If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 1 | 1 |
AFYA YA AKILI
Kusikiliza na Kuzungumza |
Mazungumzo ya Kimuktadha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua miktadha rasmi na isiyo rasmi katika mawasiliano ili kuitofautisha, - kutumia lugha katika miktadha rasmi na isiyo rasmi ili kufanikisha mawasiliano, - Kuchangamkia matumizi ya lugha katika miktadha rasmi na isiyo rasmi kuimarisha maadili yafaayo. |
- Kutambua miktadha mbalimbali kunakotumiwa lugha rasmi na isiyo rasmi
-Kusikiliza mazungumzo rasmi na yasiyo rasmi kwenye vyombo vya kidijitali |
1. Ni wapi katika shughuli zetu za kila siku tunaitumia lugha rasmi na isiyo rasmi?
-2. Ni nini kinachofanya mazungumzo yawe rasmi au yasiyo rasmi
|
- Mentor kiswahili
i Gredi ya Sita uk. 161 -Vifaa vya kidijitali (video, rununu, runinga, tarakilishi) |
- Kutambua miktadha rasmi na isiyo rasmi
-Kueleza tofauti kati ya mazungumzo rasmi na yasiyo rasmi
|
|
| 1 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Mapana
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua aina mbalimbali za matini ili kuchagua inayomvutia, - kusoma matini aliyochagua ili kufaidika na ujumbe na lugha iliyotumiwa, - kufurahia usomaji wa aina mbalimbali za matini ili kupanua mawazo yake |
- Kutambua matini zinazomvutia maktabani na mtandaoni
-Kusoma matini alizochagua ili kufaidi ujumbe na lugha iliyotumiwa |
1. Ni habari zipi unazopenda kusoma kwenye matini?
-2. Unazingatia nini unapochagua matini za kusoma?
|
- Mentor kiswahili
i Gredi ya Sita uk. 167 -Vitabu vya hadithi -Magazeti -Majarida -Tarakilishi |
- Kutambua matini zinazomvutia
-Kusoma matini aliyochagua
|
|
| 1 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Mapana
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua aina mbalimbali za matini ili kuchagua inayomvutia, - kusoma matini aliyochagua ili kufaidika na ujumbe na lugha iliyotumiwa, - kufurahia usomaji wa aina mbalimbali za matini ili kupanua mawazo yake |
- Kutoa wenzake muhtasari wa kile alichosoma kwenye matini
-Kujadiliana na wenzake matini ambazo wamesoma |
1. Ni habari zipi unazopenda kusoma kwenye matini?
-2. Unazingatia nini unapochagua matini za kusoma?
|
- Mentor kiswahili
i Gredi ya Sita uk. 167 -Vitabu vya hadithi -Magazeti -Majarida -Tarakilishi |
- Kutoa muhtasari wa matini aliyosoma
-Kujibu maswali kuhusu matini aliyosoma
|
|
| 1 | 4 |
Sarufi
|
Vinyume vya Vivumishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua vinyume vya vivumishi katika matini, - kutunga sentensi kwa kutumia vinyume vya vivumishi, - kuchangamkia matumizi ya vinyume vya vivumishi katika mawasiliano ya kila siku. |
- Kutambua vinyume vya vivumishi
-Kutafuta vinyume vya vivumishi kwa kurejelea orodha ya vivumishi alivyopewa -Kutalii mazingira yake na kuunda orodha ya vinyume vya vivumishi |
Je, ni vivumishi vipi unavyoweza kutambua vinyume vyake?
|
- Mentor kiswahili
i Gredi ya Sita uk. 171 -Chati -Kadi za maneno -Kapu la maneno -Mti wa maneno -Tarakilishi |
- Kutambua vinyume vya vivumishi
-Kuchagua vinyume vya vivumishi
|
|
| 2 | 1 |
Kuandika
|
Insha za Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kueleza maudhui ya insha ya maelezo kwa kuzingatia mada, - kuandika insha ya maelezo kwa kufuata kanuni zifaazo ili kufanikisha, mawasiliano, - kuchangamkia utunzi mzuri wenye mapambo ya lugha. |
- Kukuza uwazaji kina na utatuzi wa matatizo kwa kueleza maudhui kutokana na mada ya insha ya maelezo
-Kujadili mada ya insha na muundo wa insha ya maelezo |
Je, ni mada gani
|
- Mentor kiswahili
i Gredi ya Sita uk. 168 -Kielelezo cha insha ya maelezo -Tarakilishi/vipakatalishi |
- Kujadili vipengele vya insha ya maelezo
-Kuandika vidokezo vya insha ya maelezo
|
|
| 2 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Mazungumzo ya Kimuktadha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua miktadha rasmi na isiyo rasmi katika mawasiliano ili kuitofautisha, - kutumia lugha katika miktadha rasmi na isiyo rasmi ili kufanikisha mawasiliano, - Kuchangamkia matumizi ya lugha katika miktadha rasmi na isiyo rasmi kuimarisha maadili yafaayo. |
- Kushiriki katika maigizo ya mazungumzo ya miktadha rasmi na yasiyo rasmi
-Kushiriki katika mazungumzo rasmi na yasiyo rasmi nje ya darasa -Kutambua nidhamu ya lugha inayozingatiwa katika mazingira rasmi |
1. Ni wapi katika shughuli zetu za kila siku tunaitumia lugha rasmi na isiyo rasmi?
-2. Ni nini kinachofanya mazungumzo yawe rasmi au yasiyo rasmi
|
- Mentor kiswahili
i Gredi ya Sita uk. 161 -Vifaa vya kidijitali (video, rununu, runinga, tarakilishi) |
- Maigizo
-Ushiriki katika mazungumzo
|
|
| 2 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Mapana
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua aina mbalimbali za matini ili kuchagua inayomvutia, - kusoma matini aliyochagua ili kufaidika na ujumbe na lugha iliyotumiwa, - kufurahia usomaji wa aina mbalimbali za matini ili kupanua mawazo yake |
- Kutambua matini zinazomvutia maktabani na mtandaoni kuhusu afya ya akili
-Kusoma matini alizochagua ili kufaidi ujumbe na lugha iliyotumiwa |
-Ni habari zipi unazopenda kusoma kwenye matini?
-Unazingatia nini unapochagua matini za kusoma?
|
- Mentor kiswahili
i Gredi ya Sita uk. 167 -Vitabu vya hadithi -Magazeti -Majarida -Tarakilishi |
- Kutambua matini zinazomvutia
-Kusoma matini aliyochagua
|
|
| 2 | 4 |
Sarufi
|
Vinyume vya Vivumishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua vinyume vya vivumishi katika matini, - kutunga sentensi kwa kutumia vinyume vya vivumishi, - kuchangamkia matumizi ya vinyume vya vivumishi katika mawasiliano ya kila siku. |
- Kutunga sentensi kwa kutumia vinyume vya vivumishi kwa kuzingatia upatanisho wa kisarufi
-Kubadilisha sentensi kwa kutumia vinyume vya vivumishi |
Je, ni vivumishi vipi unavyoweza kutambua vinyume vyake?
|
- Mentor kiswahili
i Gredi ya Sita uk. 171 -Chati -Kadi za maneno -Kapu la maneno -Mti wa maneno -Tarakilishi |
- Kutunga sentensi kwa kutumia vinyume vya vivumishi
-Kubadilisha sentensi kwa kutumia vinyume vya vivumishi
|
|
| 3 | 1 |
Kuandika
|
Insha za Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kueleza maudhui ya insha ya maelezo kwa kuzingatia mada, - kuandika insha ya maelezo kwa kufuata kanuni zifaazo ili kufanikisha, mawasiliano, - kuchangamkia utunzi mzuri wenye mapambo ya lugha. |
- Kuandika insha ya maelezo akitumia vivumishi na vielezi vifaavyo
-Kuwawasilishia wenzake insha aliyoandika ili waitathmini |
Je, ni mada gani
|
- Mentor kiswahili
i Gredi ya Sita uk. 168 -Kielelezo cha insha ya maelezo -Tarakilishi/vipakatalishi |
- Insha ya maelezo
-Tathmini rika
|
|
| 3 | 2 |
KUKABILIANA NA UGAIDI
Kusikiliza na Kuzungumza |
Sitiari za Tabia
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kujadili dhana ya sitiari ili kuitofautisha na dhana zingine za lugha -kutambua sitiari za tabia katika matini mbalimbali ili kuzibainisha -kutumia sitiari za tabia kwa usahihi katika sentensi ili kuimarisha mawasiliano |
- Kujadili na wenzake maana ya sitiari
-Kutambua sitiari za tabia (k.v. yeye ni sungura, yeye ni fisi, yeye ni kasuku, mimi ni kobe safarini) katika vitabu, matini, chati na vyombo vya kidijitali -Kutoa mifano ya sitiari za tabia akisaidiana na mwenzake -Kueleza maana ya sitiari mbalimbali -Kutumia sitiari katika sentensi |
Ni maneno gani unayoweza kutumia kulinganisha kitu na kingine kwa njia ya moja kwa moja?
|
Mentor Kiswahili
-Ukurasa 176 -Picha -Chati -Tarakilishi |
- Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano
-Kujibu maswali
-Kutambua sitiari za tabia
|
|
| 3 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Mapana
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua na kufungua faili iliyo na kifungu cha kusoma ili kuimarisha umilisi wake wa kutumia tarakilishi -kuonyesha uelewa wa hatua za kiusalama kwa kusakura matini kwenye tovuti salama |
- Kutambua mambo ya kuzingatia anaposoma matini zilizohifadhiwa katika kifaa cha kidijitali
-Kutambua mambo ya kuzingatia anaposoma matini za mtandaoni -Kutambua jina la faili lengwa kwenye tarakilishi na kufanya mazoezi ya kufungua na kufunga -Kutambua mitandao salama yenye matini inayoafiki kiwango na mahitaji yake |
Unakumbuka habari gani uliyoisoma mtandaoni?
|
Mentor Kiswahili
-Ukurasa 180 -Tarakilishi -Mtandao -Projekta |
- Kujibu maswali
-Kutoa muhtasari wa matini zilizosomwa
|
|
| 3 | 4 |
Sarufi
|
Hali ya Masharti
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua viambishi vya hali ya masharti kwenye kitenzi -kutumia vitenzi katika hali ya masharti kwenye sentensi |
- Kutambua viambishi vya hali ya masharti (nge, ngali, ki) kwenye vitenzi katika chati, ubao au kwa kutumia vifaa vya kidijitali
-Kutumia vitenzi vya hali ya masharti katika sentensi kwa kuandika daftarini au kupiga chapa kwenye tarakilishi/kipakatalishi |
Je, unajua viambishi vipi?
|
Mentor Kiswahili
-Ukurasa 185 -Chati -Tarakilishi -Mti wa maneno |
- Kutambua viambishi vya hali ya masharti
-Kuambatanisha maneno lengwa
-Kujaza mapengo
|
|
| 4 | 1 |
Sarufi
|
Hali ya Masharti
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua viambishi vya hali ya masharti kwenye kitenzi -kutumia vitenzi katika hali ya masharti kwenye sentensi |
- Kubadilisha sentensi kutoka hali moja hadi nyingine
-Kutunga sentensi katika hali ya mazoea na hali ya masharti mtandaoni na kuwatumia wenzake waweze kuzisoma na kutathmini usahihi wake |
Je, unajua viambishi vipi?
|
Mentor Kiswahili
-Ukurasa 185 -Chati -Tarakilishi -Mti wa maneno |
- Kutambua viambishi vya hali ya masharti
-Kuambatanisha maneno lengwa
-Kujaza mapengo
|
|
| 4 | 2 |
Kuandika
|
Insha za Masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maudhui ya insha ya masimulizi ili kuandika ifaavyo -kuandika insha ya masimulizi kwa kufuata kanuni zifaazo |
- Kutambua insha ya masimulizi kwa kurejelea vielelezo vya insha zilizoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi
-Kujadili mada na vidokezo vya insha ili kuvitumia katika kuandika insha yake -Kuelezea maudhui atakayotumia kuandikia insha ya masimulizi |
Insha ya masimulizi ina sifa gani?
|
Mentor Kiswahili
-Ukurasa 182 -Kielelezo cha insha za masimulizi -Tarakilishi |
- Kuandika tungo mbalimbali
-Wanafunzi kufanyiana tathmini
|
|
| 4 | 3 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Sitiari za Tabia
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kujadili dhana ya sitiari ili kuitofautisha na dhana zingine za lugha -kutambua sitiari za tabia katika matini mbalimbali ili kuzibainisha -kutumia sitiari za tabia kwa usahihi katika sentensi ili kuimarisha mawasiliano -kufurahia matumizi ya sitiari katika mawasiliano ya kila siku |
- Kujadili na wenzake maana ya sitiari
-Kutambua sitiari za tabia (k.v. yeye ni sungura, yeye ni fisi, yeye ni kasuku, mimi ni kobe safarini) katika vitabu, matini, chati na vyombo vya kidijitali -Kutoa mifano ya sitiari za tabia akisaidiana na mwenzake -Kueleza maana ya sitiari mbalimbali -Kutumia sitiari katika sentensi |
Ni maneno gani unayoweza kutumia kulinganisha kitu na kingine kwa njia ya moja kwa moja?
|
Mentor Kiswahili
-Ukurasa 176 -Picha -Chati -Tarakilishi |
- Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano
-Kujibu maswali
-Kutambua sitiari za tabia
|
|
| 4 | 4 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Mapana
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua na kufungua faili iliyo na kifungu cha kusoma ili kuimarisha umilisi wake wa kutumia tarakilishi -kuonyesha uelewa wa hatua za kiusalama kwa kusakura matini kwenye tovuti salama -kuchangamkia matumizi ya vifaa vya kidijitali katika kutafuta na kusoma ujumbe ili kuimarisha maarifa yake |
- Kutambua umuhimu wa kutoa habari kwa mwalimu, mzazi au mlezi wake endapo atapata ujumbe kutoka kwa watu asiowajua mtandaoni na kutowasiliana nao
-Kutafuta maana za maneno mapya kwenye kamusi mtandaoni -Kusimulia wenzake habari alizosoma |
Ni hatua gani za kiusalama unazozingatia unapotafuta habari mtandaoni?
|
Mentor Kiswahili
-Ukurasa 180 -Tarakilishi -Mtandao -Projekta |
- Kujibu maswali
-Kutoa muhtasari wa matini zilizosomwa
|
|
| 5 | 1 |
Sarufi
|
Hali ya Masharti
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua viambishi vya hali ya masharti kwenye kitenzi -kutumia vitenzi katika hali ya masharti kwenye sentensi -kufurahia matumizi ya hali ya masharti katika mawasiliano |
- Kutambua viambishi vya hali ya masharti (nge, ngali, ki) kwenye vitenzi katika chati, ubao au kwa kutumia vifaa vya kidijitali
-Kutumia vitenzi vya hali ya masharti katika sentensi kwa kuandika daftarini au kupiga chapa kwenye tarakilishi/kipakatalishi -Kubadilisha sentensi kutoka hali moja hadi nyingine -Kutunga sentensi katika hali ya mazoea na hali ya masharti |
Je, unajua viambishi vipi?
|
Mentor Kiswahili
-Ukurasa 189 -Chati -Tarakilishi -Mti wa maneno |
- Kutambua viambishi vya hali ya masharti
-Kuambatanisha maneno lengwa
-Kujaza mapengo
|
|
| 5 | 2 |
Kuandika
|
Insha za Masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maudhui ya insha ya masimulizi ili kuandika ifaavyo -kuandika insha ya masimulizi kwa kufuata kanuni zifaazo -kuchangamkia utunzi mzuri ili kuimarisha mawasiliano |
- Kuandika insha ya masimulizi (k.v. kuhusu ugaidi, uhalifu, ajali, safari n.k) isiyopungua maneno 200 akizingatia mada, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka, lugha ya kiubunifu na urefu unaotarajiwa
-Kuandika insha ya masimulizi katika vifaa vya kidijitali na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu -Kuwawasilishia wenzake insha aliyoandika ili waitathmini na kumwelekeza |
Insha ya masimulizi ina sifa gani?
|
Mentor Kiswahili
-Ukurasa 182 -Kielelezo cha insha za masimulizi -Tarakilishi |
- Kuandika tungo mbalimbali
-Wanafunzi kufanyiana tathmini
|
|
| 5 | 3 |

| 5 | 4 |
USHURU
Kusikiliza na Kuzungumza |
Kuzungumza na Kujieleza kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
ndogo -kubuni na kusimulia kisa mbele ya wenzake akizingatia mada lengwa -kutumia ishara zifaazo kuimarisha masimulizi yake |
- Kujadiliana na wenzake kuhusu mada mbalimbali ambazo huweza kusimuliwa kuhusiana na mambo na hali za maisha
-Kusikiliza kisa cha kisimulizi kuhusu mada lengwa kutoka kwa mgeni mwalikwa, tepurekoda, video na tarakilishi ili kupata sifa za usimulizi mzuri |
Masimulizi kuhusu ushuru yana umuhimu gani?
|
Mentor Kiswahili
-Ukurasa 193 -Mgeni mwalikwa -Tepurekoda -Tarakilishi -Video |
- Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano
-Maigizo
-Mijadala
|
|
| 6 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusoma kwa ufasaha -kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora -kusoma kifungu kwa kasi ifaayo |
- Kujadiliana na wenzake vipengele vya kuzingatia katika kusoma makala kwa ufasaha
-Kusoma kifungu kuhusu suala lengwa katika matini andishi au ya kidijitali akizingatia matamshi bora -Kusoma kifungu cha habari kwa kasi ifaayo kuhusu suala lengwa |
Je, kusoma kwa ufasaha kuna umuhimu gani?
|
Mentor Kiswahili
-Ukurasa 195 -Tarakilishi -Mtandao -Kifungu cha kusoma |
- Kusoma kwa sauti
-Kujibu maswali
-Kutoa muhtasari wa matini zilizosomwa
|
|
| 6 | 2 |
Sarufi
|
Ukanushaji wa Maneno
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua viambishi vya hali ya masharti katika sentensi -kukanusha viambishi vya hali ya masharti katika sentensi |
- Kutambua viambishi vya hali ya masharti (nge, ngali, ki) katika vitenzi kwa kuvipigia mistari kwenye vitabu au kuvikolezea wino kwenye tarakilishi
-Kutambua viambishi vya hali ya masharti katika hali kanushi (k.v. singe, singali, sipo) |
Viambishi vya hali ya masharti katika vitenzi ni vipi?
|
Mentor Kiswahili
-Ukurasa 202 -Chati -Tarakilishi -Mti wa maneno |
- Kutambua viambishi vya hali ya masharti
-Kuambatanisha maneno lengwa
-Kujaza mapengo
|
|
| 6 | 3 |
Sarufi
|
Ukanushaji wa Maneno
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua viambishi vya hali ya masharti katika sentensi -kukanusha viambishi vya hali ya masharti katika sentensi |
- Kusoma sentensi zenye viambishi lengwa kwenye vitabu au tarakilishi katika hali yakinishi na kanushi
-Kukanusha maneno na sentensi akizingatia hali ya masharti kwenye daftari au kwa kutumia tarakilishi |
Viambishi vya hali ya masharti katika ukanushaji ni vipi?
|
Mentor Kiswahili
-Ukurasa 202 -Chati -Tarakilishi -Mti wa maneno |
- Kutambua viambishi vya hali ya masharti
-Kuambatanisha maneno lengwa
-Kujaza mapengo
|
|
| 6 | 4 |
Sarufi
|
Ukanushaji wa Maneno
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua viambishi vya hali ya masharti katika sentensi -kukanusha viambishi vya hali ya masharti katika sentensi -kufurahia ukanushaji wa viambishi hali ya masharti katika sentensi |
- Kutunga sentensi sahihi zenye viambishi vya hali ya masharti na kuzikanusha
-Kusikiliza au kutazama vipindi vya ukanushaji wa hali ya masharti kupitia vifaa vya kidijitali |
Viambishi vya hali ya masharti katika ukanushaji ni vipi?
|
Mentor Kiswahili
-Ukurasa 202 -Chati -Tarakilishi -Mti wa maneno |
- Kutambua viambishi vya hali ya masharti
-Kuambatanisha maneno lengwa
-Kujaza mapengo
|
|
| 7 | 1 |
Sarufi
|
Ukubwa na Udogo wa Nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua nomino zinazoanza kwa kiambishi Ki- katika kundi la maneno -kubadilisha nomino, zinazoanza kwa Ki- katika hali wastani kuwa katika hali ya ukubwa na udogo |
- Kutambua nomino zinazoanza kwa kiambishi Ki- (k.v. kiti, kitabu, kitanda) kwa kutumia kadi za maneno, mti wa maneno, chati au vifaa vya kidijitali
-Kushiriki kwenye mjadala wa kutambua viambishi vinavyotumika kudhihirisha ukubwa na udogo wa nomino |
Je, ni nomino gani zinazoanza kwa kiambishi Ki-unazozijua?
|
Mentor Kiswahili
-Ukurasa 207 -Kadi za maneno -Mti wa maneno -Chati -Tarakilishi |
- Kutambua nomino
-Kuambatanisha maneno lengwa
-Kujaza mapengo
|
|
| 7 | 2 |

| 7 | 3 |
Kuandika
|
Barua Rasmi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kujadili maudhui ili kuandika barua rasmi inayozingatia mada -kuandika barua rasmi inayozingatia mada, hati safi, muundo na mtindo ufaaoili kuwasiliana ipasavyo |
- Kutambua mada ya kuandikia barua rasmi
-Kujadili na wenzake maudhui yafaayo kulingana na mada ya insha ya barua rasmi -Kuandika vidokezo vya kumwongoza -Kujadili na wenzake vipengele vya aya |
Uandishi wa barua rasmi huzingatia vipengele gani?
|
Mentor Kiswahili
-Ukurasa 199 -Kielelezo cha barua rasmi -Tarakilishi |
- Kuandika tungo mbalimbali
-Wanafunzi kufanyiana tathmini
-Potfolio
|
|
| 7 | 4 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Kuzungumza na Kujieleza kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
ndogo -kubuni na kusimulia kisa mbele ya wenzake akizingatia mada lengwa -kutumia ishara zifaazo kuimarisha masimulizi yake -kufurahia usimulizi wa visa mbalimbali kuhusu maisha |
- Kusimulia kisa kuhusiana na mada fulani akizingatia mtiririko wa mawazo, mfuatano wa matukio, kanuni za kisarufi, kupanda na kushuka kwa sauti, ishara za uso, viziada lugha, tasfida, na wakati ili kuufanya utungo wake uvutie
-Kuuliza na kujibu maswali kutokana na visa vilivyosimuliwa darasani |
Masimulizi kuhusu ushuru yana umuhimu gani?
|
Mentor Kiswahili
-Ukurasa 193 -Mgeni mwalikwa -Tepurekoda -Tarakilishi -Video |
- Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano
-Maigizo
-Mijadala
|
|
| 8 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kifungu kwa kutumia sauti ipasavyo -kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo -kuchangamkia kusoma kifungu kwa kuzingatia vipengele vya usomaji |
- Kusoma kifungu akizingatia sauti ifaayo (k.v. kiwango cha sauti na kiimbo)
-Kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo panapofaa (k.v. ishara za uso na mikono zinazozingatia tamaduni) -Kushirikiana na mzazi au mlezi kusoma makala akizingatia vipengele vya usomaji bora |
Je, kusoma kwa ufasaha kuna umuhimu gani?
|
Mentor Kiswahili
-Ukurasa 195 -Tarakilishi -Mtandao -Kifungu cha kusoma |
- Kusoma kwa sauti
-Kujibu maswali
-Kutoa muhtasari wa matini zilizosomwa
|
|
| 8 | 2 |
Sarufi
|
Ukubwa na Udogo wa Nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kubadilisha nomino, zinazoanza kwa Ki- katika hali wastani kuwa katika hali ya ukubwa na udogo -kutunga sentensi sahihi akitumia nomino zinazoanza kwa Ki- katika hali ya ukubwa na udogo huku akizingatia upatanisho wa kisarufi -kufurahia kutumia nomino zinazoanza kwa Ki- kwa usahihi katika hali ya ukubwa na udogo ili kuimarisha mawasiliano |
- Kushiriki katika vikundi kubadilisha nomino kutoka hali ya wastani hadi hali ya ukubwa na udogo
-Kushiriki katika mchezo wa vikundi ambapo kikundi kimoja kitataja wastani wa nomino na kingine kutaja ukubwa na udogo wa nomino hiyo -Kutunga sentensi kwa kutumia nomino hizo katika hali ya ukubwa na udogo kwa kuzingatia upatanisho wa kisarufi |
Je, ni nomino gani zinazoanza kwa kiambishi Ki-unazozijua?
|
Mentor Kiswahili
-Ukurasa 207 -Kadi za maneno -Mti wa maneno -Chati -Tarakilishi |
- Kutambua nomino
-Kuambatanisha maneno lengwa
-Kujaza mapengo
|
|
| 8 | 3 |

| 8 | 4 |
Sarufi
|
Ukubwa na Udogo wa Nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua nomino zinazoanza kwa kiambishi Ji- ili kuzibainisha -kubadilisha nomino zinazoanza kwa kiambishi Ji- katika hali wastani kuwa katika hali ya ukubwa na udogo |
- Kutaja nomino zinazoanza kwa kiambishi ji- katika hali ya ukubwa na udogo kwa kutumia kadi za maneno, mti wa maneno, chati au vifaa vya kidijitali k.v. jani (jijani - kijani), jiko (jijiko - kijijiko)
-Kushiriki kwenye mjadala wa kutambua viambishi vinavyotumika kudhihirisha ukubwa na udogo wa nomino zinazoanza kwa kiambishi Ji- |
Je, ni nomino gani zinazoanza kwa kiambishi ji-unazozijua?
|
Mentor Kiswahili
-Ukurasa 212 -Kadi za maneno -Mti wa maneno -Chati -Tarakilishi |
- Kutambua nomino
-Kuambatanisha maneno lengwa
-Kujaza mapengo
|
|
| 9 | 1 |
Sarufi
|
Ukubwa na Udogo wa Nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kubadilisha nomino zinazoanza kwa kiambishi Ji- katika hali wastani kuwa katika hali ya ukubwa na udogo -kutunga sentensi sahihi akitumia nomino zinazoanza kwa kiambishi Ji- katika hali ya ukubwa na udogo huku akizingatia upatanisho wa kisarufi -kufurahia kutumia nomino zinazoanza kwa kiambishi Ji- kwa usahihi katika hali ya ukubwa na udogo ili kuimarisha mawasiliano |
- Kubadilisha nomino kutoka hali ya wastani hadi hali ya ukubwa na udogo
-Kutunga sentensi kwa kutumia nomino hizo katika hali ya ukubwa na udogo kwa kuzingatia upatanisho wa kisarufi |

| 9 | 2 |

| 9 | 3 |

| 9 | 4 |
Kuandika
|
Barua Rasmi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kujadili maudhui ili kuandika barua rasmi inayozingatia mada -kuandika barua rasmi inayozingatia mada, hati safi, muundo na mtindo ufaaoili kuwasiliana ipasavyo -kuchangamkia utunzi wa barua rasmi katika mawasiliano |
- Kuandika barua rasmi kwa mwalimu daftarini kuomba msamaha na kuiwasilisha kila hoja katika aya yake
-Kutumia sentensi inayobeba wazo kuu mwanzoni mwa kila aya -Kuandika kwa hati safi au kwa kutumia tarakilishi huku akizingatia kanuni zifaazo -Kujadiliana na wenzake kuhusu umuhimu wa barua rasmi katika mawasiliano |
Unazingatia nini ili kuunda aya nzuri?
|
Mentor Kiswahili
-Ukurasa 199 -Kielelezo cha barua rasmi -Tarakilishi |
- Kuandika tungo mbalimbali
-Wanafunzi kufanyiana tathmini
-Potfolio
|
Your Name Comes Here