If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 1 | 3 |
USAFI WA MAZINGIRA
Kusikiliza na Kuzungumza |
Kusikiliza na Kujibu - Mjadala
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusikiliza mjadala. Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kuchangia mjadala. Kushiriki mjadala kwa kuzingatia vipengele vifaavyo. Kuchangamkia kushiriki katika mijadala ya miktadha mbalimbali. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutazama na kusikiliza mjadala kuhusu usafi wa mazingira katika kifaa cha kidijitali. Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusikiliza na kuchangia mjadala. Kujadili vipengele alivyotambua kwenye daftari lake. Kushiriki mjadala darasani na wenzake. |
Je, unazingatia nini wakati wa kusikiliza na kuchangia mjadala?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 1
Vifaa vya kidijitali Chati Kadi maneno |
Kutambua vipengele vya mjadala
Kuuliza na kujibu maswali
Orodha hakiki
Kueleza
Kushiriki mjadala
|
|
| 1 | 4 |
Kusoma
Sarufi |
Kusoma kwa Ufahamu - Kifungu cha Simulizi
Vihusishi vya Mahali |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha simulizi. Kupanga matukio yanavyofuatana katika kifungu cha simulizi. Kufanya utabiri na ufasiri kutokana na kifungu cha simulizi. Kuchangamkia kujibu maswali ya ufahamu ili kukuza uelewa wa habari. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma kifungu cha simulizi kuhusu usafi wa mazingira kwa zamu katika kikundi. Kutambua habari mahususi katika kifungu cha simulizi kuhusu usafi wa mazingira. Kudondoa habari muhimu katika kifungu cha simulizi. Kupanga matukio yanavyofuatana katika kifungu. Kujibu maswali ya ufahamu yanayolenga kudondoa habari mahususi. |
Je, unafanya nini ili kupata habari zilizoko katika kifungu simulizi kwa usahihi?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 4
Picha Michoro Vifaa vya kidijitali KLB Top Scholar Kiswahili uk. 10-11 Kadi maneno Matini ya mwalimu Picha zinazoonyesha mahali |
Kusoma kwa kutambua habari mahususi
Kujibu maswali
Kupanga matukio kwa mtiririko sahihi
Kufanya tathmini
|
|
| 2 | 1 |
Kuandika
|
Viakifishi - Koloni
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua alama ya koloni katika matini. Kueleza matumizi ya koloni katika matini. Kutumia alama ya koloni ipasavyo katika matini. Kufurahia matumizi yafaayo ya alama ya koloni katika matini mbalimbali. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutambua alama ya koloni katika sentensi kama "Mama alienda sokoni akanunua bidhaa zifuatazo: karoti, nyanya, mchicha, maharagwe na unga." Kueleza matumizi mbalimbali ya alama ya koloni katika matini. Kusahihisha kifungu ambacho hakijatumia alama ya koloni ipasavyo. Kutunga sentensi au vifungu vifupi kuhusu usafi wa mazingira kwa kutumia alama ya koloni ipasavyo. |
Je, alama ya koloni hutumiwa wapi katika maandishi?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 8
Matini ya mwalimu Kifaa cha kidijitali Kadi zenye mifano ya matumizi ya koloni |
Kutambua alama ya koloni katika matini
Kutunga sentensi zenye alama ya koloni
Orodha hakiki ya matumizi ya koloni
Kujaza pengo kwa kuweka alama ya koloni
|
|
| 2 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Kusikiliza na Kujibu - Mjadala
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusikiliza mjadala. Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kuchangia mjadala. Kushiriki mjadala kwa kuzingatia vipengele vifaavyo. Kuchangamkia kushiriki katika mijadala ya miktadha mbalimbali. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kuteua mada "Usafi wa mazingira ndio unaozuia kuenea kwa maradhi". Kujigawa katika vikundi viwili: kuunga mkono na kupinga mjadala. Kutayarisha hoja za kuunga mkono au kupinga mjadala. Kuchagua viongozi wa kuwaelekeza kama vile mwenyekiti, katibu, mlinda nidhamu na mtunza wakati. |
Je, unazingatia nini wakati wa kushiriki mjadala?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 3
Chati ya vipengele vya mjadala Karatasi za kuandikia hoja |
Kushiriki mjadala
Matamshi bora ya maneno
Utetezi wa hoja kwa lugha ya adabu
Kutumia lugha ya ushawishi
|
|
| 2 | 3 |
Kusoma
Sarufi |
Kusoma kwa Ufahamu - Kifungu cha Simulizi
Vihusishi vya Wakati |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kufanya utabiri na ufasiri kutokana na kifungu cha simulizi. Kutambua na kueleza maana ya msamiati kama ulivyotumiwa katika kifungu cha simulizi. Kuchangamkia kutumia msamiati alivyoutambua kwa usahihi katika utunzi wa sentensi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutabiri matukio katika kifungu kutokana na picha au matukio ya awali. Kufasiri habari kutokana na kifungu cha simulizi. Kutambua na kuorodhesha msamiati kama 'bustani', 'yaliyopukutika', 'mandhari', 'karo', 'pazia' n.k. Kueleza maana ya msamiati kulingana na matumizi yake kimuktadha. Kutunga sentensi akitumia msamiati huo kwa usahihi. |
Je, utawezaje kutambua msamiati uliopo katika kifungu simulizi?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 5-6
Chati Kamusi Matini ya mwalimu KLB Top Scholar Kiswahili uk. 11-12 Chati mabango Vifaa vya kidijitali |
Kutambua msamiati mpya
Kutunga sentensi kwa kutumia msamiati mpya
Kufanya tathmini ya maana ya msamiati
|
|
| 2 | 4 |
Kuandika
|
Viakifishi - Semi Koloni
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua alama ya semi koloni katika matini. Kueleza matumizi ya semi koloni katika matini. Kutumia alama ya semi koloni ipasavyo katika matini. Kufurahia matumizi yafaayo ya alama ya semi koloni katika matini mbalimbali. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutambua alama ya semi koloni katika sentensi kama "Tulizuru Bonde la Ufa tukatembelea Ziwa Nakuru; Ziwa Naivasha; Mlima Longonot na Mji wa Nakuru." Kueleza matumizi ya semi koloni katika matini. Kusahihisha kifungu ambacho hakijatumia alama ya semi koloni ipasavyo. Kutunga sentensi au kifungu kifupi kuhusu usafi wa mazingira akitumia alama ya semi koloni ipasavyo. |
Je, alama ya semi koloni hutumiwa vipi katika maandishi?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 9
Matini ya mwalimu Kadi Mifano ya sentensi zenye matumizi ya semi koloni |
Orodha hakiki ya matumizi ya semi koloni
Kutunga sentensi zenye alama ya semi koloni
Kubainisha tofauti kati ya koloni na semi koloni
|
|
| 3 | 1 |
MAZOEZI YA VIUNGO VYA MWILI
Kusikiliza na Kuzungumza |
Kusikiliza kwa Kina - Sauti /b/ na /mb/
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutamka sauti /b/ na /mb/ ipasavyo ili kuzitofautisha kimatamshi. Kutamka vitanzandimi vyenye sauti /b/ na /mb/ ipasavyo. Kuunda vitanzandimi vyepesi vyenye sauti /b/ na /mb/. Kuchangamkia matamshi bora ya sauti /b/ na /mb/ katika mazungumzo ya kawaida. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutambua sauti /b/ na /mb/ katika maneno kama "bali-mbali", "bao-mbao", "baba-bomba", "ibo-imba", "boga-mboga". Kusikiliza na kutamka vitanzandimi vyepesi vinavyohusisha matamshi ya sauti /b/ na /mb/ katika kifaa cha kidijitali. Kubuni vitanzandimi vyepesi vinavyohusisha sauti /b/ na /mb/. Kuwasomea wenzake vitanzandimi alivyobuni ili wamtolee maoni. |
Je, kutamka maneno yenye sauti /b/ na /mb/ ipasavyo kuna umuhimu gani?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 13-14
Mti maneno Matini ya mwalimu Kifaa cha kidijitali |
Kutambua sauti /b/ na /mb/ katika maneno
Kutunga vitanzandimi vyenye sauti /b/ na /mb/
Orodha hakiki ya maneno yenye sauti hizo
|
|
| 3 | 2 |
Kusoma
Sarufi |
Kusoma kwa Mapana
Vihusishi vya -a Unganifu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kufafanua ujumbe wa matini aliyosoma. Kutambua msamiati uliotumiwa katika matini ya kujichagulia. Kutumia ipasavyo msamiati unaotokana na matini aliyosoma. Kujenga mazoea ya kusoma matini mbalimbali za kujichagulia. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kuteua matini kuhusu mazoezi ya viungo vya mwili kisha some matini aliyojichagulia. Kutambua msamiati muhimu katika matini aliyoteua. Kufafanua ujumbe wa matini aliyoisoma kwa ufupi. Kutambua na kuorodhesha msamiati uliotumika katika matini aliyojichagulia. |
Je, unazingatia nini unapojichagulia matini ya kusoma?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 15-16
Matini mbalimbali za kujichagulia Kamusi KLB Top Scholar Kiswahili uk. 19-20 Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu Orodha ya vihusishi vya -a unganifu |
Kusoma matini ya kujichagulia
Kutambua msamiati muhimu
Kuorodhesha msamiati na maana yake
Kufafanua ujumbe wa matini
|
|
| 3 | 3 |
Kuandika
|
Insha za Kiuamilifu - Barua ya Kirafiki
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua ujumbe unaofaa katika kujibu barua ya kirafiki. Kueleza lugha inayofaa katika kujibu barua ya kirafiki. Kufafanua muundo unaofaa katika kujibu barua ya kirafiki. Kuchangamkia kujibu barua ya kirafiki kwa kuzingatia ujumbe, lugha na muundo ufaao. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutambua ujumbe unaoafiki anapojibu barua ya kirafiki. Kueleza lugha inayofaa kujibu barua ya kirafiki. Kujadili muundo wa kujibu barua ya kirafiki akishirikiana na wenzake. Kuchora mchoro wa muundo wa barua ya kirafiki kitambuni. |
Je, unazingatia nini unapojibu barua ya kirafiki?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 17
Matini ya mwalimu Michoro Chati Mfano wa barua ya kirafiki |
Kutambua vipengele vya barua ya kirafiki
Kuchora muundo wa barua ya kirafiki
Kujibu maswali kuhusu barua ya kirafiki
Kueleza lugha inayofaa katika barua ya kirafiki
|
|
| 3 | 4 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Kusikiliza kwa Kina - Sauti /b/ na /mb/
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutamka sauti /b/ na /mb/ ipasavyo ili kuzitofautisha kimatamshi. Kutamka vitanzandimi vyenye sauti /b/ na /mb/ ipasavyo. Kuunda vitanzandimi vyepesi vyenye sauti /b/ na /mb/. Kuchangamkia matamshi bora ya sauti /b/ na /mb/ katika mazungumzo ya kawaida. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutambua sauti /b/ na /mb/ katika maneno kama "bali-mbali", "bao-mbao", "baba-bomba", "ibo-imba", "boga-mboga". Kusikiliza na kutamka vitanzandimi vyepesi vinavyohusisha matamshi ya sauti /b/ na /mb/ katika kifaa cha kidijitali. Kubuni vitanzandimi vyepesi vinavyohusisha sauti /b/ na /mb/. Kuwasomea wenzake vitanzandimi alivyobuni ili wamtolee maoni. |
Je, kutamka maneno yenye sauti /b/ na /mb/ ipasavyo kuna umuhimu gani?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 13-14
Mti maneno Matini ya mwalimu Kifaa cha kidijitali |
Kutambua sauti /b/ na /mb/ katika maneno
Kutunga vitanzandimi vyenye sauti /b/ na /mb/
Orodha hakiki ya maneno yenye sauti hizo
|
|
| 4 | 1 |
Kusoma
Sarufi |
Kusoma kwa Mapana
Vihusishi vya Sababu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kufafanua ujumbe wa matini aliyosoma. Kutambua msamiati uliotumiwa katika matini ya kujichagulia. Kutumia ipasavyo msamiati unaotokana na matini aliyosoma. Kujenga mazoea ya kusoma matini mbalimbali za kujichagulia. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kuteua matini kuhusu mazoezi ya viungo vya mwili kisha some matini aliyojichagulia. Kutambua msamiati muhimu katika matini aliyoteua. Kufafanua ujumbe wa matini aliyoisoma kwa ufupi. Kutambua na kuorodhesha msamiati uliotumika katika matini aliyojichagulia. |
Je, unazingatia nini unapojichagulia matini ya kusoma?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 15-16
Matini mbalimbali za kujichagulia Kamusi KLB Top Scholar Kiswahili uk. 21 Vifaa vya kidijitali Kapu na kadi maneno Matini ya mwalimu |
Kusoma matini ya kujichagulia
Kutambua msamiati muhimu
Kuorodhesha msamiati na maana yake
Kufafanua ujumbe wa matini
|
|
| 4 | 2 |
Kuandika
|
Insha za Kiuamilifu - Barua ya Kirafiki
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kujibu barua ya kirafiki akizingatia ujumbe, lugha na muundo ufaao. Kujenga mazoea ya kujibu barua ya kirafiki katika maisha ya kila siku. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kujibu barua ya kirafiki akizingatia ujumbe, lugha na muundo ufaao. Kuwasomea wenzake barua aliyoandika ili wamtolee maoni. Kurekebisha barua yake kwa kuzingatia maoni ya wenzake. Kuwasilisha barua yake kwa mwalimu ili aitathimini. |
Je, unazingatia nini unapojibu barua ya kirafiki?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 18-19
Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu Mifano ya barua za kirafiki |
Kuandika barua ya kirafiki
Kusomeana barua za kirafiki
Kufanya tathmini
Kutoa maoni kuhusu barua za wenzake
|
|
| 4 | 3 |
UTUNZAJI WA WANYAMA
Kusikiliza na Kuzungumza |
Semi - Tashbihi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kueleza maana ya tashbihi ili kuipambanua na tungo zingine. Kutambua tashbihi katika matini ya fasihi simulizi. Kueleza matumizi ya tashbihi katika matini ya fasihi simulizi. Kuchangamkia matumizi ya tashbihi katika tungo za fasihi simulizi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kueleza maana ya tashbihi. Kutambua tashbihi kama "mrefu kama twiga", "maridadi kama tausi" katika tungo simulizi. Kueleza matumizi ya tashbihi katika tungo za fasihi simulizi. Kushiriki katika uwasilishaji wa tashbihi. |
Je, tunatumia mbinu gani za lugha katika kuwasilisha tungo za fasihi simulizi?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 24
Kadi za tashbihi Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu |
Kutambua tashbihi katika tungo za fasihi simulizi
Kueleza matumizi ya tashbihi
Kutunga tashbihi
Kutofautisha tashbihi na semi zingine
|
|
| 4 | 4 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma |
Semi - Sitiari
Kusoma kwa Kina - Ushairi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kueleza maana ya sitiari ili kuipambanua na tungo zingine. Kutambua sitiari katika matini ya fasihi simulizi. Kueleza matumizi ya sitiari katika matini ya fasihi simulizi. Kuchangamkia matumizi ya sitiari katika tungo za fasihi simulizi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kueleza maana ya sitiari. Kutambua sitiari kama "Yeye ni twiga", "Yeye ni simba" kutoka kwenye tungo simulizi au kifaa cha kidijitali. Kueleza matumizi ya sitiari katika tungo za fasihi simulizi. Kushiriki katika uwasilishaji wa sitiari. |
Kwa nini tunatumia sitiari kuwasilisha tungo za fasihi simulizi?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 25-27
Matini zilizo na sitiari Chati za sitiari Vifaa vya kidijitali KLB Top Scholar Kiswahili uk. 30-31 Diwani ya mashairi iliyoteuliwa Matini ya mwalimu |
Kutambua sitiari katika tungo za fasihi simulizi
Kueleza matumizi ya sitiari
Kutunga sitiari
Kutofautisha sitiari na tashbihi
|
|
| 5 | 1 |
Sarufi
|
Vihusishi Vilinganishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua vihusishi vilinganishi katika matini. Kutumia vihusishi vilinganishi ipasavyo katika matini. Kuchangamkia matumizi yafaayo ya vihusishi vilinganishi katika mawasiliano ya kila siku. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutambua vihusishi vilinganishi kama "kama", "sawa na", "mithili ya", "kupita", "kuliko" n.k. Kutambua vihusishi vilinganishi katika sentensi kama "Sungura alimchekelea Kobe na kumwambia, 'mimi ni mwepesi kuliko wewe.'" Kujaza nafasi katika sentensi kwa kutumia vihusishi vilinganishi. Kutunga sentensi akitumia vihusishi vilinganishi akizingatia utunzaji wa wanyama. |
Je, vihusishi vilinganishi na kihusishi 'na' huchangia vipi katika mawasiliano?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 36-37
Kadi za vihusishi vilinganishi Chati Vifaa vya kidijitali |
Kutambua vihusishi vilinganishi katika sentensi
Kujaza pengo kwa vihusishi vilinganishi
Kutunga sentensi zenye vihusishi vilinganishi
Kufanyiana tathmini
|
|
| 5 | 2 |
Kuandika
|
Insha za Kubuni - Masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua vipengele vya kufafanulia ujumbe wa insha ya masimulizi. Kufafanua ujumbe wa insha ya masimulizi kupitia kwa utangulizi, kiini na hitimisho. Kufafanua ujumbe wa insha ya masimulizi kupitia kwa wahusika. Kuandika insha ya masimulizi kwa kuzingatia ujumbe na muundo ufaao. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutambua vipengele vya kufafanulia ujumbe wa simulizi. Kusoma kielelezo cha insha ya masimulizi na kufafanua ujumbe kupitia kwa utangulizi, kiini na hitimisho. Kusoma kielelezo cha insha ya masimulizi kwenye matini za aina mbalimbali na kufafanua ujumbe kupitia kwa wahusika. Kujadili vigezo vya kutathmini insha ya masimulizi. |
Je, unafanya nini unaposimulia jambo ili ujumbe wako upate kueleweka zaidi?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 33-34
Mifano ya insha za masimulizi Picha Vifaa vya kidijitali |
Kutambua vipengele vya insha ya masimulizi
Kufafanua ujumbe wa insha kupitia utangulizi, kiini na hitimisho
Kuandika mwongozo wa kutunga insha ya masimulizi
|
|
| 5 | 3 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma |
Semi - Methali
Kusoma kwa Kina - Ushairi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kueleza maana ya methali ili kuipambanua na tungo zingine. Kutambua methali katika matini ya fasihi simulizi. Kueleza matumizi ya methali katika matini ya fasihi simulizi. Kuchangamkia matumizi ya methali katika tungo za fasihi simulizi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kueleza maana ya methali. Kutambua methali katika tungo simulizi, kapu la semi, au kifaa cha kidijitali. Kueleza matumizi ya methali katika tungo za fasihi simulizi. Kushiriki katika uwasilishaji wa methali. |
Kwa nini tunatumia methali kuwasilisha tungo za fasihi simulizi?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 27-29
Orodha ya methali Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu KLB Top Scholar Kiswahili uk. 31-32 Diwani ya mashairi iliyoteuliwa Chati ya sifa za ushairi |
Kutambua methali katika tungo za fasihi simulizi
Kueleza matumizi ya methali
Kutunga methali
Kutofautisha methali na semi zingine
|
|
| 5 | 4 |
Sarufi
|
Kihusishi 'na'
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua kihusishi 'na' katika matini. Kutumia kihusishi 'na' ipasavyo katika matini. Kuchangamkia kutumia kihusishi 'na' katika mawasiliano ya kila siku. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutambua kihusishi 'na' katika sentensi kama "Waliwaona simba wakifukuzana na swara." Kutambua kihusishi 'na' katika sentensi kwa kukipigia mstari. Kujaza pengo kwa kutumia kihusishi 'na' panapohitajika. Kutunga sentensi na vifungu kwa kutumia kihusishi 'na' ipasavyo kuhusu utunzaji wa wanyama. |
Je, kihusishi 'na' kinatofautianaje na vihusishi vingine?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 37-38
Kadi za sentensi zenye kihusishi 'na' Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu |
Kutambua kihusishi 'na' katika sentensi
Kutunga sentensi zenye kihusishi 'na'
Kujaza pengo kwa kihusishi 'na'
Kufanyiana tathmini
|
|
| 6 | 1 |
Kuandika
|
Insha za Kubuni - Masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua vipengele vya kufafanulia ujumbe wa insha ya masimulizi. Kufafanua ujumbe wa insha ya masimulizi kupitia kwa utangulizi, kiini na hitimisho. Kufafanua ujumbe wa insha ya masimulizi kupitia kwa wahusika. Kuandika insha ya masimulizi kwa kuzingatia ujumbe na muundo ufaao. Kufurahia kufafanua ujumbe wa insha ya kusimulia ili kufanikisha maelezo. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kuandika insha ya masimulizi kuhusu utunzaji wa wanyama daftarini mwake au katika kifaa cha kidijitali akizingatia ufafanuzi ufaao wa ujumbe kupitia kwa utangulizi, kiini, hitimisho na wahusika. Kuwasomea wenzake insha aliyoandika darasani au awasambazie kwenye vifaa vya kidijitali ili waitolee maoni. Kurekebisha insha yake kwa kuzingatia maoni ya wenzake. Kuwasilisha insha iliyorekebishwa kwa mwalimu kwa tathmini. |
Je, unafanya nini unaposimulia jambo ili ujumbe wako upate kueleweka zaidi?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 35
Vifaa vya kidijitali Mifano ya insha za masimulizi Matini ya mwalimu |
Kuandika insha ya masimulizi
Kufafanua ujumbe wa insha kupitia wahusika
Kurekebisha insha kulingana na maoni ya wenzake
Kuwasilisha insha iliyorekebishwa
|
|
| 6 | 2 |
UTUNZAJI WA MALIASILI
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Semi - Vitendawili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kueleza maana ya vitendawili; Kutambua vipengele vya uwasilishaji wa vitendawili; Kutambua vitendawili katika matini; Kuwasilisha vitendawili kwa kuzingatia vipengele vya uwasilishaji wake; Kuchangamkia matumizi ya vitendawili katika tungo za fasihi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutumia kamusi au mtandao salama kutafuta maana ya vitendawili; Kueleza maana ya vitendawili; Kutoa mfano wa kitendawili kutokana na maana aliyopata; Kutambua vipengele vya uwasilishaji wa vitendawili. |
Unazingatia nini unapowasilisha vitendawili?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 40
Kamusi Mtandao salama Kadi maneno KLB Top Scholar Kiswahili uk. 41 Picha Vifaa vya kidijitali |
Kutambua vitendawili;
Kueleza maana ya vitendawili;
Kuwasilisha vitendawili kwa kuzingatia vipengele vya uwasilishaji
|
|
| 6 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusoma kwa ufasaha; Kueleza vipengele vya kuzingatia katika kusoma kwa ufasaha; Kusoma kifungu cha nathari akizingatia matamshi bora; Kusoma kifungu cha nathari akizingatia kasi ifaayo; Kujenga mazoea ya kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusikiliza na kumtazama mwalimu akisoma kifungu; Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusoma kwa ufasaha; Kueleza vipengele alivyotambua kwa kuzingatia ubora wa matamshi, kasi ya usomaji, kiwango cha sauti na kuambatanisha ishara zifaazo. |
Unazingatia mambo gani unaposoma kwa ufasaha?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 44
Kifungu cha nathari Vifaa vya kidijitali |
Kutambua vipengele vya kusoma kwa ufasaha;
Kusoma kwa kuzingatia matamshi bora;
Kusoma kwa kasi ifaayo
|
|
| 6 | 4 |
Sarufi
|
Nyakati na Hali - -ki- ya masharti
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua -ki- ya masharti katika matini; Kueleza matumizi ya -ki- ya masharti; Kutumia -ki- ya masharti ipasavyo katika matini; Kujenga mazoea ya kutumia ipasavyo -ki- ya masharti ili kufanikisha mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Nakili sentensi zilizo na -ki- ya masharti; Tambua -ki- ya masharti katika sentensi kwa kuichorea mstari; Eleza maana inayojitokeza katika sentensi za -ki- ya masharti; Chagua sentensi zilizotumia -ki- ya masharti kati ya sentensi zilizotolewa. |
-ki- ya masharti hutumiwa wakati gani katika sentensi?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 50
Chati Matini yenye sentensi za -ki- ya masharti |
Kutambua -ki- ya masharti;
Kueleza matumizi ya -ki- ya masharti;
Kutunga sentensi akitumia -ki- ya masharti
|
|
| 7 |
Assessment |
||||||||
| 8 | 1 |
Sarufi
Kuandika |
Nyakati na Hali - -ki- ya masharti
Insha za Kubuni - Masimulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua -ki- ya masharti katika matini; Kutumia -ki- ya masharti ipasavyo katika matini; Kujenga mazoea ya kutumia ipasavyo -ki- ya masharti ili kufanikisha mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kuteua sentensi zenye -ki- ya masharti; Kubadilisha sentensi ambazo hazina -ki- ya masharti ziwe na -ki- ya masharti; Kutunga sentensi tano akitumia -ki- ya masharti. |
Je, ni tofauti gani kati ya -ki- ya masharti na -ki- ya wakati?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 51
Karatasi zenye sentensi Vifaa vya kidijitali KLB Top Scholar Kiswahili uk. 47 Kamusi Mtandao salama Insha ya mfano |
Kubadilisha sentensi ziwe na -ki- ya masharti;
Kutunga sentensi akitumia -ki- ya masharti;
Kufanya tathmini
|
|
| 8 |
Mid term break |
||||||||
| 8 | 3 |
Kuandika
|
Insha za Kubuni - Masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua wahusika katika insha ya masimulizi; Kujadili matendo ya wahusika katika insha ya masimulizi; Kujadili mandhari katika insha ya masimulizi; Kuandika insha ya masimulizi akizingatia lugha ya kitamathali, matendo ya wahusika na mandhari; Kufurahia kuandika insha za masimulizi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutafuta maana ya wahusika; Kusoma insha ya masimulizi; Kutambua wahusika katika insha ya masimulizi; Jadili matendo ya wahusika; Jadili mandhari katika insha aliyosoma. |
Unazingatia vipengele vipi unapoandika insha ya masimulizi?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 48
Insha ya mfano Picha Vifaa vya kidijitali |
Kutambua wahusika katika insha;
Kujadili matendo ya wahusika;
Kujadili mandhari katika insha
|
|
| 8 | 4 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Semi - Nahau
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kueleza maana ya nahau; Kutambua nahau katika matini; Kueleza maana za nahau; Kutumia nahau ipasavyo katika mawasiliano; Kuchangamkia matumizi ya nahau katika tungo za fasihi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutumia kamusi au mtandao salama kutafuta maana ya nahau; Kueleza maana ya nahau; Kutoa mfano wa nahau kutokana na maana aliyopata; Jadili maana za nahau mbalimbali. |
Nahau hutumiwa kwa nini katika mawasiliano?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 42
Kamusi Mtandao salama Kadi za nahau |
Kutambua nahau;
Kueleza maana za nahau;
Kutumia nahau ipasavyo katika sentensi
|
|
| 9 | 1 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma |
Semi - Nahau
Kusoma kwa Ufasaha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua umuhimu wa nahau katika fasihi simulizi; Kueleza umuhimu wa nahau katika fasihi simulizi; Kutumia nahau ipasavyo katika mawasiliano; Kuchangamkia matumizi ya nahau katika tungo za fasihi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusikiliza hadithi ya mwalimu iliyo na nahau; Kutambua nahau katika hadithi iliyosikilizwa; Kueleza maana za nahau zilizotambuliwa; Jadili umuhimu wa nahau zilizotambuliwa. |
Nahau huongeza ladha gani katika lugha?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 43
Hadithi ya sungura Kadi za nahau KLB Top Scholar Kiswahili uk. 45 Kifungu cha nathari Saa ya kidijitali |
Kutambua nahau;
Kueleza umuhimu wa nahau;
Kutumia nahau ipasavyo
|
|
| 9 | 2 |
Sarufi
|
Nyakati na Hali - -ka- ya kufuatana kwa vitendo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua -ka- ya kufuatana kwa vitendo katika matini; Kueleza matumizi ya -ka- ya kufuatana kwa vitendo; Kutumia -ka- ya kufuatana kwa vitendo ipasavyo katika matini; Kujenga mazoea ya kutumia ipasavyo -ka- ya kufuatana kwa vitendo ili kufanikisha mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma sentensi zenye -ka- ya kufuatana kwa vitendo; Kutambua sentensi zenye -ka- ya kufuatana kwa vitendo; Kutunga sentensi akitumia -ka- ya kufuatana kwa vitendo; Kusomea mwenzake sentensi alizozitunga. |
-ka- ya kufuatana kwa vitendo hutumiwa wakati gani katika sentensi?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 51
Karatasi zenye sentensi Kadi za maneno |
Kutambua -ka- ya kufuatana kwa vitendo;
Kutunga sentensi akitumia -ka- ya kufuatana kwa vitendo;
Kufanya tathmini
|
|
| 9 | 3 |
Kuandika
|
Insha za Kubuni - Masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kuandika insha ya masimulizi akizingatia lugha ya kitamathali, matendo ya wahusika na mandhari; Kufanya marekebisho ya insha ya masimulizi; Kufurahia kuandika insha za masimulizi akizingatia lugha ya kitamathali, matendo ya wahusika na uchoraji wa mandhari. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kuandika insha akisimulia yaliyotokea katika siku ya upandaji wa miti; Kushirikiana na wenzake kusahihisha insha aliyoandika; Kuandika nakala safi ya insha baada ya kuirekebisha; Kuwasomea wenzake nakala safi ya insha aliyoandika. |
Kwa nini uchoraji wa mandhari ni muhimu katika insha ya masimulizi?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 49
Orodha ya tathmini Karatasi za kuandikia |
Kuandika insha ya masimulizi;
Kutumia lugha ya kitamathali;
Kubainisha wahusika;
Kuchora mandhari
|
|
| 9 | 4 |
MITAZAMO HASI YA KIJINSIA
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma |
Ufahamu wa Kusikiliza
Kusoma kwa Ufahamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua vipengele vya ufahamu wa kusikiliza; Kueleza vipengele vya ufahamu wa kusikiliza; Kusikiliza na kujibu maswali ya ufahamu wa kusikiliza; Kuchangamkia kushiriki katika kusikiliza kwa ufahamu ili kukuza stadi ya kusikiliza. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutazama picha ya wanafunzi wanasikiliza runinga; Kueleza maana ya ufahamu wa kusikiliza kwa kuzingatia matendo katika picha; Jadili kanuni za ufahamu wa kusikiliza. |
Je, unazingatia nini wakati wa kusikiliza na kujibu mjadala?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 52
Picha Vifaa vya kidijitali KLB Top Scholar Kiswahili uk. 55 Kifungu cha ufahamu |
Kutambua kanuni za ufahamu wa kusikiliza;
Kusikiliza kwa makini;
Kujibu maswali ya ufahamu wa kusikiliza
|
|
| 10 | 1 |
Sarufi
|
Hali za Masharti - -nge-
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kueleza maana ya hali ya masharti; Kutambua matumizi ya hali ya masharti -nge-; Kutumia hali ya masharti -nge- ipasavyo katika matini; Kuchangamkia matumizi yafaayo ya hali ya masharti -nge- ili kukuza ufasaha wa lugha. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma sentensi zenye hali ya masharti -nge-; Kuchagua sentensi zinazoashiria matumizi ya hali ya masharti -nge-; Kutambua vitenzi ambavyo vinaonyesha hali ya masharti -nge-; Kueleza matumizi ya hali ya masharti -nge-. |
Je, unahitaji kufanya nini unapoonyesha hali ya masharti unatumia viambishi gani?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 60
Chati Kadi maneno Vifaa vya kidijitali |
Kutambua hali ya masharti -nge-;
Kutunga sentensi akitumia hali ya masharti -nge-;
Kujaza nafasi kwa kutumia -nge-
|
|
| 10 | 2 |
Sarufi
|
Hali za Masharti - -nge-
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua matumizi ya hali ya masharti -nge-; Kutumia hali ya masharti -nge- ipasavyo katika matini; Kuchangamkia matumizi yafaayo ya hali ya masharti -nge- ili kukuza ufasaha wa lugha. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutumia hali ya masharti -nge- kutunga sentensi tano; Kutunga kifungu cha aya moja kilicho na vitenzi vilivyo katika hali ya masharti -nge-; Kusoma kifungu alichoandika kwa wenzake. |
Ni tofauti gani kati ya hali ya masharti -nge- na -ngali-?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 61
Karatasi za kuandikia Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi akitumia hali ya masharti -nge-;
Kuandika kifungu cha aya kilicho na hali ya masharti -nge-;
Kusahihisha sentensi na vifungu vya wenzake
|
|
| 10 | 3 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza |
Insha za Kiuamilifu - Shajara
Ufahamu wa Kusikiliza |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kueleza maana ya shajara; Kujadili vipengele vya shajara; Kutambua vipengele vya shajara katika kielelezo; Kuchangamkia kuandika shajara ili kuweka kumbukumbu ya matukio muhimu. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma maandishi katika kijitabu; Kueleza maana ya shajara kutokana na maandishi aliyosoma; Kusoma tena insha ya shajara ya kibinafsi; Jadili vipengele vya shajara aliyosoma. |
Kwa nini watu hutumia shajara?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 57
Kijitabu cha shajara Mfano wa shajara KLB Top Scholar Kiswahili uk. 53 Kifaa cha kidijitali Kifungu cha ufahamu |
Kueleza maana ya shajara;
Kutambua vipengele vya shajara;
Kutunga sentensi za kibinafsi za kuweka katika shajara
|
|
| 10 | 4 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kufanya utabiri na ufasiri kutokana na kifungu cha ufahamu; Kueleza maana ya msamiati kulingana na kifungu cha ufahamu; Kutumia msamiati unaotokana na kifungu cha ufahamu ipasavyo; Kuchangamkia kujibu maswali ya ufahamu ili kukuza uelewa wa habari. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma tena kifungu cha ufahamu; Kufanya utabiri na ufasiri kuhusu nini kingetokea iwapo waajiri wasingebagua waajiriwa kwa misingi ya kijinsia; Kueleza maana ya msamiati uliotumika katika kifungu; Kutunga sentensi akitumia msamiati huo. |
Je, utawezaje kutambua msamiati uliopo katika kifungu cha ufahamu?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 56
Kamusi Chati Karatasi |
Kufanya utabiri na ufasiri;
Kueleza maana ya msamiati;
Kutunga sentensi akitumia msamiati
|
|
| 11 | 1 |
Sarufi
|
Hali za Masharti - -ngali-
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua matumizi ya hali ya masharti -ngali-; Kueleza matumizi ya hali ya masharti -ngali-; Kutumia hali ya masharti -ngali- ipasavyo katika matini; Kuchangamkia matumizi yafaayo ya hali ya masharti -ngali- ili kukuza ufasaha wa lugha. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma sentensi zenye hali ya masharti -ngali-; Kuchagua sentensi zinazoashiria matumizi ya hali ya masharti -ngali-; Kutambua vitenzi ambavyo vinaonyesha hali ya masharti -ngali-; Kueleza matumizi ya hali ya masharti -ngali-. |
Kiambishi -ngali- kinatofautianaje na -nge-?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 61
Chati Karatasi zenye sentensi |
Kutambua hali ya masharti -ngali-;
Kueleza matumizi ya hali ya masharti -ngali-;
Kutunga sentensi akitumia hali ya masharti -ngali-
|
|
| 11 | 2 |
Sarufi
Kuandika |
Hali za Masharti - -ngali-
Insha za Kiuamilifu - Shajara |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua matumizi ya hali ya masharti -ngali-; Kutumia hali ya masharti -ngali- ipasavyo katika matini; Kuchangamkia matumizi yafaayo ya hali ya masharti -ngali- ili kukuza ufasaha wa lugha. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kujaza nafasi kwa kutumia hali ya masharti -ngali-; Kutunga sentensi tano akitumia hali ya masharti -ngali-; Kutunga kifungu cha aya moja kilicho na vitenzi vilivyo katika hali ya masharti -ngali-. |
Je, ni wakati gani tunaweza kutumia hali ya masharti -ngali-?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 62
Karatasi za kuandikia Vifaa vya kidijitali KLB Top Scholar Kiswahili uk. 58 |
Kujaza nafasi kwa kutumia -ngali-;
Kutunga sentensi akitumia hali ya masharti -ngali-;
Kuandika kifungu cha aya kilicho na hali ya masharti -ngali-
|
|
| 11 | 3 |
USALAMA BARABARANI
Kusikiliza na Kuzungumza |
Kusikiliza kwa Kufasiri
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kueleza maana ya kusikiliza kwa kufasiri; Kueleza jinsi maneno, ishara na sauti zinasaidia katika kufasiri ujumbe; Kusikiliza na kufasiri ujumbe wa matini; Kujenga mazoea ya kutambua msimamo na mielekeo katika matini. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kueleza maana ya kusikiliza kwa kufasiri; Kueleza jinsi mambo kama maneno, ishara na kiwango cha sauti vinachangia katika kusikiliza na kufasiri ujumbe; Kutazama picha na kusikiliza kifungu. |
Ni misimamo gani iliyopo katika matini ulizowahi kuzisikiliza?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 63
Picha Vifaa vya kidijitali |
Kueleza maana ya kusikiliza kwa kufasiri;
Kueleza jinsi maneno, ishara na sauti zinachangia katika kufasiri ujumbe;
Kusikiliza na kufasiri ujumbe
|
|
| 11 | 4 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Kina - Ushairi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kueleza maana ya maudhui; Kutambua maudhui katika shairi; Kujadili maudhui katika shairi; Kuchambua shairi kwa kuzingatia maudhui; Kufurahia kuchambua mashairi kwa kuzingatia maudhui. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutumia kazi yoyote ya fasihi kueleza mambo yanayozungumziwa humo; Kutazama kitabu cha fasihi atakachoonyeshwa na mwalimu; Kueleza maana ya maudhui; Kutafiti mtandaoni salama maana ya maudhui katika kazi za fasihi. |
Je, shairi ulilowahi kusoma lilikuwa linazungumzia nini?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 65
Kitabu cha fasihi Vifaa vya kidijitali |
Kueleza maana ya maudhui;
Kutambua maudhui katika shairi;
Kujadili maudhui katika shairi
|
|
| 12 | 1 |
Sarufi
|
Vielezi vya Namna
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua vielezi vya namna katika matini; Kueleza maana ya vielezi vya namna; Kutumia vielezi vya namna ipasavyo katika matini; Kuchangamkia matumizi yafaayo ya vielezi vya namna katika matini mbalimbali. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma sentensi zenye vielezi vya namna; Kueleza maneno yaliyokolezwa rangi ni ya aina gani; Kutambua vielezi vya namna katika sentensi kwa kuvipigia mstari; Kutambua vielezi vya namna katika kifungu. |
Alama ya koloni hutumiwa wapi katika maandishi?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 70
Chati Karatasi zenye sentensi Kamusi KLB Top Scholar Kiswahili uk. 71 Kadi za vielezi vya namna Vifaa vya kidijitali |
Kutambua vielezi vya namna;
Kueleza maana ya vielezi vya namna;
Kutumia vielezi vya namna katika sentensi
|
|
| 12 | 2 |
Kuandika
|
Insha za Kubuni - Methali
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kueleza maana ya insha za methali; Kujadili vipengele vya insha ya methali; Kuandika insha ya methali kwa kuzingatia vipengele vya uandishi husika; Kufurahia kufasiri methali na kuziandikia insha zinazoafiki ili kujenga ubunifu. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma kielelezo cha insha ya methali; Kutambua tamathali iliyotumika katika anwani ya insha; Kueleza maana ya insha za methali kutokana na kielelezo; Jadili vipengele vya insha ya methali kutokana na kielelezo. |
Unahitaji kufanya nini unapoandika insha ya methali?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 68
Kielelezo cha insha ya methali Vifaa vya kidijitali |
Kueleza maana ya insha za methali;
Kutambua vipengele vya insha ya methali;
Kujadili vipengele vya insha ya methali
|
|
| 12 | 3 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Kusikiliza kwa Kufasiri
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kueleza msimamo na mielekeo kuhusu ujumbe wa matini; Kulinganisha misimamo na mielekeo ya ujumbe wa matini aliyosikiliza na ile ya jamii yake; Kujenga mazoea ya kutambua msimamo na mielekeo katika matini mbalimbali ili kupata maana ya ujumbe. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusikiliza kifungu na kutoa msimamo na mielekeo yake; Kutoa sababu za msimamo wake; Kulinganisha misimamo na mielekeo ya matini aliyosikiliza kuhusu usalama barabarani na ile ya jamii yake. |
Unaweza vipi kutambua msimamo wa mtu katika mazungumzo?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 64
Kifungu cha kusomewa Vifaa vya kidijitali |
Kueleza msimamo na mielekeo;
Kutoa sababu za msimamo wake;
Kulinganisha misimamo na mielekeo ya matini na ile ya jamii
|
|
| 12 | 4 |
Kusoma
Sarufi |
Kusoma kwa Kina - Ushairi
Vielezi vya Wakati |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kueleza maana ya dhamira; Kutambua dhamira katika shairi; Kujadili dhamira katika shairi; Kuchambua shairi kwa kuzingatia dhamira; Kufurahia kuchambua mashairi kwa kuzingatia dhamira. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma shairi "Ajali tuzilaani"; Kujadili maudhui katika shairi alilosoma; Kujadili dhamira katika shairi; Kuandika maudhui na dhamira katika daftari. |
Je, unavutiwa na nini unaposoma shairi?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 66
Shairi "Ajali tuzilaani" Chati KLB Top Scholar Kiswahili uk. 72 Matini yenye vielezi vya wakati Vifaa vya kidijitali |
Kueleza maana ya dhamira;
Kutambua dhamira katika shairi;
Kujadili dhamira katika shairi
|
|
| 13 | 1 |
Sarufi
|
Vielezi vya Wakati
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kutambua aina mbalimbali za vielezi vya wakati; Kueleza aina mbalimbali za vielezi vya wakati; Kutumia vielezi vya wakati ipasavyo katika matini; Kuchangamkia matumizi yafaayo ya vielezi vya wakati katika matini mbalimbali. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutambua aina za vielezi vya wakati kama nyakati za siku, siku za wiki, miezi ya mwaka, siku mbalimbali, miaka na wakati usio dhahiri; Kutunga sentensi na vifungu vifupi kwa kutumia vielezi vya wakati; Kuandika kifungu cha aya moja akitumia vielezi vya wakati angalau vitano. |
Je, tofauti kati ya vielezi vya namna na vya wakati ni ipi?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 73
Kadi za vielezi vya wakati Vifaa vya kidijitali |
Kutambua aina za vielezi vya wakati;
Kutunga sentensi akitumia vielezi vya wakati;
Kuandika kifungu akitumia vielezi vya wakati
|
|
| 13 | 2 |
Kuandika
|
Insha za Kubuni - Methali
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, Kuandika insha ya methali kwa kuzingatia vipengele vya uandishi husika; Kufanya marekebisho ya insha ya methali; Kufurahia kufasiri methali na kuziandikia insha zinazoafiki ili kujenga ubunifu. |
Mwanafunzi aelekezwe:
Kuchagua methali moja kuhusu usalama barabarani kati ya methali zilizopendekezwa; Kuandaa vidokezo vya kuandikia insha ya methali; Kuandika insha ya methali; Kusoma na mwenzako insha ya methali aliyoandika. |
Je, kwa nini mwanafunzi anahitaji kujua vipengele vya insha ya methali?
|
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 69
Jedwali la tathmini Karatasi za kuandikia |
Kuandika insha ya methali;
Kufafanua ujumbe wa insha;
Kusahihisha insha
|
|
Your Name Comes Here