If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
2 | 1 |
Kusoma
|
Shairi
Nyuki nimekoni?
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kusoma shairi |
Kusoma
|
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 93-94
|
|
2 | 2-3 |
Kusikiliza na kuongea
sarufi |
Fasihi Simulizi
Vinyume vya vitenzi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-sifa za soga Dhima ya soga Kusoma riwaya - kueleza Vinyume vya vitenzi Mafano Shuka- panda Nuka-nukia Lala-amka Kueleza vitenzi katika hali ya kuamrisha9 |
kusikiliza
Kuchanganua |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 91-93
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 95-96 |
|
2 | 4 |
Kusoma
|
Maenezi ya Kiswahili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma kwa mapana na marefu -kupanua msamiati wake |
kusoma
|
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe
kidato 3 Uk 97-100 |
|
2 | 5 |
kuandika
Fasihi |
Ratiba
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua maana ya ratiba -kuandika kwa makini -kuandika insha nzuri ya maelezo |
kuandika
|
Kitabu
Kamusi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
Kiswahili Kitukuzwe
kidato 3 uk 100-101 |
|
2 | 6 |
Kusoma
|
Dini ya ulimwengu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma kwa mapana na marefu -kupanua msamiati wake |
kusoma
|
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 Uk 106-107
|
|
3 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Visasili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya Visasili vilivyo -kubainisha aina mbali mbali za Visasili Kutao mifano ya Visasili Kutambua maana ya mighani Sifa za mighani na umuhimu wa mighani |
Kusoma
|
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 Uk 102-106
|
|
3 | 2-3 |
sarufi
|
Uundaji wa nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kueleza nomino kutokana na vitenzi vya asili ya kigeni kutaja aina mbalimbali za sentensi mifano- samehe, abiri, husudu kueleza nomino kutokana na vitenzi vya asili ya kigeni -kutaja aina mbalimbali za sentensi mifano- samehe, abiri, husudu |
Kutaja
Kueleza - Kusoma Kueleza |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 Uk 106-107
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 Uk 108-110 |
|
3 | 4 |
Kuandika
|
Uandishi wa insha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kuandika isnha ya masimulizi |
Kutoa mifano
|
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 Uk 110-111
|
|
3 | 5 |
Fasihi
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
3 | 6 |
Kusoma
Marudio
|
Kukandamizwa
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kwa makini na kwa ufahamu -kutaja mambo muhimu yanayozingatiwa katika usemi wa taarifa |
- Kueleza
Kutaja Mifano |
|
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 uk 114-115
|
|
4 | 1 |
2
|
sarufi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutoa maana ya Virai Anian mbalimbali ya virai Mfano Kirai nomino Kirai kitenzi Virai vielezi Kirai kivumishi Virai vihusishi |
-kusoma - kutaja mifano
|
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 uk
|
|
4 | 2-3 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kuandika Fasihi |
Fasihi simulizi
Ushairi NGUU ZA JADI na Clara Momanyi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza fasihi simulizi Nago Sifa za ngano Dhima za ngano Kutoa mifano ya ngano -kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Maelezo
Kuchambua Kusoma kwa zamu |
Kitabu
Kamusi kitabu cha mwanafunzi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
ngano
‘Fasihi simulizi’ Uk 112-114 NGUU ZA JADI na Clara Momanyi |
|
4 | 4 |
Fasihi
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
4 | 5 |
Kusoma
|
Kukandamizwa
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kwa makini na kwa ufahamu -kutaja mambo muhimu yanayozingatiwa katika usemi wa taarifa |
- Kueleza
Kutaja Mifano |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 uk 114-115
|
|
4 | 6 |
2
|
sarufi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutoa maana ya Virai Aina mbalimbali ya virai Mfano Kirai nomino Kirai kitenzi Virai vielezi Kirai kivumishi Virai vihusishi |
- Kueleza
Kutaja Mifano |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 Uk 115-118
|
|
5 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Fasihi simulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza fasihi simulizi Nago Sifa za ngano Dhima za ngano Kutoa mifano ya ngano |
Maelezo
|
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 Uk
|
|
5 | 2-3 |
Kuandika
Fasihi |
Ushairi
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kuandika mashiri ya arudhi Kutoa miundo ya tungo -kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
- Maelezo
Kuandika Kuchambua Kusoma kwa zamu |
Kitabu
Kamusi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 uk 118-122
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi |
|
5 | 4 |
Fasihi
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
5 | 5 |
kusoma
Kusikiliza na kuzungumza |
mchezo wa kuigiza
Maamkizi na mazungumzo- isimujamii |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kwa kudadisi ufahamu -kujibu maswali ya ufahamu |
-
Kusoma Kukariri |
Kitabu
Kamusi kitabu cha mwanafunzi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 125
|
|
5 | 6 |
Sarufi
|
vishazi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua maana ya vishazi kutambua aina za vishazi vishazi huru vishazi tegemezi kutambua maana ya vishazi huru na vishazi tegemezi mwanafunzi Kuandika sentensi akitumia v. huru na v.tegemezi mfano vishazi huru Mwashi amewasili mgeni atakuja shuleni leo vishazi tegemezi jiwe lililomgonga cheti kilichopotea |
- Kuandika
Kutunga sentensi |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 uk 128-129
|
|
6 | 1 |
Kuandika
|
wasifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuandika wasifu kutoa mifano tawasifu na wasifukazi |
- Kuandika
Kutunga sentensi |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 uk 131
|
|
6 | 2-3 |
Fasihi
andishi
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
6 | 4 |
Kusoma
|
mhepa
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kwa makini na kwa ufahamu -kujibu maswali ya ufahamu |
- Kusoma
Kujibu maswali |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 136-138
|
|
6 | 5 |
Kusikiliza na kuongea
|
Miviga
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua maana ya miviga kutambua sifa za miviga kutambua dhima ya miviga wahusika na changamoto za miviga |
Kusikiliza
kuzungumza |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 135-136
|
|
6 | 6 |
sarufi
|
setensi ya Kiswahili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya setensi ya Kiswahili kutambua miundo ya kikundi nomino (KN) mfano nomino za pekee kiwakilishi pekee nomino na nomino nomino na kivumisi nomino na vivumishi nomino kivumishi na kielezi miundo ya kikunndi tenzi |
Maelezo
|
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 138-142
|
|
7 | 1 |
kuandika
|
utungaji wa kiuamilifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-mwanfunnzi aweze kutumia utungaji wa kiuamilifu |
Kusoma Kufupisha |
Kitabu |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 4 Uk 144
|
|
7 | 2-3 |
Fasihi
Fasihi andishi Kusoma |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
mhepa |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu -kusoma kwa makini na kwa ufahamu -kujibu maswali ya ufahamu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu - Kusoma Kujibu maswali |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
Kitabu |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 136-138 |
|
7 | 4 |
Kusikiliza na kuongea
|
Miviga
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua maana ya miviga kutambua sifa za miviga kutambua dhima ya miviga wahusika na changamoto za miviga |
Kusikiliza
kuzungumza |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 135-136
|
|
7 | 5 |
sarufi
|
setensi ya Kiswahili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya setensi ya Kiswahili kutambua miundo ya kikundi nomino (KN) mfano nomino za pekee kiwakilishi pekee nomino na nomino nomino na kivumisi nomino na vivumishi nomino kivumishi na kielezi miundo ya kikunndi tenzi |
Maelezo
|
Kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 138-142
|
|
7 | 6 |
kuandika
|
utungaji wa kiuamilifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-mwanfunnzi aweze kutumia utungaji wa kiuamilifu |
Kusoma Kufupisha |
Kitabu Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 4 Uk 144
|
|
8 |
Mtihani wa kati mwa muhula |
|||||||
9 |
Likizo fupi |
|||||||
10 | 1 |
Fasihi
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
10 | 2-3 |
Fasihi andishi
Ufahamu |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
Haki zetu binadamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu -Kusoma kwa makini na kwa ufahamu kifungu cha habari -kujibu vilivyo maswali ya ufahamu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu Kutaja kueleza |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
Kitabu Kamusi |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 147-148 |
|
10 | 4 |
Kuzikiliza na kuongea
|
maigizo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kuigiza maigizo kutoa mifano wa shughuli za jandoni katika kabila fullani |
Kuchambua
|
kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 146-147
|
|
10 | 5 |
sarufi
Kuandika |
aina za sentensi
utungaji wa kiuamilifu kumbukumbu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua aina za sentensi mfano sentensi sahihi sentensi ambatano sentensi changamano mwanafunzi Kuandika sentensi za aina mbali mbali za sentensi mfano kutumia viunganishi, vishazi viwili |
Mjadala
|
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 146-147
|
|
10 | 6 |
Fasihi simulizi
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
11 | 1 |

11 | 2-3 |
Ufahamu
Kuzikiliza na kuongea |
Haki zetu binadamu
maigizo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma kwa makini na kwa ufahamu kifungu cha habari -kujibu vilivyo maswali ya ufahamu -kuigiza maigizo kutoa mifano wa shughuli za jandoni katika kabila fullani |
Kutaja
kueleza Kuchambua |
kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 147-148
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 146-147 |
|
11 | 4 |
sarufi
|
aina za sentensi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua aina za sentensi mfano sentensi sahihi sentensi ambatano sentensi changamano mwanafunzi Kuandika sentensi za aina mbali mbali za sentensi mfano kutumia viunganishi, vishazi viwili |
Mjadala
|
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 148-150
|
|
11 | 5 |
Kuandika
|
utungaji wa kiuamilifu
kumbukumbu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuandika kumbukumbu |
Kusoma
kuandika |
kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 152
|
|
11 | 6 |
Fasihi simulizi
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
12 | 1 |

12 | 2-3 |
Kusoma
Kusikiliza na kuzungumza sarufi |
usalama barabarani
ushairi nyimbo uchanganuzi wa sentensi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kwa ufahamu -kujibu maswali ya ufahamu ipasavyo -kueleza maana ya uchanganuzi wa sentensi -kutaja aina ya sentensi sahili kujaza jedwali kuandika sentesni ambatano kuandika sentesni changamano |
- Kusoma
Jibu maswali Maelezo |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 158-159 Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 160-165 |
|
12 | 4 |
Kuandika
|
utungaji wa kiuamilifu
tahadhari
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua aina mbili za tahadhari ilani na onyo |
Kuandika
kueleza |
kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 165-166
|
|
12 | 5 |
Fasihi
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
12 | 6 |

13 |
Mtihani wa mwisho wa muhula |
|||||||
14 |
Marudio na kufunga shule |
Your Name Comes Here