If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
8 | 4 |
USAFI WA SEHEMU ZA UMMA
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Sarufi Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Sarufi Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Sarufi Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Sarufi Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Sarufi Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Sarufi Kuandika |
Kusikiliza na Kujibu Mahojiano
Kusoma kwa Ufahamu: Kifungu cha Simulizi Viwakilishi: - Viwakilishi vya Nafsi - Viwakilishi Vionyeshi - Viwakilishi vya Idadi Viakifishi: - Alama ya hisi - Ritifaa Kusikiliza na Kujibu Mahojiano Kusoma kwa Ufahamu: Kifungu cha Simulizi Viwakilishi: - Viwakilishi vya Nafsi - Viwakilishi Vionyeshi - Viwakilishi vya Idadi Viakifishi: - Alama ya hisi - Ritifaa Matumizi ya mbinu za lugha katika hadithi Kusoma kwa ufahamu: kifungu cha mjadala Udogo wa nomino Insha ya maelekezo Matumizi ya mbinu za lugha katika hadithi Kusoma kwa ufahamu: kifungu cha mjadala Udogo wa nomino Insha ya maelekezo Kusikiliza husishi Ufupisho Usemi halisi na usemi wa taarifa Baruapepe ya kiofisi Kusikiliza husishi Ufupisho Usemi halisi na usemi wa taarifa Baruapepe ya kiofisi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusikiliza mahojiano - kutambua vipengele vya kuzingatia katika kujibu mahojiano - kutumia vipengele vifaavyo katika kusikiliza na kujibu mahojiano ipasavyo - kuchangamkia kushiriki mahojiano katika miktadha mbalimbali |
Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusikiliza mahojiano
- Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kujibu mahojiano - Kusikiliza mahojiano kuhusu suala lengwa katika kifaa cha kidijitali na kutambua vipengele vya kusikiliza na kujibu mahojiano vilivyozingatiwa - Kuwawasilishia wenzake vipengele vya kusikiliza na kujibu mahojiano vilivyozingatiwa katika mahojiano aliyosikiliza katika kifaa cha kidijitali - Kushiriki mahojiano kuhusu suala lengwa akiwa na wenzake, mzazi au mlezi kwa kuzingatia vipengele vifaavyo vya kusikiliza na kujibu mahojiano |
Je, ni vipengele vipi vinavyofaa kuzingatiwa katika kusikiliza mahojiano?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Nane uk. 1
-Michoro -Vifaa vya kidijitali -Mgeni mwalikwa Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Nane uk. 3 -Vifungu vya simulizi -Kamusi Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Nane uk. 8 -Chati -Kapu maneno -Mti maneno -Tarakilishi Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Nane uk. 6 -Mifano ya matini zenye alama ya hisi na ritifaa -Tarakilishi/vifaa vya kidijitali Kielekezi cha Kiswahili uk. 177 -Rekodi za sauti -Picha Kielekezi cha Kiswahili uk. 180 -Kifungu cha mjadala Kielekezi cha Kiswahili uk. 186 -Kadi maneno Kielekezi cha Kiswahili uk. 183 -Kielelezo cha insha ya maelekezo Kielekezi cha Kiswahili uk. 179 -Kifaa cha kidijitali -Video -https://tinyurl.com/mwat3knv Kielekezi cha Kiswahili uk. 182 -Majarida Kielekezi cha Kiswahili uk. 188 Kielekezi cha Kiswahili uk. 184 -Mifano ya insha za maelekezo Kielekezi cha Kiswahili uk. 191 -Mwongozo wa mwalimu Kielekezi cha Kiswahili uk. 193 -Kifungu cha ufahamu Kielekezi cha Kiswahili uk. 198 Kielekezi cha Kiswahili uk. 195 -Mfano wa baruapepe ya kiofisi Kielekezi cha Kiswahili uk. 192 -Maandishi ya mazungumzo Kielekezi cha Kiswahili uk. 194 -Intaneti Kielekezi cha Kiswahili uk. 200 Kielekezi cha Kiswahili uk. 197 -Mfano wa baruapepe |
Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano
-Maigizo
-Mijadala
-Mazungumzo
|
Your Name Comes Here