika ngano na ufafanue matumizi yao. |
Kusoma
Majadiliano Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 133-134
|
|
| 7 | 1 |
Kusoma (fasihi)
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
| 7 | 2 |
Kusoma (fasihi)
Kusoma kwa mapana |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
Changamoto zinazoikabili lugha ya Kiswahili |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
| 7 | 3-4 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza |
Insha za masimulizi
Mighani |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kujieleza kwa mtiririko ufaao Kutambua hatua za uandishi bora wa insha maelezo Kuandika insha ya maelezo kwa kutumia fani mbalimbali za lugha somo, ; Kufafanua maana ya mighani Kubainisha sifa za mighani Kutoa mifano kwa mighani katika jamii yake. |
Kueleza
Kujadili Kujibu maswali Utafiti. Mifano. Uchunguzi. Kazi mradi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 142
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 143-144 |
|
| 7 | 5 |
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma (fasihi) |
Mwingiliano wa aina za maneno
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza jinsi aina za maneno hubadilika kutegemea utendaji kazi yake katika sentensi Kufafanua jinsi aina za maneno huingiliana. Kubainisha maneno yaliyopigwa mistari ni ya aina gani. Kutunga sentensi akitumia msamiati ufaao |
Mashindano
Majadiliano Maelezo Ufafanuzi Maswali na majibu |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 146-148
|
|
| 7 | 6 |
Kusoma (fasihi)
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
| 8 | 1 |
Kusoma kwa mapana
Kuandika |
Wajibu wa Kiswahili Kitaifa na kimataifa
Kumbukumbu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma taarifa inayohusu Wajibu wa Kiswahili Kitaifa na kimataifa. Kueleza mambo yanayothibitisha nafasi ya Kiswahili kimataifa. Kufafanua Wajibu unaotekelezwa na lugha ya Kiswahili kulingana na taarifa. |
Usomaji.
Maelezo. Maswali na majibu. Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 148-149
|
|
| 8 | 2 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Isimujamii: Matumizi ya lugha katika hotuba
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza matumizi ya lugha katika hotuba. Kufafanua sifa za lugha ya hotuba. Kutambua umuhimu wa Utoaji hotuba |
Kudadisi
Uchunguzi Ufafanuzi Uhakiki |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 153
|
|
| 8 | 3-4 |
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma (fasihi) |
Nyakati, hali na ukanushaji wake
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kufafanua matumizi ya si-, -me- na –ki- Kubainisha kanuni za ukanushaji wa hali hizo Kukanusha sentensi hali hizo tatu -kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Masimulizi
Uchunguzi Kuandika Kuchambua Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 156-158
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi |
|
| 8 | 5 |
Kusoma kwa mapana
|
Historia ya lugha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma taarifa ‘Historia ya lugha’ Kueleza mikakati iliyojadiliwa katika taarifa ya kukiimarisha Kiswahili. Kutambua hali ya Kiswahili nchini Kenya huku akirejelea taarifa aliyoisoma. |
Kuandika
Kuuliza maswali Kujibu maswali Kuigiza Majadiliano. |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 158-160
|
|
| 8 | 6 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza |
Hotuba
Isimujamii: Sajili ya viwandani |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya hotuba. Kutambua umuhimu wa hotuba. Kufafanua muundo wa hotuba. Kuandika hotuba. |
Usomaji.
Maelezo. Maswali na majibu. Utafiti. |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 160-161
|
|
| 9 | 1 |
Ufahamu
|
Mawasiliano katika tarakilishi na utandawazi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma kwa sauti na kimya. Kujibu maswali. Kutaja sifa zinazodhihirisha mchakato wa mawasiliano kupitia tarakilishi. |
Maelezo
Ufafanuzi. Majadiliano. Uchunguzi. Kazi ya vikundi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 163-165
|
|
| 9-10 |
Likizo Fupi |
|||||||
| 10 | 3-4 |
Kusoma (fasihi)
Kusoma (fasihi) Sarufi |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi Ukanushaji wa hali II |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
| 10 | 5 |
Kusoma kwa kina
|
Kamliwaze
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma shairi, ‘Kamliwaze’ Kuchambua shairi hili, ‘Kamliwaze’ Kujibu maswali. |
Ufaraguzi
Utafiti Maelezo Ufanunuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 168
|
|
| 10 | 6 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza |
Insha ya mawazo
Mawaidha katika fasihi simulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza muundo wa insha ya mawazo Kufafanua vigezo muhimu vya insha mawazo Kuandika insha ya mawazo ifaavyo. |
Kueleza
Kujadili Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 61-62
|
|
| 11 | 1 |
Kusoma (fasihi)
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
| 11 | 2 |

| 11 | 3-4 |
Ufahamu
Sarufi na matumizi ya lugha Kusoma kwa kina |
Ufahamu
Uakifishaji Idhini ya kishairi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kufafanua mawazo makuu katika kifungu Kueleza msamiati na kuutungia sentensi kwa usahihi Kujibu maswali ya ufahamu kiukamilifu somo, ; Kueleza maana ya ‘Idhini ya kishairi’ Kutaja Idhini za kishairi anazoweza kuzitumia mshairi. Kueleza sababu za mshairi kutumia Idhini ya kishairi. |
Maelezo.
Mifano. Mazoezi Maelezo. Kuigiza. Kuandika. Maswali na majibu |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 171-172
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 175-176 |
|
| 11 | 5 |
Kuandika
|
Insha ya wasifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya wasifu Kutambua sifa za wasifu na umuhimu wake. Kuandika wasifu yake kwa muundo sahihi. |
Maelezo
Ufafanuzi. Maswali na majibu. Majadiliano. Tajriba |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 176
|
|
| 11 | 6 |
Kusoma (fasihi)
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
| 12 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Ngomezi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya Ngomezi. Kutaja sifa za ngomezi Kufafanua umuhimu wa ngomezi Kutaja ngomezi za kisasa |
Kueleza
Kujadiliana Kuandika Kuigiza Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya fasihi simulizi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 177-178
|
|
| 12 | 2 |
Kuandika
Sarufi na matumizi ya lugha |
Tawasifu
Vishazi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya tawasifu Kueleza sifa za tawasifu Kuandika tawasifu kwa lugha inayokubalika |
Kuandika
Kueleza Kujibu maswali |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 185-186
|
|
| 12 | 3-4 |
Kuandika
Sarufi na matumizi ya lugha |
Barua kwa mhariri
Uchanganuzi wa sentensi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza muundo wa barua kwa mhariri. Kutaja sifa za barua kwa mhariri. Kuandika barua kwa mhariri. somo, ; Kueleza maana ya uchanganuzi wa sentensi. Kufafanua sentensi sahili, ambatano na changamano. Kueleza vitenzi vya sentensi baada ya uchanganuzi. |
Mifano.
Majadiliano Maelezo Ufafanuzi Tajriba Kuandika Maelezo Uchunguzi Mifano Ufafanuzi Kujaza majedwali Mazoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 227-228
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 228-233 |
|
| 12 | 5 |
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusikiliza na kuzungumza |
Uchanganuzi wa fungu tenzi
Changamoto za fasihi simulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya fungu tenzi. Kuchanganua fungu tenzi kama sentensi sahili au kishazi tegemezi. Kuandika mifano ya fungu tenzi. |
Maelezo
Ufafanuzi Maswali na majibu Majadiliano Mazoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 238-239
|
|
| 12 | 6 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Viambishi maalumu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya viambishi maalumu. Kutaja aina za viambishi maalumu. Kutunga sentensi kubainisha matumizi ya kiambishi –ku-, -ndi-, -ji- |
Kuandika
Kuuliza maswali Kujibu maswali Kuigiza Majadiliano. |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 244-247
|
|
| 13-14 |
Mtihani wa mwisho wa muhula wa pili na kufungwa kwa shule |
|||||||
Your Name Comes Here