If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
1 | 1 |
MAPISHI
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Sarufi Sarufi Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Sarufi Sarufi Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Sarufi Sarufi Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Sarufi Sarufi Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Sarufi Sarufi Sarufi Sarufi Sarufi Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Sarufi Sarufi Sarufi Sarufi Sarufi Kuandika |
Matamshi Bora
Kusoma kwa Ufahamu Nomino za Pekee Nomino za Pekee Insha ya wasifu Matamshi Bora Matamshi Bora Kusoma kwa Ufahamu Nomino za kawaida Nomino za kawaida Insha ya wasifu Maamkuzi na Maagano Kusoma kwa Kina Nomino za Wingi Nomino za Wingi Insha ya masimulizi Maamkuzi na Maagano Kusoma kwa Kina Vitenzi-jina Vitenzi-jina Insha ya masimulizi Matamshi Bora Kusoma kwa Ufasaha Nomino za Makundi Nomino za Makundi Nomino Ambata Nomino Ambata Nomino za dhahania Kuandika kwa Tarakilishi Matamshi Bora Kusoma kwa Ufasaha Nomino za dhahania Uakifishi Uakifishi Uakifishi Uakifishi Kuandika kwa Tarakilishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno: f/v, s/z, l/r na th/dh. - Kutamka silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi: f/v, s/z, l/r na th/dh ili kutofautisha matamshi yake. - Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi: f/v, s/z, l/r na th/dh ili kuimarisha mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua silabi za sauti lengwa kutokana na maneno kwenye vitabu, ubaoni au kwa kutumia vifaa vya kiteknolojia. - Kusikiliza silabi za sauti f/v, s/z, l/r/ na th/dh zikitamkwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au kutoka kwa vifaa vya kiteknolojia (k.v. kinasasauti). - Kutamka silabi za sauti lengwa akiwa na wenzake. |
Je, unajua maneno gani yenye silabi zinazokanganya kimatamshi?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 1
Picha Michoro Kadi maneno Vifaa vya kidijitali Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 2 Chati za vitanzandimi Kadi za silabi Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 9 Chati za msamiati Kifungu cha hadithi kuhusu mapishi Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 16 Chati za nomino za pekee Mti maneno Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 19 Orodha ya maswali ya zoezi Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 13 Mifano ya insha za wasifu Chati ya muundo wa insha ya wasifu Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 4 Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 5 Orodha ya vitanzandimi Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 11 Kifungu cha hadithi Maswali ya ufahamu Kadi au kapu la maneno Chati zenye nomino za kawaida Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 21 Chati za nomino za kawaida Maswali ya zoezi Picha za vitu mbalimbali Orodha hakiki ya sifa za insha ya wasifu Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 23 Picha zinazoonyesha watu wakiamkuana Chati za maamkuzi na majibu yake Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 29 Kamusi Kapu maneno Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 34 Chati za nomino za wingi Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 37 Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 32 Mifano ya insha za masimulizi Chati ya muundo wa insha ya masimulizi Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 25 Picha zinazoonyesha watu wakiagana Chati za maagano na majibu yake Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 31 Chati za vitenzi-jina Picha zinazoonyesha vitendo Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 39 Orodha hakiki ya insha ya masimulizi Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 40 Chati za vitendawili Kadi za vitendawili Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 43 Picha za mapambo Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 47 Chati za nomino za makundi Picha zinazoonyesha makundi ya vitu Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 50 Chati za nomino ambata Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 52 Chati za nomino za dhahania Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 46 Tarakilishi Picha za sehemu za tarakilishi Chati ya sehemu za tarakilishi Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 42 Orodha ya vitendawili Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 45 Saa ya kupimia muda Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 54 Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 55 Chati za matumizi ya herufi kubwa Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 57 Chati za matumizi ya koma Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 59 Chati za matumizi ya kikomo Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 61 Chati za matumizi ya kiulizi |
Kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana
Kutamka silabi na vitanzandimi kwa usahihi
Ushiriki katika kutamka vitanzandimi
|
Your Name Comes Here