If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
2 | 2 |
MAPISHI
Kusikiliza na Kuzungumza |
Matamshi Bora
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi: f/v, s/z, l/r na th/dh ili kuimarisha mawasiliano. - Kuunda vitanzandimi vyenye maana kutokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi: f/v, s/z, l/r na th/dh. - Kuchangamkia kukariri vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi: f/v, s/z, l/r na th/dh ili kuimarisha matamshi yake. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikiliza vitanzandimi vinavyoundwa kutokana na maneno yenye sauti lengwa vikikaririwa. - Kuunda vitanzandimi vinavyotokana na sauti husika akiwa peke yake, wawiliwawili au katika vikundi. - Kuunda vitanzandimi kwenye vifaa vya kidijitali na kushirikiana na wenzake mitamboni kuvirekebisha. |
Je, unajua vitanzandimi gani vyenye silabi zinazokanganya kimatamshi?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 2
Chati za vitanzandimi Kadi za silabi Vifaa vya kidijitali |
Kutamka vitanzandimi kwa usahihi
Kuunda vitanzandimi vyenye sauti lengwa
Ushiriki katika shughuli za kikundi
|
Your Name Comes Here