If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 1 | 1 |
AFYA YA AKILI
Kusikiliza na Kuzungumza |
Mazungumzo ya Kimuktadha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua miktadha rasmi na isiyo rasmi katika mawasiliano ili kuitofautisha, - kutumia lugha katika miktadha rasmi na isiyo rasmi ili kufanikisha mawasiliano, - Kuchangamkia matumizi ya lugha katika miktadha rasmi na isiyo rasmi kuimarisha maadili yafaayo. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua miktadha mbalimbali kunakotumiwa lugha rasmi na isiyo rasmi (k.v. ofisini, hospitalini, nyumbani, sokoni), -kusikiliza mazungumzo rasmi na yasiyo rasmi kwa kutazama maigizo kwenye vyombo vya kidijitali (k.v. video, rununu, runinga, tarakilishi). |
1. Ni wapi katika shughuli zetu za kila siku tunaitumia lugha rasmi na isiyo rasmi?
-2. Ni nini kinachofanya mazungumzo yawe rasmi au yasiyo rasmi?
|
KLB Top Scholar UK 104
-Chati -Video -Tarakilishi -Michoro au picha |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maigizo
|
|
| 1 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Mapana
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua aina mbalimbali za matini ili kuchagua inayomvutia, - kusoma matini aliyochagua ili kufaidika na ujumbe na lugha iliyotumiwa, - kufurahia usomaji wa aina mbalimbali za matini ili kupanua mawazo yake. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua matini zinazomvutia maktabani na mtandaoni, -kusoma matini alizochagua ili kufaidi ujumbe na lugha iliyotumiwa. |
1. Je, habari zipi unazopenda kusoma kwenye matini?
-2. Unazingatia nini unapochagua matini za kusoma?
|
KLB Top Scholar UK 105
-Vitabu -Magazeti -Majarida -Vifaa vya kidijitali -Kamusi |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Majadiliano ya vikundi
|
|
| 1 | 3 |

| 1 | 4 |

-kutoa wenzake muhtasari wa kile alichosoma kwenye matini ili kupashana ujumbe na kuchocheana kusoma zaidi kwa ajili ya kujifurahisha, -kujadiliana na wenzake matini ambazo wamesoma kwa kuzingatia ukuzaji wa msamiati. |

| 2 | 1 |
Sarufi
|
Vinyume vya Vivumishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua vinyume vya vivumishi katika matini, - kutunga sentensi kwa kutumia vinyume vya vivumishi, - kuchangamkia matumizi ya vinyume vya vivumishi katika mawasiliano ya kila siku. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua vinyume vya vivumishi (k.v. zuri- baya, kali-butu, refu- fupi, -ekundu) katika chati, kadi za maneno, kapu la maneno, mti wa maneno au vifaa vya kidijitali, -kutafuta vinyume vya vivumishi kwa kurejelea orodha ya vivumishi alivyopewa, -kutalii mazingira yake na kuunda orodha ya vinyume vya vivumishi. |
Je, ni vivumishi vipi unavyoweza kutambua vinyume vyake?
|
KLB Top Scholar UK 108
-Kapu la maneno -Mti wa maneno -Kadi za maneno -Vifaa vya kidijitali -Kamusi |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Majadiliano ya vikundi
|
|
| 2 | 2 |

| 2 | 3 |
Kuandika
|
Insha ya Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kueleza maudhui ya insha ya maelezo kwa kuzingatia mada, - kuandika insha ya maelezo kwa kufuata kanuni zifaazo ili kufanikisha mawasiliano - kuchangamkia utunzi mzuri wenye mapambo ya lugha. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kukuza uwazaji kina na utatuzi wa matatizo kwa kueleza maudhui kutokana na mada ya insha ya maelezo, -kujadili mada ya insha na muundo wa insha ya maelezo. |
Je, ni mada gani?
|
KLB Top Scholar UK 106
-Chati -Kielelezo cha insha ya maelezo -Kapu la maneno -Kamusi |
Uchunguzi
-Majadiliano ya vikundi
-Orodha hakiki
|
|
| 2 | 4 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Mazungumzo ya Kimuktadha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua miktadha rasmi na isiyo rasmi katika mawasiliano ili kuitofautisha, - kutumia lugha katika miktadha rasmi na isiyo rasmi ili kufanikisha mawasiliano, - Kuchangamkia matumizi ya lugha katika miktadha rasmi na isiyo rasmi kuimarisha maadili yafaayo. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kushiriki katika maigizo ya mazungumzo ya miktadha rasmi na yasiyo rasmi akishirikiana na wenzake, -kushiriki katika mazungumzo rasmi nje ya darasa k.m. akiwa kwenye gwaride, majilisini n.k na yale yasiyo rasmi kama vile uwanjani, kwenye bweni, katika safari ya kwenda nyumbani kutoka shuleni, -kutambua nidhamu ya lugha inayozingatiwa katika mazingira rasmi (k.m lugha ya heshima na adabu anapowasiliana). |
1. Ni wapi katika shughuli zetu za kila siku tunaitumia lugha rasmi na isiyo rasmi?
-2. Ni nini kinachofanya mazungumzo yawe rasmi au yasiyo rasmi?
|
KLB Top Scholar UK 104
-Chati -Video -Tarakilishi -Michoro au picha |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maigizo
|
|
| 3 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Mapana
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua aina mbalimbali za matini ili kuchagua inayomvutia, - kusoma matini aliyochagua ili kufaidika na ujumbe na lugha iliyotumiwa, - kufurahia usomaji wa aina mbalimbali za matini ili kupanua mawazo yake. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutoa wenzake muhtasari wa kile alichosoma kwenye matini ili kupashana ujumbe na kuchocheana kusoma zaidi kwa ajili ya kujifurahisha, -kujadiliana na wenzake matini ambazo wamesoma kwa kuzingatia ukuzaji wa msamiati. |
1. Je, habari zipi unazopenda kusoma kwenye matini?
-2. Unazingatia nini unapochagua matini za kusoma?
|
KLB Top Scholar UK 105
-Vitabu -Magazeti -Majarida -Vifaa vya kidijitali -Kamusi |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Majadiliano ya vikundi
|
|
| 3 | 2 |

| 3 | 3 |
Sarufi
|
Vinyume vya Vivumishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua vinyume vya vivumishi katika matini, - kutunga sentensi kwa kutumia vinyume vya vivumishi, - kuchangamkia matumizi ya vinyume vya vivumishi katika mawasiliano ya kila siku. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutunga sentensi kwa kutumia vinyume vya vivumishi kwa kuzingatia upatanisho wa kisarufi. |
Je, ni vivumishi vipi unavyoweza kutambua vinyume vyake?
|
KLB Top Scholar UK 108
-Kapu la maneno -Mti wa maneno -Kadi za maneno -Vifaa vya kidijitali -Kamusi |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Majadiliano ya vikundi
|
|
| 3 | 4 |

| 4 | 1 |
Kuandika
|
Insha ya Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kueleza maudhui ya insha ya maelezo kwa kuzingatia mada, - kuandika insha ya maelezo kwa kufuata kanuni zifaazo ili kufanikisha mawasiliano - kuchangamkia utunzi mzuri wenye mapambo ya lugha. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kuandika insha ya maelezo akitumia vivumishi na vielezi vifaavyo kutoa picha dhahiri kuhusu anachokielezea. Pia azingatie anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka na lugha ya kiubunifu inaojumuisha methali na nahau alizojifunza awali, -kukuza umilisi wa ujuzi wa kidijitali kwa kuandika insha ya maelezo mtandaoni na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili kuisoma na kuitathmini, -kuwawasilishia wenzake insha aliyoandika ili waitathmini. |
Je, ni mada gani?
|
KLB Top Scholar UK 106
-Chati -Kielelezo cha insha ya maelezo -Kapu la maneno -Kamusi |
Uchunguzi
-Majadiliano ya vikundi
-Orodha hakiki
|
|
| 4 | 2 |
KUKABILIANA NA UGAIDI
Kusikiliza na Kuzungumza |
Sitiari za Tabia
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kujadili dhana ya sitiari ili kuitofautisha na dhana zingine za lugha, - kutambua sitiari za tabia katika matini mbalimbali ili kuzibainisha, - kutumia sitiari za tabia kwa usahihi katika sentensi ili kuimarisha mawasiliano, - kufurahia matumizi ya sitiari katika mawasiliano ya kila siku. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kujadili na wenzake maana ya sitiari, -kutambua sitiari za tabia (k.v. yeye ni sungura, yeye ni fisi, yeye ni kasuku, mimi ni kobe safarini) katika vitabu, matini, chati na vyombo vya kidijitali akishirikiana na wenzake, -kutoa mifano ya sitiari za tabia akisaidiana na mwenzake. |
Ni maneno gani unayoweza kutumia kulinganisha kitu na kingine kwa njia ya moja kwa moja?
|
KLB Top Scholar UK 112
-Kadi za maneno -Mti wa maneno -Kapu la maneno -Chati -Vifaa vya kidijitali -Kamusi |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Majadiliano ya vikundi
|
|
| 4 | 3 |

| 4 | 4 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Mapana
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua na kufungua faili iliyo na kifungu cha kusoma ili kuimarisha umilisi wake wa kutumia tarakilishi, - kuonyesha uelewa wa hatua za kiusalama kwa kusakura matini kwenye tovuti salama ili kupata vifungu vya kusoma kutumia vyombo vya kidijitali, - kuchangamkia matumizi ya vifaa vya kidijitali katika kutafuta na kusoma ujumbe ili kuimarisha maarifa yake. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua mambo ya kuzingatia anaposoma matini zilizohifadhiwa katika kifaa cha kidijitali (k.v. kutofuta kazi za wenzake zilizohifadhiwa katika vifaa vya kidijitali) akishirikiana na wenzake, -kutambua mambo ya kuzingatia anaposoma matini za mtandaoni (k.v. kufungua mitandao ifaayo, kutowasiliana na watu usiowajua, kutofichua nywila yako kwa wenzake), -kutambua jina la faili lengwa kwenye tarakilishi na kufanya mazoezi ya kufungua na kufunga faili. |
1. Unakumbuka habari gani uliyoisoma mtandaoni?
-2. Ni hatua gani za kiusalama unazozingatia unapotafuta habari mtandaoni?
|
KLB Top Scholar UK 114
-Tarakilishi -Rununu -Kamusi -Vitabu |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Majadiliano ya vikundi
-Maswali ya maandishi
|
|
| 5 | 1 |
Sarufi
|
Hali ya Masharti
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua viambishi vya hali ya masharti kwenye kitenzi, - kutumia vitenzi katika hali ya masharti kwenye sentensi, - kufurahia matumizi ya hali ya masharti katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua viambishi vya hali ya masharti (nge, ngali, ki) kwenye vitenzi katika chati, ubao au kwa kutumia vifaa vya kidijitali, -kutumia vitenzi vya hali ya masharti katika sentensi kwa kuandika daftarini au kupiga chapa kwenye tarakilishi/kipakatalishi, -kubadilisha sentensi kutoka hali moja hadi nyingine. |
Je, unajua viambishi vipi?
|
KLB Top Scholar UK 118
-Chati -Tarakilishi -Kapu la maneno -Mti wa maneno -Kamusi |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Majadiliano ya vikundi
-Maswali ya maandishi
|
|
| 5 | 2 |

| 5 | 3 |
Kuandika
|
Insha ya Masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kueleza maudhui ya insha ya masimulizi ili kuandika ifaavyo, - kuandika insha ya masimulizi kwa kufuata kanuni zifaazo, - kuchangamkia utunzi mzuri ili kuimarisha mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua insha ya masimulizi kwa kurejelea vielelezo vya insha zilizoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi, -kujadili mada na vidokezo vya insha ili kuvitumia katika kuandika insha yake, -kuelezea maudhui atakayotumia kuandikia insha ya masimulizi. |
Insha ya masimulizi ina sifa gani?
|
KLB Top Scholar UK 116
-Chati -Kielelezo cha insha ya masimulizi -Vifaa vya kidijitali -Kamusi |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Majadiliano ya vikundi
-Maswali ya maandishi
-Orodha hakiki
|
|
| 5 | 4 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Sitiari za Tabia
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kujadili dhana ya sitiari ili kuitofautisha na dhana zingine za lugha, - kutambua sitiari za tabia katika matini mbalimbali ili kuzibainisha, - kutumia sitiari za tabia kwa usahihi katika sentensi ili kuimarisha mawasiliano, - kufurahia matumizi ya sitiari katika mawasiliano ya kila siku. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kueleza maana ya sitiari mbalimbali, -kutumia sitiari katika sentensi. |
Ni maneno gani unayoweza kutumia kulinganisha kitu na kingine kwa njia ya moja kwa moja?
|
KLB Top Scholar UK 112
-Kadi za maneno -Mti wa maneno -Kapu la maneno -Chati -Vifaa vya kidijitali -Kamusi |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Majadiliano ya vikundi
|
|
| 6 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Mapana
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua na kufungua faili iliyo na kifungu cha kusoma ili kuimarisha umilisi wake wa kutumia tarakilishi, - kuonyesha uelewa wa hatua za kiusalama kwa kusakura matini kwenye tovuti salama ili kupata vifungu vya kusoma kutumia vyombo vya kidijitali, - kuchangamkia matumizi ya vifaa vya kidijitali katika kutafuta na kusoma ujumbe ili kuimarisha maarifa yake. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua mitandao salama yenye matini inayoafiki kiwango na mahitaji yake -kutambua umuhimu wa kutoa habari kwa mwalimu, mzazi au mlezi wake endapo atapata ujumbe kutoka kwa watu asiowajua mtandaoni na kutowasiliana nao, -kutafuta maana za maneno mapya kwenye kamusi mtandaoni, -kusimulia wenzake habari alizosoma. |
1. Unakumbuka habari gani uliyoisoma mtandaoni?
-2. Ni hatua gani za kiusalama unazozingatia unapotafuta habari mtandaoni?
|
KLB Top Scholar UK 114
-Tarakilishi -Rununu -Kamusi -Vitabu |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Majadiliano ya vikundi
-Maswali ya maandishi
|
|
| 6 | 2 |

| 6 | 3 |
Sarufi
|
Hali ya Masharti
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua viambishi vya hali ya masharti kwenye kitenzi, - kutumia vitenzi katika hali ya masharti kwenye sentensi, - kufurahia matumizi ya hali ya masharti katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutumia vitenzi vya hali ya masharti katika sentensi kwa kuandika daftarini au kupiga chapa kwenye tarakilishi/kipakatalishi, -kubadilisha sentensi kutoka hali moja hadi nyingine, -kutunga sentensi katika hali ya mazoea na hali ya masharti mtandaoni na kuwatumia wenzake waweze kuzisoma na kutathmini usahihi wake. |
Je, unajua viambishi vipi?
|
KLB Top Scholar UK 118
-Chati -Tarakilishi -Kapu la maneno -Mti wa maneno -Kamusi |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Majadiliano ya vikundi
-Maswali ya maandishi
|
|
| 6 | 4 |
Kuandika
|
Insha ya Masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kueleza maudhui ya insha ya masimulizi ili kuandika ifaavyo, - kuandika insha ya masimulizi kwa kufuata kanuni zifaazo, - kuchangamkia utunzi mzuri ili kuimarisha mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kuandika insha ya masimulizi (k.v. kuhusu ugaidi, uhalifu, ajali, safari n.k) isiyopungua maneno 200 akizingatia mada, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka, lugha ya kiubunifu na urefu unaotarajiwa. Pia azingatie aina mbalimbali za maneno, mnyambuliko wa vitenzi, na nyakati ili kejenga picha dhahiri ya anachokiandikia daftarini, -kuandika insha ya masimulizi katika vifaa vya kidijitali na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili kuisoma na kuitathmini, -kuwawasilishia wenzake insha aliyoandika ili waitathmini na kumwelekeza. |
Insha ya masimulizi ina sifa gani?
|
KLB Top Scholar UK 116
-Chati -Kielelezo cha insha ya masimulizi -Vifaa vya kidijitali -Kamusi |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Majadiliano ya vikundi
-Maswali ya maandishi
-Orodha hakiki
|
|
| 7 | 1 |
USHURU
Kusikiliza na Kuzungumza |
Kujieleza kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
ndogo - kubuni na kusimulia kisa mbele ya wenzake akizingatia mada lengwa, - kutumia ishara zifaazo kuimarisha masimulizi yake - kufurahia usimulizi wa visa mbalimbali kuhusu maisha. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kujadiliana na wenzake kuhusu mada mbalimbali ambazo huweza kusimuliwa kuhusiana na mambo na hali za maisha (k.v. hadithi za mashujaa, shughuli za sikukuu za kitaifa, usomaji wa bajeti, ulipaji wa ushuru, hekaya), -kusikiliza kisa cha kisimulizi kuhusu mada lengwa kutoka kwa mgeni mwalikwa, tepurekoda, video na tarakilishi ili kupata sifa za usimulizi mzuri. |
Masimulizi kuhusu ushuru yana umuhimu gani?
|
KLB Top Scholar UK 124
-Tepurekoda -Tarakilishi -Video -Picha |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Majadiliano ya vikundi
-Maswali ya maandishi
-Maigizo
|
|
| 7 | 2 |

| 7 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusoma kwa ufasaha, - kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora, - kusoma kifungu kwa kasi ifaayo, - kusoma kifungu kwa kutumia sauti ipasavyo, -e) kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo, -f) kuchangamkia kusoma kifungu kwa kuzingatia vipengele vya usomaji. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kujadiliana na wenzake vipengele vya kuzingatia katika kusoma makala kwa ufasaha, -kusoma kifungu kuhusu suala lengwa katika matini andishi au ya kidijitali akizingatia matamshi bora, -kusoma kifungu cha habari kwa kasi ifaayo kuhusu suala lengwa. |
Je, kusoma kwa ufasaha kuna umuhimu gani?
|
KLB Top Scholar UK 125
-Nakala ya kifungu cha kusoma -Vifaa vya kidijitali -Kamusi |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Shughuli ya kusoma
|
|
| 7 | 4 |

| 8 | 1 |
Sarufi
|
Ukanushaji wa Kiambishi cha Masharti
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua viambishi vya hali ya masharti katika sentensi, - kukanusha viambishi vya hali ya masharti katika sentensi, - kufurahia ukanushaji wa viambishi hali ya masharti katika sentensi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua viambishi vya hali ya masharti (ki, nge, ngali) katika vitenzi kwa kuvipigia mistari kwenye vitabu au kuvikolezea wino kwenye tarakilishi, -kutambua viambishi vya hali ya masharti katika hali kanushi (k.v. singe, singali, sipo), -kusoma sentensi zenye viambishi lengwa kwenye vitabu au tarakilishi katika hali yakinishi na kanushi. |
1. Viambishi vya hali ya masharti katika vitenzi ni vipi?
-2. Viambishi vya hali ya masharti katika ukanushaji ni vipi?
|
KLB Top Scholar UK 129
-Chati -Tarakilishi |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Majadiliano ya vikundi
|
|
| 8 | 2 |
Sarufi
|
Ukanushaji wa Kiambishi cha Masharti
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua viambishi vya hali ya masharti katika sentensi, - kukanusha viambishi vya hali ya masharti katika sentensi, - kufurahia ukanushaji wa viambishi hali ya masharti katika sentensi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kukanusha maneno na sentensi akizingatia hali ya masharti kwenye daftari au kwa kutumia tarakilishi, -kutunga sentensi sahihi zenye viambishi vya hali ya masharti na kuzikanusha, -kusikiliza au kutazama vipindi vya ukanushaji wa hali ya masharti kupitia vifaa vya kidijitali. |

| 8 | 3 |

| 8 | 4 |
Sarufi
|
Ukubwa na Udogo wa Nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua nomino zinazoanza kwa kiambishi Ki- katika kundi la maneno - kubadilisha nomino, zinazoanza kwa Ki- katika hali wastani kuwa katika hali ya ukubwa na udogo, - kutunga sentensi sahihi akitumia nomino zinazoanza kwa Ki- katika hali ya ukubwa na udogo huku akizingatia upatanisho wa kisarufi, - kufurahia kutumia nomino zinazoanza kwa Ki- kwa usahihi katika hali ya ukubwa na udogo ili kuimarisha mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua nomino zinazoanza kwa kiambishi Ki- (k.v. kiti, kitabu, kitand kwa kutumia kadi za maneno, mti wa maneno, chati au vifaa vya kidijitali, -kushiriki kwenye mjadala wa kutambua viambishi vinavyotumika kudhihirisha ukubwa na udogo wa nomino, -kushiriki katika vikundi kubadilisha nomino kutoka hali ya wastani hadi hali ya ukubwa na udogo. |
Je, ni nomino gani zinazoanza kwa kiambishi Ki- unazozijua?
|
KLB Top Scholar UK 133
-Kadi za maneno -Mti wa maneno -Vifaa vya kidijitali -Kamusi |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Majadiliano ya vikundi
|
|
| 9 |
Midterm break |
||||||||
| 10 | 1 |
Sarufi
|
Ukubwa na Udogo wa Nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua nomino zinazoanza kwa kiambishi Ki- katika kundi la maneno - kubadilisha nomino, zinazoanza kwa Ki- katika hali wastani kuwa katika hali ya ukubwa na udogo, - kutunga sentensi sahihi akitumia nomino zinazoanza kwa Ki- katika hali ya ukubwa na udogo huku akizingatia upatanisho wa kisarufi, - kufurahia kutumia nomino zinazoanza kwa Ki- kwa usahihi katika hali ya ukubwa na udogo ili kuimarisha mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kushiriki katika mchezo wa vikundi ambapo kikundi kimoja kitataja wastani wa nomino na kingine kutaja ukubwa na udogo wa nomino hiyo, -kutunga sentensi kwa kutumia nomino hizo katika hali ya ukubwa na udogo kwa kuzingatia upatanisho wa kisarufi. |
Je, ni nomino gani zinazoanza kwa kiambishi Ki- unazozijua?
|
KLB Top Scholar UK 133
-Kadi za maneno -Mti wa maneno -Vifaa vya kidijitali -Kamusi |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Majadiliano ya vikundi
|
|
| 10 | 2 |

| 10 | 3 |
Kuandika
|
Barua Rasmi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kujadili maudhui ili kuandika barua rasmi inayozingatia mada, - kuandika barua rasmi inayozingatia mada, hati safi, muundo na mtindo ufaaoili kuwasiliana ipasavyo, - kuchangamkia utunzi wa barua rasmi katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua mada ya kuandikia barua rasmi, -kujadili na wenzake maudhui yafaayo kulingana na mada ya insha ya barua rasmi, -kuandika vidokezo vya kumwongoza, -kujadili na wenzake vipengele vya aya. |
1. Uandishi wa barua rasmi huzingatia vipengele gani?
-2. Unazingatia nini ili kuunda aya nzuri?
|
KLB Top Scholar UK 128
-Kielelezo cha barua rasmi -Chati |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Majadiliano ya vikundi
-Orodha hakiki
|
|
| 10 | 4 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Kujieleza kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
ndogo - kubuni na kusimulia kisa mbele ya wenzake akizingatia mada lengwa, - kutumia ishara zifaazo kuimarisha masimulizi yake - kufurahia usimulizi wa visa mbalimbali kuhusu maisha. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kusimulia kisa kuhusiana na mada fulani akizingatia mtiririko wa matukio, kanuni za kisarufi, kupanda na kushuka kwa sauti, ishara za uso, viziada lugha, tasfida, na wakati ili kuufanya utungo wake uvutie, -kuuliza na kujibu maswali kutokana na visa vilivyosimuliwa darasani. |
Masimulizi kuhusu ushuru yana umuhimu gani?
|
KLB Top Scholar UK 124
-Tepurekoda -Tarakilishi -Video -Picha |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Majadiliano ya vikundi
-Maswali ya maandishi
-Maigizo
|
|
| 11 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusoma kwa ufasaha, - kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora, - kusoma kifungu kwa kasi ifaayo, - kusoma kifungu kwa kutumia sauti ipasavyo, -e) kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo, -f) kuchangamkia kusoma kifungu kwa kuzingatia vipengele vya usomaji. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kusoma kifungu akizingatia sauti ifaayo (k.v. kiwango cha sauti na kiimbo), -kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo panapofaa (k.v. ishara za uso na mikono zinazozingatia tamaduni), -kushirikiana na mzazi au mlezi kusoma makala akizingatia vipengele vya usomaji bora. |
Je, kusoma kwa ufasaha kuna umuhimu gani?
|
KLB Top Scholar UK 125
-Nakala ya kifungu cha kusoma -Vifaa vya kidijitali -Kamusi |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Shughuli ya kusoma
|
|
| 11 | 2 |

| 11 | 3 |
Sarufi
|
Ukubwa na Udogo wa Nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua nomino zinazoanza kwa kiambishi Ji- ili kuzibainisha, - kubadilisha nomino zinazoanza kwa kiambishi Ji- katika hali wastani kuwa katika hali ya ukubwa na udogo, - kutunga sentensi sahihi akitumia nomino zinazoanza kwa kiambishi Ji- katika hali ya ukubwa na udogo huku akizingatia upatanisho wa kisarufi, - kufurahia kutumia nomino zinazoanza kwa kiambishi Ji- kwa usahihi katika hali ya ukubwa na udogo ili kuimarisha mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua na uchague nomino zinazoanza kwa kiambishi ji katika orodha, -shirikiana na mwenzako kutafuta nomino nyingine zinayoanza kwa kiambishi Ji-kwenye mraba, -andika nomino ulizotambua daftarini. |
Je, ni nomino gani zinazoanza kwa kiambishi ji- unazozijua?
|
KLB Top Scholar UK 135
-Kadi za maneno -Mti wa maneno -Vifaa vya kidijitali -Kamusi |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Majadiliano ya vikundi
|
|
| 11 | 4 |

| 12 | 1 |

-someni kwa zamu nomino zifuatazo katika wastani na ukubwa, -andika ukubwa wa nomino zifuatazo daftarini mwako, -someni nomino zifuatazo katika wastani na udogo kwa zamu, -andika udogo wa nomino zifuatazo daftarini mwako. |
Je, ni nomino gani zinazoanza kwa kiambishi ji- unazozijua?
|
KLB Top Scholar UK 135
-Kadi za maneno -Mti wa maneno -Vifaa vya kidijitali -Kamusi |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Majadiliano ya vikundi
|
|
| 12 | 2 |
Sarufi
|
Ukubwa na Udogo wa Nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua nomino zinazoanza kwa kiambishi Ji- ili kuzibainisha, - kubadilisha nomino zinazoanza kwa kiambishi Ji- katika hali wastani kuwa katika hali ya ukubwa na udogo, - kutunga sentensi sahihi akitumia nomino zinazoanza kwa kiambishi Ji- katika hali ya ukubwa na udogo huku akizingatia upatanisho wa kisarufi, - kufurahia kutumia nomino zinazoanza kwa kiambishi Ji- kwa usahihi katika hali ya ukubwa na udogo ili kuimarisha mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-shirikiana na mwenzako kugeuza sentensi katika ukubwa na udogo. |

| 12 | 3 |

| 12 | 4 |
Kuandika
|
Barua Rasmi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kujadili maudhui ili kuandika barua rasmi inayozingatia mada, - kuandika barua rasmi inayozingatia mada, hati safi, muundo na mtindo ufaaoili kuwasiliana ipasavyo, - kuchangamkia utunzi wa barua rasmi katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kuandika barua rasmi kwa mwalimu daftarini kuomba msamaha na kuiwasilisha kila hoja katika aya yake, -kutumia sentensi inayobeba wazo kuu mwanzoni mwa kila aya, -kuandika kwa hati safi au kwa kutumia tarakilishi huku akizingatia kanuni zifaazo, -kujadiliana na wenzake kuhusu umuhimu wa barua rasmi katika mawasiliano. |
1. Uandishi wa barua rasmi huzingatia vipengele gani?
-2. Unazingatia nini ili kuunda aya nzuri?
|
KLB Top Scholar UK 128
-Kielelezo cha barua rasmi -Chati |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Majadiliano ya vikundi
-Orodha hakiki
|
|
Your Name Comes Here