Home






MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA TISA
MWAKA WA 2026
MUHULA WA I

School


To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.




To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.












Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)


WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
1 2
USAFI WA MAZINGIRA

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kujibu - Mjadala
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusikiliza mjadala
- Kushiriki mjadala kwa kuzingatia vipengele vifaavyo
- Kuchangamkia kushiriki katika mijadala ya miktadha mbalimbali
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama mchoro wa wanafunzi wakishiriki mjadala na kujadiliana na mwenzake kuhusu shughuli inayofanywa
- Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusikiliza mjadala akishirikiana na wenzake
- Kujadili vipengele hivyo na wenzake katika kikundi
Je, mtu anafaa kuzingatia nini anaposikiliza mjadala?
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 1
- Vifaa vya kidijitali
- Chati
- Michoro
Kutambua vipengele vya mjadala - Kuuliza na kujibu maswali - Orodha hakiki
1 3-4
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Kusikiliza na Kujibu - Mjadala
Kusoma kwa Ufahamu - Kifungu cha Simulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kuchangia mjadala
- Kushiriki mjadala kwa kuzingatia vipengele vifaavyo vya kuchangia
- Kuthamini matumizi ya lugha ya adabu na heshima katika mjadala
Mwisho wa funzo,
- Kutambua habari mahususi katika kifungu cha simulizi
- Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha simulizi
- Kuchangamkia kujibu maswali ya ufahamu ili kukuza uelewa wa habari
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua vipengele vya kuchangia mjadala akishirikiana na wenzake
- Kushiriki mjadala kuhusu suala lengwa akizingatia vipengele vifaavyo vya mjadala
- Kuwasilisha majibu darasani ili wenzake wayatolee maoni
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha inayohusiana na usafi wa mazingira na kujadiliana na mwenzake
- Kusoma kifungu cha simulizi kuhusu suala lengwa
- Kutambua na kudondoa habari muhimu katika kifungu akishirikiana na wenzake
Je, unazingatia nini wakati wa kuchangia mjadala?
Je, unafanya nini ili kupata habari zilizo katika kifungu simulizi kwa usahihi?
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 2
- Chati ya vipengele vya mjadala
- Karatasi za kuandikia hoja
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 5
- Picha
- Michoro
- Vifaa vya kidijitali
Kushiriki mjadala - Matamshi bora ya maneno - Utetezi wa hoja kwa lugha ya adabu - Kutumia lugha ya ushawishi
Kusoma kwa kutambua habari mahususi - Kujibu maswali - Kupanga matukio kwa mtiririko sahihi
2 1
Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu - Kifungu cha Simulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya msamiati kama ulivyotumiwa katika kifungu cha simulizi
- Kufanya utabiri na ufasiri kutokana na kifungu cha simulizi
- Kufurahia kutumia msamiati mpya katika kutunga sentensi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutabiri na kufasiri habari kutokana na kifungu cha simulizi
- Kutambua na kuorodhesha msamiati wa suala lengwa akishirikiana na wenzake
- Kueleza maana za msamiati na nahau kutoka kwenye kifungu
- Kutunga sentensi akitumia msamiati huo kwa usahihi
Je, utawezaje kutambua msamiati uliopo katika kifungu simulizi?
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 8
- Chati
- Kamusi
- Matini ya mwalimu
Kutambua msamiati mpya - Kutunga sentensi kwa kutumia msamiati mpya - Kufanya tathmini ya maana ya msamiati
2 2
Kuandika
Viakifishi - Koloni
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua alama ya koloni katika matini
- Kutumia alama ya koloni ipasavyo katika matini
- Kufurahia matumizi yafaayo ya alama ya koloni katika maandishi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma mazungumzo na kutambua alama ya koloni katika sentensi
- Kueleza matumizi ya alama ya koloni katika matini akishirikiana na wenzake
- Kutunga sentensi kuhusu suala lengwa kwa kutumia alama ya koloni
Je, alama ya koloni hutumiwa wapi katika maandishi?
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 9
- Matini ya mwalimu
- Kifaa cha kidijitali
- Kadi zenye mifano
Kutambua alama ya koloni katika matini - Kutunga sentensi zenye alama ya koloni - Orodha hakiki - Kujaza pengo
2 3-4
Kuandika
Sarufi
Viakifishi - Semi Koloni
Vihusishi vya Mahali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza matumizi ya semi koloni katika maandishi
- Kutumia alama ya semi koloni ipasavyo katika matini
- Kufurahia matumizi yafaayo ya alama ya semi koloni katika matini mbalimbali
Mwisho wa funzo,
- Kutambua vihusishi vya mahali katika matini
- Kutumia vihusishi vya mahali ipasavyo katika matini
- Kuchangamkia matumizi yafaayo ya vihusishi vya mahali katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma sentensi na kutambua alama ya semi koloni
- Kueleza matumizi ya semi koloni katika matini akishirikiana na wenzake
- Kuandika kifungu kifupi kuhusu suala lengwa kwa kutumia alama ya semi koloni ipasavyo
- Kusahihisha kifungu ambacho hakijatumia semi koloni ipasavyo
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha na kujibu maswali yanayohusisha mahali akishirikiana na wenzake
- Kutambua vihusishi vya mahali katika sentensi au vifungu kwenye vitabu au tarakilishi
- Kutunga sentensi sahihi ukitumia vihusishi vya mahali kuhusu suala lengwa
Je, alama ya semi koloni hutumiwa vipi katika maandishi?
Je, ni wakati gani tunatumia vihusishi vya mahali?
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 10
- Matini ya mwalimu
- Kadi
- Mifano ya sentensi
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 13
- Kadi maneno
- Matini ya mwalimu
- Picha zinazoonyesha mahali
Orodha hakiki - Kutunga sentensi zenye alama ya semi koloni - Kubainisha tofauti kati ya koloni na semi koloni
Kujaza pengo kwa vihusishi vya mahali - Kutunga sentensi zenye vihusishi vya mahali - Kufanyiana tathmini
3

Opener Assessment

4 1
Sarufi
Vihusishi vya Wakati
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua vihusishi vya wakati katika matini
- Kutumia vihusishi vya wakati ipasavyo katika matini
- Kuchangamkia matumizi yafaayo ya vihusishi vya wakati katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama michoro na kusoma sentensi zinazoonyesha vihusishi vya wakati
- Kutambua vihusishi vya wakati katika sentensi au vifungu kwenye vitabu au tarakilishi
- Kutunga sentensi au vifungu kwa kutumia vihusishi vya wakati kuhusu suala lengwa
Je, vihusishi vya wakati vinatumika wakati gani?
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 15
- Chati mabango
- Vifaa vya kidijitali
- Kamusi
Kujaza pengo kwa vihusishi vya wakati - Kutunga sentensi zenye vihusishi vya wakati - Kutambua tofauti kati ya vihusishi vya mahali na wakati
4 2
MAZOEZI YA VIUNGO VYA MWILI

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza kwa Kina - Sauti /b/ na /mb/
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua sauti /b/ na /mb/ katika maneno
- Kutamka sauti /b/ na /mb/ ipasavyo ili kuzitofautisha kimatamshi
- Kuchangamkia matamshi bora ya sauti /b/ na /mb/ katika mazungumzo ya kawaida
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua sauti /b/ na /mb/ katika orodha ya sauti na maneno akishirikiana na mwenzake
- Kutamkiana sauti /b/ na /mb/ akiwa na mwenzake
- Kutamkiana maneno yenye sauti /b/ na /mb/ akiwa katika vikundi
Je, kutamka maneno yenye sauti /b/ na /mb/ ipasavyo kuna umuhimu gani?
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 18
- Mti maneno
- Matini ya mwalimu
- Kifaa cha kidijitali
Kutambua sauti /b/ na /mb/ katika maneno - Kutunga vitanzandimi - Orodha hakiki
4 3-4
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Kusikiliza kwa Kina - Sauti /b/ na /mb/
Kusoma kwa Mapana - Matini ya Kujichagulia
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutamka vitanzandimi vyenye sauti /b/ na /mb/ ipasavyo
- Kuunda vitanzandimi vyepesi vyenye sauti /b/ na /mb/
- Kufurahia kubuni na kutamka vitanzandimi vyenye sauti /b/ na /mb/
Mwisho wa funzo,
- Kutambua msamiati uliotumiwa katika matini ya kujichagulia
- Kufafanua ujumbe wa matini aliyosoma
- Kujenga mazoea ya kusoma matini mbalimbali za kujichagulia
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutamkiana vitanzandimi vyepesi vinavyohusisha matamshi ya sauti /b/ na /mb/ akiwa katika vikundi
- Kubuni vitanzandimi vyepesi vinavyohusisha sauti /b/ na /mb/ akishirikiana na wenzake
- Kurekodi vitanzandimi kwenye kifaa cha kidijitali na kuviwasilishia wenzake
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadiliana na mwenzake kuhusu matini ya kujichagulia na mambo yanayomvutia mtu kuichagua matini
- Kutafuta maktabani au kusakura mtandaoni matini inayompendeza kuhusu suala linalomvutia kisha aisome
- Kuandika masuala muhimu yanayozungumziwa katika matini hiyo
Je, ni maneno yapi unayoyajua yaliyo na sauti /b/ na /mb/?
Je, unazingatia nini unapojichagulia matini ya kusoma?
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 19
- Vifaa vya kidijitali
- Matini ya mwalimu
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 20
- Matini mbalimbali za kujichagulia
- Kamusi
Kutamka vitanzandimi ipasavyo - Kubuni vitanzandimi - Kurekodi na kuwasilisha vitanzandimi
Kusoma matini ya kujichagulia - Kutambua msamiati muhimu - Kufafanua ujumbe wa matini
5 1
Kusoma
Kusoma kwa Mapana - Matini ya Kujichagulia
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya msamiati katika matini ya kujichagulia
- Kutumia ipasavyo msamiati unaotokana na matini aliyosoma
- Kufurahia kusoma na kujifunza msamiati mpya kutoka matini mbalimbali
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kunakili msamiati alioujifunza kutoka kwenye matini na kutafuta maana zake kwa kutumia kamusi
- Kufafanua kwa ufupi ujumbe ulio kwenye matini aliyoisoma
- Kumtungia mwenzake sentensi sahihi akitumia msamiati alioutafutia maana
Je, ni mambo gani unayofaa kufanya unaposoma matini ya kujichagulia?
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 22
- Kamusi
- Matini mbalimbali za kujichagulia
Kutunga sentensi kwa kutumia msamiati mpya - Kufafanua ujumbe wa matini - Kufanyiana tathmini
5 2
Kuandika
Insha za Kiuamilifu - Kujibu Barua ya Kirafiki
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua ujumbe unaoafiki katika kujibu barua ya kirafiki
- Kueleza lugha inayofaa katika kujibu barua ya kirafiki
- Kuthamini mawasiliano kupitia barua za kirafiki
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadiliana na mwenzake kuhusu barua ya kirafiki na watu ambao huandikiana barua hizo
- Kujadili ujumbe unaoafiki katika kujibu barua ya kirafiki akishirikiana na wenzake
- Kujadili lugha inayofaa kutumiwa katika kujibu barua ya kirafiki
Je, unazingatia nini unapojibu barua ya kirafiki?
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 23
- Matini ya mwalimu
- Michoro
- Mfano wa barua ya kirafiki
Kutambua vipengele vya barua ya kirafiki - Kuchora muundo - Kujibu maswali
5 3-4
Kuandika
Sarufi
Insha za Kiuamilifu - Kujibu Barua ya Kirafiki
Vihusishi vya -a Unganifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kufafanua muundo unaofaa katika kujibu barua ya kirafiki
- Kujibu barua ya kirafiki akizingatia ujumbe, lugha na muundo ufaao
- Kujenga mazoea ya kujibu barua ya kirafiki katika maisha ya kila siku
Mwisho wa funzo,
- Kutambua vihusishi vya -a unganifu katika matini
- Kutumia vihusishi vya -a unganifu ipasavyo katika matini
- Kuchangamkia matumizi ya -a unganifu ifaavyo katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kielelezo cha barua ya kirafiki na kutambua vipengele vya kimuundo akishirikiana na wenzake
- Kujibu barua ya kirafiki akizingatia ujumbe, lugha na muundo ufaao
- Kuwasomea wenzake barua aliyoandika ili waitolee maoni
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama michoro na kusoma sentensi zinazoonyesha vihusishi vya -a unganifu
- Kutambua vihusishi vya -a unganifu katika sentensi au vifungu kwenye vitabu au tarakilishi kwa kuvipigia mstari au kuvikolezea wino
- Kutunga sentensi akizingatia suala lengwa akitumia vihusishi vya -a unganifu
Je, vipengele vipi vya kimuundo huzingatiwa katika kujibu barua ya kirafiki?
Je, vihusishi vya -a unganifu hutumika vipi?
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 25
- Vifaa vya kidijitali
- Matini ya mwalimu
- Mifano ya barua
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 27
- Vifaa vya kidijitali
- Matini ya mwalimu
- Orodha ya vihusishi
Kuandika barua ya kirafiki - Kusomeana barua - Kufanya tathmini - Kutoa maoni
Kutambua vihusishi vya -a unganifu - Kutunga sentensi - Orodha hakiki
6 1
Sarufi
Vihusishi vya Sababu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua vihusishi vya sababu katika matini
- Kutumia vihusishi vya sababu ipasavyo katika matini
- Kuchangamkia matumizi ya vihusishi katika mawasiliano na mahusiano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama michoro na kusoma sentensi zinazoonyesha vihusishi vya sababu
- Kutambua vihusishi vya sababu katika sentensi au vifungu kwenye vitabu au tarakilishi
- Kutunga sentensi akizingatia suala lengwa akitumia vihusishi vya sababu
Je, vihusishi vya -a unganifu na vya sababu hutofautiana vipi?
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 30
- Vifaa vya kidijitali
- Kapu na kadi maneno
- Matini ya mwalimu
Kutambua vihusishi vya sababu - Kutunga sentensi - Orodha hakiki
6 2
UTUNZAJI WA WANYAMA

Kusikiliza na Kuzungumza
Semi - Tashbihi na Sitiari
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya tashbihi na sitiari ili kuzipambanua
- Kutambua tashbihi na sitiari katika matini ya fasihi simulizi
- Kuchangamkia matumizi ya tashbihi na sitiari katika tungo za fasihi simulizi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha na kushirikiana kuunda usemi unaolinganisha vitu vilivyo kwenye picha
- Kuelezana maana ya tashbihi na sitiari akiwa na mwenzake
- Kusikiliza hadithi kwenye kifaa cha kidijitali na kutambua tashbihi na sitiari zilizotumiwa
Je, tunatumia mbinu gani za lugha katika kuwasilisha tungo za fasihi simulizi?
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 33
- Kadi za tashbihi
- Vifaa vya kidijitali
- Matini ya mwalimu
Kutambua tashbihi na sitiari katika tungo - Kueleza matumizi ya tashbihi na sitiari - Kutofautisha tashbihi na sitiari
6 3-4
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Semi - Methali
Kusoma kwa Kina - Ushairi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya methali ili kuipambanua na tungo zingine
- Kutambua methali katika matini ya fasihi simulizi
- Kutumia tashbihi, sitiari na methali katika uwasilishaji wa tungo za fasihi simulizi
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya shairi ili kulitofautisha na tungo nyingine
- Kujadili sifa za ushairi kama utanzu wa fasihi andishi
- Kufurahia kuchambua ushairi kama utungo wa fasihi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama michoro na kushirikiana kutaja methali inayowakilishwa na kila mchoro
- Kusikiliza hadithi na kutambua methali zilizotumiwa akishirikiana na wenzake
- Kushiriki katika uwasilishaji wa tashbihi, sitiari na methali akishirikiana na wenzake katika kikundi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma vielelezo vya tungo za fasihi andishi na kutambua kile kinachoashiria utungo wa ushairi
- Kujadili sifa za ushairi akishirikiana na wenzake katika kikundi
- Kusoma shairi na kutambua sifa za ushairi zinazojitokeza
Kwa nini tunatumia methali kuwasilisha tungo za fasihi simulizi?
Je, shairi ulilowahi kusoma lilikuwa linazungumzia nini?
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 37
- Matini zilizo na methali
- Chati za methali
- Vifaa vya kidijitali
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 39
- Diwani ya mashairi iliyoteuliwa
- Vifaa vya kidijitali
- Matini ya mwalimu
Kutambua methali katika tungo - Kueleza matumizi ya methali - Kutofautisha methali na semi zingine
Kutambua sifa za ushairi - Kusoma shairi kwa kuzingatia vipengele vyake - Kujadili ujumbe wa shairi
7 1
Kusoma
Kuandika
Kusoma kwa Kina - Ushairi
Insha za Kubuni - Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza sifa za ushairi katika shairi
- Kuchambua shairi kwa kuzingatia sifa za ushairi
- Kujenga mazoea ya kusoma na kuchambua mashairi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma shairi kuhusu suala lengwa na kujibu maswali ya ufahamu
- Kujadili sifa za ushairi zinazojitokeza katika shairi alilolisoma akishirikiana na wenzake
- Kuchambua shairi kwa kuzingatia sifa za ushairi akishirikiana na wenzake katika kikundi
Je, unavutiwa na nini unaposoma shairi?
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 41
- Diwani ya mashairi iliyoteuliwa
- Chati ya sifa za ushairi
- Vifaa vya kidijitali
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 43
- Mifano ya insha za masimulizi
- Picha
Kutambua sifa za ushairi katika shairi - Kusoma shairi kwa ufasaha - Kujibu maswali - Kufanya tathmini
7 2
Kuandika
Insha za Kubuni - Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kufafanua ujumbe wa insha ya masimulizi kupitia kwa wahusika
- Kuandika insha ya masimulizi kwa kuzingatia ujumbe na muundo ufaao
- Kufurahia kuandika insha za masimulizi zenye ujumbe unaoeleweka
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuchagua mada inayohusiana na suala lengwa na kujadili vipengele vya kufafanua ujumbe akishirikiana na wenzake
- Kuandika insha ya masimulizi akizingatia muundo na ujumbe ufaao
- Kuwasomea wenzake insha aliyoandika au awasambazie kwenye vifaa vya kidijitali ili waitolee maoni
Je, wahusika wana umuhimu gani katika insha ya masimulizi?
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 45
- Vifaa vya kidijitali
- Mifano ya insha za masimulizi
- Matini ya mwalimu
Kuandika insha ya masimulizi - Kufafanua ujumbe - Kurekebisha insha - Kuwasilisha insha
7 3-4
Sarufi
Vihusishi Vilinganishi
Kihusishi 'na'
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua vihusishi vilinganishi katika matini
- Kutumia vihusishi vilinganishi ipasavyo katika matini
- Kuchangamkia matumizi yafaayo ya vihusishi vilinganishi katika mawasiliano
Mwisho wa funzo,
- Kutambua kihusishi 'na' katika matini
- Kutumia kihusishi 'na' ipasavyo katika matini
- Kuchangamkia kutumia kihusishi 'na' katika mawasiliano ya kila siku
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama michoro na kusoma sentensi zinazoonyesha vihusishi vilinganishi
- Kutambua vihusishi vilinganishi katika chati ya maneno akishirikiana na wenzake
- Kutunga sentensi akitumia vihusishi vilinganishi akizingatia suala lengwa
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama michoro na kusoma sentensi zinazoonyesha matumizi ya kihusishi 'na'
- Kutambua mafungu ya maneno yaliyo na kihusishi 'na' katika kifungu akishirikiana na wenzake
- Kutunga sentensi kwa kutumia kihusishi 'na' ipasavyo kuhusu suala lengwa
Je, vihusishi vilinganishi huchangia vipi katika mawasiliano?
Je, kihusishi 'na' kinatofautianaje na vihusishi vingine?
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 46
- Kadi za vihusishi vilinganishi
- Chati
- Vifaa vya kidijitali
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 48
- Kadi za sentensi zenye kihusishi 'na'
- Vifaa vya kidijitali
- Matini ya mwalimu
Kutambua vihusishi vilinganishi - Kujaza pengo - Kutunga sentensi - Kufanyiana tathmini
Kutambua kihusishi 'na' - Kutunga sentensi - Kujaza pengo - Kufanyiana tathmini
8

Midterm Break

9 1
UTUNZAJI WA MALIASILI

Kusikiliza na Kuzungumza
Semi - Vitendawili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya vitendawili ili kuvipambanua na semi zingine
- Kutambua vipengele vya kuzingatia katika uwasilishaji wa vitendawili
- Kuchangamkia kutega na kutegua vitendawili katika mazungumzo
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuelezana maana ya vitendawili akiwa na wenzake katika kikundi
- Kutazama michoro na kutega vitendawili ambavyo majibu yake ni michoro hiyo
- Kujadili vipengele vya kuzingatia katika uwasilishaji wa vitendawili akishirikiana na wenzake
Je, vitendawili vina umuhimu gani katika jamii?
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 51
- Kadi za vitendawili
- Michoro
- Vifaa vya kidijitali
Kutega na kutegua vitendawili - Kutambua vipengele vya uwasilishaji - Kuwasilisha vitendawili
9 2
Kusikiliza na Kuzungumza
Semi - Nahau
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya nahau ili kuipambanua na semi zingine
- Kutambua nahau katika matini ya fasihi simulizi
- Kutumia nahau ipasavyo katika mawasiliano ya kila siku
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuelezana maana ya nahau akiwa na wenzake katika kikundi
- Kusikiliza kifungu kwenye kifaa cha kidijitali na kutambua nahau zilizotumiwa akishirikiana na mwenzake
- Kueleza maana na umuhimu wa nahau zilizotumiwa katika kifungu alichokisikiliza
Je, nahau hutumiwa vipi katika mawasiliano?
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 53
- Matini yenye nahau
- Vifaa vya kidijitali
- Chati za nahau
Kutambua nahau katika matini - Kueleza maana za nahau - Kutunga sentensi kwa kutumia nahau
9 3-4
Kusoma
Kusoma kwa Ufasaha - Kifungu cha Nathari
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusoma kwa ufasaha
- Kusoma kifungu cha nathari kwa kuzingatia matamshi bora na kasi ifaayo
- Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kuwasilisha ujumbe kwa uwazi
Mwisho wa funzo,
- Kusoma kifungu cha nathari kwa kuzingatia kiwango cha sauti kifaacho
- Kusoma kifungu cha nathari kwa kuzingatia ishara za mwili zifaazo
- Kujenga mazoea ya kusoma kwa ufasaha katika maisha ya kila siku
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kifungu cha nathari kuhusu suala lengwa kwa zamu akiwa na mwenzake
- Kujadili vipengele vya kuzingatia katika kusoma kwa ufasaha akishirikiana na mwenzake
- Kusomana kifungu akizingatia matamshi bora na kasi ifaayo
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusakura mtandaoni au kutafuta vitabuni kifungu cha nathari cha kusoma
- Kuwasomea wenzake kifungu akizingatia kiwango cha sauti kifaacho na ishara za mwili zifaazo
- Kuzingatia maoni ya wenzake kuhusu usomaji wake ili kuboresha usomaji wake wa baadaye
Je, ni vipengele vipi muhimu vya kuzingatia katika kusoma kwa ufasaha?
Je, kwa nini ni muhimu kusoma kwa ufasaha?
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 55
- Vifungu vya nathari
- Saa ya kutazama muda
- Vifaa vya kidijitali
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 57
- Vifungu vya nathari
- Vifaa vya kidijitali
- Matini ya mwalimu
Kusoma kwa matamshi bora - Kusoma kwa kasi ifaayo - Kufanyiana tathmini
Kusoma kwa kiwango cha sauti kifaacho - Kusoma kwa ishara za mwili zifaazo - Kufanya tathmini ya usomaji
10 1
Kuandika
Insha za Kubuni - Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza lugha ya kitamathali katika insha ya masimulizi
- Kutambua matumizi ya lugha ya kitamathali katika insha ya masimulizi
- Kufurahia kutumia lugha ya kitamathali katika insha ya masimulizi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadiliana na wenzake kuhusu lugha ya kitamathali katika insha ya masimulizi
- Kusoma kielelezo cha insha ya masimulizi kuhusu suala lengwa na kutambua vipengele vya lugha ya kitamathali vilivyotumika
- Kujadili jinsi lugha ya kitamathali ilivyotumiwa katika insha hiyo akishirikiana na wenzake
Je, lugha ya kitamathali ina umuhimu gani katika insha ya masimulizi?
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 58
- Mifano ya insha za masimulizi
- Picha
- Vifaa vya kidijitali
Kutambua lugha ya kitamathali - Kueleza matumizi ya lugha ya kitamathali - Kuandika mwongozo
10 2
Kuandika
Insha za Kubuni - Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza matendo ya wahusika na mandhari katika insha ya masimulizi
- Kuandika insha ya masimulizi kwa kuzingatia lugha ya kitamathali, matendo ya wahusika na mandhari
- Kujenga mazoea ya kuandika insha za masimulizi zenye mvuto
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadili matendo ya wahusika na mandhari katika insha ya masimulizi akishirikiana na wenzake
- Kuchagua mada inayohusu suala lengwa na kuandika insha ya masimulizi akizingatia lugha ya kitamathali, matendo ya wahusika na mandhari
- Kuwasomea wenzake insha aliyoandika ili waitolee maoni na kuisahihisha
Je, matendo ya wahusika na mandhari vina umuhimu gani katika insha ya masimulizi?
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 60
- Vifaa vya kidijitali
- Mifano ya insha za masimulizi
- Matini ya mwalimu
Kuandika insha ya masimulizi - Kutumia lugha ya kitamathali - Kuchora mandhari - Kuwasilisha insha
10 3-4
Sarufi
Nyakati na Hali - Hali ya -ki- ya Masharti
Nyakati na Hali - Hali ya -ka- ya Kufuatana
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua hali ya -ki- ya masharti katika matini
- Kutumia hali ya -ki- ya masharti ipasavyo katika matini
- Kuchangamkia matumizi ya hali ya -ki- ya masharti katika mawasiliano
Mwisho wa funzo,
- Kutambua hali ya -ka- ya kufuatana katika matini
- Kutumia hali ya -ka- ya kufuatana ipasavyo katika matini
- Kuchangamkia matumizi ya hali ya -ka- ya kufuatana katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama michoro na kusoma sentensi zinazoonyesha hali ya -ki- ya masharti
- Kutambua hali ya -ki- ya masharti katika sentensi au vifungu kwenye vitabu au tarakilishi akishirikiana na wenzake
- Kutunga sentensi akitumia hali ya -ki- ya masharti ipasavyo kuhusu suala lengwa
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama michoro na kusoma sentensi zinazoonyesha hali ya -ka- ya kufuatana
- Kutambua hali ya -ka- ya kufuatana katika sentensi au vifungu kwenye vitabu au tarakilishi akishirikiana na wenzake
- Kutunga sentensi akitumia hali ya -ka- ya kufuatana ipasavyo kuhusu suala lengwa
Je, hali ya -ki- ya masharti hutumiwa vipi katika sentensi?
Je, hali ya -ki- ya masharti na hali ya -ka- ya kufuatana zinatofautianaje?
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 62
- Kadi za sentensi
- Chati
- Vifaa vya kidijitali
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 64
- Kadi za sentensi
- Vifaa vya kidijitali
- Matini ya mwalimu
Kutambua hali ya -ki- ya masharti - Kutunga sentensi - Kujaza pengo - Orodha hakiki
Kutambua hali ya -ka- ya kufuatana - Kutunga sentensi - Kufanyiana tathmini - Kujaza pengo
11 1
MITAZAMO HASI YA KIJINSIA

Kusikiliza na Kuzungumza
Ufahamu wa Kusikiliza - Kanuni
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya ufahamu wa kusikiliza
- Kujadili kanuni za ufahamu wa kusikiliza
- Kuchangamkia kuzingatia kanuni za ufahamu wa kusikiliza
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama michoro inayoonyesha watu wakisomewa matini na kutambua shughuli inayoendelea
- Kujadiliana na mwenzake kuhusu mambo ya kuzingatia katika ufahamu wa kusikiliza
- Kujadili kanuni za ufahamu wa kusikiliza akishirikiana na wenzake
Je, unafaa kuzingatia nini unaposhiriki katika ufahamu wa kusikiliza?
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 67
- Vifaa vya kidijitali
- Matini ya mwalimu
- Michoro
Kueleza kanuni za ufahamu wa kusikiliza - Kujibu maswali - Orodha hakiki
11 2
Kusikiliza na Kuzungumza
Ufahamu wa Kusikiliza - Vipengele
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kujadili vipengele vya ufahamu wa kusikiliza
- Kushiriki katika ufahamu wa kusikiliza akizingatia vipengele vyake
- Kufurahia kushiriki katika ufahamu wa kusikiliza
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadili vipengele vya ufahamu wa kusikiliza akishirikiana na mwenzake
- Kusikiliza kwa makini ufahamu wa kusikiliza kwenye kifaa cha kidijitali kuhusu suala lengwa
- Kujibu maswali kutokana na ufahamu aliousikiliza akishirikiana na wenzake katika kikundi
Je, vipengele vya ufahamu wa kusikiliza vina umuhimu gani?
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 69
- Vifaa vya kidijitali
- Rekodi ya ufahamu wa kusikiliza
- Matini ya mwalimu
Kushiriki katika ufahamu wa kusikiliza - Kujibu maswali - Kueleza msamiati - Kufanya tathmini
11 3-4
Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu - Kifungu cha Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya kusoma kwa ufahamu
- Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha ufahamu
- Kuchangamkia kusoma kwa ufahamu ili kukuza uelewa
Mwisho wa funzo,
- Kufanya utabiri na ufasiri kutokana na kifungu cha ufahamu
- Kueleza maana za msamiati kulingana na kifungu cha ufahamu
- Kufurahia kusoma na kujifunza msamiati mpya kutoka vifungu vya ufahamu
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadiliana na mwenzake kuhusu maana ya kusoma kwa ufahamu na mambo ya kuzingatia
- Kusoma kifungu cha ufahamu kuhusu suala lengwa na kudondoa habari mahususi
- Kujibu maswali ya ufahamu akishirikiana na wenzake katika kikundi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadili maswali ya utabiri na ufasiri kutokana na kifungu cha ufahamu akishirikiana na wenzake
- Kutambua msamiati wa suala lengwa kutoka katika kifungu cha ufahamu na kueleza maana zake
- Kutunga sentensi akitumia msamiati alioutambua na kuwasilisha darasani
Je, ni mambo gani tunayoyazingatia tunaposoma ufahamu?
Je, unafikiri jamii itafaidi vipi watoto wakikuzwa bila ubaguzi wowote?
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 71
- Kifungu cha ufahamu
- Picha
- Vifaa vya kidijitali
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 74
- Kifungu cha ufahamu
- Kamusi
- Vifaa vya kidijitali
Kusoma kwa ufahamu - Kudondoa habari mahususi - Kujibu maswali
Kufanya utabiri na ufasiri - Kueleza maana za msamiati - Kutunga sentensi - Kufanya tathmini
12 1
Kuandika
Insha za Kiuamilifu - Shajara
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya shajara
- Kujadili vipengele vya shajara
- Kuthamini matumizi ya shajara katika kurekodi matukio muhimu
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadiliana na mwenzake kuhusu maana ya shajara na sababu za kutumia shajara
- Kujadili vipengele vya shajara akishirikiana na wenzake katika kikundi
- Kusoma kielelezo cha insha ya shajara na kutambua vipengele vyake
Je, kwa nini watu hutumia shajara?
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 76
- Mifano ya shajara
- Vifaa vya kidijitali
- Matini ya mwalimu
Kutambua vipengele vya shajara - Kuchora muundo wa shajara - Kujibu maswali
12 2
Kuandika
Insha za Kiuamilifu - Shajara
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kufafanua muundo wa shajara
- Kuandika shajara akizingatia vipengele, muundo na mtindo ufaao
- Kujenga mazoea ya kuandika shajara katika maisha ya kila siku
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadili muundo na mtindo wa kuandika shajara akishirikiana na wenzake
- Kuandika shajara kuhusu ziara aliyoitembelea akizingatia vipengele, muundo na mtindo ufaao
- Kuwasomea wenzake shajara aliyoandika ili waitolee maoni na kuiboresha
Je, ni vipengele vipi muhimu vya kuzingatia katika kuandika shajara?
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 78
- Vifaa vya kidijitali
- Mifano ya shajara
- Matini ya mwalimu
Kuandika shajara - Kusomeana shajara - Kutoa maoni - Kufanya tathmini
12 3-4
Sarufi
Hali za Masharti - Hali ya -nge-
Hali za Masharti - Hali ya -ngali-
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya hali ya masharti
- Kutambua matumizi ya hali ya masharti ya -nge- katika matini
- Kuchangamkia matumizi ya hali ya -nge- katika mawasiliano
Mwisho wa funzo,
- Kutambua matumizi ya hali ya masharti ya -ngali- katika matini
- Kutumia hali ya masharti ya -nge- na -ngali- ipasavyo katika matini
- Kuchangamkia matumizi ya hali za masharti katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama michoro na kusoma sentensi zinazoonyesha hali ya masharti ya -nge-
- Kutambua vitenzi vinavyotegemeana katika sentensi zilizo na hali ya -nge- akishirikiana na mwenzake
- Kutunga sentensi akitumia hali ya masharti ya -nge- ipasavyo kuhusu suala lengwa
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama michoro na kusoma sentensi zinazoonyesha hali ya masharti ya -ngali-
- Kutambua vitenzi vinavyotegemeana katika sentensi zilizo na hali ya -ngali- akishirikiana na mwenzake
- Kutunga sentensi akitumia hali ya masharti ya -ngali- ipasavyo na kubadilisha sentensi kutoka -nge- hadi -ngali-
Je, kiambishi -nge- hutumika kuleta dhana gani katika sentensi?
Je, hali ya masharti ya -nge- na -ngali- zinatofautianaje?
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 80
- Kadi za sentensi
- Michoro
- Vifaa vya kidijitali
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 82
- Kadi za sentensi
- Vifaa vya kidijitali
- Matini ya mwalimu
Kutambua hali ya -nge- - Kutunga sentensi - Kujaza pengo - Orodha hakiki
Kutambua hali ya -ngali- - Kutunga sentensi - Kubadilisha sentensi - Kufanyiana tathmini
13

End term Assessment and closing


Your Name Comes Here


Download

Feedback