Home

MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA TANO
MWAKA WA 2025
MUHULA WA I

School

To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.

To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.

Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)

WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
1 1-2
MAPISHI

Kusikiliza na Kuzungumza
Matamshi Bora
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo,
- Kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno: f/v, s/z, l/r na th/dh.
- Kutamka silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi: f/v, s/z, l/r na th/dh ili kutofautisha matamshi yake.
- Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi: f/v, s/z, l/r na th/dh ili kuimarisha mawasiliano.
Mwisho wa somo,
- Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi: f/v, s/z, l/r na th/dh ili kuimarisha mawasiliano.
- Kuunda vitanzandimi vyenye maana kutokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi: f/v, s/z, l/r na th/dh.
- Kuchangamkia kukariri vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi: f/v, s/z, l/r na th/dh ili kuimarisha matamshi yake.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua silabi za sauti lengwa kutokana na maneno kwenye vitabu, ubaoni au kwa kutumia vifaa vya kiteknolojia.
- Kusikiliza silabi za sauti f/v, s/z, l/r/ na th/dh zikitamkwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au kutoka kwa vifaa vya kiteknolojia (k.v. kinasasauti).
- Kutamka silabi za sauti lengwa akiwa na wenzake.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikiliza vitanzandimi vinavyoundwa kutokana na maneno yenye sauti lengwa vikikaririwa.
- Kuunda vitanzandimi vinavyotokana na sauti husika akiwa peke yake, wawiliwawili au katika vikundi.
- Kuunda vitanzandimi kwenye vifaa vya kidijitali na kushirikiana na wenzake mitamboni kuvirekebisha.
Je, unajua maneno gani yenye silabi zinazokanganya kimatamshi?
Je, unajua vitanzandimi gani vyenye silabi zinazokanganya kimatamshi?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 1
Picha
Michoro
Kadi maneno
Vifaa vya kidijitali
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 2
Chati za vitanzandimi
Kadi za silabi
Vifaa vya kidijitali
Kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana Kutamka silabi na vitanzandimi kwa usahihi Ushiriki katika kutamka vitanzandimi
Kutamka vitanzandimi kwa usahihi Kuunda vitanzandimi vyenye sauti lengwa Ushiriki katika shughuli za kikundi
1 3
Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo,
- Kutambua msamiati wa suala lengwa uliotumika katika kifungu ili kuimarisha ufahamu.
- Kutumia msamiati lengwa kwa usahihi katika sentensi.
- Kusoma kifungu cha hadithi kwa kuzingatia ujumbe, matukio na wahusika.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua msamiati wa suala lengwa (k.v. vyakula, viungo vya kupikia, njia za kupika na vifaa vya kupikia) kwa kutumia kadi za maneno, chati, mti maneno au kifaa cha kidijitali.
- Kushiriki katika vikundi kujadili na kutumia msamiati wa suala lengwa katika sentensi.
- Kusoma kifungu kuhusu suala lengwa kwenye kitabu au kwenye tarakilishi akiwa peke yake, wawiliwawili au katika vikundi.
Kusoma kuhusu mapishi kuna umuhimu gani?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 9
Chati za msamiati
Kifungu cha hadithi kuhusu mapishi
Vifaa vya kidijitali
Kutambua msamiati wa mapishi Kutumia msamiati katika sentensi Kusoma kifungu cha hadithi Kujibu maswali
1 4
Sarufi
Nomino za Pekee
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo,
- Kutambua nomino za pekee kwenye sentensi au vifungu vya maneno.
- Kutunga sentensi kwa kutumia nomino za pekee ili kukuza matumizi ya lugha sahihi.
- Kuchangamkia matumizi ya nomino za pekee katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino za pekee (k.v. Kisumu, Mei, Rabuka, Alhamisi na Yohana) kwenye tarakilishi, kapu maneno, mti maneno, kadi maneno au chati.
- Kutaja nomino za pekee akiwa na wenzake kama vile za majina ya mji, majina ya mito, majina ya watu na majina ya miezi.
- Kutambua nomino za pekee katika sentensi kwenye vitabu, tarakilishi, chati kwa kuzipigia mstari au kukolezea rangi.
Nomino za pekee zinahusu nini?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 16
Chati za nomino za pekee
Kadi maneno
Mti maneno
Vifaa vya kidijitali
Kutambua nomino za pekee Kupigia mstari nomino za pekee katika sentensi Kutaja aina za nomino za pekee
2 1-2
Sarufi
Kuandika
Nomino za Pekee
Insha ya wasifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo,
- Kutambua nomino za pekee kwenye sentensi au vifungu vya maneno.
- Kutunga sentensi kwa kutumia nomino za pekee ili kukuza matumizi ya lugha sahihi.
- Kuchangamkia matumizi ya nomino za pekee katika mawasiliano.
Mwisho wa somo,
- Kutambua insha ya wasifu kwa kuzingatia mtindo na muundo wake.
- Kuandika insha ya wasifu kwa ubunifu ili kujenga maelezo yenye kutoa picha dhahiri.
- Kufurahia kutunga insha bora ili kuimarisha mazoea ya kuandika.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujaza nafasi kwenye sentensi au kifungu kwa kutumia nomino za pekee.
- Kutunga sentensi kwa kutumia nomino za pekee akiwa na wenzake.
- Kuorodhesha nomino za pekee kulingana na aina zake.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua insha ya wasifu kwa kurejelea vielelezo vya insha zilizoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi.
- Kusoma vielelezo vya insha ya wasifu vilivyoandikwa katika matini mbalimbali au tarakilishi.
- Kushirikiana na wenzake kujadili mada na muundo wa insha ya wasifu.
Ni nomino zipi za pekee unazozijua?
Insha ya wasifu inahusu nini?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 19
Chati za nomino za pekee
Kadi maneno
Orodha ya maswali ya zoezi
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 13
Mifano ya insha za wasifu
Chati ya muundo wa insha ya wasifu
Vifaa vya kidijitali
Kutumia nomino za pekee katika sentensi Kujaza pengo kwa nomino za pekee Kuorodhesha nomino za pekee kulingana na aina
Kutambua insha ya wasifu Kujadili muundo wa insha ya wasifu Kuandika vidokezo vya insha ya wasifu
2 3
Kusikiliza na Kuzungumza
Matamshi Bora
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo,
- Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi: l/r na th/dh ili kuimarisha mawasiliano.
- Kuunda vitanzandimi vyenye maana kutokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi: l/r na th/dh.
- Kuchangamkia kukariri vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi: l/r na th/dh ili kuimarisha matamshi yake.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kukaririwa vitanzandimi vinavyotokana na sauti l/r na th/dh.
- Kuunda vitanzandimi vinavyotokana na sauti husika akiwa peke yake, wawiliwawili au katika vikundi.
- Kusakura mtandaoni ili kupata vitanzandimi zaidi vyenye sauti lengwa.
Je, unajua vitanzandimi gani vyenye sauti l/r na th/dh?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 4
Chati za vitanzandimi
Kadi za silabi
Vifaa vya kidijitali
Kutamka vitanzandimi kwa usahihi Kuunda vitanzandimi vyenye sauti l/r na th/dh Kukariri vitanzandimi
2 4
Kusikiliza na Kuzungumza
Matamshi Bora
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo,
- Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi: f/v, s/z, l/r na th/dh ili kuimarisha mawasiliano.
- Kuunda vitanzandimi vyenye maana kutokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi: f/v, s/z, l/r na th/dh.
- Kuchangamkia kukariri vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi: f/v, s/z, l/r na th/dh ili kuimarisha matamshi yake.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kukariri vitanzandimi vilivyoandaliwa na mwalimu au vilivyopatikana mtandaoni.
- Kufanya mashindano ya kukariri vitanzandimi darasani.
- Kuwakaririria wazazi au walezi wao vitanzandimi walivyojifunza ili wawape maoni.
Kutamka vitanzandimi kwa usahihi kunasaidia kuboresha matamshi yako vipi?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 5
Orodha ya vitanzandimi
Vifaa vya kidijitali
Kukariri vitanzandimi kwa ufasaha Kutamka sauti zinazokaribiana kwa usahihi Kutofautisha sauti zinazokaribiana kimatamshi
3 1-2
Kusoma
Sarufi
Kusoma kwa Ufahamu
Nomino za kawaida
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo,
- Kuonyesha uelewa wa kifungu kwa kutoa muhtasari na kujibu maswali.
- Kujenga mazoea ya usomaji bora katika maisha ya kila siku.
Mwisho wa somo,
- Kutambua nomino za kawaida kwenye sentensi au vifungu vya maneno.
- Kutunga sentensi kwa kutumia nomino za kawaida ili kukuza matumizi sahihi ya lugha.
- Kufurahia kutumia nomino za kawaida katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutoa muhtasari kuhusu kifungu alichosoma.
- Kujibu maswali kutokana na kifungu alichosoma.
- Kusoma vifungu mtandaoni kuhusu suala lengwa na kujadiliana na wenzake kuhusu ujumbe ulioyomo.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino za kawaida kwenye kadi au kapu la maneno (k.v.mtu, mtoto, darasa, ukuta, mwalimu, meza na kiti).
- Kutaja akiwa na wenzake nomino za kawaida.
- Kutambua nomino za kawaida katika sentensi kwa kuzipigia mistari au kuzikolezea rangi kwenye tarakilishi.
Ni hadithi gani umewahi kuisoma kuhusu mapishi?
Je, ni vitu gani vinavyopatikana katika mazingira yako?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 11
Kifungu cha hadithi
Maswali ya ufahamu
Vifaa vya kidijitali
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 19
Kadi au kapu la maneno
Chati zenye nomino za kawaida
Vifaa vya kidijitali
Kutoa muhtasari wa kifungu Kujibu maswali ya ufahamu Kujadili ujumbe wa kifungu
Kutambua nomino za kawaida Kupigia mstari nomino za kawaida katika sentensi Kutaja nomino za kawaida
3 3
Sarufi
Nomino za kawaida
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo,
- Kutambua nomino za kawaida kwenye sentensi au vifungu vya maneno.
- Kutunga sentensi kwa kutumia nomino za kawaida ili kukuza matumizi sahihi ya lugha.
- Kufurahia kutumia nomino za kawaida katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino za kawaida kwenye kadi au kapu la maneno (k.v.mtu, mtoto, darasa, ukuta, mwalimu, meza na kiti).
- Kutaja akiwa na wenzake nomino za kawaida.
- Kutambua nomino za kawaida katika sentensi kwa kuzipigia mistari au kuzikolezea rangi kwenye tarakilishi.
Je, ni vitu gani vinavyopatikana katika mazingira yako?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 19
Kadi au kapu la maneno
Chati zenye nomino za kawaida
Vifaa vya kidijitali
Kutambua nomino za kawaida Kupigia mstari nomino za kawaida katika sentensi Kutaja nomino za kawaida
3 4
Sarufi
Nomino za kawaida
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo,
- Kutambua nomino za kawaida kwenye sentensi au vifungu vya maneno.
- Kutunga sentensi kwa kutumia nomino za kawaida ili kukuza matumizi sahihi ya lugha.
- Kufurahia kutumia nomino za kawaida katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutumia nomino za kawaida kujaza nafasi kwenye sentensi.
- Kutunga sentensi kwa kutumia nomino za kawaida akiwa peke yake wawiliwawili au kwenye vikundi.
- Kuorodhesha nomino za kawaida zinazopatikana mazingira yao.
Ni vitu gani vinavyotumiwa katika mapishi mbalimbali?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 21
Chati za nomino za kawaida
Maswali ya zoezi
Picha za vitu mbalimbali
Kutunga sentensi kwa kutumia nomino za kawaida Kujaza pengo kwa nomino za kawaida Kuorodhesha nomino za kawaida katika mazingira
4 1-2
Kuandika
HUDUMA YA KWANZA

Kusikiliza na Kuzungumza
Insha ya wasifu
Maamkuzi na Maagano
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo,
- Kuandika insha ya wasifu kwa ubunifu ili kujenga maelezo yenye kutoa picha dhahiri.
- Kufurahia kutunga insha bora ili kuimarisha mazoea ya kuandika.
Mwisho wa somo,
- Kutambua aina mbalimbali za maamkuzi katika mawasiliano.
- Kueleza maamkuzi yanayotumika katika miktadha mbalimbali ili kuyabainisha.
- Kutumia aina mbalimbali za maamkuzi katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kukishirikiana na wenzake katika vikundi ili kubainisha na kujadili vidokezo vifaavyo vya mada lengwa.
- Kuaandika insha ya wasifu isiyopungua maneno 150 inayohusu mada lengwa (k.v. Mpishi nimpendaye) kwa kuzingatia, anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, kanuni za kisarufi na kwa lugha ya kiubunifu.
- Kuandika insha ya wasifu mtandaoni na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili kuisoma na kuitathmini.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua maamkuzi (k.v. shikamoo, Habari za utokako? Habari za adhuhuri? Habari za jioni?) kutoka kwenye chati, ubao au vifaa vya kidijitali, michoro na picha.
- Kushiriki kujadiliana na mwenzake au katika vikundi maamkuzi yanayolengwa na matumizi yake.
- Kuambatanisha maamkuzi na majibu sahihi.
Unazingatia nini unapoandika insha ya wasifu?
Je, watu husalimiana vipi katika jamii?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 16
Mifano ya insha za wasifu
Orodha hakiki ya sifa za insha ya wasifu
Vifaa vya kidijitali
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 23
Picha zinazoonyesha watu wakiamkuana
Chati za maamkuzi na majibu yake
Vifaa vya kidijitali
Kuandika insha ya wasifu Kuzingatia muundo wa insha ya wasifu Kusoma na kutathmini insha za wenzake
Kutambua aina za maamkuzi Kutumia maamkuzi ipasavyo Kuambatanisha maamkuzi na majibu yake
4 3
Kusoma
Kusoma kwa Kina
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo,
- Kutambua mpangilio wa maneno katika kamusi ili kupata maneno lengwa kwa urahisi.
- Kutumia kamusi ipasavyo kutafuta maana za maneno asiyoyajua yaliyo katika matini teule ili kukuza msamiati wake.
- Kuchangamkia kutumia kamusi katika kukuza msamiati wake.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kupanga maneno aliyopewa kwenye chati, kapu maneno au mti maneno kialfabeti.
- Kuchague neno kutoka kapu maneno au mti maneno ili kulitafuta kwenye kamusi.
- Kutumia kamusi kutafuta maana za maneno mbalimbali akiwa peke yake, wawiliwawili au katika vikundi.
Maana ya maneno ya Kiswahili hupatikana wapi?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 29
Kamusi
Kapu maneno
Mti maneno
Vifaa vya kidijitali
Kupanga maneno kialfabeti Kutumia kamusi kutafuta maana za maneno Kuandika maana za maneno kutoka kamusi
4 4
Sarufi
Nomino za Wingi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo,
- Kutambua nomino za wingi katika matini ili kuzibainisha.
- Kutumia nomino za wingi katika sentensi ili kuimarisha mawasiliano.
- Kufurahia kutumia nomino za wingi katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino za wingi (k.m chumvi, sukari, maji, uji, mafuta na manukato) kutoka kwenye kapu la maneno, chati, vitabu na vifaa vya kidijitali akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi.
- Kutambua nomino za wingi kwa kuzipigia mistari au kuzikolezea rangi kwenye matini.
- Kutumia nomino za wingi kujaza nafasi kwenye sentensi.
Unajua majina gani yanayohusu vitu vinavyopatikana katika wingi tu?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 34
Chati za nomino za wingi
Kadi maneno
Picha za vitu mbalimbali
Vifaa vya kidijitali
Kutambua nomino za wingi Kupigia mstari nomino za wingi katika sentensi Kujaza pengo kwa nomino za wingi
5 1-2
Sarufi
Kuandika
Nomino za Wingi
Insha ya masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo,
- Kutambua nomino za wingi katika matini ili kuzibainisha.
- Kutumia nomino za wingi katika sentensi ili kuimarisha mawasiliano.
- Kufurahia kutumia nomino za wingi katika mawasiliano.
Mwisho wa somo,
- Kutambua insha ya masimulizi kwa kuzingatia ujumbe, mtindo na muundo.
- Kuandika insha ya masimulizi kwa kufuata kanuni zifaazo.
- Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya masimulizi ili kukuza ubunifu wake.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutumia nomino za wingi katika sentensi kwa kufanya mazoezi daftarini.
- Kutunga sentensi kwa kutumia nomino za wingi akiwa peke yake au akishirikiana na wenzake.
- Kuorodhesha nomino za wingi zinazopatikana katika mazingira yake.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua insha ya masimulizi kwa kurejelea vielelezo vya insha zilizoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi.
- Kushiriki na wenzake kujadili mada ya insha na muundo wa insha ya masimulizi.
- Kuandika insha isiyopungua maneno 150 inayosimulia kisa cha tukio linalohusiana na huduma ya kwanza kwa kuzingatia anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka na kwa lugha ya kiubunifu.
Ni vitu gani vinavyopatikana katika wingi tu katika mazingira yako?
Je, unazingatia nini ili kuandika insha nzuri ya masimulizi?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 37
Chati za nomino za wingi
Kadi maneno
Picha za vitu mbalimbali
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 32
Mifano ya insha za masimulizi
Chati ya muundo wa insha ya masimulizi
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi zenye nomino za wingi Kuorodhesha nomino za wingi Kutofautisha nomino za wingi na nomino za kawaida
Kutambua muundo wa insha ya masimulizi Kujadili mada ya insha ya masimulizi Kuandika insha ya masimulizi
5 3
Kusikiliza na Kuzungumza
Maamkuzi na Maagano
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo,
- Kutambua aina mbalimbali za maagano katika mawasiliano.
- Kueleza maagano yanayotumika katika miktadha mbalimbali ili kuyabainisha.
- Kutumia aina mbalimbali za maagano katika mawasiliano.
- Kuchangamkia maamkuzi na maagano katika mahusiano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua maagano (k.v lala salama, safari njema, alamsiki) kutoka kwenye chati, ubao au vifaa vya kidijitali, michoro na picha.
- Kushirikiana na wenzake kuigiza maamkuzi na maagano lengwa.
- Kutazama watu wakiamkuana na kuagana katika vifaa vya kidijitali.
Je, watu huagana vipi katika jamii?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 25
Picha zinazoonyesha watu wakiagana
Chati za maagano na majibu yake
Vifaa vya kidijitali
Kutambua aina za maagano Kutumia maagano ipasavyo Kuambatanisha maagano na majibu yake
5 4
Kusoma
Kusoma kwa Kina
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo,
- Kutambua mpangilio wa maneno katika kamusi ili kupata maneno lengwa kwa urahisi.
- Kutumia kamusi ipasavyo kutafuta maana za maneno asiyoyajua yaliyo katika matini teule ili kukuza msamiati wake.
- Kuchangamkia kutumia kamusi katika kukuza msamiati wake.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutumia kamusi kutafuta maana za maneno mbalimbali akiwa peke yake, wawiliwawili au katika vikundi.
- Kutumia mtandao kutafuta maana za maneno.
- Kutunga sentensi kwa kutumia maneno aliyotafuta kwenye kamusi.
Je, unafanya nini unapokutana na neno gumu katika kifungu?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 31
Kamusi
Vifaa vya kidijitali
Maswali ya zoezi
Kutumia kamusi kutafuta maana za maneno Kutunga sentensi kwa kutumia maneno mapya Kutumia mtandao kutafuta maana za maneno
6

midterm

7 1-2
Sarufi
Vitenzi-jina
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo,
- Kutambua nomino za vitenzi-jina kwenye kifungu cha maneno au kwenye sentensi.
- Kutunga sentensi au vifungu vya maneno akitumia nomino za vitenzi-jina ili kukuza matumizi bora ya lugha.
- Kufurahia kutumia nomino za vitenzi-jina katika utungaji wa sentensi na kujaza nafasi.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua vitenzi-jina kutoka kwenye kapu la maneno, vyombo vya kijiditali (k.v. kusoma, kucheka, kula, kulia na kuandika).
- Kutambua vitenzi-jina akiwa na wenzake kwa kuvipigia mistari au kuzikolezea rangi kwenye matini n.k.
- Kutumia nomino za vitenzi-jina kwa kujaza nafasi kwenye sentensi.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutunga sentensi au vifungu vya maneno kwa kutumia nomino za vitenzi-jina akiwa peke yake, wawiliwawili au katika vikundi.
- Kuorodhesha vitenzi-jina mbalimbali vilivyotokana na vitendo vya kila siku.
- Kutofautisha vitenzi-jina na vitenzi vikuu.
Ni mambo gani wewe hufanya ukiwa nyumbani?
Unapenda kufanya mambo gani darasani?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 37
Chati za vitenzi-jina
Kadi maneno
Picha zinazoonyesha vitendo
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 39
Chati za vitenzi-jina
Maswali ya zoezi
Vifaa vya kidijitali
Kutambua vitenzi-jina Kupigia mstari vitenzi-jina katika sentensi Kujaza pengo kwa vitenzi-jina
Kutunga sentensi zenye vitenzi-jina Kuorodhesha vitenzi-jina Kutofautisha vitenzi-jina na vitenzi vikuu
7 3
Kuandika
Insha ya masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo,
- Kuandika insha ya masimulizi kwa kufuata kanuni zifaazo.
- Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya masimulizi ili kukuza ubunifu wake.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika insha ya masimulizi mtandaoni na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili kuisoma na kuitathmini.
- Kusomea wenzake insha aliyoandika ili kuitathmini.
- Kurekebisha insha yake kulingana na maoni ya wenzake.
Je, unazingatia nini ili insha yako ya masimulizi iwe ya kuvutia?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 34
Orodha hakiki ya insha ya masimulizi
Vifaa vya kidijitali
Kuandika insha ya masimulizi Kusoma na kutathmini insha za wenzake Kurekebisha insha kulingana na maoni
7 4
MAPAMBO

Kusikiliza na Kuzungumza
Matamshi Bora
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo,
- Kutambua vitendawili vya suala lengwa.
- Kutega na kutegua vitendawili ili kujenga matamshi bora.
- Kuchangamkia matumizi ya vitendawili kama njia ya kujenga utamkaji bora wa maneno.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua vitendawili vya mapambo katika chati, ubao au vifaa vya kidijitali (k.m Wafaa lakini wavaliwa bila matumizi maalum (Mtandio), Ananitazama, hasemi hasikii (Picha), Lapendeza rangi lakini halidumu (Ua). Dhahabu yangu ya thamani haisimami (Mkufu).
- Kushiriki katika kutega na kutegua vitendawili.
- Kusikiliza vitendawili vikitegwa na kuteguliwa kupitia vyombo vya kidijitali.
Je, ni vitendawili gani unavyovijua?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 40
Chati za vitendawili
Kadi za vitendawili
Vifaa vya kidijitali
Kutega na kutegua vitendawili Kutambua vitendawili vya mapambo Kutunga vitendawili vipya
8 1-2
Kusoma
Sarufi
Kusoma kwa Ufasaha
Nomino za Makundi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo,
- Kutambua msamiati wa mapambo uliotumiwa katika kifungu.
- Kuelezea maana za msamiati mbalimbali wa mapambo.
- Kusoma kifungu cha hadithi ili kupata ujumbe.
Mwisho wa somo,
- Kutambua nomino za makundi katika sentensi ili kuzibainisha.
- Kueleza nomino za makundi ili kuzitofautisha na nomino zingine.
- Kutumia nomino za makundi kwa usahihi katika sentensi.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua msamiati wa mapambo (k.v vipuli, pete, bangili na ushanga) kwa kutazama picha na vifaa halisi.
- Kutumia tarakilishi kutafuta msamiati wa mapambo na maana yake mtandaoni.
- Kueleza mapambo na sehemu yanapovaliwa.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino za makundi (k. v mlolongo wa magari, tita la kuni, mkungu wa ndizi, safu ya siafu, koja la maua, bunda la noti) katika chati, kadi maneno, ubao, vifaa vya kidijitali n.k.
- Kujadili katika kikundi au wawiliwawili maana ya nomino za makundi huko akitoa mifano.
- Kutumia nomino za makundi katika sentensi na kuziandika daftarini mwake.
Kwa nini ni muhimu kusoma kifungu kwa ufasaha?
Je, unajua maneno gani yanayotaja makundi ya watu na vitu?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 43
Picha za mapambo
Vifaa vya kidijitali
Kamusi
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 47
Chati za nomino za makundi
Kadi maneno
Picha zinazoonyesha makundi ya vitu
Kutambua msamiati wa mapambo Kueleza maana za msamiati wa mapambo Kusoma kifungu kwa ufasaha
Kutambua nomino za makundi Kueleza maana ya nomino za makundi Kutunga sentensi zenye nomino za makundi
8 3
Sarufi
Nomino za Makundi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo,
- Kutambua nomino za makundi katika sentensi ili kuzibainisha.
- Kutumia nomino za makundi kwa usahihi katika sentensi.
- Kuonea fahari matumizi ya nomino za makundi katika miktadha mbalimbali.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutumia nomino za makundi kutunga sentensi mtandaoni akiwa na wenzake.
- Kujaza nafasi kwenye sentensi kwa kutumia nomino za makundi.
- Kuorodhesha nomino za makundi zinazopatikana katika mazingira.
Je, nomino za makundi hutumiwa vipi?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 50
Maswali ya zoezi
Picha zinazoonyesha makundi ya vitu
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi zenye nomino za makundi Kujaza pengo kwa nomino za makundi Kuorodhesha nomino za makundi
8 4
Sarufi
Nomino Ambata
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo,
- Kutambua nomino ambata katika matini ili kuzitofautisha na aina nyingine za nomino.
- Kutumia nomino ambata kwa usahihi katika sentensi ili kuimarisha mawasiliano.
- Kuonea fahari matumizi ya nomino ambata katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino ambata (k.v askarikanzu, mbwamwitu, mwanasiasa na mwananchi) kwa kutumia kadi maneno, kapu maneno, chati au vifaa vya kidijitali akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi.
- Kujadili katika kikundi au wawiliwawili maana ya nomino ambata huko akitoa mifano.
- Kutumia nomino ambata katika sentensi na kuziandika katika daftari lake.
Je, unajua maneno yapi yanayounganishwa kuunda neno moja?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 50
Chati za nomino ambata
Kadi maneno
Vifaa vya kidijitali
Kutambua nomino ambata Kueleza maana ya nomino ambata Kutunga sentensi zenye nomino ambata
9 1-2
Sarufi
Nomino Ambata
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo,
- Kutambua nomino ambata katika matini ili kuzitofautisha na aina nyingine za nomino.
- Kutumia nomino ambata kwa usahihi katika sentensi ili kuimarisha mawasiliano.
- Kuonea fahari matumizi ya nomino ambata katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutumia nomino ambata kutunga sentensi mtandaoni akishirikiana na wenzake.
- Kusakura mtandaoni ili kupata mifano zaidi ya nomino ambata na kuziandika katika daftari lake.
- Kujaza nafasi kwenye sentensi kwa kutumia nomino ambata.
Ni mifano gani ya nomino ambata unayojua?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 52
Maswali ya zoezi
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi zenye nomino ambata Kusakura mtandaoni mifano ya nomino ambata Kujaza pengo kwa nomino ambata
9 3
Sarufi
Nomino za dhahania
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo,
- Kutambua nomino za dhahania katika matini mbalimbali.
- Kuelezea nomino za dhahania kwa kutoa mifano mwafaka.
- Kutumia nomino za dhahania kwa usahihi katika sentensi.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino za dhahania (k.v upendo, uhodari, ukweli) kwa kutumia kadi maneno, mti maneno, chati au vifaa vya kidijitali.
- Kujadili katika kikundi au wawiliwawili maana ya nomino za dhahania huko akitoa mifano.
- Kutumia nomino za dhahania katika sentensi na kuziandika sentensi hizo daftarini mwake.
Je, unajua maneno yapi yanayotaja vitu ambavyo haviwezi kushikwa au kuonekana kwa macho?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 52
Chati za nomino za dhahania
Kadi maneno
Mti maneno
Kutambua nomino za dhahania Kueleza maana ya nomino za dhahania Kutunga sentensi zenye nomino za dhahania
9 4
Kuandika
Kuandika kwa Tarakilishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo,
- Kutambua sehemu mbalimbali za tarakilishi zinazotumika kupigia chapa.
- Kutumia tarakilishi ili kujenga maarifa ya kidijitali.
- Kujenga mazoea ya kutumia tarakilishi kuandika na kuhifadhi maandishi.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua sehemu mbalimbali za tarakilishi za kupigia chapa. (k.v. bodidota, kipanya na kiwambo/ mulishi).
- Kutumia tarakilishi kuandika maneno au sentensi zinazolenga msamiati wa mapambo (k.v. herini, vipuli, pete, kipini, bangili, shanga, taji, kugesi na hina).
- Kutumia tarakilishi kuandika kifungu kinachohusisha mapambo mbalimbali.
Je, ni sehemu zipi za tarakilishi unazojua?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 46
Tarakilishi
Picha za sehemu za tarakilishi
Chati ya sehemu za tarakilishi
Kutambua sehemu za tarakilishi Kuandika maneno na sentensi kwa kutumia tarakilishi Kuhifadhi maandishi kwenye faili ya tarakilishi
10 1-2
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Matamshi Bora
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo,
- Kutega na kutegua vitendawili ili kujenga matamshi bora.
- Kuchangamkia matumizi ya vitendawili kama njia ya kujenga utamkaji bora wa maneno.
Mwisho wa somo,
- Kusoma kifungu cha hadithi ili kupata ujumbe.
- Kuonyesha uelewa wa hadithi kwa kutoa muhtasari na kujibu maswali.
- Kuonea fahari kusoma hadithi kuhusu mapambo na kujibu maswali.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushiriki katika mashindano ya kutega na kutegua vitendawili darasani.
- Kubuni vitendawili vyao wenyewe kuhusu mapambo.
- Kusikiliza vitendawili kwenye kifaa cha kidijitali na kuvitegua.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma maneno yasiyopungua(80) katika hadithi kwa dakika moja kwa usahihi.
- Kutoa muhtasari wa hadithi aliyoisoma.
- Kujibu maswali kutokana na hadithi.
Kutega na kutegua vitendawili kuna umuhimu gani?
Je, unazingatia nini unaposoma kifungu kwa ufasaha?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 42
Orodha ya vitendawili
Vifaa vya kidijitali
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 45
Kifungu cha hadithi
Saa ya kupimia muda
Maswali ya ufahamu
Kutega na kutegua vitendawili Kubuni vitendawili vipya Ushiriki katika mashindano ya vitendawili
Kusoma maneno 80 kwa dakika moja Kutoa muhtasari wa hadithi Kujibu maswali kuhusu hadithi
10 3
Sarufi
Nomino za dhahania
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo,
- Kutambua nomino za dhahania katika matini mbalimbali.
- Kutumia nomino za dhahania kwa usahihi katika sentensi.
- Kuonea fahari matumizi ya nomino za dhahania katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutumia nomino za dhahania kutunga sentensi mtandaoni akishirikiana na wenzake.
- Kujaza nafasi kwenye sentensi kwa kutumia nomino za dhahania.
- Kuorodhesha nomino za dhahania zinazoelezea hisia na tabia za binadamu.
Ni nomino zipi za dhahania unazozitumia katika mawasiliano ya kila siku?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 54
Maswali ya zoezi
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi zenye nomino za dhahania Kujaza pengo kwa nomino za dhahania Kuorodhesha nomino za dhahania
10 4

11 1-2
Sarufi
Uakifishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo,
- Kutambua herufi kubwa, alama ya koma, kikomo na kiulizi katika maandishi.
- Kutumia herufi kubwa, koma, kikomo na kiulizi ifaavyo katika maaandishi.
- Kufurahia matumizi ya herufi kubwa, koma, kikomo na kiulizi katika maandishi.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua herufi kubwa katika maandishi.
- Kushiriki katika vikundi kuakifisha sentensi akitumia herufi kubwa (baadhi ya sentensi ziangazie suala lengwa).
- Kuandika sentensi akitumia herufi kubwa ifaavyo.
Kwa nini alama za kuakifisha hutumiwa katika maandishi?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 55
Chati za matumizi ya herufi kubwa
Vifaa vya kidijitali
Kutambua herufi kubwa katika matini Kuakifisha sentensi kwa kutumia herufi kubwa Kuandika sentensi zenye herufi kubwa
11 3
Sarufi
Uakifishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo,
- Kutambua herufi kubwa, alama ya koma, kikomo na kiulizi katika maandishi.
- Kutumia herufi kubwa, koma, kikomo na kiulizi ifaavyo katika maaandishi.
- Kufurahia matumizi ya herufi kubwa, koma, kikomo na kiulizi katika maandishi.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua alama ya koma katika maandishi.
- Kushiriki katika vikundi kuakifisha sentensi akitumia koma (baadhi ya sentensi ziangazie suala lengwa).
- Kuandika sentensi akitumia koma ifaavyo.
Kwa nini tunahitaji alama ya koma katika maandishi?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 57
Chati za matumizi ya koma
Vifaa vya kidijitali
Kutambua alama ya koma katika matini Kuakifisha sentensi kwa kutumia koma Kuandika sentensi zenye koma
11 4

12 1-2

- Kutambua kikomo katika maandishi.
- Kushiriki katika vikundi kuakifisha sentensi akitumia kikomo (baadhi ya sentensi ziangazie suala lengwa).
- Kuandika sentensi akitumia kikomo ifaavyo.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua kiulizi katika maandishi.
- Kushiriki katika vikundi kuakifisha sentensi akitumia kiulizi (baadhi ya sentensi ziangazie suala lengwa).
- Kuandika sentensi akitumia kiulizi ifaavyo.
- Kuandika sentensi zenye herufi kubwa, koma, kikomo na kiulizi akitumia kifaa cha kidijitali.
Ni wakati gani tunatumia kikomo katika maandishi?
Unatumia alama ya kiulizi wakati gani?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 59
Chati za matumizi ya kikomo
Vifaa vya kidijitali
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 61
Chati za matumizi ya kiulizi
Vifaa vya kidijitali
Kutambua kikomo katika matini Kuakifisha sentensi kwa kutumia kikomo Kuandika sentensi zenye kikomo
Kutambua kiulizi katika matini Kuakifisha sentensi kwa kutumia kiulizi Kuandika sentensi zenye kiulizi
12 3
Sarufi
Uakifishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo,
- Kutambua herufi kubwa, alama ya koma, kikomo na kiulizi katika maandishi.
- Kutumia herufi kubwa, koma, kikomo na kiulizi ifaavyo katika maaandishi.
- Kufurahia matumizi ya herufi kubwa, koma, kikomo na kiulizi katika maandishi.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua kiulizi katika maandishi.
- Kushiriki katika vikundi kuakifisha sentensi akitumia kiulizi (baadhi ya sentensi ziangazie suala lengwa).
- Kuandika sentensi akitumia kiulizi ifaavyo.
- Kuandika sentensi zenye herufi kubwa, koma, kikomo na kiulizi akitumia kifaa cha kidijitali.
Unatumia alama ya kiulizi wakati gani?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 61
Chati za matumizi ya kiulizi
Vifaa vya kidijitali
Kutambua kiulizi katika matini Kuakifisha sentensi kwa kutumia kiulizi Kuandika sentensi zenye kiulizi
12 4
Kuandika
Kuandika kwa Tarakilishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo,
- Kutumia tarakilishi ili kujenga maarifa ya kidijitali.
- Kujenga mazoea ya kutumia tarakilishi kuandika na kuhifadhi maandishi.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuhifadhi kazi yake kwenye faili ya tarakilishi mara kwa mara.
- Kuhariri kazi yake kwenye tarakilishi akishirikiana na wenzake katika kikundi.
- Kutuma kazi yake kwa mwalimu ili kuitathmini.
Tarakilishi hutuwezesha kufanya kazi gani?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 47
Tarakilishi
Picha za sehemu za tarakilishi
Kuhariri kazi kwenye tarakilishi Kuhifadhi kazi kwenye faili Kutuma kazi kwa mwalimu

Your Name Comes Here

Download

Feedback