If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 2 | 1 |
SURA YA KWANZA
Kusikiliza na Kuzungumza |
Isimu jamii - Sajili ya Dini
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya sajili Kutambua sifa za sajili ya dini Kuigiza mazungumzo katika maabadi Kutumia msamiati wa kidini |
Kuuliza maswali ya utangulizi kuhusu lugha mbalimbali Kueleza dhana ya sajili na aina zake Kusoma na kujadili sifa za sajili ya dini Kuigiza mazungumzo ya Wakristo na Waislamu Kujibu maswali ya uelewa |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Chati za sajili Kanda za sauti (ikiwa zinapatikana) |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 1-3
|
|
| 2 | 2-3 |
Kusoma kwa Ufahamu
Sarufi Kusoma kwa Kina Kuandika SURA YA KWANZA Fasihi Andishi |
Tamthilia: "Asali Yawa Shubiri"
Viulizi - "pi" na "ngapi" Magazeti: Tahariri na Habari Utungaji wa Kiuamilifu: Barua Rasmi Fasihi andishi; Muktadha na usuli wa tamthilia kusoma-fasihi andishi BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maudhui ya tamthilia Kutambua wahusika na sifa zao Kufafanua ujumbe wa tamthilia Kutathmini changamoto za kijamii Kueleza maana ya tamthiliaKufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kuuliza maswali ya utayarishaji kuhusu ndoa za utotoni Kusoma tamthilia kwa sauti kwa vikundi Kujadili wahusika: Kaida, Mzee Njuga, Mkoro Kuchambua changamoto za elimu ya wasichana Kujibu maswali ya kina kuhusu tamthilia Kusoma Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Kitabu cha mwanafunzi
Mwongozo wa mwalimu Chati za uchambuzi wa wahusika Kadi za maswali Jedwali la ngeli Kadi za mazoezi Ubao mweusi Magazeti ya hivi karibuni Makala ya habari Scissors na glue Mifano ya barua rasmi Karatasi za kuandikia Kalamu na penseli Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 3-7
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege |
|
| 2 | 4 |
SURA YA PILI
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma kwa Ufahamu Sarufi |
Dhima ya Fasihi kwa Jumla
Shairi: "Mikanda Tujifungeni" 'A' Unganifu na Virejeshi 'O' na 'amba' |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya fasihi Kutofautisha fasihi simulizi na andishi Kutaja sifa za fasihi simulizi Kufafanua umuhimu wa fasihi simulizi |
Kuuliza maswali kuhusu aina za fasihi wanayozifahamu Kueleza dhana ya fasihi na aina zake Kujadili sifa za fasihi simulizi Kuchambua umuhimu wa fasihi simulizi Kuigiza baadhi ya tanzu za fasihi simulizi |
Kitabu cha mwanafunzi
Mwongozo wa mwalimu Chati za tanzu za fasihi Kielelezo cha fasihi simulizi Vifaa vya uigizaji Chati za uchambuzi wa shairi Picha za mikanda ya usalama Majarida ya usalama Jedwali la ngeli Kadi za mazoezi Ubao mweusi |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 17-20
|
|
| 2 | 5 |
Kusoma kwa Kina
Kuandika Fasihi Andishi |
Magazeti: Barua kwa Mhariri na Ripoti za Michezo
Utungaji wa Kiuamilifu: Barua kwa Mhariri BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya barua kwa mhariri Kutofautisha ripoti za michezo Kusoma barua kwa mhariri kwa uelewa Kuchambua maudhui ya ripoti za michezo |
Kuuliza maswali kuhusu aina za barua wanayozifahamu Kueleza maana na sifa za barua kwa mhariri Kusoma mifano ya ripoti za michezo Kujadili vichwa vya ripoti za michezo Kutambua tofauti za barua na ripoti |
Kitabu cha mwanafunzi
Magazeti ya hivi karibuni Mwongozo wa mwalimu Makala ya michezo Scissors na glue Mifano ya barua kwa mhariri Karatasi za kuandikia Kalamu na penseli Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 28-30
|
|
| 2 | 6 |
SURA YA TATU
Kusikiliza na Kuzungumza |
Ufahamu wa Kusikiliza
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuboresha ujuzi wa kusikiliza Kuelewa makala kutoka redio au kanda Kujibu maswali kwa usahihi Kutambua mambo muhimu katika mazungumzo |
Kuuliza maswali kuhusu umuhimu wa kusikiliza Kusikiliza makala kutoka redio au kanda Kujadili maudhui ya makala waliyosikiliza Kujibu maswali kuhusu makala Kufanya mazoezi ya kusikiliza |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Kanda za sauti Redio (ikiwa inapatikana) Kadi za maswali |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 33
|
|
| 3 | 1 |
Kusoma kwa Ufahamu
Sarufi |
"Zimwi Limeingia Duniani"
Vivumishi vya Pekee |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma ufahamu kwa uelewa Kueleza maudhui ya ufahamu Kutambua ujumbe wa ufahamu Kuchambua changamoto za ukimwi |
Kuuliza maswali ya utayarishaji kuhusu ukimwi Kusoma ufahamu kwa sauti kwa vikundi Kujadili hatari na madhara ya ukimwi Kuchambua njia za kujikinga na ukimwi Kujibu maswali ya kina kuhusu ufahamu |
Kitabu cha mwanafunzi
Mwongozo wa mwalimu Chati za uchambuzi wa ukimwi Majarida ya afya Vipande vya habari Jedwali la vivumishi vya pekee Kadi za mazoezi Ubao mweusi |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 33-34
|
|
| 3 | 2-3 |
Kusoma kwa Mapana
Kuandika Fasihi Andishi Kusikiliza na Kuzungumza |
Ukimwi
Utungaji wa Kiuamilifu: Resipe na Muhtasari BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege Mazungumzo: Ofisini kwa Mtawala |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma makala kwa mapana Kueleza masuala ibuka Kuchambua umuhimu wa elimu dhidi ya ukimwi Kutambua njia za kupambana na ukimwi Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kuuliza maswali kuhusu masuala ibuka Kusoma makala ya ukimwi kwa uangalifu Kujadili masuala ibuka yanayohusiana na ukimwi Kuchambua umuhimu wa elimu katika kupambana na ukimwi Kuandika muhtasari wa makala Kusoma Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Kitabu cha mwanafunzi
Mwongozo wa mwalimu Makala za ziada kuhusu ukimwi Kamusi ya Kiswahili Jedwali la masuala ibuka Mifano ya resipe Karatasi za kuandikia Vitabu vya kupikia Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Vifaa vya uigizaji Kadi za majukumu Ubao mweusi |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 39-40
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege |
|
| 3 | 4 |
SURA YA NNE
Kusoma kwa Ufahamu Sarufi |
"Umoja wa Kitaifa"
Vielezi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma ufahamu kwa uelewa Kueleza umuhimu wa umoja wa kitaifa Kutambua jukumu la lugha katika umoja Kuchambua athari za usanifishaji |
Kuuliza maswali kuhusu lugha za kitaifa Kusoma makala kwa sauti pamoja Kujadili umuhimu wa Kiswahili kama lugha ya taifa Kuchambua changamoto za kutumia lugha za kigeni Kujibu maswali ya kina kuhusu makala |
Kitabu cha mwanafunzi
Mwongozo wa mwalimu Chati za lugha za Kenya Kamusi za Kiswahili Majarida ya kilugha Jedwali la aina za vielezi Kadi za mazoezi Ubao mweusi |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 44-45
|
|
| 3 | 5 |
Kusoma kwa Mapana
|
Habari na Ripoti za Runinga na Redio
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma habari kwa mapana Kueleza sifa za habari za runinga na redio Kutofautisha habari na ripoti Kuchambua maudhui ya habari |
Kuuliza maswali kuhusu vyombo vya habari Kusoma habari za runinga na redio Kujadili tofauti za habari za runinga, redio na magazeti Kuchambua lugha inayotumiwa katika habari Kuandika muhtasari wa habari |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Makala za habari Redio (ikiwa inapatikana) Kanda za sauti |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 49-50
|
|
| 3 | 6 |
Kuandika
Fasihi Andishi |
Utungaji wa Kiuamilifu: Hotuba
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza muundo wa hotuba Kutofautisha sehemu za hotuba Kuandika hotuba kwa usahihi Kutumia lugha mwafaka ya hotuba |
Kuuliza maswali kuhusu hotuba wanayozifahamu Kueleza sifa na muundo wa hotuba Kuonyesha mifano ya hotuba Kuandika hotuba kuhusu umoja wa kitaifa Kutoa hotuba mbele ya darasa |
Kitabu cha mwanafunzi
Mwongozo wa mwalimu Mifano ya hotuba Karatasi za kuandikia Kalamu na penseli Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 50-51
|
|
| 4 | 1 |
SURA YA TANO
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma kwa Ufahamu |
Mazungumzo: Fasihi Simulizi - Malumbano ya Utani na Ulumbi
Shairi: "Tukomesheni Ajira ya Watoto" |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza aina za mazungumzo ya kifasihi Kutofautisha malumbano ya utani na ulumbi Kuigiza mazungumzo ya utani Kutambua sifa za ulumbi |
Kuuliza maswali kuhusu mazungumzo ya kitamaduni Kueleza aina za utani na dhima zake Kuigiza malumbano ya utani kati ya marafiki Kusikiliza mifano ya ulumbi Kujadili umuhimu wa mazungumzo ya kifasihi |
Kitabu cha mwanafunzi
Mwongozo wa mwalimu Vifaa vya uigizaji Chati za aina za utani Kanda za sauti Chati za uchambuzi wa shairi Picha za watoto wafanyakazi Hati za haki za watoto |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 52-56
|
|
| 4 | 2-3 |
Sarufi
Kusoma kwa Kina Kuandika Fasihi Andishi |
Viwakilishi
Historia na Maendeleo ya Kiswahili Insha ya Mawazo na Insha ya Mazungumzo BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza aina za viwakilishi Kutofautisha viwakilishi mbalimbali Kutumia viwakilishi sahihi katika sentensi Kutunga sentensi zenye viwakilishi Kueleza maana ya insha ya mawazo Kutofautisha insha ya mawazo na mazungumzo Kuandika insha ya mawazo kwa ubunifu Kutunga mazungumzo ya kuvutia |
Kuuliza maswali ya ujumuishaji kuhusu viwakilishi Kueleza aina kumi za viwakilishi Kufanya mazoezi ya kutambua viwakilishi Kutunga sentensi mpya zenye viwakilishi Kukamilisha mazoezi ya ukurasa Kuuliza maswali kuhusu aina za insha Kueleza sifa za insha ya mawazo Kuonyesha mifano ya insha za mazungumzo Kuandika insha ya mawazo kuhusu mzunguko wa maji Kutunga mazungumzo kati ya wanakijiji |
Kitabu cha mwanafunzi
Mwongozo wa mwalimu Jedwali la viwakilishi Kadi za mazoezi Ubao mweusi Ramani ya lahaja za Kiswahili Vitabu vya ziada vya historia Kamusi ya Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Mifano ya insha Karatasi za kuandikia Kalamu na penseli Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 58-62
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 64-65 |
|
| 4 | 4 |
SURA YA SITA
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma kwa Ufahamu |
Mahakamani - Sajili ya Kisheria
"Tete Atetemesha" - Tamthilia |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza sajili ya mahakamani Kutumia msamiati wa kisheria Kuigiza mazungumzo ya mahakamani Kutambua taratibu za kisheria |
Kuuliza maswali kuhusu mfumo wa sheria Kueleza msamiati wa mahakamani Kuigiza kesi ya mahakamani Kujadili taratibu za hukumu Kufanya mazungumzo kuhusu haki za binadamu |
Kitabu cha mwanafunzi
Mwongozo wa mwalimu Vifaa vya uigizaji Kadi za majukumu ya mahakamani Ubao mweusi Chati za uchambuzi wa wahusika Majarida ya habari |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 66-67
|
|
| 4 | 5 |
Sarufi
|
Mwingiliano wa Maneno
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza dhana ya mwingiliano wa maneno Kutofautisha aina za mwingiliano Kutambua mabadiliko ya aina za maneno Kutunga sentensi zenye mwingiliano |
Kuuliza maswali ya ujumuishaji kuhusu sarufi Kueleza jinsi maneno yanavyobadilika aina Kufanya mazoezi ya kutambua mwingiliano Kutunga sentensi mpya zenye mwingiliano Kukamilisha mazoezi ya ukurasa |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Jedwali la aina za maneno Kadi za mazoezi Ubao mweusi |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 71-73
|
|
| 4 | 6 |
Kusoma kwa Sauti
Kuandika Fasihi Andishi |
Barua kwa Mhariri
Makala ya Redio na Runinga BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma kwa lafudhi sahihi Kutumia mkazo na muekeleko sahihi Kuelewa maudhui ya barua Kuboresha ujuzi wa kusoma hadharani |
Kuuliza maswali kuhusu kusoma hadharani Kusoma barua mbalimbali kwa mhariri Kujadili maudhui ya barua Kufanya mazoezi ya kusoma kwa sauti Kutathmini ujuzi wa kusoma |
Kitabu cha mwanafunzi
Mwongozo wa mwalimu Barua za ziada za mhariri Kanda za sauti Jedwali la maelezo ya sauti Mifano ya makala za redio Karatasi za kuandikia Redio (ikiwa inapatikana) Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 73
|
|
| 5 | 1 |
SURA YA SABA
Kusikiliza na Kuzungumza |
Mahojiano kati ya Wataalamu Wawili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuboresha ujuzi wa mahojiano Kutumia lugha ya kitaalamu Kuwasilisha maoni kwa hekima Kujadili masuala ya kilugha |
Kuuliza maswali kuhusu mahojiano Kusikiliza mahojiano kuhusu sheng Kujadili madhara ya sheng kwa lugha Kufanya mahojiano kuhusu masuala mbalimbali Kutoa maoni ya kitaalamu |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Kanda za mahojiano Mikrofoni (ikiwa inapatikana) Kadi za maswali |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 74-75
|
|
| 5 | 2-3 |
Kusoma kwa Ufahamu
Sarufi Kusoma kwa Kina Kuandika |
Mchezo wa Kuigiza - Mazingira
Mzizi wa Kitenzi Uchambuzi wa Fasihi Andishi Utungaji wa Kiuamilifu: Mialiko |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma mchezo kwa uelewa Kueleza maudhui ya mchezo Kutambua ujumbe wa mazingira Kuchambua umuhimu wa uhifadhi Kueleza mbinu za uchambuzi wa fasihi Kutofautisha tanzu za fasihi andishi Kuchambua dhamira na maudhui Kutambua tamathali za usemi |
Kuuliza maswali ya utayarishaji kuhusu mazingira Kusoma mchezo kwa vikundi Kujadili umuhimu wa hifadhi ya mazingira Kuchambua athari za uharibifu wa mazingira Kujibu maswali ya kina kuhusu mchezo Kuuliza maswali kuhusu uchambuzi wa fasihi Kusoma makala ya uchambuzi wa fasihi Kujadili mbinu za uchambuzi Kuchambua mifano ya kazi za fasihi Kuandika uchambuzi mfupi wa fasihi |
Kitabu cha mwanafunzi
Mwongozo wa mwalimu Chati za mazingira Picha za mazingira Vifaa vya uigizaji Jedwali la mizizi ya vitenzi Kadi za mazoezi Ubao mweusi Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Vitabu vya fasihi Jedwali la uchambuzi Kadi za tamathali Mifano ya mialiko Kadi za mialiko Karatasi za rangi |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 75-76
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 77-82 |
|
| 5 | 4 |
Fasihi Andishi
Kusikiliza na Kuzungumza |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
Ufahamu wa Kusikiliza |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Gazeti au jarida Kanda za sauti Kadi za maswali |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
| 5 | 5 |
SURA YA NANE
Kusoma kwa Ufahamu Sarufi |
"Mtopanga"
Viambishi vya Vitenzi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma ufahamu kwa uelewa Kueleza maudhui ya ufahamu Kutambua sifa za kitongoji Kuchambua mazingira ya kijiografia |
Kuuliza maswali ya utayarishaji kuhusu vitongoji Kusoma ufahamu kwa sauti pamoja Kujadili sifa za kitongoji cha Mtopanga Kuchambua mazingira na maumbile ya eneo Kujibu maswali ya kina kuhusu ufahamu |
Kitabu cha mwanafunzi
Mwongozo wa mwalimu Ramani za mazingira Picha za mazingira Chati za uchambuzi Jedwali la viambishi Kadi za mazoezi Ubao mweusi |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 84-85
|
|
| 5 | 6 |
Kusoma kwa Kina
|
Tamthilia
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthilia Kutofautisha aina za tamthilia Kuchambua vipengele vya tamthilia Kutambua madhumuni ya tamthilia |
Kuuliza maswali kuhusu tamthilia wanayozifahamu Kusoma makala ya tamthilia kwa uangalifu Kujadili aina za tamthilia: futuhi, tanzia, yuga, ramsa Kuchambua vipengele vya tamthilia Kuandika uchambuzi mfupi wa tamthilia |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Vitabu vya tamthilia Jedwali la uchambuzi Kadi za vipengele |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 89-90
|
|
| 6 | 1 |
Kuandika
Fasihi Andishi |
Utungaji wa Kisanii: Michezo ya Kuigiza
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza vipengele vya mchezo wa kuigiza Kutunga ploti ya mchezo Kuandika mazungumzo ya kuvutia Kutumia lugha mwafaka ya mchezo |
Kuuliza maswali kuhusu michezo wanayoifahamu Kueleza vipengele vya mchezo wa kuigiza Kutunga ploti ya mchezo kuhusu masuala ya jamii Kuandika mchezo mfupi wa kuigiza Kuigiza sehemu za michezo yao |
Kitabu cha mwanafunzi
Mwongozo wa mwalimu Mifano ya michezo Karatasi za kuandikia Vifaa vya uigizaji Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 90-92
|
|
| 6 | 2-3 |
SURA YA TISA
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma kwa Ufahamu Sarufi Kusoma kwa Kina |
Soga na Mawaidha
Shairi: "Nyuki Nimekosani?" Vinyume vya Vitenzi na Vitenzi katika Hali ya Kuamrisha Maenezi ya Kiswahili |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza sifa za soga Kutofautisha soga na mawaidha Kuigiza soga mbalimbali Kutoa mawaidha kwa lugha mwafaka Kueleza maana ya vinyume vya vitenzi Kutoa vinyume vya vitenzi mbalimbali Kutumia vitenzi katika hali ya kuamrisha Kutunga sentensi za amri |
Kuuliza maswali kuhusu fasihi simulizi Kueleza sifa na dhima za soga Kuigiza mifano ya soga Kujadili umuhimu wa mawaidha Kutoa mawaidha kuhusu maadili Kuuliza maswali ya ujumuishaji kuhusu vitenzi Kueleza dhana ya vinyume vya vitenzi Kufanya mazoezi ya kutoa vinyume Kujifunza matumizi ya vitenzi vya amri Kukamilisha mazoezi ya ukurasa |
Kitabu cha mwanafunzi
Mwongozo wa mwalimu Vifaa vya uigizaji Kanda za sauti Chati za fasihi simulizi Chati za uchambuzi wa shairi Picha za ufugaji Jedwali la vipengele vya shairi Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Jedwali la vinyume Kadi za mazoezi Ubao mweusi Ramani ya maenezi Vitabu vya ziada vya historia Jedwali la takwimu |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 93-95
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 97-99 |
|
| 6 | 4 |
Kuandika
Fasihi Andishi |
Utungaji wa Kiuamilifu: Ratiba
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya ratiba Kutofautisha aina za ratiba Kuandika ratiba kwa usahihi Kutumia lugha mwafaka ya ratiba |
Kuuliza maswali kuhusu aina za ratiba wanayozifahamu Kueleza vipengele vya ratiba Kuonyesha mifano ya ratiba mbalimbali Kuandika ratiba ya sherehe za shule Kusahihisha na kukarabati ratiba zao |
Kitabu cha mwanafunzi
Mwongozo wa mwalimu Mifano ya ratiba Karatasi za kuandikia Jedwali la wakati Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 102-103
|
|
| 6 | 5 |
SURA YA KUMI
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma kwa Ufahamu |
Visasili na Mighani
"Dini ya Ulimwengu" |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya visasili Kutofautisha visasili na mighani Kuigiza visasili na mighani Kutambua umuhimu wa fasihi simulizi |
Kuuliza maswali kuhusu fasihi simulizi Kueleza sifa za visasili na mighani Kuigiza kisasili cha "Kwa Nini Kuku Huchakurachakura?" Kusoma hadithi ya Lwanda Magere Kujadili mafunzo ya fasihi simulizi |
Kitabu cha mwanafunzi
Mwongozo wa mwalimu Vifaa vya uigizaji Chati za fasihi simulizi Picha za mashujaa Picha za michezo Jedwali la tofauti Vifaa vya michezo |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 104-108
|
|
| 6 | 6 |
Sarufi
|
Uundaji wa Nomino Kutokana na Vitenzi vya Asili ya Kigeni
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza dhana ya vitenzi vya asili ya kigeni Kutofautisha vitenzi vya Kiswahili na vya kigeni Kuunda nomino kutoka vitenzi vya kigeni Kutunga sentensi zenye nomino hizo |
Kuuliza maswali ya ujumuishaji kuhusu nomino Kueleza sifa za vitenzi vya asili ya kigeni Kufanya mazoezi ya kuunda nomino Kutunga sentensi mpya zenye nomino Kukamilisha mazoezi ya ukurasa |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Jedwali la vitenzi vya kigeni Kadi za mazoezi Ubao mweusi |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 109-110
|
|
| 7 | 1 |
Kusoma kwa Mapana
Kuandika Fasihi Andishi |
Jinsia - "Kina Mama Wapasua Mawe Kujikimu"
Uandishi wa Insha: Masimulizi na Mjadala BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma makala kwa mapana Kueleza masuala ya jinsia Kuchambua changamoto za kina mama Kutambua juhudi za kujitegemea |
Kuuliza maswali kuhusu masuala ya jinsia Kusoma makala kwa uangalifu Kujadili changamoto za wanawake katika kazi Kuchambua juhudi za kujitegemea kiuchumi Kuandika muhtasari wa makala |
Kitabu cha mwanafunzi
Mwongozo wa mwalimu Makala za ziada kuhusu jinsia Jedwali la uchambuzi Majarida ya kijamii Mifano ya insha Karatasi za kuandikia Kalamu na penseli Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 110-113
|
|
| 7 | 2-3 |
SURA YA KUMI NA MOJA
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma kwa Ufahamu Sarufi Kusoma kwa Kina Kuandika Fasihi Andishi |
Fasihi Simulizi: Ngano
Shairi: Kukandamizwa Sentensi ya Kiswahili: Virai Ushairi: Aina za Mashairi ya Arudhi Utungaji wa Kisanii: Mashairi ya Arudhi BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kufafanua maana ya ngano na sifa zake - Kutambua muundo na vipengele vya hadithi za kimapokeo - Kueleza jukumu la ngano katika kuhifadhi utamaduni - Kuchunguza mafunzo ya kimaadili katika simulizi za jadi - Kuonyesha mbinu za kusimulia kwa usahihi - Kueleza dhana ya arudhi katika ushairi wa Kiswahili - Kutambua na kutofautisha kati ya aina mbalimbali za mashairi ya arudhi - Kuchunguza muundo wa tathnia, tathlitha, tarbia, na miundo mingine - Kulinganisha bahari mbalimbali na sifa zake - Kuthamini ugumu na uzuri wa ushairi wa jadi wa Kiswahili |
- Maswali na majibu kuhusu ujuzi wa wanafunzi wa hadithi za jadi
- Mwalimu asimulie ngano ya mfano "Nyani na Umoja" - Wanafunzi wabainishe sifa za ngano kutoka kwenye hadithi - Majadiliano ya vikundi kuhusu mafunzo ya kimaadili - Wanafunzi wajaribu kusimulia kwa kutumia toni sahihi - Kucheza jukumu za wahusika mbalimbali kutoka kwenye hadithi - Utangulizi wa dhana ya arudhi na umuhimu wake - Mwalimu aonyeshe bahari mbalimbali kwa mifano - Wanafunzi wajaribu kuhesabu mizani katika mashairi mbalimbali - Uchambuzi wa vikundi wa mashairi ya mfano kutoka bahari mbalimbali - Zoezi la kulinganisha kati ya miundo mbalimbali ya ushairi - Wanafunzi wabainishe mipangilio ya vina katika mifano iliyopewo |
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu - Vifaa vya kurekodi sauti - Chati inayoonyesha sifa za ngano - Vifaa vya kusimulia - Zoezi la ufahamu la kuandikwa - Karatasi za kazi ya vikundi - Kamusi ya maneno magumu - Vipande vya sentensi kwa ajili ya uchambuzi - Makaratasi ya mazoezi - Chati za kurejelea sarufi - Kalamu za rangi za kuangazia - Kitabu Cha Mwanafunzi - Mwongozo wa Mwalimu - Makusanyo ya mashairi - Chati zinazoonyesha bahari mbalimbali - Rekodi za sauti za mashairi - Vifaa vya kuhesabu silabi - Vifaa vya kuandikia - Makaratasi ya utungaji wa mashairi - Mashairi ya mfano ya kurejelea - Vipimo vya tathmini ya rika Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 116-118
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 122-126 |
|
| 7 | 4 |
SUYA YA KUMI NA MBILI
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma kwa Ufahamu Sarufi Kusoma kwa Mapana |
Majadiliano: Umoja wa Kitaifa
Mchezo wa Kuigiza Vishazi Haki za Watoto |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza umuhimu wa umoja wa kitaifa - Kutambua mambo yanayoleta umoja katika taifa - Kujadili jukumu la elimu katika kujenga umoja - Kuchunguza nafasi ya lugha ya taifa katika kuunganisha watu - Kuonyesha jinsi michezo inavyoleta umoja |
- Mazungumzo ya ufunguzi kuhusu umoja wa kitaifa
- Kusikiliza mazungumzo baina ya Embogo na Ting'a - Majadiliano ya vikundi kuhusu mambo yanayoleta umoja - Kujadili umuhimu wa elimu ya umoja - Kuchunguza jukumu la lugha ya Kiswahili |
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu - Vifaa vya kurekodi sauti - Chati za majadiliano - Karatasi za kazi ya vikundi - Makaratasi ya maswali - Chati za uchambuzi wa wahusika - Kamusi ya Kiswahili - Vipande vya sentensi kwa ajili ya uchambuzi - Makaratasi ya mazoezi - Chati za kurejelea sarufi - Makala ya ziada kuhusu haki za watoto - Karatasi za muhtasari - Ramani ya Afrika Mashariki |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 128-129
|
|
| 7 | 5 |
Kuandika
Fasihi Andishi Kusikiliza na Kuzungumza |
Utungaji wa Kiuamilifu: Wasifu, Tawasifu na Wasifukazi
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege Miviga |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza tofauti kati ya wasifu, tawasifu na wasifukazi - Kutunga wasifu wa kiongozi - Kuandika tawasifu binafsi - Kuunda wasifukazi wa kuomba kazi - Kutumia lugha sahihi katika uandishi rasmi |
- Mwalimu aeleze tofauti za aina hizi za uandishi
- Kuchanganua mifano ya wasifu, tawasifu na wasifukazi - Zoezi la kuchagua kiongozi na kuandika wasifu wake - Kuandika tawasifu binafsi kwa kutumia mfano - Kujaribu kuandika wasifukazi wa kuomba kazi |
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu - Mifano ya wasifu mbalimbali - Vifungu vya matangazo ya kazi - Karatasi za uandishi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu - Picha za sherehe mbalimbali - Vifaa vya uigizaji - Chati za aina za miviga |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 135-137
|
|
| 7 | 6 |
SURA YA KUMI NATATU
Kusoma kwa Ufahamu Sarufi Kusoma kwa Kina |
Mhepa
Sentensi ya Kiswahili: Kikundi Nomino, Kikundi Tenzi, Shamirisho na Chagizo Mashairi Huru |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kuelewa maudhui ya hadithi ya Mhepa - Kuchunguza tabia za wahusika katika hadithi - Kutambua na kufafanua methali zilizotumiwa - Kufafanua msamiati mgumu katika maelezo yake - Kutathmini mafunzo yanayojitokeza |
- Kusoma hadithi kwa kimya kisha kwa sauti
- Kuchambua tabia za Mhepa na wahusika wengine - Kubainisha na kueleza methali zilizotumiwa - Kufafanua maneno magumu kutoka kwenye hadithi - Majadiliano kuhusu mafunzo ya hadithi |
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu - Kamusi ya Kiswahili - Makaratasi ya maswali - Chati za uchambuzi wa wahusika - Chati za michoro ya uchambuzi - Vipande vya sentensi kwa mazoezi - Karatasi za kazi - Makusanyo ya mashairi huru - Chati za uchambuzi wa mashairi - Vifaa vya kurekodi |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 141-142
|
|
| 8 |
Mid term breaks |
|||||||
| 9 | 1 |
Kuandika
Fasihi Andishi |
Utungaji wa Kiuamilifu: Maagizo/Maelekezo
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza umuhimu wa maagizo katika maisha ya kila siku - Kutambua sifa za maagizo mazuri - Kutunga maagizo ya matumizi mbalimbali - Kutumia lugha ya wazi na ya kueleweka - Kuandika maelekezo ya jinsi ya kutumia kitu fulani |
- Mwalimu aeleze umuhimu wa maagizo mazuri
- Kuchanganua mifano ya maagizo mbalimbali - Zoezi la kutunga maagizo ya matumizi ya nyumbani - Kujaribu kuandika maelekezo ya kutumia kifaa - Mapitio ya rika na kuboresha maagizo yaliyotungwa |
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu - Mifano ya maagizo kutoka mazingira - Vielelezo vya maagizo - Karatasi za uandishi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 149-150
|
|
| 9 | 2-3 |
SURA YA KUMI NA NNE
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma kwa Ufahamu Sarufi Kusoma kwa Mapana |
Maigizo
Haki zetu Binadamu Aina za Sentensi Usanifishaji wa Lugha ya Kiswahili |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kuelewa umuhimu wa maigizo katika jamii - Kutambua aina za maigizo za kimapokeo - Kuchunguza maigizo ya jando na unyago - Kuonyesha jinsi maigizo yanavyoelimisha - Kufanya maigizo ya kufundisha maadili - Kutofautisha kati ya sentensi sahili, ambatano na changamano - Kutambua vishazi huru na tegemezi - Kuchunguza viunganishi vinavyotumiwa - Kutunga sentensi za aina mbalimbali - Kuchambua sentensi ngumu kwa makini |
- Mazungumzo kuhusu maigizo ya kimapokeo
- Kusoma na kuchambua mfano wa maigizo ya jandoni - Majadiliano kuhusu umuhimu wa maigizo - Kuigiza mazungumzo ya kufundisha maadili - Kutayarisha na kuonyesha maigizo mafupi - Kurejea misingi ya uchambuzi wa sentensi - Mwalimu aeleze aina za sentensi kwa mifano - Wanafunzi wabainishe aina za sentensi zilizotolewa - Zoezi la kutunga sentensi za aina mbalimbali - Kazi ya makundi kuchambua sentensi ngumu |
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu - Vifaa vya maigizo - Mavazi ya kimapokeo - Eneo la kuigiza - Chati ya haki za binadamu - Kamusi ya Kiswahili - Karatasi za mazoezi - Kitabu Cha Mwanafunzi - Mwongozo wa Mwalimu - Chati za aina za sentensi - Vipande vya sentensi kwa uchambuzi - Makaratasi ya mazoezi - Makala za ziada kuhusu usanifishaji - Ramani ya Afrika Mashariki - Kamusi za Kiswahili |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 151-152
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 153-155 |
|
| 9 | 4 |
Kuandika
Fasihi Andishi |
Utungaji wa Kiuamilifu: Kumbukumbu
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza umuhimu wa kumbukumbu za mikutano - Kutambua sehemu muhimu za kumbukumbu - Kutunga ajenda ya mkutano - Kuandika kumbukumbu kamilifu za mkutano - Kutumia lugha rasmi na sahihi |
- Mwalimu aeleze sehemu za kumbukumbu za mkutano
- Kuchanganua mfano wa kumbukumbu zilizoandikwa - Zoezi la kutayarisha ajenda ya mkutano - Kuandika kumbukumbu za mkutano wa chama - Mapitio na marekebisho ya kumbukumbu zilizoandikwa |
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu - Mifano ya kumbukumbu za mikutano - Fomu za kumbukumbu - Karatasi za uandishi rasmi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 157-160
|
|
| 9 | 5 |
SURA YA KUMI NA TANO
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma kwa Ufahamu Sarufi Kusoma kwa Mapana |
Nyimbo
Usalama Barabarani Uchanganuzi wa Sentensi Haki za Kibinadamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kufafanua maana ya nyimbo na asili yake - Kutambua sifa za nyimbo za kiswahili - Kueleza aina mbalimbali za nyimbo - Kuchunguza dhima za nyimbo katika jamii - Kuimba nyimbo mbalimbali kwa sauti nzuri |
- Mazungumzo ya utangulizi kuhusu nyimbo za kimapokeo
- Mwalimu aeleze sifa za nyimbo za Kiswahili - Wanafunzi wabainishe aina za nyimbo mbalimbali - Kuimba wimbo wa "Tuangamize Ufisadi" kwa sauti - Kukusanya nyimbo za jamii za mbalimbali |
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu - Vifaa vya kurekodi sauti - Ala za muziki - Makusanyo ya nyimbo za kimapokeo - Picha za alama za barabara - Makaratasi ya maswali - Video kuhusu usalama barabara (kama inapatikana) - Chati za michoro ya matawi - Jedwali za uchambuzi - Vipande vya sentensi kwa mazoezi - Makala za magazeti - Nakala ya katiba ya Kenya - Karatasi za utafiti |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 161-163
|
|
| 9 | 6 |
Kuandika
Fasihi Andishi Kusikiliza na Kuzungumza |
Utungaji wa Kiuamilifu: Tahadhari (Ilani na Onyo)
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege Hotuba |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza tofauti kati ya ilani na onyo - Kutambua umuhimu wa tahadhari - Kutunga ilani mbalimbali - Kuandika maonyo ya aina mbalimbali - Kutumia lugha sahihi na ya haraka |
- Mwalimu aeleze tofauti kati ya ilani na onyo
- Kuchanganua mifano ya tahadhari mbalimbali - Zoezi la kutunga ilani za umma - Kuandika maonyo kwa mazingira mbalimbali - Kuonyesha tahadhari zilizotungwa kwa darasa |
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu - Mifano ya tahadhari kutoka mazingira - Karatasi za uandishi - Alama za tahadhari za picha Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu - Vifaa vya kurekodi - Jukwaa la hotuba - Chati za muundo wa hotuba |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 170-172
|
|
| 10 | 1 |
SURA YA KUMI NA SITA
Kusoma kwa Ufahamu Sarufi Kusoma kwa Kina |
Uzalendo
Nyakati na Hali Uchambuzi wa Hadithi Fupi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza maana ya uzalendo - Kuchunguza namna uzalendo unavyoanza nyumbani - Kutambua sifa za raia mzalendo - Kufafanua changamoto za uzalendo - Kutathmini jukumu la vijana katika uzalendo |
- Kusoma kifungu kuhusu uzalendo kwa makini
- Majadiliano kuhusu kile kinachofanya mtu kuwa mzalendo - Kuchunguza mifano ya uzalendo jamii - Kujibu maswali ya ufahamu - Kuandika insha fupi kuhusu uzalendo |
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu - Mifano ya uzalendo kutoka historia - Makaratasi ya maswali - Picha za mashujaa wa kitaifa - Chati za nyakati na hali - Makaratasi ya mazoezi - Jedwali za ukanushaji - Hadithi fupi za ziada - Chati za uchambuzi wa fasihi - Karatasi za uchambuzi |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 174-175
|
|
| 10 | 2-3 |
Kuandika
Fasihi Andishi SURA YA KUMI NA SABA Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma kwa Ufahamu |
Utungaji wa Kiuamilifu: Mahojiano na Dayolojia
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege Mafumbo, Misimu na Lakabu Uraibu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza tofauti kati ya mahojiano na dayolojia - Kutambua hatua za kuandaa mahojiano - Kutunga mazungumzo ya mahojiano - Kuandika dayolojia ya marafiki - Kutumia lugha sahihi na ya kiuadilifu - Kufafanua maana ya mafumbo na umuhimu wake - Kueleza dhana ya misimu na matumizi yake - Kutambua aina za lakabu na sababu zake - Kutatua mafumbo mbalimbali - Kutoa mifano ya misimu na lakabu |
- Mwalimu aeleze tofauti kati ya mahojiano na dayolojia
- Kuchanganua mfano wa mahojiano - Zoezi la kuandika mahojiano kati ya afisa na mwandishi - Kutunga dayolojia kati ya marafiki - Mapitio na marekebisho ya mazungumzo - Kutatua mafumbo yaliyotolewa katika kitabu - Majadiliano kuhusu misimu za jamii mbalimbali - Kuchunguza lakabu za wasanii na watu maarufu - Kukusanya mafumbo kutoka jamii za wanafunzi - Kujaribu kutunga mafumbo mapya |
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu - Mifano ya mahojiano ya redio/TV - Vifaa vya kurekodi - Karatasi za uandishi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu - Kitabu Cha Mwanafunzi - Mwongozo wa Mwalimu - Makusanyo ya mafumbo ya kimapokeo - Orodha ya misimu za kisasa - Picha za washujaa wenye lakabu - Majaribio ya sayansi kuhusu madhara - Picha za athari za uraibu - Makaratasi ya ushauri |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 182-184
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 184-186 |
|
| 10 | 4 |
Sarufi
|
Uakifishaji
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza umuhimu wa alama za kuakifisha - Kutambua alama mbalimbali za uandishi - Kutumia alama za kuakifisha ipasavyo - Kuakifisha maandishi mbalimbali - Kuboresha ujuzi wa uandishi wa kisarufi |
- Kurejea alama za kuakifisha msingi
- Mwalimu aeleze matumizi ya kila alama - Wanafunzi waakifishe maandishi yaliyotolewa - Zoezi la kuakifisha sentensi na aya - Kazi ya vikundi kuhusu alama ngumu |
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu - Maandishi yasiyo na alama za kuakifisha - Chati za alama za uandishi - Makaratasi ya mazoezi |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 188-194
|
|
| 10 | 5 |
Kusoma kwa Mapana
Kuandika Fasihi Andishi |
Ukimwi
Utungaji wa Kiuamilifu: Barua Meme BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kuelewa changamoto za Ukimwi - Kuchunguza njia za maambukizi - Kutambua dalili za ugonjwa wa Ukimwi - Kufafanua njia za kujikinga - Kutathmini athari za Ukimwi jamii |
- Kusoma makala mbalimbali kuhusu Ukimwi
- Majadiliano kuhusu njia za kujikinga - Kuchunguza takwimu za Ukimwi nchini - Kuandika ripoti kuhusu Ukimwi - Utafiti wa vikundi kuhusu elimu ya Ukimwi |
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu - Makala za magazeti kuhusu Ukimwi - Takwimu za afya - Karatasi za utafiti - Tarakilishi (kama zinapatikana) - Simu za mfano - Karatasi za uandishi wa majaribio Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 194
|
|
| 10 | 6 |
SURA YA KUMI NA NANE
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma kwa Ufahamu Sarufi |
Vitendawili
Shairi Mnyambuliko wa Vitenzi: Kauli ya Kutendeshewa, Kutendesheana na Kutendesheka |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kufafanua maana ya vitendawili na umuhimu wake - Kutambua sifa za vitendawili - Kueleza tofauti kati ya vitendawili na mafumbo - Kutatua vitendawili mbalimbali - Kutambua maadili na tamathali zilizotumika |
- Mazungumzo ya utangulizi kuhusu vitendawili
- Mwalimu aeleze muundo wa vitendawili - Wanafunzi wajaribu kutatua vitendawili yaliyotolewa - Majadiliano kuhusu maadili yaliyofichwa - Kuchunguza tamathali za lugha zilizotumika |
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu - Makusanyo ya vitendawili - Chati za tamathali za lugha - Karatasi za kazi za vikundi - Makaratasi ya maswali - Kamusi ya Kiswahili - Chati za uchambuzi wa shairi - Jedwali za kauli za vitenzi - Makaratasi ya mazoezi - Chati za kurejelea sarufi |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 199-200
|
|
| 11 | 1 |
Kusoma kwa Mapana
Kuandika SURA YA KUMI NA NANE Fasihi Andishi |
Makala Kuhusu Mazingira
Utungaji wa Kiuamilifu: Kujaza Fomu na Hojaji Fasihi andishi; Muktadha na usuli wa tamthilia BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kuelewa changamoto za mazingira - Kuchunguza njia za kulinda mazingira - Kutambua chanzo cha uharibifu wa mazingira - Kufafanua umuhimu wa kuhifadhi mazingira - Kuandika ripoti kuhusu mazingira |
- Kusoma makala mbalimbali kuhusu mazingira
- Majadiliano kuhusu uharibifu wa mazingira - Kuchunguza njia za kulinda mazingira - Kuandika ripoti fupi kuhusu mazingira ya shule - Utafiti wa vikundi kuhusu changamoto za mazingira |
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu - Makala za magazeti kuhusu mazingira - Picha za mazingira yaliyoharibiwa - Karatasi za utafiti - Mifano ya fomu za aina mbalimbali - Karatasi za kuandaa hojaji - Kalamu na vifaa vya kuandikia Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 204
|
|
| 11 | 2-3 |
SURA YA KUMI NA TISA
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma kwa Ufahamu Sarufi Kusoma kwa Kina Kuandika |
Methali
Visa na Ukweli Mnyambuliko wa Vitenzi: Kauli ya Kutendama na Kutendata Riwaya Utungaji wa Kisanii: Mashairi Huru |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kufafanua maana ya methali na umuhimu wake - Kutambua sifa za methali za Kiswahili - Kueleza dhima za methali katika jamii - Kutoa mifano ya methali mbalimbali - Kuchunguza tamathali za lugha katika methali - Kueleza sifa za riwaya kama utanzu wa fasihi - Kuchunguza vipengele vya riwaya - Kuchambua maudhui ya riwaya teule - Kutambua wahusika na uchambuzi wao - Kufafanua tamathali za usemi zilizotumiwa |
- Mazungumzo kuhusu methali za kimapokeo
- Mwalimu aeleze sifa za methali - Wanafunzi watoe mifano ya methali - Majadiliano kuhusu dhima za methali - Kukusanya methali kutoka jamii mbalimbali - Kusoma riwaya teule kwa makini - Kuchambua maudhui ya riwaya - Majadiliano kuhusu wahusika na tabia zao - Kutambua tamathali za lugha - Kuandika uchambuzi mfupi wa riwaya |
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu - Makusanyo ya methali za Kiswahili - Chati za dhima za methali - Karatasi za kukusanya methali - Kamusi ya Kiswahili - Makaratasi ya maswali - Chati za uchambuzi wa wahusika - Jedwali za kauli za vitenzi - Makaratasi ya mazoezi - Mifano ya vitenzi vya kauli hizi - Kitabu Cha Mwanafunzi - Mwongozo wa Mwalimu - Nakala za riwaya teule - Chati za uchambuzi wa fasihi - Karatasi za uchambuzi - Makusanyo ya mashairi huru - Karatasi za utungaji - Mifano ya mashairi ya kuvutia |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 207-209
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 211 |
|
| 11 | 4 |
SURA YA KUMI NA TISA
Fasihi Andishi Kusikiliza na Kuzungumza |
Fasihi andishi; Muktadha na usuli wa tamthilia
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege Maghani |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthiliaKufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kusoma Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika
|
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu - Kitabu Cha Mwanafunzi - Mwongozo wa Mwalimu - Makusanyo ya maghani - Vifaa vya kurekodi sauti - Chati za aina za maghani |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
| 11 | 5 |
SURA YA ISHIRINI
Kusoma kwa Ufahamu |
Urithi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kuelewa maudhui ya hadithi kuhusu urithi - Kuchunguza changamoto za ugawaji wa urithi - Kutambua wahusika na tabia zao - Kufafanua athari za ubinafsi katika ugawaji wa mali - Kutathmini mafunzo yanayojitokeza |
- Kusoma kifungu kuhusu familia ya Zakaria
- Kuchambua changamoto za ugawaji wa mali - Majadiliano kuhusu tabia za jamaa - Kujibu maswali ya ufahamu - Kujadili umuhimu wa haki za watoto |
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu - Makaratasi ya maswali - Chati za uchambuzi wa wahusika - Mifano ya sheria za urithi |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 214-215
|
|
| 11 | 6 |
Sarufi
Kusoma kwa Mapana |
Mnyambuliko wa Vitenzi: Kauli ya Kutendua na Kutenduka
Maswala Ibuka |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza dhana ya kauli za kutendua na kutenduka - Kutofautisha kati ya kauli hizi mbili - Kunyambua vitenzi katika kauli hizi - Kutunga sentensi zenye vitenzi vya kauli hizi - Kutambua matumizi ya kauli za kinyume |
- Kurejea misingi ya kauli za vitenzi
- Mwalimu aeleze kauli za kutendua na kutenduka - Wanafunzi wajaribu kunyambua vitenzi - Zoezi la kutunga sentensi kwa kauli hizi - Kazi ya vikundi kufanya mazoezi ya sarufi |
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu - Jedwali za kauli za vitenzi - Makaratasi ya mazoezi - Mifano ya vitenzi vya kinyume - Nakala ya katiba ya Kenya - Makala za magazeti - Karatasi za utafiti |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 215-216
|
|
| 12 | 1 |
Kuandika
SURA YA ISHIRINI Fasihi Andishi |
Utungaji wa Kiuamilifu: Matangazo
Fasihi andishi; Muktadha na usuli wa tamthilia BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza umuhimu wa matangazo - Kutambua aina mbalimbali za matangazo - Kutunga matangazo ya aina mbalimbali - Kutumia lugha sahihi na ya kuvutia - Kuandika matangazo ya nafasi za kazi |
- Mwalimu aeleze aina za matangazo
- Kuchanganua mifano ya matangazo mbalimbali - Zoezi la kutunga matangazo ya kazi - Kuandika matangazo ya sherehe au hafla - Mapitio na marekebisho ya matangazo |
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu - Mifano ya matangazo kutoka magazeti - Karatasi za uandishi - Kalamu na vifaa vya kuandikia Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 217-218
|
|
| 12 | 2-3 |
SURA YA ISHIRINI NA MOJA
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma kwa Ufahamu Sarufi Sarufi Kuandika SURA YA ISHIRINI NA MOJA Fasihi Andishi |
Ngomezi - Mawasiliano kwa Ngoma
Mchezo wa Kuigiza: Tusikate Miti Ovyo Mnyambuliko wa Vitenzi vya Silabi Moja Mnyambuliko wa Vitenzi vyenye Asili ya Kigeni Utungaji wa Kiuamilifu: Ripoti Fasihi andishi; Muktadha na usuli wa tamthilia BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya ngomezi Kutaja matukio yanayohusiana na ngomezi Kufafanua sifa za ngomezi Kuigiza baadhi ya ngomezi Kueleza dhima za ngomezi katika jamii Kutambua vitenzi vyenye asili ya kigeni Kueleza jinsi vitenzi hivi vinavyonyambulika Kuandika vitenzi katika kauli mbalimbali Kukamilisha majaribio ya vitenzi Kutunga sentensi sahihi |
Mazungumzo ya utangulizi kuhusu njia za mawasiliano ya kiasili Kusikiliza maelezo kuhusu aina za ngomezi (kifo, mavuno, mwaka mpya, mwezi kupatwa) Mjadala wa vikundi kuhusu matukio yanayohusiana na ngomezi Kuigiza ngomezi za kutangaza kifo na kusherehekea mavuno Mazungumzo kuhusu dhima za ngomezi katika jamii Utangulizi wa vitenzi vyenye asili ya kigeni Kujifunza mifano ya vitenzi hivi Kukamilisha jedwali la kauli za vitenzi Zoezi la kutambua kauli tofauti Mazoezi ya kutunga sentensi Kufanya majaribio mengine ya vitenzi |
Kitabu cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Ngoma au vifaa vya kuiga sauti Vielelezo vya picha za sherehe Kanda za sauti Vielelezo vya mazingira Picha za miti Nakala za sheria za mazingira Jedwali la kauli za vitenzi Vielelezo vya miundo Kadi za mazoezi Kitabu cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Jedwali la vitenzi Kadi za mifano Majaribio ya mazoezi Mifano ya ripoti Fomu za kuandikia Kalamu na karatasi Kamusi ya Kiswahili Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu Uk. 219-221
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu Uk. 226-227 |
|
| 12 | 4 |
SURA YA ISHIRINI NA MBILI
Kusikiliza na Kuzungumza Fasihi Andishi Kusoma kwa Ufahamu |
Fasihi Simulizi: Hadithi ya Twiga na Mkufu wa Kima
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege Taifa Bingwa Barani - 2004 |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusikiliza hadithi kwa makini Kueleza maudhui ya hadithi Kutambua wahusika na sifa zao Kufafanua ujumbe wa hadithi Kujadili maadili yanayofundishwa Kuigiza sehemu za hadithi |
Kusikiliza hadithi ya Twiga na mkufu wa Kima Mjadala kuhusu tabia za wahusika (Twiga, Kima, Mfalme Ndovu) Kujadili sababu za shingo ya Twiga kuwa ndefu Mazungumzo kuhusu maadili ya uaminifu na kuwajibika Kuigiza sehemu za hadithi Kujadili athari za kutotimiza ahadi |
Kitabu cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Picha za wanyamapori Vifaa vya kuigiza Kanda za sauti za hadithi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha za michezo ya kabumbu Ramani ya Afrika Makala ya magazeti kuhusu michezo |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu Uk. 233-235
|
|
| 12 | 5 |
SURA YA ISHIRINI NA MBILI
Fasihi Andishi Sarufi Fasihi Andishi |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
Vivumishi vya Pekee na Matumizi yake BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
Kitabu cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Jedwali la vivumishi Kadi za mifano Majaribio ya mazoezi Ubao mweupe |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
| 12 | 6 |
SURA YA ISHIRINI NA MBILI
Sarufi Fasihi Andishi Kuandika SURA YA ISHIRINI NA MBILI Fasihi Andishi |
Mazoezi ya Sarufi Mchanganyiko
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege Insha na Barua Mbalimbali Fasihi andishi; Muktadha na usuli wa tamthilia Insha na Barua Mbalimbali BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutumia -ingi kukamilisha sentensi Kusahihisha makosa ya kigrammatika Kutumia virejeshi vya 'O' na 'amba' Kufanya mazoezi ya viashiria visisitizi Kubadilisha sentensi kwa maagizo |
Mazoezi ya kutumia -ingi katika sentensi Kusahihisha sentensi zilizo na makosa Zoezi la kutumia virejeshi 'O' na 'amba' Mazoezi ya viashiria visisitizi Kubadilisha sentensi kuwa umoja na wingi Zoezi la kinyume cha vitenzi |
Kitabu cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Majaribio ya sarufi Kadi za mazoezi Ubao mweupe Kalamu za rangi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Mifano ya insha na barua Karatasi za uandishi Kalamu Kamusi ya Kiswahili Fomu za barua Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu Uk. 241-248
|
|
Your Name Comes Here