If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
1 | 1 |
MAPISHI
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Matamshi Bora
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno: f/v, s/z, l/r na th/dh. - Kutamka silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi: f/v, s/z, l/r na th/dh ili kutofautisha matamshi yake. - Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi: f/v, s/z, l/r na th/dh ili kuimarisha mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua silabi za sauti lengwa kutokana na maneno kwenye vitabu, ubaoni au kwa kutumia vifaa vya kiteknolojia. - Kusikiliza silabi za sauti f/v, s/z, l/r/ na th/dh zikitamkwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au kutoka kwa vifaa vya kiteknolojia (k.v. kinasasauti). - Kutamka silabi za sauti lengwa akiwa na wenzake. |
Je, unajua maneno gani yenye silabi zinazokanganya kimatamshi?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 1
Picha Michoro Kadi maneno Vifaa vya kidijitali Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 2 Chati za vitanzandimi Kadi za silabi |
Kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana
Kutamka silabi na vitanzandimi kwa usahihi
Ushiriki katika kutamka vitanzandimi
|
Your Name Comes Here