Home






MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA TISA
MWAKA WA 2026
MUHULA WA I

School


To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.




To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.












Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)


WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
2 1
USAFI WA MAZINGIRA

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na kujibu: mjadala
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusikiliza mjadala
-Kuchangamkia umuhimu wa kusikiliza mjadala

-Kujadili vipengele vya kuzingatia wakati wa kusikiliza mjadala
-Kusikiliza mjadala kuhusu usafi wa mazingira
Je, unazingatia nini wakati wa kusikiliza mjadala?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 1
-Kutambua vipengele vya kusikiliza mjadala -Kushiriki mjadala kwa kuzingatia vipengele vya kusikiliza
2 2-3
Kusoma
Sarufi
Kuandika
Kusoma kwa ufahamu: kifungu cha simulizi
Vihusishi vya mahali
Viakifishi: koloni
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kudondoa habari muhimu katika kifungu cha simulizi
-Kupanga matukio yanavyofuatana katika kifungu cha simulizi
-Kuchangamkia kusoma vifungu vya simulizi
somo
-Kutambua alama ya koloni
-Kutumia alama ya koloni ipasavyo katika matini
-Kuchangamkia matumizi ya alama ya koloni katika maandishi

-Kusoma kifungu cha simulizi kuhusu usafi wa mazingira
-Kutambua habari mahususi (k.v. nani, nini, wapi, lini?)
-Kupanga matukio yanavyofuatana katika kifungu

-Kutambua alama ya koloni katika sentensi
-Kujadili matumizi ya koloni
-Kutumia koloni katika sentensi na vifungu
-Kurekebisha vifungu vya maandishi kwa kutumia alama ya koloni ipasavyo
Unafanya nini ili kupata habari zilizo katika ufahamu simulizi kwa usahihi?
Je, alama ya koloni hutumiwa wapi katika maandishi?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 5
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 14
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 9
-Kudondoa habari mahususi -Kupanga matukio yanavyofuatana
-Kutambua alama ya koloni -Kutumia alama ya koloni ipasavyo -Kurekebisha makosa ya matumizi ya alama ya koloni
2 4
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na kujibu: mjadala
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kuchangia mjadala
-Kuchangamkia kushiriki katika mijadala

-Kujadili vipengele vya kuzingatia wakati wa kuchangia mjadala
-Kushiriki katika mjadala kuhusu usafi wa mazingira
Je, unazingatia nini wakati wa kuchangia mjadala?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 2
-Kutambua vipengele vya kuchangia mjadala -Kushiriki mjadala kwa kuzingatia vipengele vifaavyo
3 1
Kusoma
Kusoma kwa ufahamu: kifungu cha simulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kufanya utabiri na ufasiri kutokana na kifungu cha simulizi
-Kuelezea maana ya msamiati katika kifungu cha simulizi

-Kufanya utabiri na ufasiri
-Kutambua na kuelezea maana ya msamiati
Je, ni mambo gani yanayoweza kukusaidia kuelewa kifungu cha simulizi?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 6
-Kufanya utabiri na ufasiri -Kuelezea maana ya msamiati
3 2-3
Sarufi
Kuandika
MAZOEZI YA VIUNGO VYA MWILI

Kusikiliza na Kuzungumza
Vihusishi vya wakati
Viakifishi: semi koloni
Kusikiliza kwa kina: sauti /b/ na /mb/
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kutambua vihusishi vya wakati
-Kutumia vihusishi vya wakati ipasavyo katika matini
-Kuchangamkia matumizi bora ya vihusishi vya wakati
somo
-Kutambua sauti /b/ na /mb/ ipasavyo
-Kutamka sauti /b/ na /mb/ ipasavyo
-Kuchangamkia matamshi bora ya sauti /b/ na /mb/

-Kutambua vihusishi vya wakati katika sentensi
-Kutumia vihusishi vya wakati katika sentensi
-Kutunga vifungu vifupi kwa kutumia vihusishi vya wakati

-Kutambua sauti /b/ na /mb/ katika maneno
-Kutamka silabi zenye sauti /b/ na /mb/
-Kutamka maneno yenye sauti /b/ na /mb/
Je, vihusishi vya wakati vinatumika wakati gani?
Ni maneno yapi unayoyajua yaliyo na sauti /b/ na /mb/?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 16
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 11
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 20
-Kutambua vihusishi vya wakati -Kutumia vihusishi vya wakati ipasavyo -Kutunga sentensi kwa kutumia vihusishi vya wakati
-Kutamka sauti /b/ na /mb/ ipasavyo -Kutofautisha sauti /b/ na /mb/ kimatamshi
3 4
Kusoma
Kusoma kwa mapana: matini ya kujichagulia
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kueleza ujumbe wa matini aliyosoma
-Kutambua msamiati uliotumiwa katika matini ya kujichagulia
-Kuchangamkia kusoma matini za miktadha mbalimbali

-Kuchagua matini inayomvutia kutoka maktabani au mtandaoni
-Kusoma matini aliyojichagulia
-Kutambua ujumbe wa matini aliyosoma
-Kutambua vipengele muhimu vya matini hiyo
Unazingatia nini unapojichagulia matini ya kusoma?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 22
-Kufafanua ujumbe wa matini aliyosoma -Kutambua msamiati uliotumiwa katika matini
4 1
Sarufi
Vihusishi vya -a unganifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kutambua vihusishi vya -a unganifu
-Kutumia vihusishi vya -a unganifu ipasavyo katika matini
-Kuchangamkia matumizi yafaavyo ya vihusishi vya -a unganifu

-Kutambua vihusishi vya -a unganifu katika sentensi
-Kutaja mifano ya vihusishi vya -a unganifu
-Kutunga sentensi kwa kutumia vihusishi vya -a unganifu
Vihusishi vya -a unganifu vinatofautianaje na vihusishi vingine?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 27
-Kutambua vihusishi vya -a unganifu -Kutumia vihusishi vya -a unganifu ipasavyo
4 2-3
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Insha za kiuamilifu: kujibu barua ya kirafiki
Kusikiliza kwa kina: sauti /b/ na /mb/
Kusoma kwa mapana: matini ya kujichagulia
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kueleza umuhimu wa barua ya kirafiki
-Kutambua ujumbe unaoafiki katika kujibu barua ya kirafiki
-Kueleza lugha inayofaa katika kujibu barua ya kirafiki
somo
-Kutumia ipasavyo msamiati unaotokana na matini aliyosoma
-Kujenga mazoea ya kusoma matini za miktadha mbalimbali ya fikra

-Kusoma barua ya kirafiki
-Kutambua ujumbe katika barua ya kirafiki
-Kujadili lugha inayofaa kutumika katika kujibu barua ya kirafiki

-Kuelezea maana ya msamiati asioujua kutoka kwenye matini
-Kutumia kamusi kufafanua maana za msamiati
-Kutunga sentensi kwa kutumia msamiati kutoka matini
-Kuandika muhtasari wa matini aliyosoma
Unazingatia nini unapojibu barua ya kirafiki?
Ni mambo gani unafaa kufanya unaposoma matini ya kujichagulia?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 24
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 21
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 23
-Kueleza umuhimu wa barua ya kirafiki -Kutambua ujumbe unaoafiki katika kujibu barua ya kirafiki -Kueleza lugha inayofaa katika kujibu barua ya kirafiki
-Kutumia ipasavyo msamiati unaotokana na matini -Kuandika muhtasari wa ujumbe wa matini
4 4
Sarufi
Vihusishi vya sababu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kutambua vihusishi vya sababu
-Kutumia vihusishi vya sababu ipasavyo katika matini
-Kuchangamkia matumizi yafaavyo ya vihusishi vya sababu

-Kutambua vihusishi vya sababu katika sentensi
-Kutaja mifano ya vihusishi vya sababu
-Kutunga sentensi kwa kutumia vihusishi vya sababu
Vihusishi vya sababu vinatumikaje?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 28
-Kutambua vihusishi vya sababu -Kutumia vihusishi vya sababu ipasavyo
5 1
Kuandika
Insha za kiuamilifu: kujibu barua ya kirafiki
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kutambua vipengele vya kimuundo vya kujibu barua ya kirafiki
-Kujibu barua ya kirafiki kwa kuzingatia ujumbe, lugha na muundo ufaao
-Kukuza mazoea ya kujibu barua ya kirafiki katika maisha ya kila siku

-Kutambua vipengele vya muundo wa barua ya kirafiki
-Kuandika barua ya kujibu mwaliko katika sherehe
-Kusahihisha barua aliyoandika kwa kuzingatia muundo, ujumbe na lugha
Je, ni mambo gani yanayoweza kukufanya uandike barua ya kirafiki ya kutoa shukrani?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 25
-Kutambua vipengele vya kimuundo vya kujibu barua ya kirafiki -Kujibu barua ya kirafiki kwa kuzingatia ujumbe, lugha na muundo ufaao
5 2-3
UTUNZAJI WA WANYAMA

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Semi: tashbihi
Semi: sitiari
Kusoma kwa kina: ushairi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kutambua tashbihi katika matini
-Kueleza matumizi ya tashbihi
-Kuchangamkia matumizi ya tashbihi katika mawasiliano
somo
-Kueleza maana ya shairi
-Kutambua sifa za ushairi kama utanzu wa fasihi andishi
-Kuchangamkia usomaji wa mashairi

-Kusikiliza hadithi yenye tashbihi
-Kutambua tashbihi katika hadithi
-Kueleza maana ya tashbihi
-Kujadili matumizi ya tashbihi

-Kusoma shairi kuhusu utunzaji wa wanyama
-Kujadili ujumbe wa shairi
-Kutambua sifa za ushairi katika shairi husika
Tunatumia mbinu gani za lugha katika kuwasilisha tungo za fasihi simulizi?
Je, shairi ulilowahi kulisoma lilikuwa linazungumzia nini?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 33
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 35
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 40
-Kutambua tashbihi katika matini -Kueleza maana ya tashbihi -Kutumia tashbihi ipasavyo
-Kueleza maana ya shairi -Kutambua sifa za ushairi kama utanzu wa fasihi andishi
5 4
Sarufi
Vihusishi vilinganishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kutambua vihusishi vilinganishi
-Kutumia vihusishi vilinganishi ipasavyo katika matini
-Kuchangamkia matumizi yafaavyo ya vihusishi vilinganishi

-Kusoma sentensi zenye vihusishi vilinganishi
-Kutambua vihusishi vilinganishi katika sentensi
-Kutaja mifano ya vihusishi vilinganishi
-Kutumia vihusishi vilinganishi katika sentensi
Ni vihusishi vilinganishi gani unavyojua?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 45
-Kutambua vihusishi vilinganishi -Kutumia vihusishi vilinganishi ipasavyo
6 1
Kuandika
Insha za kubuni: masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kutambua vipengele vya kufafanulia ujumbe wa insha ya masimulizi
-Kufafanua ujumbe wa insha ya masimulizi kupitia utangulizi, kiini na hitimisho
-Kuchangamkia uandishi wa insha za masimulizi

-Kusoma insha ya masimulizi kuhusu utunzaji wa wanyama
-Kutambua mada ya insha
-Kujadili vipengele vya kufafanulia ujumbe wa insha ya masimulizi
Unafaa kufanya nini unaposimulia jambo ili ujumbe wako upate kueleweka zaidi?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 43
-Kutambua vipengele vya kufafanulia ujumbe wa insha ya masimulizi -Kufafanua ujumbe wa insha ya masimulizi kupitia utangulizi, kiini na hitimisho
6 2-3
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Insha za kubuni: masimulizi
Semi: methali
Kusoma kwa kina: ushairi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kufafanua ujumbe wa insha ya masimulizi kupitia wahusika
-Kutaja sifa za wahusika katika insha ya masimulizi
-Kuchangamkia uandishi wa insha za masimulizi
somo
-Kujadili sifa za ushairi kama utanzu wa fasihi andishi
-Kueleza sifa za arudhi na mashairi huru
-Kuchangamkia usomaji wa mashairi

-Kufafanua ujumbe wa insha ya masimulizi kupitia wahusika
-Kujadili sifa za wahusika katika insha ya masimulizi
-Kujadili masuala mbalimbali yanayohusu wanyama

-Kusoma shairi lingine kuhusu utunzaji wa wanyama
-Kutambua beti, mishororo, vina, mizani na vipande katika shairi
-Kujadili sifa za ushairi huru na ushairi wa arudhi
Ni mambo gani yanayofaa kuzingatiwa wakati wa kuandika insha ya masimulizi?
Unavutiwa na nini unaposoma shairi?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 44
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 37
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 41
-Kufafanua ujumbe wa insha ya masimulizi kupitia wahusika -Kutaja sifa za wahusika katika insha ya masimulizi
-Kujadili sifa za ushairi kama utanzu wa fasihi andishi -Kueleza sifa za arudhi na mashairi huru
6 4
Sarufi
Kihusishi 'na'
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kutambua kihusishi 'na'
-Kutumia kihusishi 'na' ipasavyo katika matini
-Kuchangamkia matumizi yafaavyo ya kihusishi 'na'

-Kusoma sentensi zenye kihusishi 'na'
-Kutambua matumizi mbalimbali ya kihusishi 'na' katika sentensi
-Kutunga sentensi kwa kutumia kihusishi 'na' kwa njia tofauti
Kihusishi 'na' kinatumikaje katika sentensi?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 47
-Kutambua kihusishi 'na' -Kutumia kihusishi 'na' ipasavyo
7 1
Kuandika
Insha za kubuni: masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kuandika insha ya masimulizi kwa kuzingatia ujumbe na muundo ufaao
-Kuchangamkia uandishi wa insha za masimulizi

-Kuandika insha ya masimulizi kuhusu utunzaji wa wanyama
-Kuzingatia vidokezo, wahusika, ujumbe na muundo ufaao
-Kuandika nakala safi ya insha
Wahusika wanasaidiaje katika uwasilishaji wa ujumbe katika insha ya masimulizi?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 45
-Kuandika insha ya masimulizi kwa kuzingatia ujumbe na muundo ufaao
7 2-3
UTUNZAJI WA MALIASILI

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Sarufi
Semi: vitendawili
Kusoma kwa ufasaha
Nyakati na hali: -ki -ya masharti
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kutambua vitendawili
-Kueleza maana ya vitendawili
-Kuchangamkia uwasilishaji wa vitendawili
somo
-Kutambua matumizi ya -ki
-ya masharti
-Kutumia -ki
-ya masharti ipasavyo katika matini
-Kuchangamkia matumizi ya -ki
-ya masharti

-Kusikiliza na kuigiza mazungumzo kuhusu vitendawili
-Kutambua vitendawili
-Kujadili maana ya vitendawili
-Kutambua vipengele vya uwasilishaji wa vitendawili

-Kusoma sentensi zenye -ki
-ya masharti
-Kutambua matumizi ya -ki
-ya masharti
-Kutumia -ki
-ya masharti ipasavyo katika sentensi
-Kutunga sentensi kwa kutumia -ki
-ya masharti
Unazingatia nini unapowasilisha vitendawili?
Je, -ki -ya masharti hutumiwa wakati gani katika sentensi?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 51
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 57
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 62
-Kutambua vitendawili -Kutega na kutegua vitendawili -Kueleza maana ya vitendawili
-Kutambua matumizi ya -ki -ya masharti -Kutumia -ki -ya masharti ipasavyo katika sentensi -Kutunga sentensi zenye -ki -ya masharti
7 4
Kuandika
Insha za kubuni: masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kutambua matumizi ya lugha ya kitamathali katika insha ya masimulizi
-Kueleza matendo ya wahusika katika insha ya masimulizi
-Kuchangamkia uandishi wa insha za masimulizi

-Kusoma insha ya masimulizi kuhusu utunzaji wa maliasili
-Kutambua matumizi ya lugha ya kitamathali katika insha ya masimulizi
-Kutambua matendo ya wahusika katika insha ya masimulizi
-Kujadili matumizi ya lugha ya kitamathali na matendo ya wahusika
Je, unazingatia vipengele vipi unapoandika insha ya masimulizi?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 60
-Kutambua matumizi ya lugha ya kitamathali katika insha ya masimulizi -Kueleza matendo ya wahusika katika insha ya masimulizi
8

MIDTERM

9 1
Kusikiliza na Kuzungumza
Semi: nahau
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kutambua nahau
-Kueleza maana ya nahau
-Kuchangamkia matumizi ya nahau

-Kutambua nahau katika picha
-Kujadili maana ya nahau
-Kutaja mifano ya nahau
-Kueleza maana za nahau
Je, ni nahau gani unazozijua?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 54
-Kutambua nahau -Kueleza maana za nahau -Kutumia nahau ipasavyo
9 2-3
Kusoma
Sarufi
Kuandika
Kusoma kwa ufasaha
Nyakati na hali: -ka -ya kufuatana kwa vitendo
Insha za kubuni: masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kusoma kwa kuzingatia ishara za mwili
-Kusoma kwa kuwasiliana na hadhira
-Kuchangamkia usomaji bora
somo
-Kutambua mandhari katika insha ya masimulizi
-Kuandika insha ya masimulizi ukizingatia lugha ya kitamathali, matendo ya wahusika na mandhari yanayofaa
-Kuchangamkia uandishi wa insha za masimulizi

-Kusoma kifungu kwa kuzingatia ishara za mwili
-Kusoma kifungu kwa kuwasiliana na hadhira
-Kutambua makosa wakati wa kusoma
-Kufanya marekebisho wakati wa kusoma

-Kutambua mandhari katika insha ya masimulizi kuhusu utunzaji wa maliasili
-Kujadili kuhusu mambo yanayofaa kutumika katika insha ya masimulizi
-Kuandika insha ya masimulizi kuhusu utunzaji wa maliasili
Ni vipengele gani vya kuzingatia katika usomaji wa ufasaha?
Ni mandhari gani yanayofaa kutumika katika insha ya masimulizi?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 58
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 64
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 61
-Kusoma kwa kuzingatia ishara za mwili -Kusoma kwa kuwasiliana na hadhira -Kutambua na kurekebisha makosa ya usomaji
-Kutambua mandhari katika insha ya masimulizi -Kuandika insha ya masimulizi ukizingatia lugha ya kitamathali, matendo ya wahusika na mandhari yanayofaa
9 4
MITAZAMO HASI YA KIJINSIA

Kusikiliza na Kuzungumza
Ufahamu wa kusikiliza
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kueleza maana ya ufahamu wa kusikiliza
-Kutambua kanuni za ufahamu wa kusikiliza
-Kuchangamkia kusikiliza kwa ufahamu

-Kusikiliza ufahamu kuhusu mitazamo hasi ya kijinsia
-Kujadili maana ya ufahamu wa kusikiliza
-Kujadili kanuni za ufahamu wa kusikiliza
Je, ni mambo gani unayozingatia ili kupata ujumbe unaposikiliza matini?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 70
-Kueleza maana ya ufahamu wa kusikiliza -Kujadili kanuni za ufahamu wa kusikiliza
10 1
Kusoma
Kusoma kwa ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha ufahamu
-Kupanga matukio yanavyofuatana
-Kuchangamkia usomaji wa vifungu vya ufahamu

-Kusoma kifungu cha ufahamu kuhusu mitazamo hasi ya kijinsia
-Kutambua habari mahususi katika kifungu cha ufahamu
-Kupanga matukio yanavyofuatana katika kifungu cha ufahamu
Kwa nini tunasoma kifungu cha ufahamu?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 73
-Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha ufahamu -Kupanga matukio yanavyofuatana katika kifungu cha ufahamu
10 2-3
Sarufi
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Hali za masharti: hali ya masharti -nge-
Insha za kiuamilifu: shajara
Ufahamu wa kusikiliza
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kueleza maana ya hali ya masharti
-Kutambua matumizi ya hali ya masharti -nge-
-Kuchangamkia matumizi ya hali ya masharti -nge-
somo
-Kutambua vipengele vya ufahamu wa kusikiliza
-Kushiriki katika ufahamu wa kusikiliza ukizingatia vipengele vyake
-Kuchangamkia kusikiliza kwa ufahamu

-Kusoma sentensi zenye hali ya masharti -nge-
-Kujadili maana ya hali ya masharti
-Kutambua matumizi ya hali ya masharti -nge-
-Kutumia hali ya masharti -nge
-katika sentensi

-Kusikiliza ufahamu kuhusu mitazamo hasi ya kijinsia
-Kujadili vipengele vya ufahamu wa kusikiliza
-Kushiriki katika ufahamu wa kusikiliza ukizingatia vipengele vyake
Je, unapotaka kuonyesha hali ya masharti unatumia viambishi gani?
Je, kusikiliza kwa ufahamu kuna faida zipi?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 79
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 76
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 72
-Kueleza maana ya hali ya masharti -Kutambua matumizi ya hali ya masharti -nge- -Kutumia hali ya masharti -nge -ipasavyo
-Kutambua vipengele vya ufahamu wa kusikiliza -Kushiriki katika ufahamu wa kusikiliza ukizingatia vipengele vyake
10 4
Kusoma
Kusoma kwa ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kufanya utabiri na ufasiri kutokana na kifungu cha ufahamu
-Kueleza maana ya msamiati katika kifungu cha ufahamu
-Kuchangamkia usomaji wa vifungu vya ufahamu

-Kusoma kifungu cha ufahamu kuhusu mitazamo hasi ya kijinsia
-Kufanya utabiri na ufasiri kutokana na kifungu cha ufahamu
-Kueleza maana ya msamiati katika kifungu cha ufahamu
Ni mambo gani tunayazingatia tunaposoma kifungu cha ufahamu?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 75
-Kufanya utabiri na ufasiri kutokana na kifungu cha ufahamu -Kueleza maana ya msamiati katika kifungu cha ufahamu
11 1
Sarufi
Hali za masharti: hali ya masharti -ngali-
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kutambua matumizi ya hali ya masharti -ngali-
-Kutumia hali ya masharti -ngali
-ipasavyo
-Kuchangamkia matumizi ya hali ya masharti -ngali-

-Kusoma sentensi zenye hali ya masharti -ngali-
-Kutambua matumizi ya hali ya masharti -ngali-
-Kutumia hali ya masharti -ngali
-katika sentensi
Ni tofauti gani kati ya hali ya masharti -nge -na -ngali-?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 82
-Kutambua matumizi ya hali ya masharti -ngali- -Kutumia hali ya masharti -ngali -ipasavyo
11 2-3
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
USALAMA BARABARANI

Kusoma
Insha za kiuamilifu: shajara
Kusikiliza kwa kufasiri
Kusoma kwa kina: maudhui katika shairi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kutambua vipengele vya shajara
-Kuandika shajara ukizingatia vipengele vifaavyo
-Kuchangamkia uandishi wa shajara
somo
-Kueleza maana ya maudhui katika fasihi
-Kutambua maudhui katika shairi
-Kuchangamkia usomaji wa mashairi

-Kujadili vipengele vya shajara
-Kuandika shajara ya wiki moja wawapo shuleni
-Kusahihisha shajara waliyoandika

-Kusoma shairi kuhusu usalama barabarani
-Kutambua maudhui yanayojitokeza kwenye shairi
-Kujadili maudhui katika shairi
-Kuchambua maudhui katika shairi
Vipengele gani unapaswa kuzingatia unapoandika shajara?
Je, mashairi uliyowahi kusoma yalizungumzia nini?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 78
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 85
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 88
-Kutambua vipengele vya shajara -Kuandika shajara ukizingatia vipengele vifaavyo
-Kueleza maana ya maudhui katika fasihi -Kutambua maudhui katika shairi
11 4
Sarufi
Vielezi vya namna
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kutambua vielezi vya namna
-Kutumia vielezi vya namna ipasavyo katika matini
-Kuchangamkia matumizi ya vielezi vya namna

-Kusoma sentensi zenye vielezi vya namna
-Kutambua vielezi vya namna katika sentensi
-Kutumia vielezi vya namna katika sentensi
-Kutunga sentensi kwa kutumia vielezi vya namna
Ni vielezi vipi unavyojua?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 93
-Kutambua vielezi vya namna -Kutumia vielezi vya namna ipasavyo
12 1
Kuandika
Insha za kubuni: methali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kueleza maana ya insha ya methali
-Kutambua vipengele vya insha ya methali
-Kuchangamkia uandishi wa insha za methali

-Kusoma kielelezo cha insha ya methali
-Kutambua vipengele vya insha ya methali
-Kujadili lugha inayotumika katika insha ya methali
Unahitaji kufanya nini unapoandika insha ya methali?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 90
-Kueleza maana ya insha ya methali -Kutambua vipengele vya insha ya methali
12 2-3
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Sarufi
Kusikiliza kwa kufasiri
Kusoma kwa kina: dhamira katika shairi
Vielezi vya wakati
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kutambua misimamo mbalimbali katika matini
-Kusikiliza matini na kutoa maoni yake kuhusu misimamo mbalimbali
-Kuchangamkia kusikiliza kwa kufasiri
somo
-Kutambua vielezi vya wakati
-Kutumia vielezi vya wakati ipasavyo katika matini
-Kuchangamkia matumizi ya vielezi vya wakati

-Kusikiliza matini kuhusu usalama barabarani
-Kuchambua misimamo mbalimbali katika matini hiyo
-Kutoa maoni yake kuhusu misimamo katika matini
-Kujadili athari za misimamo katika matini

-Kusoma sentensi zenye vielezi vya wakati
-Kutambua vielezi vya wakati katika sentensi
-Kutumia vielezi vya wakati katika sentensi
-Kutunga sentensi kwa kutumia vielezi vya wakati
Je, ni misimamo ipi iliyopo katika matini kuhusu usalama barabarani?
Vielezi hutumiwa vipi katika matumizi ya lugha?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 86
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 89
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 95
-Kutambua misimamo mbalimbali katika matini -Kusikiliza matini na kutoa maoni yake kuhusu misimamo mbalimbali
-Kutambua vielezi vya wakati -Kutumia vielezi vya wakati ipasavyo
12 4
Kuandika
Insha za kubuni: methali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kuorodhesha vidokezo vya kuandika insha ya methali
-Kuandika insha ya methali ukizingatia vipengele vyake
-Kuchangamkia uandishi wa insha za methali

-Kuchagua methali inayohusiana na usalama barabarani
-Kuorodhesha vidokezo vya kuandika insha ya methali
-Kuandika insha ya methali
-Kusahihisha insha ya methali
Ni vipengele gani vya kuzingatia katika uandishi wa insha ya methali?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 92
-Kuorodhesha vidokezo vya kuandika insha ya methali -Kuandika insha ya methali ukizingatia vipengele vyake

Your Name Comes Here


Download

Feedback