Home






MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA TANO
MWAKA WA 2025
MUHULA WA I

School


To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.




To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.












Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)


WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
3 3
MAPISHI

Kusikiliza na Kuzungumza
Matamshi Bora
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo,
- Kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno: f/v, s/z, l/r na th/dh.
- Kutamka silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi: f/v, s/z, l/r na th/dh ili kutofautisha matamshi yake.
- Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi: f/v, s/z, l/r na th/dh ili kuimarisha mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua silabi za sauti lengwa kutokana na maneno kwenye vitabu, ubaoni au kwa kutumia vifaa vya kiteknolojia.
- Kusikiliza silabi za sauti f/v, s/z, l/r/ na th/dh zikitamkwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au kutoka kwa vifaa vya kiteknolojia (k.v. kinasasauti).
- Kutamka silabi za sauti lengwa akiwa na wenzake.
Je, unajua maneno gani yenye silabi zinazokanganya kimatamshi?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 1
Picha
Michoro
Kadi maneno
Vifaa vya kidijitali
Kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana Kutamka silabi na vitanzandimi kwa usahihi Ushiriki katika kutamka vitanzandimi

Your Name Comes Here


Download

Feedback